kazi nzuri sana clam ukiachana na comedy hii nayo ni nzuri inatuelimisha vijana wapambanaji wapi huwaga tunakosea ukiacha changamoto za ugumu wa life kitaa
Leo ndio nimepata muda wa kuangalia mwanzo hadi mwisho, nime'enjoy, nimefurah, wote mmefanya vizuri sana asee sana sana, msela wake kipara nimemkubali sana 😂
movies zenu zote nimeziappreciate hongereni sana asei kila season ambayo mmetoa nyie naipenda asei me sio mpenzi wa bongo movies lakin zakwenu nimezipenda sana mpo vizuri jamn
Ni bonge la movie na ukituliza akili Ina bonge la ujumbe kwenye maisha halisi tunayo ishi na hapa ndo utagundua utajiri ni Siri ngumu na inahitaji kuwa na roho ngumu sana mfano Clam amepata utajiri ila anaweza kusaidia majirani lakini anashindwa kumsaidia mama yake Mzazi hivi familia inayokuzunguka itakuelewaje na wanajua ww ni tajiri
Huyu bingwa mbona kama kanumba😢 Ndio maana utapata matajiri wako na roho katili wanasahau Hadi wazazi wao walio walea kumbe Kisha ni vyama😢 MOLA ANIPE HIKMA NISIISAHAU FAMILIA YANGU NA NILIPOTOKA🤲🇰🇪💞🇰🇪🇰🇪