But all in all kazi nzuri washiriki wote wameshoo love kwa moyo mmoja kabisa japo kwa wale ambao hawaja fit ni kwakua tuu uhalisia wao hauruhusu wao kua ktk seem hizo bravo✍️
Kim VEVO apa umezingua 😅very sad kaka Ako alipitia jeshi tulitaka tumuone hukomafunzoni aliiva ,, alafu butua anafaa kuigiza mlevi tuu ama mporipori pia mmeo kwa snake boy hafai kua jambazi wamjini huko maporini ndio ana faaa ungemtumia rafiki ake kakoso Kwa snake boy anafaa kua jambazi yule