BI SHADA ALIIMBIWA ASALI WA MOYO MIAKA KUMI NA NANE ILIYOPITA NA INSPECTOR HAROUN AMBAYE KWA SASA WANAFAMILIA YA WATOTO WATATU #BigChawa #Cuuuzin #UshuaniMostWanted
Hizi ndio interview , tuleteeni vitu kama hivi, tumechoka na walamba midomo, wapaka poda, wanaojifanya kiswahili kinawasumbua . Big Chawa kazi nzuri Bro , kuwa tofauti , tuletee wahenga bado tunawapenda .
😍😍😍🇧🇮 shabiki zako toka +257 tume kumiss jomba Nilipigwa fimbo kisa nilikosea nika format simu ya rafiki yangu kumbe nyimbo zako zilikuwemo nilikopa hela na vitasa juu sitasahau Shemeji kapendeza🥰🥰🥰 karibu kwetu
Wanamziki vijana wa sasa inabidi wajifunze kupitia mtu kama inspekta.mahudiano ya sasa hivi kwa wanamziki vijana wa sasa hivi hayadumu.heshima na kuthaminiana ndiyo kitu muhimu kwenye mahusiano.👏👏👏👏 inspekta.
Inspector sema basi unataka nini! Hiyo sauti ni ya mtoto mkali sana.....aise nimekufuatilia ngoma zako long time. Natamani siku moja nikucheck live.....
MWANAMKE KAMA HUYU UKIWA NAE NA UKAJITUMA KUFANYA KAZI LAZIMA UFANIKIWE HAPO ANGALIA ALIVYO VAA' ANGALIA HAJAPAKA HATA MEKAP YAAN ANAUZURI WA ASILI SO'. PIA NI MPOLE HONGERA HARUNA BABUU
Moja ya interview bora kuliko zote duniani....kazi nzuri sana Big Chawa, Aisee Babu ni Star wa kweli, he is too og....nice couple. I hv got a lot of compliments abt this....
Mtangazaji wa mavi mavi Anauliza maswahili wakati haja Fanya hata research kuhusu Msami. Anaongelea video ya Asili wa Moyo wakati hujawi hata kuoina. Hujui hata nani alikua vidéo Queen.. dah!! Huruma saana
Inspector! Kaka angu na kipenzi changu katika Muziki wa Bongo flavour, sipendi kucoment kwenye video yoyote ile ila kwa kuwa interview na ya Msanii namba moja katika category ya wasanii wanaojielewa kwa kweli nimekuwa tayari kucoment, tuko nyuma yako Inspector, endelea kutupa kete tutakusupport kama kawaida, kwanza wewe ndio king wa Rap Cartoon na msanii uliyeweza kumentain status yako kwenye kila angle, heshima kaka!