Mungu akupe funzo zaidi kelvin pamoja na team yako Kwa sababu tangia nianze kuwafuatilia Nina experience ya maisha na Nina Imani Kuna wengi pia wamejifunza nawatakia kazi jema manzotuadalia
kazi nzuri sana, donta tv family hamuja wayi kutuangusha hata siku moja, na njo maana hatuta choka kuwafatiliya sisi kamwe, shabiki wenu nikiwa south africa❤💪
Mungu akuinue kelvin nkupenda sana kaka aki filamu zako nazifatilia sana na zinanipea mafunzo mazito sana zanifariji moyo wangu I love you ❤❤❤ broo natazama nikiwa Kenya mungu azidi kuinua talanta yako ❤❤❤❤❤
Mara nyengine badilisha Jina ya filamu,ilioandika PENZI LA TOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI,apo filamu inajielezea kabla tá kuangalia...Weka madjina mafupi fupi.😮❤ Sha kumalizia munatumia muda muingi sehemu moja. Muwe munabadilisha madjina
Hongera kwa kazi nzuri nimepitia filamu zako zote nimejifunza mambo mingi san jinsi yakukaa na watu pia kwa ndoa kelvin mungu akubaliki na akupe kunguvu kazi nzuri watching from saudi