Duuuuh sio kwa kulewa uko bwana harusi apendi bas tuu ata kucheka analazimisha mmmmh atari sio vizuriiii kunywa pombe kwa wakati kama huo angesubiri shughuli iishe kwanza watu wakipungua aburudike sasa watu wengiiiiuu mtu yuko mbwiiiiiii 🤔🤔🤔🤔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Inaonekana aliweka nadhiri siku atayoolewa atakunywa mpaka basi aibu siku ya shuhuli yako unaomba Mungu watu wasikuharibie kumbe wengine wanaziharibu wenyewe amekosa mshauri wala mtu wa kumuongoza na kumsimamia