Тёмный
No video :(

Duh,! PETER MSIGWA AFICHUA MATESO ANAYOPATA TUNDU LISSU/ mbowe yeye anaruka na ndege tu 

BONGO 24 NEWS
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Месяц назад
Safi sana Mweheshimiwa Msigwa
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Месяц назад
Wewe usijifananishe na akina heche wewe kwani na wewe unajilinganisha na akina lema nyooooooooo
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Месяц назад
Imekuuma san tulia apo msigwa aseme ukwel tatizo chadema inampasuko mkubwa san kwa ndani alaf viongoz wa juu hawapo really
@AlphonceAlphonco-sw7hh
@AlphonceAlphonco-sw7hh Месяц назад
Kama kweli Chadema ni Sakos basi mbowe kiboko anaitesa siasa ccm.nguvu yote ya nini
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Месяц назад
msigwa yuko sahihi chadema ingekuwa na nguvu Sana Kama wangekuwa wanafanya mabadiliko ndan ya chama
@hopefully7090
@hopefully7090 Месяц назад
Mabadiliko gani haswaa
@boniveturendimbo8880
@boniveturendimbo8880 Месяц назад
Mambo mawili ya kuogopa Duniani, Muogope Mungu, jambo la pili Teknologia. Tuwe makini sana.
@Kwazulu1
@Kwazulu1 Месяц назад
Muchungaji Msigwa usinyee kambi. Ina maana ukiondoka CCM nao utawasema vibaya. Njaaaa tu ndo inakuumiza. Be professional Msigwa zungumuza sera.
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 Месяц назад
NJAA 😂
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 Месяц назад
Msigwa. Nakushangaa sana, Njaa yako Imekufanya udharaulike kwa kujichafua. Where are you going to put your face?
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Месяц назад
Mwache aseme kwel
@wartv730
@wartv730 Месяц назад
😂😂😂 njaa , tuijenge nchi tukiwa na njaa
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Месяц назад
Yah kabisa
@yailoelieza7904
@yailoelieza7904 Месяц назад
Huyu Jamaa Ana njaa sana
@HappyKitindi
@HappyKitindi Месяц назад
Bongo ukihama chama eti njaa inakuuma, kuna mtu haumwi njaa hahahahaahahaaa, we have to respect others decision. Hata mnara wa babeli ulianguka sembuse chadema? 😂😂😂😂😂😂😂
@willykomba8376
@willykomba8376 Месяц назад
Hamna lolote zaidi ya njaa,Ingekuwa Ulaya sawa😢😢
@SijaliJimson
@SijaliJimson Месяц назад
Uko sawa sana baba
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 Месяц назад
Bila Chadema Msigwa ungejulikana wapi. Chadema imekujenga hata ukaonekana, kuwa na shukrani walau kidogo
@HappyKitindi
@HappyKitindi Месяц назад
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, sema yote Msigwa hakuna kumuogopa mtu hata wakuite katili ama njaa hizo ni soga tu. Wacha waendelee kukunja ngumi
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Месяц назад
Happy chadema ni wanafki hawapo really hasa kwa viongoz wa kubwa kabisa juu kuna mpasuko pale namuamin tundulissu tu
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Месяц назад
Umelamba asali bwege
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali Месяц назад
Kola umeweka wapi mungu anakuona utatolea hesabu
@MussaEzekiel-jn8hj
@MussaEzekiel-jn8hj Месяц назад
Wewe ni mjinga
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 Месяц назад
Hana jipya msigwa
@AvitChaz
@AvitChaz Месяц назад
Kwaiyo msigwa na wewe una maana ata ubunge aukufai
@jumabidery5051
@jumabidery5051 23 дня назад
Adui wa muafrica nimuafrica mwenyewe
@issayalaizer9816
@issayalaizer9816 Месяц назад
Kati ya watu wasio stahili kusikilizwa wee unaongoza hufai hata kwa chumvi miaka yote uko chadema je hayo unayoyesa ulikuwa huyaoni leo ndo umefunguliwa macho baada ya kuhama? Haya ni sengwe tu na Tamaa ya madaraka
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Месяц назад
Wew hujui kitu hajasema chadema mbaya amesema uongoz wa chadema ulivyo haufai unafki pale labda tundu antipas lissu
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Zaman nilikuwaga na kiherehere na siasa nilipokuja kujuwa siasa ni mchezo mchafu nikamuwa kufanya maisha mengine
@deomtekele3166
@deomtekele3166 Месяц назад
Usimwamini mtu
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Месяц назад
Kwa mtazamo wako
@longinokamuntu8645
@longinokamuntu8645 Месяц назад
Mchungaji unatumia nguvu kubwa kushawishi watu lkn hatukuelewi
@rammykandra2354
@rammykandra2354 Месяц назад
Siku ccm wakikutema ndio utajua maana unauza utu wako kwa ajili ya njaa
@KhamisBoss
@KhamisBoss Месяц назад
Dah kwer njaa noma shida iko kwa ss wananchi wenyew
@mzeekidevu9688
@mzeekidevu9688 Месяц назад
Njaa mbaya
@EliasOwilly
@EliasOwilly Месяц назад
Ovyooooooo,,hata mjinga kabisa anajua tatizo njaaaaaaaaa
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f Месяц назад
Chadema ni chama kizuri ndio maana unahangaika kukichafua mda wote.. sidhani kma unaweza ukakizungumzia CHAUMA AU TLP😂
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 19 дней назад
Yaani msigwa wewe ukajenge nchi wewe. Nchi ipi wewe utajenga? Ulisema ccm hawezi kuleta maendeleo. Afadhali ungestaafu siasa. Njaa Yako hiyo itakupeleka motoni. Kumbe kutoka uchungaji kwenda kwenye siasa ni mpango wa Mungu maana hiyo njaa ingekukuta kanisani ungechinja kondoo wa Mungu kanisani.
@kasimukayanda2701
@kasimukayanda2701 Месяц назад
Upo sahihi mchungaji
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 29 дней назад
Ulimpinga sana JPM ingawa ulijua kabisa kuwa JPM anafanya kazi kizarendo kabisa, Leo hii tunataka umsafishe JPM yaani utubu wananchi tukuelewe
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Umekosa Kanda utahangaika sana
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Месяц назад
Msigwa umefilisika, wenzio tunaendelea we bweka tu nyoo!!
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m Месяц назад
😅😅😅😅 Kwriiii kbsa
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz Месяц назад
Safi sana msigwa .umenifurahisha.
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
Kwahiyo matatizo ya barabara ni jukumu la serikali au chadema
@user-td3xz9ej7r
@user-td3xz9ej7r Месяц назад
Ya kutoka wapi kwenda wapi
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Месяц назад
@@user-td3xz9ej7r barabara zote zinatekelezwa kwa kodi zetu siyo serikali na hao serikali wanalipwa kodi zetu
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 Месяц назад
Ashakuwa chawa wa Ccm daaaah
@lothanathanael2286
@lothanathanael2286 21 день назад
MSIGWA KAPOTE ZA MWELEKEO KIIMANI NA KISIASA. NI MCHUNGAJI KWELI?
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Huna lolote kalipe den😊
@willykomba8376
@willykomba8376 Месяц назад
Ovyoooooooooo TUMBO bana😂
@user-dz9cn1gw2j
@user-dz9cn1gw2j Месяц назад
Sitakuja kuamini tena mwanasiasa yeyote hadi nakufa
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Месяц назад
Hivi waxiri utamuona leo, wee msigwa tufanye uchaguzi kwanza tuone wabunge tutakaowapata.
@YOHANAMADATI
@YOHANAMADATI Месяц назад
Ummm
@user-qi6ql1lp9k
@user-qi6ql1lp9k Месяц назад
Wewe njaaaaaaa
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Месяц назад
Msigwa tubu mbowe amendenda mema yeye ni baba watu yeye hajawa Rais yeye ndiye baba wa chama laana lmekukalia
@AlphonceAlphonco-sw7hh
@AlphonceAlphonco-sw7hh Месяц назад
njaas
@coolruler6820
@coolruler6820 Месяц назад
Njaa kali asee,,,,siamini ndiyo yule aliyekuwa anaiponda ccm,,,Mimi ni ccm damu ila Nyerere alishaonya watu wa aina hii,,,,,njaaa njaaa njaaa.
@isaacalex6327
@isaacalex6327 Месяц назад
Masikini siasa shida
@godylyimo7471
@godylyimo7471 Месяц назад
Mnyalu
@cosmassanga8851
@cosmassanga8851 Месяц назад
unalalamika nini? kama cdm ni dhaifu tumieni mwanya huo kujiimarisha.
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh Месяц назад
Yaaanii unafki ni mbayaaaaaa
@johnjeremia7489
@johnjeremia7489 Месяц назад
Kumbe doctor w slaa ni mtumishi
@davidlengidong
@davidlengidong Месяц назад
Njaaaaaaa😂😂😂
@josephboru5703
@josephboru5703 Месяц назад
Hahaha kunjangumi
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Месяц назад
Huyu msigwa nikibaka, mjinga
@hollymore4904
@hollymore4904 Месяц назад
Hawa ndo wanaofanya siasa iwe uwongo ... Too bad anajiita mchungaj,sasa mnaipeleka siasa kene dini.eeh MUNGU niepushie uzee kama huu 🙏🏼
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Месяц назад
lipa deni la watu
@umturianiwabhoesese657
@umturianiwabhoesese657 Месяц назад
Sema baba
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Месяц назад
Mungu hatakujibu
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Месяц назад
Wewe sema tamaa za madaraka tu basi
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Месяц назад
Chadema wanaitesa CCM.kwalipi Awa.wanao jiita wapinzani Hawa ni mtaji wa ccm.ccm hwaja sumbuliwa na chama chochote labda kafu Tena znz hapa bara hakuna chama.chochote kinacho weza kusumbua.ccm ccm inaumza kichwa zanzibari tu
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Месяц назад
Chizi huyu
@mutalemwabugeza1489
@mutalemwabugeza1489 Месяц назад
Huo mradi wa sacoss, Msigwa, si umekufanya uwe Mbunge CDM kwa term 2? Hakika Mch unawakilisha jamii ya wasio na shukrani. Maana nawe umenufaika katika sacoss ya Nkurunzinza, na leo unamtupia mbeleko na kejeli
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Месяц назад
Huyu n njaaa inamsumbua
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Месяц назад
Shetani nae aliasi anguko lililomkuta ni laana kubwa huyu anajiita mch analaana kubwa sana bora angejiongeza akakaa kimya watoto wetu wana shida makodi na madeni utitili unahoja gani ww umebeba laaana kubwa una
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 Месяц назад
Msingwa Huna sera wewe .chadema ni chama .kwanza wewe ni fara
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Месяц назад
Tatizo la chadema ni mbowe kuwa king'ang'anizi ktk ngazi ya mwenyekiti,,,haiwezekani KUKAA ktk nafasi kubwa kama Ile MIAKA yote huku anajinadi eti yeye ni muumini wa haki na demokrasia hapana ,hii sio sawa,Kwa mantiki hiyo Hata tundulisu naamini angekuwa ccm angekuwa mbali sana ktk kuisaidia NCHI ya Tanzania
@EliasOwilly
@EliasOwilly Месяц назад
Njaa mbaya sanaaaaa, ww si uliosema ccm hatfikishi popote, mbingu hautaina ,mchungaji mtawanya kondoo
@bilid4128
@bilid4128 Месяц назад
😂😂😂😂 haki ya Mama tunachukuwa hii Nchi
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Месяц назад
Atukuamini
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r Месяц назад
Je,chadema wamefanya nini ilhali ccm ndio iliyo madarakani?Kwanini huwaelezi watu wako maovu ya ccm?Badala yake unabweka tu ukiilau Chadema kwa lipi?
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Месяц назад
Huyu JAMAA aweza Kua mchawi
@mandashanguma
@mandashanguma Месяц назад
Hunaa seraaa
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Месяц назад
Hata nyie pia njaa msigekuwa na njaa mgekaa manyumbani zenu bila kumuona msingwa ana njaa jiulize kila binadamu ni njaa inayomfanya atoke hata matajiri wakina bakheresa walali usiku kucha anahagaika na nn kama sio njaa sema baba mm huwa nasema kila siku ccm mpk kiama Tanzania
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Месяц назад
Huyu wame mnanii
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Месяц назад
Malaya malaya
@batromeokolora622
@batromeokolora622 Месяц назад
Mimi simuamini mtu anayejiita mwana siasa
@geey7893
@geey7893 Месяц назад
Huyu sio shoga?
@jumabidery5051
@jumabidery5051 23 дня назад
Umelamba asali
@clemencekaogo8826
@clemencekaogo8826 Месяц назад
Hapo unainadi chadema sasa
@jumakibompile8091
@jumakibompile8091 Месяц назад
Msaliti
@saxo-mm4me
@saxo-mm4me Месяц назад
Chadema tumieni vijana kuitoa ccm madarakani
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 Месяц назад
Lissu ndo sera ya ccm au ndo kusababisha maisha magumu mbona simuelewi hivi ccm tumemchukuwa kwa lengo lipi, hebu mjibu polepole alichosema ndicho? Anachafuka chama na mwenyekiti wetu, mtoeni haraka😮
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 15 дней назад
Mushes. Felix. Umechoka. Haunarorote. Mouse. Mushes. Hafai
@TemboKaijage-kg2mm
@TemboKaijage-kg2mm Месяц назад
Kwani wew ni mchungaji au ni muhuni ata aueleweki
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Месяц назад
Msingwa acha unafiki fanya siasa acha majungu kwani uliko hamia chama hakina mwenyekiti?
@ellyrenalda5883
@ellyrenalda5883 Месяц назад
Msigwa bora ungekaa kimya tu, umekua kituko.
@IbrahimTabu-qh9il
@IbrahimTabu-qh9il Месяц назад
Misigwa kwahiyo katiba basi.
@PsdiTanzania-h1y
@PsdiTanzania-h1y Месяц назад
Nilikuwa namheshimu sana msigwa ila kuanzia Leo namdharau...anashindwa kujua kwamba wenzake wanamchora...kwa sababu ameasahau kwamba anayekuambia ya wenzake Leo kesho atawaambia wenzake ya kwako...msigwa meza maneno....ishia hapo....ishia hapo msigwa...wenzako wanakuchora......hubiri Sera acha kuhubiri povu lako.....msigwa ishia hapo.....
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c Месяц назад
Wasaliti wapo toka kipindi cha manabii
@STAY_FOCUS10
@STAY_FOCUS10 Месяц назад
Kwakweli Hawa wanasiasa ndo wanatufelisha na Tanzania inabaki kuwa km ilivyo miaka yote sababu ya siasa za ubinafsi,na kujijali wenyewe...Huyu jamaa namshangaa sana na simalizi ye mwenye amepewa mamilioni hapo ndo maana anabwawaja tuu..tumuombe mungu tu TZ ipate wanasiasa wa ukweli
@feysalramadhan8541
@feysalramadhan8541 Месяц назад
We mnafk2 msaka tonge hauna uzalendo wa nchi bali unataka yako twende...
@donatusdaniel3722
@donatusdaniel3722 Месяц назад
Mchungaji...Msigwa acha unafiki. Yote haya unaengea kwa sababu ulishindwa Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Nadhani hata CCM usipopata ubunge utaondoka. Acha unafiki ww ni mtumishi wa Mungu.
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 Месяц назад
Wewe msigwa achana na majungu leta sera mpya kuijenga ccm
@user-pd7cu2pg7y
@user-pd7cu2pg7y Месяц назад
Hiyo njaa yako ndiyo inakufanya uongee
@SelemaniFihoma
@SelemaniFihoma Месяц назад
Hunaga swaga sela zako zilizile ubadiliki toka afe mzee butinini huna zambo broo unapenda kuaminisha watu nilisemaga nyie mashaidi mashaidi wabunge wenzio sio wanainchi weka akiba ya maneno hichi nikipindi cha uchaguzi watakutumia wakuache
@clemencekaogo8826
@clemencekaogo8826 Месяц назад
Njaa mbaya sana ila hata wewe huaminiki
@isackkivuyo1980
@isackkivuyo1980 Месяц назад
Hahahaaaa komaa kamanda
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke Месяц назад
Mchngaji kashiba
@maigedaud8754
@maigedaud8754 Месяц назад
jaman hivi kweli ni busara kumsema mwanamke ukiachana nae.?😮
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka Месяц назад
Msigwa umeferi kwenda ccm 😂 mungu anaitaka nchi yake😂 ccm zero
@NeemaKomba-ks4so
@NeemaKomba-ks4so Месяц назад
Aseme atawafanyia nini Wanachama wenzie aache kuiponda chadema ndiyo imemfanya anaongea hapo
@user-bs7cw1oi6z
@user-bs7cw1oi6z Месяц назад
Heee msigwa kamaliza mwenzake amuhurumie mbowe ataugua kisukari
Далее
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 445 тыс.
Аруси Точики ❤️❤️❤️
00:13
Просмотров 112 тыс.
🔴LIVE : MBOWE, LEMA, MBULU MJINI MUDA HUU
12:39
Просмотров 6 тыс.
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 445 тыс.