Тёмный

BILL NASS: NANDY ANA MIMBA YANGU / HAMISA MOBETO KANI BLOCK / NIMEPIMA TENA UKIMWI 

LilOmmyTV
Подписаться 546 тыс.
Просмотров 320 тыс.
50% 1

Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 292   
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 5 лет назад
Kama unamiss cheko la nguvu la Nandy weka likes chini apa!..
@bonephasbenjamin4848
@bonephasbenjamin4848 5 лет назад
The baddest interview ever msani huwa mpaka ajipange akikutana na lllly ommy
@lowasamollel9852
@lowasamollel9852 5 лет назад
#Tambeeeee,utabaki juu kileleni,Ila naimiss uwepo wa Nandy
@michaelikayo2570
@michaelikayo2570 5 лет назад
Nandy Viva and billanass BIG UP
@Aaron_Sanga
@Aaron_Sanga Год назад
Who came here after these two got married?
@gastolazaro470
@gastolazaro470 5 лет назад
Kama unaikubali caple ya billnandy gonga like.
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Ya tunawakubal
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Kumbe anamkubal na mauwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Hii ilikuwa ya muda
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 5 лет назад
Kama unamuelewa MVP lil Ommy kwa maswali yake ya kibabe honga like👊👊👊✊kizazi sanaaa
@johnmagasha8575
@johnmagasha8575 5 лет назад
Nandy nakukubali sana couple yenu nzur mung awabark
@happymrisho1478
@happymrisho1478 5 лет назад
Ndo maan nandy kanenepa
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 5 лет назад
@@happymrisho1478 ndio zimekolea et😋😂😂
@neemarimoy5891
@neemarimoy5891 5 лет назад
J
@paulmatete365
@paulmatete365 5 лет назад
Baharia pambana na kazi
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 лет назад
Kama unaikubali hii couple ya #billnas na #nandy tujuane na kama unaikubali #bugana Please tujuane
@delly2186
@delly2186 5 лет назад
Bombaaa
@sadanassor7966
@sadanassor7966 5 лет назад
Hiy intev haikunog kwasabab tumemis chek la nandy
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 5 лет назад
Nandy angekuwa interview ingekuwa tamu sana kizazi sana Ommy
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 5 лет назад
Zabibu Nduwimana true coz kanaongea
@rozeypwizzy6472
@rozeypwizzy6472 5 лет назад
MVP king of the INTERVIEW
@alphonceinnocent3394
@alphonceinnocent3394 5 лет назад
Wabongo bwana!!! Nyimbo imechelewa kuingia hata 42 on trending. Lakini interview imeingia.
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Kama unamuona billnenga muongomuongo ila anakula mzigo kavaa na miwani kabisa aongope🙄🙄🙄 yaan kale katabasamu kawiziwizi
@jssaa4733
@jssaa4733 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 5 лет назад
Halafu mhuni kapitapita kwa wasanii
@nasryshabany7204
@nasryshabany7204 5 лет назад
eti ruge alimzulumugu huyu manzi
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 5 лет назад
Kkkkkkk
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Rahel Masiga` saaanaaaa halafu kimyakimya anajifanya kama innocent vile kumbe mtaalamu wa kufunua na kupakua nyapu
@kambikashama4619
@kambikashama4619 5 лет назад
MVP 🙌🙌🙌🙌🙌 Kweli Wewe King 👑 God Bless Brother from China 🇨🇳
@aminamwangile1047
@aminamwangile1047 5 лет назад
Mi nayapenda mahusiano yko na nandy bhn..... Kama mmerudiana kweli nafurahi......!!!!
@stevewanga957
@stevewanga957 5 лет назад
Billnass namkubali 2 sana.... Most MVP half man Leo baharia kapatikana kwa Maswali Haruki... .. Much love from 🇶🇦 🇶🇦
@rehemahussein748
@rehemahussein748 5 лет назад
Billnass yuwatafuna maneno 😂😂😂😂that's means yote anayoyasema ni yakujipanga! U can't run from lov! Bado wanapendana
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 5 лет назад
Kama umegundua Bill nanga alikuw ananunua Malaya kwa kutumia pesa ndo maan hawez kutongoza. Gonga like
@phostinemulongo9051
@phostinemulongo9051 5 лет назад
Love th interview,
@qmedia2171
@qmedia2171 5 лет назад
Unajiumauma sana Billnas....
@danielmagutu
@danielmagutu 5 лет назад
kama unaamini nenga bado yupo kwenye mahusiano na#Nandy gonga like twende sawa
@amanimachibya6169
@amanimachibya6169 5 лет назад
Hiyo inahitaji maelezo, hapo ndo nmeelewa zaid.
@moullaommywayneofficial1199
@moullaommywayneofficial1199 5 лет назад
Love from 257👌🇧🇮
@njiwajr4238
@njiwajr4238 5 лет назад
Kama unaikubal #bugana billnass gonga like hapa
@stevemanasekapona5934
@stevemanasekapona5934 5 лет назад
Ipo gud sana bugana
@patricemacky1164
@patricemacky1164 5 лет назад
Kama umesikia nenga ajui kutongoza gonga like hapa twende sawa.😂😂😂😂😂😂
@keenausten3986
@keenausten3986 5 лет назад
Itongwa Makyambe m mwenzake na nenga kwenye swala lakutonhoza haafa
@patricemacky1164
@patricemacky1164 5 лет назад
@@keenausten3986 pole sana domo zege.😂😂😂😂😂
@judithnzunda6891
@judithnzunda6891 5 лет назад
Billnass napenda nyimbo zako
@hawakhamis5122
@hawakhamis5122 5 лет назад
Tatzo wambea wengi wanapenda kujua mambo ya watu hata #billnass akisema uongo haki yake maana mmezid kupenda ubuyu
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Mabaharia kama nenga wanaojifanyaga wapo cool ndiyo wanaongozaga kubutua nyapu na watalaamu wa kupanga msululu anajifanya kama hawezi kuongea ila ndiyo mtaalamu wa matukio 😂😂😂😂 ila daaah ommy ujua kumvua Nguo mtu siyo kwa tbt hiyo😂😂😂
@zuhramsuya8194
@zuhramsuya8194 5 лет назад
mm simba kunywa soda ntakuja kulipa
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Zuhura Mohamed hahaaaa watu wa hiv balaa kabisa 😂
@zuhramsuya8194
@zuhramsuya8194 5 лет назад
mm simba nawajua sana tu
@abilahswalehe4206
@abilahswalehe4206 5 лет назад
mm simba ni kweli simba mwenda pole
@alimussa2655
@alimussa2655 5 лет назад
Ber upo pow na hunaubabaishaji upo rily nakukubali sana tu
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
Hapo angekuwepo na nady ingenoga sana😂, na umbea ungekuw mtamu
@frankpascal1220
@frankpascal1220 5 лет назад
Tausi Ngomeni hahahaha
@elizabethkeng7036
@elizabethkeng7036 2 года назад
Congratulations 👏🎉
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 5 лет назад
Mabaharia.....kama hawa huwa wanakulaga mademu sana,halafu wanajifanya hawajui kutongoza
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 5 лет назад
Snaaa t
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 5 лет назад
@@jumalihumbo8937 Mademu wengi wanapenda wanaume wenye aibu wakidhani ni maboya kumbe ndo wanaingia king
@kibwanahassanmohammed5720
@kibwanahassanmohammed5720 5 лет назад
Billnass Mola akupe umri mwana yani nakukubali kishenzi,please subcribe to my channel,show love jamani
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 5 лет назад
Eti mambo ya kutongoza huwezani Bro aise hiyo kali 😁😁😁nime cheka vibaya sana
@user-gt9pq6tb6x
@user-gt9pq6tb6x 5 месяцев назад
Nakukubali san billnas cos ni kijana mmoja unaejielewa na uko smart sana ya huna bay na wife wako jaman nawaombea mung awalinde na maneno ya wanadam msije achan
@kenedymbena2274
@kenedymbena2274 5 лет назад
Nakukubari xana lily ommy kwer we ni king
@kabuta_8379
@kabuta_8379 5 лет назад
Nakubali👊🏿👊🏿
@akramsayjr591
@akramsayjr591 5 лет назад
Nyie wasanìii ni waongo sana. Mdanganya mbele ya media ...Mobetto alidanganya na hawa nao waongo. Sasa na wanasiasa wakiwa waongo linakuwa taifa la Waongo...Tzmpya
@ryshuseni7476
@ryshuseni7476 5 лет назад
Nenga apreciate u broo
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 лет назад
Nenga Nenga sawa mungu anakuona
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
Nimechek hapo kweny ndoa Haw wataoana tu🤣🤣🤣🤣
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
@Ali Ali umetumwa nn, shoga ww
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
@H&P Life Journey huyu anaonekan shoga so kosa lake, halaf hata silijui linaleta shobo shobo kweny coment za watu
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 лет назад
@@tausingomeni2568 ndo lilivo me siio mara yakwanza kuona anaandika matusi hata mimi alishawahi nitukanana sijui anamatatizo ya akili
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
@@hasnaabduly4945 aah kumbe ndio tabia yake kitakuw shoga hili so bure maan mwanaume aliyetimia awez kuwa hvi
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Iyo mimba mliichokonoa chokonoa uko ☺ billinas ukiwa unaongea uwe n kumbukumb y naneno
@lwimikomwambene
@lwimikomwambene 5 лет назад
huyu baharia ni noma hadi kwa Lina kapita
@neemamabele8451
@neemamabele8451 5 лет назад
Msela ana mashauzi kichizi kam umeona nenga anaringa gonga likes twende sawa👍👍
@namuyindhamiim7083
@namuyindhamiim7083 2 года назад
Congratulations ❤️❤️❤️❤️
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Umemfichia siri sema tu nandy binti mlokole katoa mimba😭😭
@maryalex4915
@maryalex4915 5 лет назад
mm simba hahaha kamakatoa mimna siomlokole
@aggyparty2990
@aggyparty2990 5 лет назад
Mary Alex sasa anaulokole gani pale kwa mambo yake si mavazi siyo nyimbo anazoimba na bado katoa mimba 😢 na kunakipindi wakati yupo na marehemu walisema mjamzito ila ghafla wakamuona hospital na mimba ikayeyuka kanandy ni kamama kwa marehemu 😂
@allimanyakia2795
@allimanyakia2795 5 лет назад
Bro unayumba haujibu vizur maswal yako unajikuta haupo kwa nandy kumbe unamkubali acha kuzingua
@jeniphalyimo5385
@jeniphalyimo5385 5 лет назад
Kama unawakubali gonga like
@dorismamf7404
@dorismamf7404 5 лет назад
Angekuwepo nandy pangenogaje
@arvinhabibu5238
@arvinhabibu5238 5 лет назад
Mh xi waweke waz2 waoane jmn
@marcellotto6985
@marcellotto6985 5 лет назад
Nenga kaguna pale alipo ulizwa ma swali ya yess or kuhusu kumuoa😀😀😁
@luciachacha8385
@luciachacha8385 5 лет назад
Wewe bilinas ulimtolea nandy mimba mungu anakuona
@michaeleustach8742
@michaeleustach8742 5 лет назад
Watu kma hawa n hatar cna wanapiga kimya kimya
@amoceissaya9034
@amoceissaya9034 5 лет назад
daaaa umenichekesha ulipomuwekea seat nand harafu man fongo akaja kusema muhuni unazingua 😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@sossyforreal814
@sossyforreal814 5 лет назад
Interview Nzima ni Uongo Na Umbea!
@petermark9831
@petermark9831 5 лет назад
Baharia mwenzetu umetuumiza sana
@user-lc8cd3cw2m
@user-lc8cd3cw2m Год назад
❤❤❤❤
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 5 лет назад
Hawa wanabust ngoma tu tushawajua wasanii nyie kwan hamjawajua tu, na alivyocoment kwenye picha ya nandy baada ya mama mzazi inaeleza wazi walikuwa wanafanya ngoma na ndo maana hata kwenye hii ngoma yao hayo maneno yapo baada ya mama mzazi siunafata ww, sasa hapo swali silinajijibu tayar
@vffvff6317
@vffvff6317 2 года назад
kumbe umekuwa domo zege 🤣🤣🤣👌
@norafrowin1748
@norafrowin1748 5 лет назад
Nenga mdomo wako unavyouweka Kama unatumia kubeli Sana au umekuwa affected na kutumia kubeli au ugolo vile
@joharindaro7235
@joharindaro7235 5 лет назад
mmh nenga ni kivuruge kwa lina umepita pia
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 5 лет назад
We nenga baharia mby sn
@romanticofficiallytv7785
@romanticofficiallytv7785 5 лет назад
kufana kawaida kuna jamaaa apa #₹ockcity sura hadi sauti na kama Bilnenga
@rehemasalim513
@rehemasalim513 5 лет назад
Madem wa Bongo washakusikia Bilnas jiandae kukatiwa na mashori sasa ama muulize Chibu akupe Technicals
@sophiamsuya4575
@sophiamsuya4575 5 лет назад
Rehema Salim
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 5 лет назад
Ya kizazi sana namkubali sana 💯 ✅ 🔥
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 3 года назад
Kati ya watangazaji nawwkubal lilommy na ammygirl pia mssnii namkubali nikiwepewa nafasi nimpe neno billnass amrudie Mandy bado nawakubali nawapenda sana
@festomapanga4720
@festomapanga4720 5 лет назад
Kama Unaamini #Bugana ndo hit song kwa sasa Gonga like hapa!!
@rashidmudy2800
@rashidmudy2800 5 лет назад
Og
@kalistimarley1924
@kalistimarley1924 5 лет назад
MVP half man half amazing 🔛🔛🔛
@naseemahmed4128
@naseemahmed4128 5 лет назад
mabaharia bhana 😂😂😔😂 kazingua sana #tambwe your the best bro lit 🔥
@revocatusmichael1137
@revocatusmichael1137 5 лет назад
Billnas umerekodiwa tena kwakani tutakuwekea tena ulichokuwa unaongea
@benjaelias2552
@benjaelias2552 5 лет назад
nc
@djfarmo5333
@djfarmo5333 5 лет назад
Hii interview imekuwa na uongo mwingi sana
@maryalex4915
@maryalex4915 5 лет назад
Farmo Fidel kabisa
@joycekasimbazi9817
@joycekasimbazi9817 4 года назад
Haswa!!!!
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 3 года назад
Una Google dawa na private hospitals zipo.. uongo or umbea?
@semykaaya1607
@semykaaya1607 5 лет назад
Nampenda ammygal
@pamanyango8917
@pamanyango8917 2 года назад
Hapo kwa ndoa bilnass alihitaji maelezo zaidi, hakuwa anatakakusema hapana, kachanganyikiwa
@maryalex4915
@maryalex4915 5 лет назад
unaaibu wapi we mschoyako yachini chini malayatu ww
@happywinn5077
@happywinn5077 5 лет назад
kiongoo iki kipuuz...
@reinhardmichael8317
@reinhardmichael8317 5 лет назад
Hujui kutongoza tena ndug yng
@alfanm.8221
@alfanm.8221 5 лет назад
Umesikia hapo hajui kutongoza lkini wakati wakula bata yupo kwenye jukwa na habanduki.
@joitvshowonline2554
@joitvshowonline2554 5 лет назад
Bill nass ni balaaa wanangu
@allyndossa4637
@allyndossa4637 2 года назад
Saan
@zakayomoshi1270
@zakayomoshi1270 5 лет назад
Billinas sio ajabu ulmpa nandy dawa ya kutoa mimba asee kwa nini usingempeleka hospital mpewe uxhauri kuliko w kugoogle na kutafuta dawa peke ako? Una Deni kubwa sana hapa kichaa wangu
@lilianlilian2793
@lilianlilian2793 5 лет назад
Jamani huyu hatamuoa Nancy n shetan kumbe alimtoaga Mandy mimba dahhhh
@joitvshowonline2554
@joitvshowonline2554 5 лет назад
Nengaa kivurugee
@allyking324
@allyking324 5 лет назад
Wataoana hao
@fredgomes8639
@fredgomes8639 4 года назад
Bill nass yuko na utu wakibinadamu anjali hisia za wengine sio kama wasanii wengi vile wanafanya kuchezea hisia za wanawake na wanaume kwa udanganyifu wa kimapenzi.
@cedricnitunga468
@cedricnitunga468 5 лет назад
Tambweeeee
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 5 лет назад
Nandy namis kicheko chako😂😂😂😂😂😂.....true or false
@bobramaphyno4610
@bobramaphyno4610 5 лет назад
Gonga like kwa Ammy gal
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 5 лет назад
#lilOmmy kizazi sana ila #nenga acha kujilambalamba midomo we ni mtoto wa kiume😎😎😎
@emanuellevina5194
@emanuellevina5194 5 лет назад
Daaah slow kinoma hahahaha
@rasvegas8991
@rasvegas8991 5 лет назад
Billnas hajuh kujieleza
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 лет назад
Kwelii kbs nandy yupo vzr kujieleza
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 5 лет назад
Bukoba ulikuwa nae tulikuona sana
@kassimally1803
@kassimally1803 5 лет назад
Oy nenga xaf baharia lazima ujifanye hujui kutongoza zen akijileta unalamba adi mwenyewe anakua haamini zen we unakuwa cool again
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 5 лет назад
we hukumpenda Nandy hadi umemtoa mimba nyooooo.
@janekikoti6131
@janekikoti6131 5 лет назад
Mh Billnasi Unatujaza siku ya Graduation yako Nandy hakuwepo Tanzania umepuyanga Mzee baba😂😁😂😀
@mikidadyyusufu8223
@mikidadyyusufu8223 5 лет назад
lily nakubal xn
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
Shida ya wasanii ndo hapo kwenye mahusiano hawadumu😏😠
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 5 лет назад
Zenna Kailo true
@respikiuscharlesi5202
@respikiuscharlesi5202 5 лет назад
777777
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
@H&P Life Journey InshaAllah
@annasamo7063
@annasamo7063 4 года назад
Ok
@aminajumanne4929
@aminajumanne4929 5 лет назад
hatwarii😂
@mtamwajr1893
@mtamwajr1893 5 лет назад
Ha ha wanaume wa KINO hawawezi kutongozaaaaa
@benjaelias2552
@benjaelias2552 5 лет назад
lil ommy
@pendonassary5016
@pendonassary5016 5 лет назад
Nan kamuelew bill kuwa hatak tena kuwa public
Далее
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 96 тыс.
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 2
15:59
Просмотров 140 тыс.
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 96 тыс.