Тёмный
No video :(

Binti aacha kazi ya ualimu na sasa anafyatua matofali 

BBC News Swahili
Подписаться 616 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Nancy Tarimo na Grace Meena kitaaluma ni walimu. .
Hata hivyo mabinti hawa raia wa Tanzania wamepiga kisogo taaluma hiyo na kugeukia ujasiriamali. .
Wanatengeneza matofali na vigae kwa kutumia mifuko ya plastiki na mchanga lengo ikiwa ni kuweka mazingira safi lakini pia kutengeneza kipato ijapokuwa bado uzalishaji wao ni wakusuasua kutokana na kutumia vifaa duni.
📹: Eagan Salla
#mazingira #wanawake #wanawaketunaweza #wanawakenamaendeleo #tanzania #matofali #matofaliyakuchoma #BBCSwahili

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 2 года назад
Jamani nimefurahi sana nilikutia moyo natamani kujua unaendeleaje
@anordlaurent8751
@anordlaurent8751 3 года назад
Yaan nahitaji somo kabsa apa
@magesasamwel4689
@magesasamwel4689 4 года назад
Kujiamin ndio sili yamafanikio
@uwellenitallent5001
@uwellenitallent5001 4 года назад
Mbona habari ni ndogo hatuja elewa chochote
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 05/09/2024
28:11
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 20 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 04/09/2024
28:10
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 02/09/2024
28:11
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 30/08/2024
28:11
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн