Тёмный
BBC News Swahili
BBC News Swahili
BBC News Swahili
Подписаться
Video za habari na matukio kutoka BBCSwahili.com
'Nalipenda jibu la hapana kuliko ndio'
41:52
14 дней назад
Kushuka kwa viwango vya uzazi duniani
1:51
14 дней назад
Msongamano wa shule za Zambia
3:03
21 день назад
Jangwa lageuka uwanja wa maua Chile
1:00
21 день назад
Комментарии
@kipetelo9897
@kipetelo9897 Час назад
Maandamano sikuizi kila kona yanaibuka...
@MohamedHIDO-s5l
@MohamedHIDO-s5l 4 часа назад
ASalamualekum warahamstullah taalla wabarakatu kutoka Kenya ninaomba tarifa sahihi Nashukuru tagazaji ya BBC swahili
@HasanooTozzy
@HasanooTozzy 10 часов назад
😂😂😂 TANZANIA
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 10 часов назад
Pole sana mama. Naomba umuambie atafute international organization aangalie ajifunze na pia kusoma fursa zote anazoweza kupata, achukulie hiyo kama ni fursa kutoka kwa Mungu wetu muumba wa kila kitu. Kuna ya faida hapo ya kujifunza kutoka kimataifa, pia asivunjike moyo anaweza kupata ,tu wa aina yake au aliyekubali hiyo hali na kuanza familia. Hongera sana mama Sofia.
@RonnieBertin
@RonnieBertin 14 часов назад
Huyo ni bubu au kiziwi kichwa cha habari mmeandika bubu kwa sababu bubu haongei
@sedekiabilijite5516
@sedekiabilijite5516 15 часов назад
Mungu akutunze dada Aneth ww na familia yako
@JacksonRonadi
@JacksonRonadi 21 час назад
Poleni sana
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 21 час назад
Sasa hana jinsia anakitu gani mwilini ufa au mti?
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 23 часа назад
Huu utundu ndio mzuri, hope elimu ya kaka hapo ni ya kawaida tu. Big up kwa technolojia
@KizitoChadunia
@KizitoChadunia 23 часа назад
Tchisekedi anawaza nini kuusu inchiyake congo mbona M23 inazidikujichukulia vijiji??
@HamisiRamadhani-z1t
@HamisiRamadhani-z1t День назад
Hongera Kwa huyo dada anae tafsiri Kwa kweli hiyo lugha ni ngumu mhm nampa mauwa yake aisee🎉🎉🎉
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele День назад
Shetan yupo kazin Kuna mipango ya kutaka ushoga ukubaliwe hiz ni ajenda za shetan
@EricsonNoah
@EricsonNoah День назад
Izo ni taarab tosha
@EricsonNoah
@EricsonNoah День назад
Kaswida ndugu yake taarab acha ubabaishaji
@Kuyasiwa
@Kuyasiwa День назад
Hongera broo
@JumaMickidadi
@JumaMickidadi День назад
big up leonardo
@user-tb3xq2cu3o
@user-tb3xq2cu3o День назад
Weprey😢
@CabdisalaanBurhaan-d6r
@CabdisalaanBurhaan-d6r 2 дня назад
War maxey sheegeysaa
@ValentineFrisch
@ValentineFrisch 2 дня назад
Wa Tanzania jamani wiliam ruto awasikilize kueposha maandamano au ndio ule usemi wanasema kusikia kwa kenge mpaka damu itoke puani
@muthomimunyua9062
@muthomimunyua9062 2 дня назад
🎉
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 дня назад
Mtangazaji ana maswali mazuri.. na Dada Mashaalah amejibuu Kwa ufasahaaa kweli anaijua kazi yake
@saraqali3466
@saraqali3466 2 дня назад
Kidonda chang cha upasuaj ndan na hisi bujebuje nifanye nn naomba msaad
@BONBRT-l4m
@BONBRT-l4m 2 дня назад
Kunguru wana hasara zaidi kuliko faida, ila ktk mfumo wa kimazingira haitakiwi tuwapoteze wote, kinachotakiwa ni kuwapunguza
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 дня назад
Wewe msoma habari unamsifu muuwaji ana Akili kweli? Wewe ulitakiwa kusema ana hofu sio Akili.
@smj8265
@smj8265 2 дня назад
Badala ya kupambana nawezi wanao jilimbikizia mali za Kodi ya wanao za wananchi tunataka ku pambana na nguvu kazi hivi Kuna nchi Ina watu wengi ikawa nyumba kiuchumi kuna ma bachelor wengi Wana kosa hata Hela yakula sema nyie hamja Toka huku mtaani kwetu
@bernadinlesulie476
@bernadinlesulie476 2 дня назад
Upeo wa kufikiri
@user-yp8so2rn6c
@user-yp8so2rn6c 2 дня назад
Bro achatu yani wamesahau wetupeleka shule lakini bado wanataka kutupeleka kama kizazi cha nyerere wale asilimia kubwa walikua wajinga Lakini sas wengi niwasomi tunajua nini kinaendelea sasa acha waendelee kufanya mzaha nasisi bado kidogo wataelewa siwanachukulia kawaida mauti ya waTanganyika na wazanzibari sababutu tunavujakwandani OK OK.
@khamis9187
@khamis9187 2 дня назад
Kagame, museven, wazungu na wachina ndio wanaitafuna DRC, pole sana raia wa kongo..
@khamis9187
@khamis9187 2 дня назад
Netanyahu ni mwendawazim pia, alisema vit vitachukua mda mfipi kuisha, Hamas ni wanaume, kila upande wamezingirwa laki israel inajiuliz silaha zinapita wap, na mbona hamas hawaishiw n silha!! .
@khamis9187
@khamis9187 2 дня назад
Tunataka wachambuz kama Rabi, anaonekana mwenye kujiamin ktk maelezo yake.
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 2 дня назад
Ndiiioo nitazipiga hesabu zangu vizuri Sana na zitafanikiwa sana vivaaa netanyauuu🎉🎉🎉 viva israel😊😊😊
@miriammagupa
@miriammagupa 2 дня назад
GRACE OF GOD, 🙇🙇🙌🙌🙏🙏
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 2 дня назад
😂😂😂😂😂 You are my ICON. You are so cool bro and very Bright & Brilliant. Be Blessed Always always. AMINA. 🙏🙏🙏
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz 2 дня назад
Muimu ni Iran waache vita na Iran haiwezi kushinda Israel
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 дня назад
Unaota ndoto ya mchana wewe watu wote wenye Akili wanachambua habari kama wanaelekea kuangukia put. Iran waache vita kwa sababu alieuliwa sio baba yako.
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz 2 дня назад
@@mwawekomiuda9779 dawa ya makosa ni kusamee sio kulipiza kisasi na wewe ujui kitu sisi ni waalimu wako. Nyamaza na uzee wako uelimishwe kisasi ni kasi ya mungu pekee wewe mwanadamu unaweza nini? Ila ni mdomo TU
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz День назад
@@mwawekomiuda9779 vita haviishi vimeruhusiwa na baba yangu mungu ambaye ndie baba yenu mmemkataa na kumdharau narudia haviishi kua makini na hilo
@masweto
@masweto 21 час назад
Warabu hata wajikusanye wote hao akina Irani nawaambia mapema hwana ubavu wa kupambana na Mzee netanyahu
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 2 дня назад
Huyu mtangazaji wa BBC maswali anaandikiwa au ni ya kwake? 😮
@hakambashe8421
@hakambashe8421 2 дня назад
Haokunguru sjui imekuaje wamewaondoa wale kunguru Wenye rangi nyeupe kifuani
@iddsimba3849
@iddsimba3849 2 дня назад
Jamani kunguru wamekosa nn dhambi kwa mwenyezi Mungu mnapata😢
@RehemaAmour
@RehemaAmour 2 дня назад
Israel 🇮🇱 ndio nchi ya mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja duniani na kiama chao kipo karibuni bora tu vipiganwe tu ivo vita tujue moja Netanyahu ni shetani na wenzie
@RehemaAmour
@RehemaAmour 2 дня назад
Lazima Israel iadabishwe kwa utovu wake wa nidham wanauwa watoto na wanawake kila cku gaza na kuchua ardhi za wapalestina na kuwauwa ata kabla ya October7 eti taifa la mungu mungu gan kaamrisha watu wa jinsia moja waowane isipokua shetani
@braggadachu1723
@braggadachu1723 2 дня назад
Interview Ina madini nyimbo. Za zamani zlikuwa na mfcho "mfano ya Jafarai '😂unapenda nini" nimeilewa nilipofika 17
@kwadumikomaenterprises1131
@kwadumikomaenterprises1131 2 дня назад
Namkubali sana ben pool mdogo wangu nakukubali sana na leo nimefurahi sana kukuona live na BBC
@samuelolesabaya59
@samuelolesabaya59 2 дня назад
Waah mungu asaidie hizi vita siishe maisha ya watu wanatexeka pamoja na watot
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz День назад
@@samuelolesabaya59 vita haviishi kua makini na hilo vimeruhusiwa na baba yangu Mimi ambaye ndie baba yenu mmemkataa na kumdharau narudia haviishi kua makini Tena
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 3 дня назад
mliyataka wenyewe tarehe7 acha mpate mnachostahili hapo kuna mungu juu ya israel mtambue huyu mungu ndio aliewatoa misiri amewavusha semu hatarishi nakuwapa nchi yao nyie hamuogopi?
@user-jv3ug6qu5i
@user-jv3ug6qu5i 3 дня назад
Naamini kwamba. Hakuna muda mrefu haki ya Palestine itafikia .kwani hata isa bin Mariam au yesu waliotaka kumuua ni hao hao. na mungu aliwalaani! Tuwaombee amani iwafikie tu.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 дня назад
Hapo umesahau kidgo mama, Mjomba angefufuka angekusema vbaya, Kuzaliana kwingi, Ndio Uchumi unavyoongezeka
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 дня назад
livivu hilo linaona vibaya hata watu wakizaliana kwahiyo atahamasisha uzazi wa mpango uzidi mali za wakinamama yaani livivu paka linakera hili mama kuzailiana ndio maendeleo na uchumi unaongezeka tatizo was wanajijali wao tu kujirundikia mali za nchi ndio maana wanalaumu watu kuzaana watu wanazaliana na kodi zinaongezeka na watumishi wanaongezeka kwanini wasiajili vijana wamejaa mitaani halafu linakuja kutulalamikia livivu hadi akili yake
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 3 дня назад
Rais tatizo sana sasa kuzaria kuna nauchumi wa nchi vinahusiana nini
@abdilahjuma2493
@abdilahjuma2493 3 дня назад
population inachangia kukua kwa uchumi au kudorora kwa uchumi ,
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 дня назад
Hii, social media tumechanganyika mno. Hujuwi uchumi na kuongezeka idadi vinahusiana je kweli? Binaadam anapozaliwa anahitaji huduma kwa zaidi ya miaka 10 bila yeye kuzalisha chochote.
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 3 дня назад
@@hajihassan5433 tafta walio kuzidi uelewa waulize wata kwambia nawatakupa mfano
@kijahmalugu3120
@kijahmalugu3120 3 дня назад
dogo yupo vizzurii kinoma aniii...
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 дня назад
Mtapigwa tu, nyie ndo mna uchungu sn? Ile tar 7 October je? Si moiwauwa pia?
@Muhunjikatemana-fj8dd
@Muhunjikatemana-fj8dd 3 дня назад
watu tunawaza kuuana tuuuuuu tumekuwa km wanyama
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 дня назад
Kula vichea vya wanaotoa matamko na fedha😂 Israel 🇮🇱🇮🇱💪💪
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 дня назад
Safi Israel
@Pherrora
@Pherrora 3 дня назад
Asante