Тёмный
No video :(

Biriani ya kiswahili ya Nyama 

Amina Kitchen
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Thanks for watching, please subscribe to our channel.
#AMINAKITCHEN
#COOKING
#AMINA

Опубликовано:

 

20 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@CarolineMbithi-tl5jl
@CarolineMbithi-tl5jl 21 день назад
Jamani hongera ni nzuri
@zakariasuleiman4113
@zakariasuleiman4113 2 года назад
Wapika kama mimi HHhH yani ubembelezi kabisa eti tia iliki Kisha tia chunvi no unaweka tu vyote kwa pamoja vitajipanga vyenyewe jikoni big up Sanaa madam naipend hio
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eeee jamn kama kande
@mwanashemwanashe
@mwanashemwanashe Год назад
Huku nikuharisha na hiyo rangi😮😮😮
@ramadhansabundu4698
@ramadhansabundu4698 2 года назад
Hizo rangi umetia nyingi sana kha hadi imepoteza uhalisia mhh😀😀
@mwanamkasishabani522
@mwanamkasishabani522 2 года назад
😂😅😂😅😜
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Kama tope vile😝😝😝😝
@mwanakombomwandekwa1259
@mwanakombomwandekwa1259 Год назад
Aka! Ni biriani yako hiyo daa ama unajita ya kiswahili. Kama uwezani na mapishi acha kujiaibisha tulia tu kama wengine. Aya hongera! 🙄
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@FaridaIddy
@FaridaIddy 4 месяца назад
Kwel marangi mengi hadi imekua mbaya😅
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 3 месяца назад
Kaweka meng Rangi asilia Ile nyeupe imemezwa
@massoudshaib2914
@massoudshaib2914 2 года назад
Hujui kupika. Mirangi mingi hadi imepoteza mvuto
@joyceabdallah465
@joyceabdallah465 4 месяца назад
Hatujaipenda mbayaaaaaaa mirangi kama ukiri
@aishamossile6336
@aishamossile6336 2 года назад
Rangi ni nyingi sana
@pendojohn3313
@pendojohn3313 2 года назад
Heheheh sio kwa hzo rang ulipania sana pishi had umeharibu kinaonekana hta sio kitamu
@user-mt2lw7ue5l
@user-mt2lw7ue5l 6 месяцев назад
Heeeeeee marangi ya ukili
@SulhiyaSalum-ju9ms
@SulhiyaSalum-ju9ms Год назад
Hiiii ayo marangi had I inatisha
@user-vn7wc1sw9r
@user-vn7wc1sw9r Год назад
Umechemsha duuu
@sylviadanford9138
@sylviadanford9138 Год назад
Rangi nyingiiii sanaaa mpka imepoteza uhalisia na njaa imakoma maana hata hamu ya kulila hamna mvuto ni F mwili mzima utakua na rangi mweee
@gloryleonard3576
@gloryleonard3576 5 месяцев назад
Rangi n nying jmn uwiii
@mariapeter3460
@mariapeter3460 2 года назад
Hujui kuelekeza tunashangaa tu unakaanga kaanga pia rangi nyingi jmani Kama batiki😀
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Umeona eee
@edinaegidius6357
@edinaegidius6357 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@jamilathan7308
@jamilathan7308 Год назад
Hadi limepoteza mvuto kwa rangi zilivyo
@juliethbusso1761
@juliethbusso1761 2 года назад
Kiswahili kweli maana cyo kwa mirangi hiyo
@luluamin1388
@luluamin1388 2 года назад
Umeharibu mapishi ya watu. Hii biriani sio ya kiswahili. Usituharibie chakula
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Umeona eee
@Mister.oxygen
@Mister.oxygen 4 месяца назад
Duuuuuuu😮
@justinageorge6587
@justinageorge6587 10 дней назад
😢😢😢
@JOSEPHINEANTIPAS-dy6pf
@JOSEPHINEANTIPAS-dy6pf Год назад
Inatisha mchele
@mayasashamsi3649
@mayasashamsi3649 2 года назад
😂😂😂😂😂hii kweli ya kiswahili
@JevinaChaula
@JevinaChaula 5 месяцев назад
Mmh tusiojuwa tukae pembeni
@mohammedothman8101
@mohammedothman8101 Год назад
Hujui kitu
@AsiaYassin-nt2vz
@AsiaYassin-nt2vz 2 месяца назад
Dada samahani eti biriani mi lazima utumie Michele ya basmati
@FatmahHussein-zb6vz
@FatmahHussein-zb6vz 6 месяцев назад
Mhhh rang nyng mnoo bhn biryan inabd rang nyrupe uonekane
@AsiaAbdalla-jx8rj
@AsiaAbdalla-jx8rj Год назад
Huu mechisho wa rangi dah!
@user-ie5xs4nm4m
@user-ie5xs4nm4m Год назад
Rangi nyingi sana dada 😂
@salmakiti1517
@salmakiti1517 4 месяца назад
Nzuri ila hizo rangi nyingi mno
@salmaomary6792
@salmaomary6792 8 месяцев назад
Rangiiiiiiiiiii
@shadyasoud5237
@shadyasoud5237 Год назад
Hapana kwakwel usitusingizie waswahili hil lbda wakenya waswahili hatupikag hiv birian gn hilo linamilangi yote hiyo 😂😂
@rizikihassan5051
@rizikihassan5051 7 месяцев назад
😂😂😂 Shindwe mm n mkenya kweli lakini huwa sipiki hivi hii kiswahili niya wabara
@bahatikwekwe7417
@bahatikwekwe7417 2 года назад
Tamu sana
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Kinafki
@Nanah-go4lj
@Nanah-go4lj Год назад
Rangi mama hadi imepoteza radha
@salhajohansen8982
@salhajohansen8982 2 года назад
Hujui kuelekeza😃😃
@FatmaAli-rt1hh
@FatmaAli-rt1hh 2 года назад
Mamaaaa iyo mi rangi mim sjui lkn mmmm au bas n ya kisw kwl🙄🙄
@gladysnathan5256
@gladysnathan5256 Год назад
Kwanza haijakauka pili ranging nyingi umeharibu😅😅😅😅😅
@nyotaenjo4021
@nyotaenjo4021 2 года назад
Izo rangi zina itwaje sisi tupo Canada atuzijuwi izo rangi Nitumie jina please
@SalamaTwalha-rc3ox
@SalamaTwalha-rc3ox Год назад
Mbona vitunguu cjaona vimeekewa wapi??
@rosenethgakii2365
@rosenethgakii2365 3 года назад
Hapo sawa
@latifasalum3672
@latifasalum3672 2 года назад
Rangi za aina gani
@bahatibarton9383
@bahatibarton9383 11 месяцев назад
Mchuzi huu wa kawaida na rangi uwiiii
@girlarafa5614
@girlarafa5614 11 месяцев назад
Mbona hatujaona ulivyoweka vitunguu?
@user-tf2wq3kj3u
@user-tf2wq3kj3u 4 месяца назад
Which country is this😅😅😅
@upendoernest7548
@upendoernest7548 2 года назад
umevurugwa ww sio bure ahahahahahhaah
@mamykhay7793
@mamykhay7793 Год назад
Acha tupakue tuone😜😜 birian ya ovyo na waswahili hawpiki hv
@hajyrose5930
@hajyrose5930 2 года назад
Rangi umeeka mingi dada
@zabubamudy126
@zabubamudy126 Год назад
mhhh
@aminarashid2052
@aminarashid2052 2 года назад
Rangi ni nyingi mno
@RahimaRahimaa-fi8nc
@RahimaRahimaa-fi8nc 7 месяцев назад
Hio birian ama ni rang za ukili he iyo ni yakizungu sio kiswahil
@haulakhamis2350
@haulakhamis2350 2 года назад
Pambeeeee
@zuhuramaulid1635
@zuhuramaulid1635 2 года назад
Sijui kupika ila umeharibu
@fatmarashid9098
@fatmarashid9098 2 года назад
Wali asumini
@ramlasuleiman5385
@ramlasuleiman5385 2 года назад
Rangi bb
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Год назад
Hii siwezinkula maana rangi tu zinakifu
@NairatAmour-pn9vs
@NairatAmour-pn9vs Год назад
Rangi zote za makeup zimoo😳
@muhammadsimba8078
@muhammadsimba8078 Год назад
Si kwa mirang hio rangi ya birian hua haiw kali inafanywa light tu na sio nying ikaenda wali wote
@nyazaramatege9648
@nyazaramatege9648 4 месяца назад
Mmmhhh
@salhalalika2208
@salhalalika2208 2 года назад
Sijaon ukipk mchel il nielew
@charitylulu8872
@charitylulu8872 2 года назад
Nimependaa na nimelipika kama wewe
@nixhermustafa345
@nixhermustafa345 2 года назад
mirangi iyo shga tumbno uko sikazi ipo bado kabisa
@rithariziki3512
@rithariziki3512 Год назад
Izo rangi zinaitwaje??
@mwanashemwanashe
@mwanashemwanashe Год назад
Huku nikuharishaaa nahiyo rangi😮😮😮😮
@lilmissbutterfly6445
@lilmissbutterfly6445 2 года назад
Too much colors, umechapia mirangi kibao
@lathifaa860
@lathifaa860 2 года назад
😏😏
@proudmum6283
@proudmum6283 2 года назад
Hio umeeka kwa wali ya kijani kibichi ni nini
@mwanaishaalfan3145
@mwanaishaalfan3145 Год назад
🤔🤔🤔😆😆😆😆😆
@malikimlisho2306
@malikimlisho2306 2 года назад
Me sijakuelewa iyo mala ndio nn
@kijahnikwelinyalinga1740
@kijahnikwelinyalinga1740 2 года назад
😏
@empresslulu9775
@empresslulu9775 2 года назад
Huo mchele unatisha sana
@sophiapashua7114
@sophiapashua7114 Год назад
Mchele unakaa kama garden bwana eeiish, ati biriani ya kiswahili waaap😂😂😂
Далее
Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili
12:20
Просмотров 1,5 млн
How To Make Swahili Biriani | Chef Ali Mandhry
11:40
Просмотров 1,9 млн
MBAPPÉ 🏁🐢
00:11
Просмотров 1,5 млн
I'll do it for you!
00:37
Просмотров 2,1 млн
Fake Horse Tries to Blend in with Pack of Horses
00:19
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Просмотров 4,8 млн
BIRYANI YA KUKU TAMU NA RAHISI KULIKO ZOTE YOUTUBE
9:54
PIKA CHIPSI VURUGA HIVI, #TANZANIAN YOUTUBER
5:53
Просмотров 7 тыс.
#TBCMEKONI - JIFUNZE JINSI YA KUPIKA BIRIANI
27:31
Просмотров 295 тыс.
Jinsi ya kupika supu ya ngo’mbe (Beef soup )
9:23
Просмотров 562 тыс.
MBAPPÉ 🏁🐢
00:11
Просмотров 1,5 млн