Pia unaeza kutumia nyama ila upishi wake tofauti,pika nyama yako kwanza....halafu ufanye kama ivo,usiogope kuiacha nyama yako jikoni baada ya kutia maji kama tulivofanya kwenye kuku ili aive sababu nyama ya biriani inafaa kuwa laini sana. Kwaiyo pika kwa amani
Mashaallah Mashaallah Mashaallah dearest..This is sooo good ntajaribu kupika hivi InShaaAllah..Allah (swt)akuzidishie kwa kila jambo la kheir,Aamin.Nakupenda kwa kutufunza
Jaman Dada wew mim nakupendaga bureee tuu uko vzr sanaaa haswa na hiyo sauti yako ndio balaa unajua kuelekeza hadi mtu anaelewa asee hongera Dada angu ckumoja nitajaribu ingawa cjawahi kupika biriani nalisikiaga tuu
Alhamdullilah🙏🙏Alhamdullilah Wooow😘😘😘😍😍😍jamani😘😘😘😍asante sana,sasa na mimi nakupenda pia,umeweka tabasamu kubwa sana kwenye uso wangu🙏🙏🙏Allah akuinue,akufanyie wepesi katika shughuli zako na familia yako🙏InshaAllah siku pika my,utaenjoy sana, InshaAllah🙏
Dada Mashaallah 👍😊🤗tunaomba basi viedo ya tips and tricks katika upishi wa michele ya basmati mfano ukitumika kupikia biryani,wali wa maji,wali wa kukaanga,pilau etc ,jazzakallahukhair
Yaani hili pishi nilikuwa nalitafuta kwasababu chakula Kama Hiki dada mmoja alikuwa akiwapikia maboss zangu wakati huo me nilikuwa office assistant hongera dada natamani nilike mara Mia 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaaani kuna video nilijieleza namna ninavyopenda biriani yaani umenimaliza hata ukieka sumu nakula tu mpenzi maana biriii ni best if the bestes🤣🤣asante love Mchele mmoja mmoja MashaaAllah
Mpenzi nashukuru kwa kunifundisha mambo mengi nimejua kupita wewe Nilikuwa naomba mie ninapo ishi amna umeme sasa natamani sana kupika sponji cake ila sina vifaa unaweza tufundisha kwa njia ya kienyeji🙈 Nashukuru sana sana ubarikiwa sana inshaallah
Nakushukuru sana nimeweza kupika birian yangu Jana Eid pili tumeinjoi sana na familia yangu,siku zote nilikuwa natamani sana kupata mafundisho rahisi ya upishi na wewe umekula jibu langu,naamini nitazidi kurudia upishi huu mpk niwe pro kabisa asantee Kwa kutupatia ujuzi wako Kwa moyo mweupe❤