Mahitaji ya kuoreka nyama:
Nyama pound 2 /907 gms
Vitunguu pound 2 /908 gms red
Kifungu cha kotmiri 1
1/4 kifungu cha majani ya nanaa
Vijiko 2 vikubwa thom ilosagwa
Kijiko 1 kikubwa tangawizi mbichi
ilosagwa
Vijiko 3 vikubwa nyanya nzito ya
kibati
Kijiko 1 kikubwa pilipili ya manga ya
unga
Kijiko 1 na 1/2 kkikubwa bizari ya
Biriani
Kijiko1 kikubwa chumvi
Kikombe 1 yogurt/mtindi
Zaafarani -
Vijo 2 vikubwa mafuta ( ulokaangia
vitunguu
Mahitaji ya wali
Pound 2 / 907 gms mchele wa
Basmati
Viungo vya bizari nzimaikwa kiasi
Kijiti cha mdalasino 1, Karafuu 3 , hiliki
za kijani 5 green, majani ya bayleaf 2
Hiliki nyeusi kubwa 1
Chumvi kijiko 1
Maji ya mawardi vijiko 2
Zaafarani
Pound 1 /450 gms mbatata kama
utapenda
Majani ya kotmiri
Bizari za biriani • Bizari za biriani - ki...
Samli • Clarified Butter/ Ghee...
Kachumbari • Kachumbari - Kiswahili
8 сен 2024