Тёмный
No video :(

BISHOP GAMANYWA AZUNGUMZA KUHUSU KIFO CHA TB JOSHUA 

Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
TEMBELEA Website yetu www.wapomission...
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia / bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
/ shalomtvtanzania

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@georgemongi3890
@georgemongi3890 3 года назад
Mungu akubariki baba askofu kwa maneno ya hekima na faraja, Mungu akubariki kwa kutambua mchango wa Mtumishi mwenzako katika Bwana , na huu uwe mfano wa kuigwa na wale wanao chafua majina ya watumishi wengine, umeonyesha sifa za Mtumishi wa kweli. Mungu akubariki baba🙏
@floridamsuha3437
@floridamsuha3437 3 года назад
Mungu akubariki sana Bishop; Kumbe bado Tanzania kuna watumishi wa Mungu wa kweli ww ni mkweli, nasikitika sana kuondokewa na babangu prophet Tb Joshua.Nambie branch yako mbeya iko wapi
@christinaamulike7037
@christinaamulike7037 3 года назад
Amina baba hakika Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe RIP in peace man of God TB JOSHUA
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 года назад
Mimi ni mfuasi wa Kristo nasio mfuasi wa nabii awaye yeyote yule ila wapo manabii wanaoni-Inspire kwa kazi zao njema wanazozifanya hapa duniani.
@rwizgelgeorge144
@rwizgelgeorge144 3 года назад
Wewe pia ni mtumishi wa mungu ......mungu akubariki kazi eindelee r.I.p kwa senior prophet tb joshua
@nessa4899
@nessa4899 3 года назад
Umelezea vizuri sana Mungu akubariki.
@lasttrumpetmission1262
@lasttrumpetmission1262 3 года назад
Umeongea kitumishi kwa hekima yote, barikiwa mtumishi
@japhethbalinda2929
@japhethbalinda2929 3 года назад
Askofu huwa nakupenda sana na huwa unanibariki mno you are a real servant of God and a gifted teacher of the word of God operating under super natural power of the holy ghost . natamani sana nipate contact zako ninayo mengi ya kuzungumza na wewe bishop
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 года назад
Ameen..asante mtumishi wa Mungu, , mtumishi wa Mungu ameondoka kwa mapenzi ya Mungu bila kujali umri..ile kazi aliyopangiwa ameimaliza.. Jina la Bwana lihimidiwe.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 года назад
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Ni kweri amemaliza kazi yake. Japo ninalia, ninalia kwa furaha. R I P PROPHET T.B JOSHUA
@elialameck2022
@elialameck2022 3 года назад
Wewe mtumishi wa mungu una hekima na hakika unamjua mungu.
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 3 года назад
ASKOFU GAMANYWA Umeongea kwa Upendo sana.🙏🙏🙏
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 3 года назад
Asante Yesu kwa Maisha ya TB Joshua. Vita umevipiga Imani umeilinda na mwendo umeumaliza salama Lala salama Baba TB Joshua. Tutakukumbuka daima.🙏🙏
@joycephillip8926
@joycephillip8926 3 года назад
Asante Askofu,kwa maneno ya faraja,Nabii Tb Joshua amelala kazi ameimaliza kwa kishindo ktk maisha yake aliyoyaishi hapa Duniani jiña la Bwana libarikiwe
@felixmhando1733
@felixmhando1733 3 года назад
"eh M/Mungu wajalie watu wako uliowaita kwa Jina lako mwisho mwema wa maisha yao hapa duniani, Amen". Rest in eternal peace Gods' general. #RIP Tb Joshua
@rahelgika3870
@rahelgika3870 3 года назад
Ahsante mtumishi wa MUNGU umejibu vyema, natamani mkamhoji na asikofu kakobe.
@hebrew1214
@hebrew1214 3 года назад
Asante baba kwa ujumbe mzuri na mzito.Ni mahubiri tosha kabisa
@theresiakamote883
@theresiakamote883 3 года назад
Umeongea vizuri sana Mungu akubariki sana!!
@gloryjutta7888
@gloryjutta7888 3 года назад
Umeongea kweli tupu nimekupenda Askofu barikiwa kwa kweli yako
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 года назад
God bless you brother in Christ for speaking the truth
@lamerckjesus5404
@lamerckjesus5404 3 года назад
*_Hvyo ndivyo ilivyo dhahiri shahiri Tb Joshua alikuwa mtumishi wa Mungu hakuiga Cha mtu alimsikiliza Mungu na kumtafuta kwa gharama_*
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 года назад
Ameen
@anitaluoga90
@anitaluoga90 3 года назад
Mungu aipokee roho ya marehemu Pema peponi .Amen
@dianamwalongo9732
@dianamwalongo9732 3 года назад
Ubalikiwe Sana baba kwa maneno yako mazuri na ya busara.
@hadasaisraeli2971
@hadasaisraeli2971 3 года назад
Nambariki Mungu kwa maneno yako ya faraja Askofu. Asante Sana baba
@clairenghumbi8462
@clairenghumbi8462 3 года назад
Barikiwa baba Askofu
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 года назад
Ww kweli mtumishi wa mungu.nimekuelewa
@florencemushi6561
@florencemushi6561 3 года назад
Mmmh Bishop i knew you are one of the most liberal and reasonably flexible man of God in our country ever sensitive to the word of God, and craves to comply with the Word. Mathew 5: 44 & 46. Bravo man of God and Remain Blessed
@priscamayende808
@priscamayende808 3 года назад
Thank you very much Bishop God bless you
@hellenntabari8539
@hellenntabari8539 3 года назад
God bless you for your faithfulness
@fahamunimgalawe1883
@fahamunimgalawe1883 3 года назад
Well said pastor......
@everlinelucas2955
@everlinelucas2955 3 года назад
Amen mtumsh
@pastorphil4124
@pastorphil4124 3 года назад
Blessed you Bishop
@paulomathias8179
@paulomathias8179 3 года назад
R. I. P Man of God.
@yusuphfesto1931
@yusuphfesto1931 3 года назад
Amina sana pastor wetu
@julieeliah5511
@julieeliah5511 3 года назад
Well said papa🙏🙏 the heavens has gain🙌🙌 we celebrate your life T. B Joshua 🙏🙏🙏
@masalagulangwa3702
@masalagulangwa3702 3 года назад
Ubarikiwe mtumishi kwa maneno mazuri
@winifridamnunga2275
@winifridamnunga2275 3 года назад
Amen,
@raymondndeanka2608
@raymondndeanka2608 3 года назад
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WA MUNGU GAMANYWA, UNA HEKIMA SANA
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 года назад
Gamanywa thank you, you have spoken well HE WAS USED BY GOD HIMSELF WHOM HE CALLED HIM IN HIS WRIGHT TIME, HE HAS FINISHED HIS JOB HERE. REST IN PEACE PROPHET TB JOSHUA PAPA WE MISS YOU ALREADY. TANZANIA
@boscomwangosi9272
@boscomwangosi9272 3 года назад
Wewe ni mtumishi wa MUNGU wa kweli.
@issamsomba7219
@issamsomba7219 3 года назад
Marko 5 :1-20 yesu aka mwuliza we nani ? Pepo akajibu mimi jeshi maana tu wengi in English we are regions we are united shetani ana umoja lakini wakristo hatuna umoja,mchungaji naomba umuonye kakobe na genge lake astop kuwa sema vibaya manabii na mitume ,mungu akubariki sana na akuongezee miaka ya kuishi ,
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 3 года назад
Be blessed .
@rosesylvester6322
@rosesylvester6322 3 года назад
Watumishi wa Mungu huwa wana manemo ya busara sana kama huyu baba Gamanywa. Mungu azdi kukupa he
@marymwikali1456
@marymwikali1456 3 года назад
Very true 🙏
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 года назад
Hakika tumeumia sana esp mie binafsi nimepoteza mtu mhm sana
@yusuphjonathanmwanzonje9902
@yusuphjonathanmwanzonje9902 3 года назад
Amina baba
@fausteratanaazy575
@fausteratanaazy575 3 года назад
Aameeen
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 года назад
Kifo kifo kifo kila mtu anakiogopa. Uniqueness
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 3 года назад
NI kweli jina la bwana lipewe sifa na utukufu
@richarddavidmk
@richarddavidmk 3 года назад
OK!
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 5 месяцев назад
Kwa ukosefu wamaarifa watu mtaangamiya
@jacksonedimond4160
@jacksonedimond4160 3 года назад
Jamani samahani huku Morogoro wapo redio hatuwapati
@happyholm1761
@happyholm1761 3 года назад
Ndo mjifunze, mwenzenu kaifanya kazi ya bwana kwa uaminifu, acheni kupiga hela tu, Bali uaminifu ndo uwe msingi..
@paskalmagiri4466
@paskalmagiri4466 3 года назад
Filemon 1;9 Paulo mzee
@evelinemlay5572
@evelinemlay5572 Год назад
Askofu alimaanisha kuwa miaka 62 ni umri mdogo kuondoka duniani, ukizingatia umri wa Biblia ni maka 70, 80 hadi 120.
@rachelrudzani1186
@rachelrudzani1186 3 года назад
Language pls
@furahasanga2534
@furahasanga2534 3 года назад
ALIKUA ANAJUA KUTUMIA MEDIA VIZURI, NIMEKWELIWA BABAANGU UNGEONGEA KINYUME NISINGEKWELEWA, UHAI KWA KILA BINADAMU UKO MIKONONI MWAKE, MWAMPOSA MKUU KAONDOKA JKKK JUKWA LA KUMHUBIRI KRISTO MMEFURAHI ACHENI UNAFIKI MMEFURAHI.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
Wamefurahi,kivipi?
@paskalmagiri4466
@paskalmagiri4466 3 года назад
Nadhani Paulo alikufa akiwa mzee sidhani kama 62 ni mzee soma Tito utaona Paul the aged
@evelinemlay5572
@evelinemlay5572 Год назад
Naona atakuwa sahihi kwani ukiangalia vitu alivyovifanya Mtume Paul hadi kufa kwake alionekana bado kuwa na nguvu, angekuwa na zaidi ya 60 angekuwa amechoka sana. Yohana Mbatizaji alikufa na miaka thelathini, kumbuka walipishana umri na Bwana Yesu miezi sita tu na wakati anafungwa ndiyo Bwana Yesu alikuwa ameanza huduma akiwa na miaka 30. Vivyo akina Stefano na wenigine walikufa wakiwa bado vijana kwa kuwa walionekana kumaliza kazi waliyoitiwa.
@TheGame-nz7um
@TheGame-nz7um 3 года назад
Cjui kwnn hakwenda mzee wa upako Anthony lusekelo.
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
Anakusubiri wewe utangulie
@ednaexaudi6361
@ednaexaudi6361 3 года назад
The Game? Are you Serious?
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 3 года назад
🙄🙄🙄
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 года назад
Nakwanini we we usitangulie??
@daudgabriel1509
@daudgabriel1509 3 года назад
Sasa baba kwamanyo na wewe unakosea kumwita nabii tb joshua. Kwasababu BWANA WETU YESU KRISTO yeye anaondoka lakini watakuja manabii wa uongo na kudanganya watu, na kufanya miugiza mingi,
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 года назад
Nenda chuo ukasome biblia ili uielewe. Kuna huduma tano kwenye biblia 1.uchungaji 2uinjilisti 3ualimu 4.utume 5. Unabii
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 3 года назад
MUNGU AKUBARIKI Askofu.
@RiriwaNgai
@RiriwaNgai 3 года назад
@@ngwanafabian9668 Wacha nimsadie maana Ake anaoneka mjinga sana ,asome WAEFESO 4;11,,ILI AWACHE MABISHO NA MATAMSHIO ISIO NA MAANA ..
@noelamaswe6619
@noelamaswe6619 3 года назад
Jitaidi kupata mafundisho maana Mungu ametupa taarifa utaelewa zaidi
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 года назад
Ameen Baba umeongea vema.
Далее
ASKOFU GAMANYWA - JE, KUNYWA POMBE SAWA?
20:58
Просмотров 3,1 тыс.
BROTHER K: WE NI MAMA SIO GIANT, GUSA MWILI HUU
4:41
Просмотров 134 тыс.
MAKONDA Akimuomba Msamaha MBOWE, Askofu AWAPATANISHA!
4:03
SAFARI YA ISRAEL SIKU YA 7 - 8  "2010" - GeorDavie TV
40:14