Тёмный

VIDEO: ABIRIA 1000 TRENI KWA USAFRI WA TRENI WAKWAMA MORO "NJAA INAUMA HATUJUI HATMA YETU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 1,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@charlesngalya4525
@charlesngalya4525 8 месяцев назад
Igandu, msagali na gulwe fanyeni utaratibu wa kusafirisha abiria kwa mabasi kwa treni haito wezekana mvua nzina nyesha maji ni mengi sana yamehalibu miundombinu ya reli
@charlesshija7371
@charlesshija7371 8 месяцев назад
Kila siku anasema huu usafir kama hauna haraka usipande
@aud548
@aud548 8 месяцев назад
Ndugu yetu Kadogosa anataka tumwamini na kitu kikubwa kama SGR na wakati haya ya mkoloni yanamshinda ...ikiwapendeza endeleeni nae ila msitegemee maajabu uko mbeleni...hawa watu hawana jinsi ...wanatumia huu usafiri basi tu iweje
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 8 месяцев назад
Ifike Mahali tukubali kwamba usafir wa MGR umetushindwa na tuachane nao kabisa tusizidi poteza muda
@user-kv4zd2mz7y
@user-kv4zd2mz7y 8 месяцев назад
Au ni hujuma ili watu waepukane na Reli?
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 8 месяцев назад
Ndiyo alisema magufuri mbona😢😢😢
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 8 месяцев назад
Mnataka mfe mmeambiwa leli imesombwa na maji sasa mnataka nini
Далее
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Новый уровень твоей сосиски
00:33