Тёмный

BISHOP NGONYANI ATOAA ELIMU JUU YA SABATO NA KUJADILI ANAYOYASEMA MCH. NDACHA JUU YA AMRI ZA MUNGU 

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Подписаться 224 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

SIKU YA SABATO IMEKUWA NA MJADALA MREFU NA HAPA TULIPATA WASAA KUJADILIANA NA BISHOP NGONYANI KUHUSU SABATO NA KWA BAHATI ALIWEZA KUTUFUNGULIA MAMBO MUHIMU YANAYOIBUA HAMASA YA KUJIFUNZA ZAIDI

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 433   
@KisotuKareesi
@KisotuKareesi 14 часов назад
Congratulation Bishop NGONYANI kwa fundisho nsuri sana
@maximilianswitbert2826
@maximilianswitbert2826 2 месяца назад
Yohana 5:15-18Yesu anaponya mtu siku ya sabato ila Wayahudi wanataka kumuua lakini Yesu anajibu"Baba yangu anatenda kazi hata sasa(yaani ktk sabato) kwahyo wote wanaomwamini Yesu Kristo hawashiki siku wala amri kumi bali katika upendo iliyo amri mpya na kuu n sheria ya kifalme kwa watoto wa ufalme Mungu wa mbinguni.Yakobo 2:8.Yahweh Elohim awabariki sana
@jjtm164
@jjtm164 2 месяца назад
Kweli
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 2 месяца назад
@@maximilianswitbert2826 kutenda kazi ya kuokoa nafsi siku ya sabato mm naona sio makosa
@Moses-t7t
@Moses-t7t 2 месяца назад
1 Yohana 5:3 [3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito. For this is the love of God, that we keep his commandments: and his commandments are not grievous.
@mussaamani4468
@mussaamani4468 2 месяца назад
Ukinipenda utazishika amri zangu... Hili nimojawapo ya fundisho alilolifindisha Yesu...acha kupotosha watu... Kwa kutumia uongo ukichanganya na ukweli kidogo....hata shetani alotumia tu neno "eti". Kua na hofu na Mungu 😊
@PascasMathew
@PascasMathew 2 месяца назад
Asante sama leo umeliweka sawa , mwenye kuelew atakuwa ameelewa
@JoshuaMutesa
@JoshuaMutesa Месяц назад
Bishop hakosei wanaokosea walio shika amli moja tu wakati zko 10 Kama kweli watu washike amri zote 10 watu wanatenda zambi mno halafu wanajificha kwenye sabato mungu anataka roho Safi ukiwa na roho safii hutotenda zambi na mungu atakupenda hatokuuliza kuhusu sabato
@MikaMika-ve1ip
@MikaMika-ve1ip Месяц назад
Sabato ni ya Mungu siyo ya wayahudi wayahadi walipewa tu. Usimwingilie Mungu au Yesu.
@MashakaSimon-e6h
@MashakaSimon-e6h 2 месяца назад
Yohana 14:15 mkinipenda mtazishika amri zangu sasa kama hakuna amri Yesu anasema tukimpenda tutazishika amri zipi km hakuna amri
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 2 месяца назад
Wanaompongeza wengi Awasomi Bblia wanasomewa tu:
@Emmatz26
@Emmatz26 14 дней назад
kwer
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 2 месяца назад
Duh Bishop ubarikiwe sana kwa ufafanuzi uliotoa. Mtu wa kawaida tu ambaye hajafika hata darasa la saba amekuelewa ambao hawajakuelewa ni wale wenye hofu ya mnyama wamekula sumu ya fundisho la mnyama kiasi cha kushindwa kuelewa maandiko mengine. . Tuombeane mungu azidi kutufungua.
@StellahGirgis
@StellahGirgis 2 месяца назад
Hakuna kitu hapo hajui chochote huyo
@Last403
@Last403 2 месяца назад
Hujui lolote huyu anapotosha watu ameegemea kwenye dhehebu la sabato kuliko maandiko,
@Last403
@Last403 2 месяца назад
Muulize akwambie andiko lipi linalosema siku ya sabato ni jumamos uone kama hajaanza kuleta adithi kuliko kukuonesha hilo andiko, halipo hilo andiko yeye katoa wapi
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 месяца назад
Unamsingizia Yesu kuvunja Amir ya Mungu. Umekufuru kuliko!!
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 Месяц назад
Pole sana ngonyani kwa uelewa wako huo naamini ipo siku utadaiwa kupotosha biblia sabato itakuwepo hata baada ya watu wa Mungu kukombolewa ktk inchi mpya soma isaya66:22_23
@PeterMulwa-s1q
@PeterMulwa-s1q Месяц назад
Yesu alisema yeye ndiye Bwana wa sabato
@enockosoro336
@enockosoro336 2 дня назад
Natafautiana na maereso yako YESU diye mwasirisi wa jumabili .
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Месяц назад
Mwanadamu mwenye akili ndogo hawezi kuzijua siri za Mungu,mpaka Roho wa kristo amfunulie, ndiomana walimu wengi wa neno la Mungu watapata hukumu kubwa mno kwasababu walitafrisi neno la Mungu kwa akili zao ndogo sio Roho mtakatifu,Neno la Mungu ni siri za Mungu, ni Roho wa kristo ndie anaweza kukufunulia siri za Mungu ,katika neno lake,msikulupuke kuwa walimu wengi wa Neno la Mungu,kama huna nguvu za Mungu,niatari mno kwa walimu wa uongo ,mwisho wao,waliopewa thamana ya kufundisha neno la Mungu ,niwale tu waliokolewa na Yesu kristo na wakapokea nguvu za Roho mtakatifu, Hambae hajaokolewa na Yesu kristo,alifu anafundisha neno la Mungu huyo ni Muongo,anapotosha watu,maana wao wanatafrili Ukristo kama Dini , Ukristo sio Dini bali niuweza unaomfanya mwamini aishi Hapa Duniani kama Mungu,ukristo unamfanya mwamini kuwa mtawala kuwa mmiliki katika ulimwengu wa roho ,hata katika mwili, mkristo halisi kapewa nguvu ya kutisha na kutawala ,falume zilizokinyume na utawala wa Mungu katika ulimwengu wa roho,
@DavidMatata
@DavidMatata 2 месяца назад
Nimekuelewa vizuri sana mtumishi wa Lord Jesus Christ.. Blessed.
@kakamulwa5980
@kakamulwa5980 2 месяца назад
Mubiri WA uwogo wewe
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
Kama umemuelewa huyo basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
@DavidMatata
@DavidMatata 2 месяца назад
@@msemakweli243 Thanks!God bless you!
@tacysage8967
@tacysage8967 2 месяца назад
Huyo anaeleweka kwa watu wasio na mahalifa ya kumjua Mungu
@EzekielZacharia-yl4eg
@EzekielZacharia-yl4eg 20 дней назад
Digrii 3 na Biblia ni vitu viwili tofauti hii inatia huruma sana MUNGU amsaidie sana huyu baba.
@elishasilas723
@elishasilas723 2 месяца назад
We bi shop kumbe we ni kiongozi wa vipofu utakuja juta siku ya hasira yake Mungu Ukweli unaeleza wazi halafu baadae unazipinga umejitam ulisha kwa elimu nyingiii za kidini kumbe we ni wakala wa shetani
@Emmatz26
@Emmatz26 14 дней назад
nime cheka kwer et we bi shop😆😆😆😆
@MarthaTosh
@MarthaTosh Месяц назад
Bishop,unandanganya plz rudi kwenye madiko
@OscarSifuna-x8k
@OscarSifuna-x8k Месяц назад
Siku ya sabato ni ya mungu, na haifai kubadilishwa, yesu kristo hakuibadilisha bali alihubiri acha uongo ata shetani ameamsha wasomi wake wanao hubiri uongo kuhusu biblia, usijichanganye
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 2 месяца назад
Asante sana
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 2 месяца назад
Mungu habadiliki akiswma amesema je unaandiko lolote kuhusu kuabudu j pili plz lete andikoo
@amedesamki425
@amedesamki425 2 месяца назад
Bishop ngonyani anapotosha watu Yesu alishuhudia kwamba hakuja kubadilisha amri za Mungu bali kutimiliza na wakatoliki ndiyo walipiga maarufu sabato kwenye a.d. 364 halafu Yesu alikufa Jumatano saa 9 siyo Ijumaa na kufufuka jumamosi saa 9 na sabato siyo ya wayahudi ni ya Mungu mwenyewe
@msemakweli243
@msemakweli243 2 месяца назад
@@amedesamki425 hapo hakuna mchungaji wa Bishop ni mnafiki tu
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 месяца назад
Acha bangi wewe
@adamsonkyando-l4i
@adamsonkyando-l4i 2 месяца назад
​@@msemakweli243 Unahitaji msaada wa kiroho Huyo mtumishi ni mlokole anacho kijibu ndo sahihi Kunavitu vingine Kama hujaokoka Huwezi kujuwa ,mfano Nikuulize hili swali wewe!! soma andiko hili na unipe jibu unalielewaje hili hili andiko Matendo 8:14-16 Matendo 19:1-6 Kwanza muulize baba yako wa kiroho halafu waulize Walokole uone majibu yake !!! Baba yako wa kiroho hawezi kukupa jibu fasaha ni Walokole TU watakupa jibu sahihi
@chachatimasinyakega2201
@chachatimasinyakega2201 2 месяца назад
Pia katika Ufunuo 14:12 tunaambiwa kwamba "hapo ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na iman ya Yesu." Je, ni amri zipi zinazorejewa hapa? Je, imani ya Yesu ni ipi?
@jjtm164
@jjtm164 2 месяца назад
Amri mbili za yesu
@cosmassisa5256
@cosmassisa5256 Месяц назад
Soma Waebrania 4:1-13 mtaelewa vizuri
@Moses-t7t
@Moses-t7t 2 месяца назад
1 Yohana 5:3 [3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
@frankmock4928
@frankmock4928 2 месяца назад
Na mwazilishiwa sabato ni mungu sio elen g
@Shindikahelmani
@Shindikahelmani 2 месяца назад
Umejitahidi sana ngonyani kumkana YESU na haki yake ya kulipia dai la dhambi
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 27 дней назад
Yesu alihubiri amri ,yohana 14:15
@DenisEliya_4
@DenisEliya_4 2 месяца назад
Huyu bishop CV nyingi maarifa zero ,YESU mwenyewe anasema Yohana 14:15 ,mkinipenda mtazishika amri zangu,pia YESU alifundisha kuhusu amri soma Mathayo 19:16-17.Anajikinga katika kivuli Cha neema ,pasipo kujua neema yenyewe inatukataza kataa ubaya ,ubaya unatokana na nini kama sio amri😀😀.Huyu anawelewa mdogo katika maandiko.Pia Mathayo 20:24 Yesu mwenyewe anasema "Ombeni kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au SIKU YA SABATO."Hiyo hapo sabato sasa YESU ameitaja.
@AbbahCostaabbahCostaabbah
@AbbahCostaabbahCostaabbah 2 месяца назад
Huyu jamaa anapotosha
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Месяц назад
Kama unajiamini nenda kafanye nae hoja, au mdaharo kama ajakunyoa sharubu
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 27 дней назад
Wewe ,Abraham's Ali ashika amri, mwanzo26:5
@PhilipoAwe
@PhilipoAwe Месяц назад
Amri kumi hazikuwepo embu kasome mwanzo 26:5 Ibrahim alifanyeje
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 2 месяца назад
Kwahiyo amri aliandikiwa nan na sheria za Mungu aliletewa nan duuuuuuh
@MarySijaona
@MarySijaona 29 дней назад
Fanyeni matendo mema tu sio kubihana kushiki na faida kwa Mungu siku zote ni sahihi
@jjtm164
@jjtm164 2 месяца назад
Bishop anaongea kweli
@gilbertmahembasise1011
@gilbertmahembasise1011 2 месяца назад
Bi shop usipotoshe watu wa Mungu,,juma pili haikuwahi kuwa siku ya ibadani kwa wakristo isipokuwa ilikuwa Ni siku ya mungu jua
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Месяц назад
Kwenye Amri hapo ndg, sijakuelewa! Unaulizwa maswali ya msingi lkn unarukaruka na kujihami sana!
@samuelmweipongwe140
@samuelmweipongwe140 Месяц назад
Pendo ndio utimilifu wa sheria, Anajinadi amesomea sijui nini na nini huko ila ameshinda kujua utimilifu wa sheria unakamilika katika Pendo au je hakusoma kitabu cha warumi 13:9? Warumi 13:9 [9]Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Ikiwa kama amri hizo zimeingia katika kumpenda jirani je zile nne hazipo katika kumpenda Mungu? Mafundishe watu Neno la Mungu kwa matakwa yenu ili muonekane mna uhodari wa neno hilo, mtachomwa moto kwa kupotosha maandiko, na tena niwaambie mtaingia sana ka ajili ya mliowapotosha. Badilikeni acheni mihemko ya kiitikadi
@moseskatega8441
@moseskatega8441 Месяц назад
Sisi sio Wayahudi
@DanielmeshackiShabani
@DanielmeshackiShabani Месяц назад
Kweli mchungaji nikimeo
@olweyokennedy266
@olweyokennedy266 2 месяца назад
Revelation 14:14; here is the patience of saints; here are those who keep the commandments of God and the faith of Jesus
@AdiemoFrenardB
@AdiemoFrenardB 2 месяца назад
hapo ni wakati wa dhiki kuu ndugu soma sura yote uielewe.
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 2 месяца назад
Ukisoma sana unapotea
@paulobondi3081
@paulobondi3081 2 месяца назад
Sabato siyetu ni ya mungu
@MarthaTosh
@MarthaTosh Месяц назад
Wale wananipenda wanasishika amri zangu John 14:15
@paulmutuajustus5277
@paulmutuajustus5277 27 дней назад
Yesu ni mtakatifu ,harafu unasema apunja amri. Ndio maana ,Isaya 56 10 Walinzi
@yohanaMarco-e4j
@yohanaMarco-e4j Месяц назад
Ulianza vizuri kweli mkuu huku mwisho ndo umeongea pumba kabisa someni aise hawatu msipo soma hamtatoboa
@MarthaTosh
@MarthaTosh Месяц назад
Yesu alisingatia sabato soma luke
@bravesilubonde4350
@bravesilubonde4350 2 месяца назад
YESU alihubiri amri ndugu
@renatusrevocatus3895
@renatusrevocatus3895 2 месяца назад
@@bravesilubonde4350 kitabu gani hicho
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 2 месяца назад
Kweli unapotosha soma ufunuo hapo ndipo penye subira ya watakatifu ya hao wazishikao amri za mungu na ushuhuda
@JacksonSimbwye
@JacksonSimbwye 2 месяца назад
Mkate utatupeleka wengi jehanam,unasema ukweli halafu unaukana,yakobo2:10
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 Месяц назад
The Sabbath is still binding 🇮🇱 today... Jewish are still keeping sabbath even today.....
@maximilianswitbert2826
@maximilianswitbert2826 2 месяца назад
Wagalatia 4:9-10"Basi sasa mkiisha kumjua Mungu,kwa nn kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo mnyonge yenye upungufu(Torati)ambayo mnataka kuyatumikia tena?Mnashika siku, na miezi na nyakati na miaka?pia Wagalatia 3:9-14
@chachatimasinyakega2201
@chachatimasinyakega2201 2 месяца назад
Je, Yesu anaposem mkinipenda mtazishika amri zangu katika Yohana 14:15 anamaanisha amri gani?
@user-ee8dr9iw4k
@user-ee8dr9iw4k 2 месяца назад
Ukimpenda inamanisha unawesa sika amri laki umpendi yesu wala mungu, nisawa na mtu anaogopa kuiba ju akisikwa atastakiwa ama anawesa uliwa, amri kubwa ni upendo
@MarySijaona
@MarySijaona 29 дней назад
Mungu anataka Nini kwako hicho ndio ukifanye
@elishasilas723
@elishasilas723 2 месяца назад
Na Yesu unamsingizia hakuvunja Sabato Wala hakufanya kazi yoyote zaidi ya uponyaji siku ya Sabato na ndo maana anawaswalika ni heli kutenda mema siku ya Sabato kuponya roho au kuiangamiza Roho
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 2 месяца назад
Bishop ubarikiwe Kwa elimu ,biblia inasema wana maskio hawasikii ,wana macho hawaoni pia wtu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 месяца назад
Yupo sahihi, Wasabato siyo Wakristo.
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 2 месяца назад
You don't know anything
@solomonrwabose7600
@solomonrwabose7600 2 месяца назад
I need debate with this bishop on this topic, we can do it on zoom because I'm in America, interviewer can you connect us please.
@clewis520
@clewis520 2 месяца назад
… Americans know nothing….ahahahah
@victorcampbell2659
@victorcampbell2659 Месяц назад
Yaani huyu Mwandishi duuuuhh!!
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 Месяц назад
Sabato ni siku ya utukufu wa Mungu alidumba kwa siku 6. Kuifuta sabato yaani siku ya 7 ni kumwondolea mtmbaji sabato aliyoibariki na kuitakasa ni kudharau ukuu wake
@frankmock4928
@frankmock4928 2 месяца назад
😢nilikuwa sijawajuwa mabalozi wa shetani niliposoma bibilia ndonikawajuwa mabalozi wa shetani na hawa wanaojiita maaskofu
@RebeccaBhoke
@RebeccaBhoke Месяц назад
Nimegundua kua wachungaji wengi wanaifahamu kweli ila wanajitoa fahamu kwa ajili ya kupotosha watu
@mussaamani4468
@mussaamani4468 2 месяца назад
Mungu mwenyewe amesema "mimi ndio Bwana wa sabato" kwahiyo achakupotosha watu kuwa wayahidi ndio wenue sabato..
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 месяца назад
Jumapili kumbe mmepewa na mpagani costantine mroma poleni sana 😢
@DennisWaweru-ml4lf
@DennisWaweru-ml4lf 2 месяца назад
Amesema yesu hakufunza amri kumu .ebu someni (marko10:19)muone muongo wa mchana
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 месяца назад
@@DennisWaweru-ml4lf hayo maneno Yesu alizungumza kipindi cha sheria , au kipindi cha neema
@jjtm164
@jjtm164 2 месяца назад
Yesu hakufundisha amri kumi Bali aliuliza swali kuonyesha upungufu wa Sheria na vile isingeweza kumkamilisha mwanadamu. Marko 10:19 soma uone ni nini kilochotokea licha ya kwamba alikuwa ameshika sheria (usisome kipengele kimoja)
@MikaMika-ve1ip
@MikaMika-ve1ip Месяц назад
Yesu ndiye mwenyewe wa sabato.
@Johanesseradius
@Johanesseradius Месяц назад
YesYESU NDIYE BWANA WA SABATO
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 2 месяца назад
Big up ngonyani upo vzur sana ndg yangu
@moseskatega8441
@moseskatega8441 Месяц назад
Tuliishi kivyetu kabla hatujavamiwa na wakiloni Wazungu na Waarabu.Tuachane nao
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Месяц назад
Tafri ya sabato katika agano jipya nikupumzika kabulini ukitaka kupumzika unatakiwa,ufe upumzike kama Yesu kristo alipopumzika siku ya sabato kabulini,
@MartinMurithi-i9z
@MartinMurithi-i9z 8 дней назад
Huyo bishop nishetani
@emanuelmollel7316
@emanuelmollel7316 2 месяца назад
Shalom! Mimi naomba kuuliza mchakato wa ukombozi wetu(mwanadamu) ulianza lini kwa mujibu wa maandiko? Tukipata jibu hilo,hilo la Jumamosi na Jumapili tutakuwa tumelipata jibu lake! Naomba majibu kulingana na maandiko(Biblia) na si historia mbalimbali.
@Fundi12345
@Fundi12345 2 месяца назад
Yesu ndo bwana wa sabato yeye anajitambulisha na ndo mungu kwa kuwa baba yake ni mungu yesu hana d,a ,e
@ManasséMzaliwa
@ManasséMzaliwa 2 месяца назад
Hakuna andiko hata moja inayosema kuwa mitume wali abudu siku ya kwanza ya juma ahipo.
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 2 месяца назад
@@ManasséMzaliwa siku ya 49 baada ya kufufuka kristo ni siku gani ?
@hassanmbojelah934
@hassanmbojelah934 Месяц назад
Yesu anasema ukinipenda utazishika amri zangu, kama amri ziliondolewa kwa nini Yesu aseme hivyo, nadhani Bishop unajipotosha kwa Yesu aliyetoa amri, pia tutahukumiwa kupitia amri sasa ikiwa amri hazipo basi hakuna hukumu. Waambie watu wa ukweli, kuna ukweli umesema wazi kuwa ibadan ni jumamosi, unajichanganya unaposema kuwa Yesu alivunja sabato, Yesu ndiye Bwana wa sabato alikuwa anawaonyesha wayahudi kuwa siku ya jumamosi ni siku ya kutenda mema, aliuliza swali having ng'ombe wako akitumbukia ktk shimo utamuacha, jibu ni kwamba haiwezekani, Yesu alikuwa sahihi kuponya siku ya sabato, sabato ya millennium kama Nabii Isaya 66 alivyosema, wewe kiongozi dini wafundishe watu ukweli wa Kristo, Yesu alisema hajaja kutangua torati, Mungu akusaidie mtumishi.
@tacysage8967
@tacysage8967 2 месяца назад
Ezekieli 20:19-20 [19]Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda; [20]zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 2 месяца назад
Hii! Kumbe sabato ziko nyigii?
@raphaelsiumbu9439
@raphaelsiumbu9439 Месяц назад
1:07 YESU HAKUVUNJA SABATO Wazo kama hilo ni kauli ya shetani
@khammadjeffa515
@khammadjeffa515 2 месяца назад
Sasa huku ndo kuchanganyikiwa kwa viongozi wa dini ya Kirkliston!!
@bibletv9818
@bibletv9818 2 месяца назад
@@khammadjeffa515 ndiyo dini gani hiyo?
@onkobawesley3477
@onkobawesley3477 2 месяца назад
Kwa kumpenda ni kwa kusishika amri za Mungu
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 2 месяца назад
Zipi?
@FrancisMsemwa-z6r
@FrancisMsemwa-z6r 2 месяца назад
Kwa sheria yawahudi yesu aliivunja sabato, ndichokilichomhukumu
@NDIMANGWAMICHAEL
@NDIMANGWAMICHAEL Месяц назад
Sabato niya Mungu mwenyewe adamu alikua myahudi
@philemongekonge4635
@philemongekonge4635 Месяц назад
Askofu ukweli ni kuwa unakwepa ukweli kwa kujichanganya
@simonbundala6382
@simonbundala6382 2 месяца назад
Kusoma maandiko ni jambo la kwanza na kuelewa ni jambo lingine na ndiyo muhimu sana.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Месяц назад
Bisho na wewe na wasabato wote mupo kwenye andiko sio Roho, ,wote mumetoka nje na Neno la Jehovah,kuna msabato wa mwilini na msabato wa kiroho,musa aliongoza wasabato wa mwilini,Yesu kristo yeye anawaongoza wasabato wa kiroho, wasabato wa kiroho ndio waliopata,pumziko la Haki, kwasababu ,Mungu amewafanya kuwa wafalume na makuhani, Hawawezi tena kuwa watumwa, wa sheria,kwasababu kuhani na mfalume hao ndio wanaotunga sheria,kwajili ya watumwa,wanaofwata sheria Ya kuitunza sabato ya jumamosi au jumapili Hao ni watumwa, wapo chini ya sheria,mtumwa wa sheria anatembea na Hukumu ya mfalume na kuhani asipo shika sheria, kwa mujibu ya mandiko matakatifu ,yamewakata wale wanaojiesabia haki kwa matendo ya sheria ,maana katika sheria mwanadamu wa asili ya mwilini alianguka katika bustani ya Edeni,sasa katika agano jipya tunae adamu wa pili alietunga sheria na kuishinda sheria ambae ni Yesu kristo aliezaliwa kwa Roho, mtakatifu,Ambae ni kuhani Mkuu na mfalume wa wafalume, nikimanisha kuwa ni mfalume wa wafalume kwa wale waliopata ufalume kwake kwa kuzaliwa kwa Roho mtakatifu,sisi tuliozaliwa kwa njia ya Roho mtakatifu sio viumbe ,kama waliovyo viumbe wanadamu wa kawaida,kwasababu kwa muonekano wa nje tunaonekana kama wanadamu wakawaida lakini kwa muonekano wa ndani yetu sisi tunaonekana kama ,miungu ambao sio wa kawaida katika ulimwengu huu,wanadamu waliozaliwa na kwa mwili,hao nisawa na viumbe vingine alivyo viumba Mungu ,nguluwi sugura mbuzi, Hawawezi kufanana na kiumbe kilichozaliwa kwa Roho mtakatifu,nikodemu alitamani sana viumbe vilivyo zaliwa kwa Roho ndomaana alimwendea Yesu kristo usiku akimwambia nifanyeje ili ningie katika ufalume wa Mungu,Yesu akamwambia mtu asipozaliwa kwa Roho,hawezi kuingia katika ufalume wa Mungu, Sikia mpendwa,niviumbe tu vilivyozaliwa kwa Roho vitakao weza kuingia katika ufalume wa Mungu,wanadamu wanao amini Dini zao ,Kuliko kuamini nguvu ya Mungu iliyotuzaa sisi na tumefanyika kuwa wana wa Mungu ,Hawo Nivigumu kuingia kwenye ufalume wa Mungu, maana wao neno la Mungu wanalitafri kwa kili za kibinadamu ,sio kwanjia ya kufunuliwa Roho mtakatifu,
@Rastermirish
@Rastermirish Месяц назад
Alivunja na yeye ndio bwana wa sabato na ata walimshtaki kuwa kuvunja sabato
@Moses-t7t
@Moses-t7t 2 месяца назад
Mathayo 19:17 [17]Akamwambia Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri. And he said unto him, Why callest thou me good? there is none good but one, that is, God: but if thou wilt enter into life, keep the commandments.
@eliasmwassi8104
@eliasmwassi8104 2 месяца назад
du unsjifanya kama hujui, ungejibu swali ni lazima kuishika au isishikwe
@Emmatz26
@Emmatz26 14 дней назад
hili halijui hata swali lillo ulizwa
@NyalaMaige
@NyalaMaige 2 месяца назад
Mmh Kwa hilo la maeneo matakatifu!! Kote duniani sijaelewa vizuri!!?
@leonardlameck7486
@leonardlameck7486 Месяц назад
Mimi niseme hivi,siku zote ni sabato kwa mcha Mungu nikiwa na maana ya mtu kuwa ktk pumziko la kutolewa ktk maisha ya dhambi ktk maisha yake,kung'ang'ania siku na kuitukuza kama ilivyo huku unaishi ktk maisha ya dhambi sidhani kama kunamsaidia mtu.Halafu kuponda wengine kwamba hawasomi Biblia kwa sababu tu ya kuwa kinyume na sabato ya J,mosi Biblia ni bahari utasoma unachokijengea hoja sehemu zingine hutasoma,msomaji mzuri ni yule anayesoma yote Ebu someni Walawi 23:7 na Kutoka 12:16 halafu mseme hiyo siku ya kwanza ambayo Mungu anasema kuwe na kusanyiko takatifu na kazi yoyote isifanyike ni siku gani?
@Shindikahelmani
@Shindikahelmani 2 месяца назад
Usomi wa ngonyani ni hafifu sana
@frankmock4928
@frankmock4928 2 месяца назад
Daaaah anakubali matendo ya mitume 18 :4
@MussaDaudi-ex3ww
@MussaDaudi-ex3ww 2 месяца назад
Huwezi kuishi bila kukosea duniani hakuna mkamilifu ,huwezi kushika amri ukazitimiza
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 2 месяца назад
Ebu tuambie kama kuna neno SABATO kwenye kitabu cha mwanzo,
@AbbahCostaabbahCostaabbah
@AbbahCostaabbahCostaabbah 2 месяца назад
Yesu aliitenguwa sabato au
@ibrahimj.kanyata3518
@ibrahimj.kanyata3518 Месяц назад
Sabato iliwekwa kwa ajili ya faida yetu wenyewe. Marko 2:27 [27]Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. And he said unto them, The sabbath was made for man, and not man for the sabbath:
@elishasilas723
@elishasilas723 2 месяца назад
Elewa Amri kumi zitadum milele Wala Yesu hakuziondoa Amri kumi zote ndiyo tabia ya Mungu Kama unazikataa elimu yako ya dini haina maana Sabato siyo ya wayaudi Wayaudi waliikuta chimbuko la Sabato ni Uhumbaji Soma kitabu Cha Mwanzo sehem ya Uhumbaji Sabato kakabidhiwa Adam Wayaudi wanakumbushwa tu kutoka 20 na pili hakuna unyakuo kuja kwa Yesu kila jicho litamwona
@maximilianswitbert2826
@maximilianswitbert2826 2 месяца назад
Kutoka 12:16"Siku ya kwanza(jumapili) kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu,na siku ya saba(jumamosi)kutakuwa kusanyiko takatifu haitafanywa kazi yoyote katika siku hizo,Kumbe hata Musa ktk Torati Yahweh Elohim alimuamuru Musa awambie Israeli wapumzike siku hizo ambapo Mungu aliziwekwa kwa wakati wake.
@maximilianswitbert2826
@maximilianswitbert2826 2 месяца назад
Kwahyo hizi siku Mungu aliziweka kwa makusudi yake yote
@maximilianswitbert2826
@maximilianswitbert2826 2 месяца назад
Kuhusu amri katika agano jipya..Yohana 15:12-15,.Yesu Kristo alituachia amri mpya nayo ni hii Yohana 13:34-35,Pia watu wafahamu kuwa Pendo halimfanyii jirani neno baya,basi Pendo ndilo utimilifu wa sheria.Warumi 13:10,Kwahyo Sheria na amri zote z Torati zimefingwa ndani ya Pendo katika Kristo Yesu hivyo tunapoishi ndani ya upendo wa Kristo tunakuwa tunatimiza Sheria na amri zote.
@raphaelsiumbu9439
@raphaelsiumbu9439 Месяц назад
HIYO SIO JUMAPILI Hiyo ni siku ya kwanxa kati ya siku saba za kula mikate isiyotiwa chachu
@moseskatega8441
@moseskatega8441 Месяц назад
Hayo masdishi hayatuhusu sisi
@deusNjimba
@deusNjimba 2 месяца назад
Isomwe. Yohana. 5.18
@ackimackim1880
@ackimackim1880 2 месяца назад
UPENDO NDIO AMRI KUU, UMEBEBA AMRI ZOTE KUMI
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 2 месяца назад
Go back and read again bro they are two greatest laws to depend all ten and what are this two, read Matthew 22:36:39 love your God and Your neighbor, now if you love God you will do His will like first four laws tells you 4th been keep sabbath.
Далее
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Просмотров 3,6 тыс.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
Просмотров 8 тыс.
Je Mungu BABA ni nani?
2:07:10
Просмотров 6 тыс.