Bishop when you worship like that I just like that yaani mbingu huwa imefunguka mm huwa siko karibu yaani Mungu akuuongoze zaidi nimezama ndani kabisa niseme nn mm wooooiiii Mungu ni wewe wakuabudiwa zaidi yako hakuna 😭😭😭😭😭 Mungu Mungu 😭😭😭
Bishop Wafula is my brother Bishop and friend. The anointing of the Lord that he imparted onto me in 2017 is still upon me today. I love this man of God! Kenya and the surrounding nations are blessed because of this strong mighty and humble servant!
Dahhh pamoja nakua cy dini yangu nimegundua Kuna watu wanaomba kwahisia jmn mungu mlinde huyu mchungaji nyee amenifanya nijue kua shida nizawengi nando maana watu wanamlilia mungu jmn Sy wale wanodanganya muone nabii
This worship is a direct communication to God. I listened it and with no time today it has happened to me. Thanks Lord. Looking forward to visiting this church physically
Amen barikiwa sana hinahuzunisha sana machozi mingi sana😢😢😢😢😢😢😢 niko Saudi Arabia inauma sana tunakuomba utubariki baba hatuna mwingine ni ww tunaangalia😢😢😢😢😢
Mungu kukuleta kwangu huwe nabii naona ni muujiza mkubwa sana... Nakupenda na ninakuheshimu sana... I love your energy and faster you are when it comes to the time of serving and giving Jesus service... Mungu tuh akulipe na pia awape ufunuo wale watu unaowaongoza waelewe yule mtu Mungu amewapa,na ile nehema Mungu amekupa wasije wakatoka bure. Shalom