Rip af hiz nyimbo nilkuw naskiliza kwenye ledio ya baba yangu hak ya Mungu yakale ni dhahabu pia vionjo vya huu wimbo ni utamu mtupu hapo wasanii wa kisasa wafanye remix ya huu wimbo hasa hapa mwishoni patamu kweli yaani😋😋😋
Mzee Waziri Ally, sura ya Kilimanjaro Band, wakali wa album ya njenje........... japokuwa hii chaneli yao imetengenezwa hivi majuzi na hakupata kula matunda ya nyimbo zao kam ipasavyo, twamuombea thawabu kwa kutukonga nyoyo zetu na kutuachia kitu cha kumkumbukia na kumuenzi
They delivered the massage as well as entertaining , so beautifully to understand , it will never be denied to those who hear , thank you for your efforts Kilimanjaros .
Amefariki,alikuwa anaitwa waziri ally R.i.p ,na alikuwa Mtanzania halisi, lugha labda zifanane kwakuwa alikuwa mdigo na wadigo wapo tanzania na kenya pia, ila huu muziki kama namna hii wakenya mnautolea wapi bhana 😆.