Nikisikia huu wimbo nahisi kulia lia2 mwaka 2000 nahic ndio ulitoka nilikuwa mdogo na niliupenda sana leo 2023 bado nausikiliza R I P Mama yangu nimekukumbuka sana
@@ramamudi749 Watu wa zamani walikua very talented kwenye kuimba & kuandika.Sasa hamna kitu kuna hatareeh wanaotamba leo tunaweza tusiwakumbuke tena miaka kadhaa ijayo
Quality, Quantity and Effective all in one song, jamani wimbo kama una mwezi tu vile kumbe kitambo. Old is gold 2022 August the 18th… ntarudi hapa tena na tena
Ina lillah waina ilaihi rajiun Mwenyezi Mungu awasamehe maiti wetu wote. Alikwambie mtu ndoa raha sana upate mtu mupendane. Natamani ndoa vibaya mno ila kumpata wa Kweli ni shida
2023 January 21 Baba Umeacha Wimbo Umenikumbusha mbali Sana Adi 2004 Baba Ulikua Unanichukua Kutembea Na mwanao Sehemu Mbali Mbali za furaha... Leo hii Father Haupo...! Miss u Dad😢😢
Despite the fact that Mzee Waziri Ally he's no more, kamwe huu mziki utaendelea kuishi kumuwakilisha Let his soul Rest In Peace, forever he will be remembered haswaa kwa kizazi cha 95 kwenda chini
Kipindi hicho muziki ulipokuwa muziki! Acha kabisa! Hakika tulifurahia muziki mzuri uliotuachia kumbukumbu nzuri zinazoishi mpaka Sasa kwenye vichwa vyetu! Upumzike kwa Amani Waziri!
Unajua ukiwa mmbaya katika usichana wako bas hata ukizeeka unakua mmbaya na mwisho wa siku unaitwa mchawi kumbe Wala sio mchawi nikutokana na ubaya wako Sasa kama uyo bint nkas cheki alivyo msicha na Sasa hivi Mzee ndio kazid kua mzuri❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni leo tu nimejua kuwa umeshatutoka kaka Ally baada ya kutazama wimbo wa Mbosso, nakukumbuka kaka. Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi, kama kuna mbingu basi tutaonana😢 RIP Ally
Listening to this song, it brings back to 90s where I was running down streets of Kawe Mzimuni Dar es Salaam. Bear footed and happy like everything was pefect in the world. was just another refugee Kid a victim of Kagame's war that we thought it would only be temporary which turned out to be lasting, Im 30yrs old today and the war of Guns sound so fresh and women are raped and killed today bu Rwandan army. Their cries and tears have been given a blind eye and a deaf hear. Yet it seems like Ukwrain and gaza are the only places that matter simply because their skins don't look like that of Congolese people.
You just gave a vivid description of what is happening over there,I can feel your pain coz the mental picture is printed in my mind,freedom is coming 😢
I'm here again after the death of Mr.Njenje "The legend of all time". Nyimbo zako zitaishi mioyoni mwetu na tutakukumbuka daima🙏🙏🌹😭😭😭😭🌹🌹🌹 R.I.P Legend.🌹🌹🌹😭
Hapa ndo naamini kuwa Mungu aliwapa kibali baadhi ya malaika washuke toka Mbinguni kwa muda tu watuonyeshe utunzi uliiotukukaa asee.....Daah huu wimbo asee🔥🔥🔥🔥Rip Mzee Ally