BONGO DSM: KIJAZI INTERCHANGE INAVYOWAKA USIKU, FULL KUTELEZA...
WAKAZI wa Muda mrefu katika jiji la Dar es salaam wanelewa vizuri kero au adha iliyokuwepo katika makutano ya Ubungo. Kuchelewa kazini, shuleni, vyuoni hata hospitalini halikuwa suala la kushangaza.
Kero hii ilizima ghafla kama umeme uliopata hitilafu baada ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Dkt John Pombe Magufuli, kuingia makubaliano na benki ya dunia ya kujenga barabara za juu za kisasa katika eneo hilo ambapo jambo hilo limefanikiwa kwa asilimia 100.
Sasa madereva kutoka pande zote za jiji la Dar es salaam ambao hutumia Interchange ya Kijazi hawapati muda wa kusoma gazeti au hata wengine kuvuta fundo kadhaa za sigara kama walivyokuwa wakifanya hapo mwanzo kabla ya ujenzi huu sababu ya foleni. Kwa sasa ni KUTELEZA TU Kuzikimbilia mishemishe zilipo na kuingiza kipato bila kikwazo cha kukaa ndani ya gari kwa masaa 2....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
4 окт 2024