Me shabiki yako Meshark since day 1 Na Leo mmeua na huyo pacha ako aisee nilipendelea muimbe pamoja daima ktk safari yenu ya Mziki you're the best guys. tusubili tu ushindi wetu team Meshark
Hakika leo nimekuwa wa kwanza,trh 24 ndo mwisho sijui mshindi atakuwa nani, maana hii kitu ya mwaka huu iko competative sna... TEAM MESHACK MIKONO JUU,KISHA GONGA LIKE KUCOMFIRM KAMA TUKO PAMOJA!!
Jaman nmerudia kama mara kumi hiv iyo duet ya maryam ili nielewe kwanin alitolea ila bado naona alifanya vizur sana, yuko na amazing vocal yan daa😢😢😢 imeniuma
Hamisi anajiheshimu Sana halafu nilichokiona kwa hamic kusema vibaya na majaji yeye hajali bado anajituma safi Sana hamic na fatuma ila kutoka kwa Mariam sijaelewa tatizo ni nini maana toka mwanzo mpaka sasa anafanya poa lakini pole Sana Mariam mungu atakufungulia milango mingine kipaji unacho na unaweza
Daaa inauma sana ila nahisi walimtoa makusudi kwasababu kabla ya mashindano walikatazwa mahusiano Sasa ilionekana dhaili kuwa alikuwa kwenye mahusiano na mshiriki mwenzake walieimba nae
Master J anataka anachosema yeye na wenzake wote waone iko....! Kila mtu ana maoni yake kama ingekuwa unachotaka wewe ndio kiwe basi ungekuwa peke yako hapo.....