Hongera sana kwa wandaaji wa mashindano haya kwa moyo wao wa kusaidia vipaji vya watanzania ila nina ushauri wangu kwenu nadhan umefika wakati wa kubadilika na kua tofauti, na hii itapeleka utofauti hata kw afrika, nappendekeza muangalie na vipaji vyengine kama ilivyo kwa american got talent, australia got talent n.k kam kuna ambae anakubaliana wazo gonga like
Kiukweli Hamis unapendwa sana labda kwajl ya mwonekano wako wa upole pamoja na umri.... lakn tukija katika swala la kuimba unaimba kawaida sana... Bado haujamfikia hata huyo Dada aliyekuwa analia, yaan huyo Dada ni mksli ile mbaya ila ktk hy top 20 wote ni shida.... Kaz nzuri majaji wino wenu mmeutumia vizuri...
Paul Richard I wish u all the best nakuamini,nakupenda , unaweza,ata kama me co judge Ila Nina mambo mengi omba Mungu nisisahau kukupgia kura kila itapohitajika I am a Man
Hahhahhahhaa ndo ufaham sasa kama huna nyota ata uimbe km chriss Brown utaonekana wa kawaida alaf mwenye nyota aimbe kama ww tu vile bonge LA superstar hahahaaa...
Kusema ukwel khamis leo hajaperfome kivile ukilinganisha na wengine lkn i see wanampleka tu now maybe bss kw mar ya kwnz wanackiliza watu 😃😃 lets see atasurvive mpk wap. Am editting my comment asnten bss i lov u always hua hamupendeleagi u guys are original.😍😍😍
Hamisi insha allah utashinda froam oman hapa utashinda insha allah kijana wanipa hamu na hamu yakutazama hi kipindi hamisi bi idhin llah utashinda upo kiuhalisia zaid insha allah utapita Allah yu nawe insha allah
Khaaaaaaaaaamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Saidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Majaji hamna akili kabisa. Harmonize never give up now making sense to me
Uyo hamisi ananeng'eneka tu uko nyuma 😀😀😀😀😀😀😀😀 anajaribu kuleta huruma anadhani itampitisha 😂😂😁😁😁😁😁😁😁zama zimebadilika mdogo angu... Mambo magumu kote 😀😀😀
Ki ukweli kuna watu wanajua kuliko hamisi ila tu watu wanalaum bule kwa kua hamis anatia sana huluma ila kwa mm namuona kiwango chake cha kawaida sana ila gitaa anajitahidi
Ken rick uko juu sana sana... kuanzia upigaji wa gitaa na hadi voco unayo.... unakipaji sana, mm naweza nikafirisika kwajili ya Muziki wako... Good luck--
Hii rumous vile iliendelea ya hamisi ndio wa kaona wamtoe, Mana mpka diamond alimpa hongera, Mara harmonize yuwamtaka,mpka madam Rita kwa 40's ya mtoto wa diamond amepewa Jina mamake hamisi BSS so alikua midomoni mwa watu na pongezi pia zimekua nyingi ndio hvo tena
Kila mtu ana upeo wa pekee kwahio bidii na upendo wa unachokifanya ndio huleta mafanikio baadae. Everybody is unique keep and believe in what you do eventually you will taste and enjoy the fruits of your hardwork.