Тёмный

BREAKING: LULU AKIPELEKWA GEREZANI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 252 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 ноя 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 281   
@supertal2943
@supertal2943 6 лет назад
Dah maskini'Imeni touch pia for real.Binadamu dakika kubadlikiwa!!! Be strong gal' ndo kidunia !!!
@lucymwende4827
@lucymwende4827 6 лет назад
Poor lulu I feel sorry for u,lets God fight for u he knows why ur going through a tough time just keep praying and he will answer ur prayer
@salmasaid3623
@salmasaid3623 6 лет назад
Akuna anae kua kesho yake stay strong eliza
@myshylysh3554
@myshylysh3554 6 лет назад
Duh! Nmelia yote Mungu akusimamie Lulu
@faizadulla1699
@faizadulla1699 6 лет назад
At last kanumba amepaya haki lakini sijafurahi coz hiyo miaka ni kidogo angepewa miaka 10...kutoa roho ya mtu si masighara
@siakisanga7764
@siakisanga7764 6 лет назад
Mungu naomba ukamwangalie huyu mtoto kwa mara nyingine mpe wepesi wa maisha yake nasiyo kwa magumu yote hayo anayopitia. ......... Mungu palipo na kilio ulisema utawafuta machoz. sema na familia yake kwa kila hatua wape wepes eeh Bwana.Amina
@hafidhalhabsi3892
@hafidhalhabsi3892 6 лет назад
Hakuna sheria ya kumskuma ila ndio hivyo nyumbani askar wanapower
@mamahamida6807
@mamahamida6807 6 лет назад
Poleni sana wazazi wa lulu dah inahuzunisha saaana mungu awatie nguvu kwani ni mapito tuu hayo yatapita
@angelbenward4244
@angelbenward4244 6 лет назад
najikuta nalia tu sina hata cha kusema
@asiamaulid4403
@asiamaulid4403 6 лет назад
pole dear..mungu akupe moyo wa subra kila LA kheri..inshaallah
@jeremakibadamombilinyi5638
@jeremakibadamombilinyi5638 6 лет назад
Asia masatar wetu wa bongo jamani umalaya unawasumbua c bora wawe wanapata mabwana tu wanaolewa kuliko aibu kama hizi
@lucymwakalindile2322
@lucymwakalindile2322 6 лет назад
+jerema kibadamombilinyi kama unakumbukumbu lulu kwa kipindi kile alikua na umri gan
@asiamaulid4403
@asiamaulid4403 6 лет назад
na hiyo ndio shida yao,that's why wanapata matatizo kila Ku kicha..hawaridhiki..
@naldofabiaotunkande7815
@naldofabiaotunkande7815 6 лет назад
africa,nunca vamos mudar, tempo de colono era xicotada, espulsamos colono, mas ainda ha xicotada, esse tipo de tratamento nao dignifica ao ser humano, nem um cabrito quando levado ha respeito, lamento muito africa, essa e uma mulher, que merecia um tratamento de respeito, acredito que em algum momento elevou o nome de tanzania com seus talentos como atriz
@stanymccary7136
@stanymccary7136 6 лет назад
IJUE SHERIA* *Kwa mujibu wa sheria ya makosa ya jinai, mtu anayepatikana na hatia ya kuua adhabu yake huwa ni kunyongwa hadi kufa* (Kifungu cha 197) *Kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya jinai, mtu anayepatikana na hatia ya kuua bila kukusudia adhabu yake huwa ni kifungo cha Maisha jela* (Kifungu cha 198) *ANGALIZO*: Kulingana na mazingira ya kosa la kuua bila kukusudia yalivyokuwa kwa kuzingatia ushahidi, Mahakama ina uwezo wa kumpunguzia adhabu aliyetiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia kwa namna Mahakama itakavyoona inafaa. *Lulu anapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo*
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 6 лет назад
Mmmh pole lulu!gari inavyopelekwa mbio hadi unaanguka ndani ya gari dooh!mungu akufanyie wepesi I say!from kenya working in saudi
@emmanuelpeter1958
@emmanuelpeter1958 6 лет назад
you will be ok god is there for you sista wetu pole sana sema huluma sana
@fatmat6883
@fatmat6883 6 лет назад
Inshallah lulu mungu yuko nawe pande zote anyday anytime utatoka na kuwa kama raia kilakitu kinamwisho wake inshallah.
@moonmoon8723
@moonmoon8723 6 лет назад
pole sana lulu mungu awe nawe kwa kila hatua utakayopia
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 6 лет назад
pole sana lulu mungu amtie nguvu
@husseinpazi861
@husseinpazi861 6 лет назад
It's to sad😢 pole sana Eliza Jikabidhi kwa Mungu Kwani Miakami2 co mingi sn Tena Afadhari yaww Umefungwa Tz Wazazi wako wanauwezo wa kuja kukuona kuna wengne wako Nnje hata hawezi na hawajawahi onana na wazazi wao mpka hvi Leo. Mie Mwenyewe Niko uku Miaka mitatu ss cjaona sura ya mama wala mtu yeyote kwenye familia yangu ila ukimuamini mungu kila kitu kinawezekana ss hvi Nahesabu Mienzi tu 6-2018 I will back my Country🙏say thanks God for Every thing"
@sultanvdeo4996
@sultanvdeo4996 6 лет назад
Wemadai P gereza gan ulipo had unachat ww
@megimeg8118
@megimeg8118 6 лет назад
Nashangaa mie pia....eti miaka mitatu?
@streetwalking1133
@streetwalking1133 6 лет назад
really
@husseinpazi861
@husseinpazi861 6 лет назад
Fun Video & Real Life Mie cpo Gerezani, ila Nimetoa mfano tu wakwamba miaka miwili aciione mingi sn mie niko Nnje miaka mitatu ss Na Najipa imani kwa uwezo wa mungu Nitaonana tena na familia yangu cjui Umenielewa ss hvi
@hitmanhunter9557
@hitmanhunter9557 6 лет назад
Wemadai P mrembo nicheki wassup tuchonge ishu +90 505 147 0940
@shadiashadia4701
@shadiashadia4701 6 лет назад
Yani hao police wetu wa kibongo wanatia sana asila utasema siyo binadam mwenzio😥😥😥😥
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 6 лет назад
Pole sana dada lulu jipe moyo miaka miwili siyo kitu tunaomba tu uhai wako.
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 6 лет назад
Pole baby sis akuna aijuaye kesho yake, usithubutu ongea neno baya kwa mwenzio ujui kesho yako, watu wanakukuza kwa makosa ila kwa mama Eliza bado wewe ni Mtoto tu, poleni familia ya lulu mama viatu vyako vinanibana siviwezi mama
@noeliasililo7465
@noeliasililo7465 6 лет назад
lulu mungu atakusaidia mungu akikupa uzima miaka miwili sio mingi pole sana lulu kikibwa mtegemee mungu ndio kila kitu kwako
@jombylikwet8067
@jombylikwet8067 6 лет назад
imeniuma sana Mungu mjaze lulu ujasiri
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 6 лет назад
hiyobyote ni mitihani ya maisha bebe lulu in a Allah akikupa mtihani hukupa na majibu U will be free soon my dear
@nailsmusllum5374
@nailsmusllum5374 6 лет назад
kuwa jasiri kipenzi cangu M.Mungu yuko na wewe iyo itakugusa mda mdogo baadae utazoweya na istoshe kwenye uhai myaka miwili ni kufumba na kufumbuwa itakuwa imekwosha nakupenda sana
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 6 лет назад
N why is a Govt. vehicle being driven so reckless That's dangerous.
@fatimahabdallah808
@fatimahabdallah808 6 лет назад
Usjali dada nihali ya maisha nimitihani ya mungu huwezi kuiepuka nakuombea uzima insha Allah utatoka ukiwa slm
@judithkhatibu5062
@judithkhatibu5062 6 лет назад
inauma sana najikuta natoa machozi mungu akutie nguvu mrembo ctachoka kukuweka ktk maombi
@christinearotso8837
@christinearotso8837 6 лет назад
maskini pole lulu usijali miaka miwili sio kitu ,jitie nguvu
@fadhilimlingi6192
@fadhilimlingi6192 6 лет назад
Duh, polisi nao ni shida tupu!?😀😀😀 yaani hawaangalii sura, Pole Lulu, muda wa miaka 2 ni mfupi tu, pia ni funzo kwa wazazi, muwalee Watoto ktk njia impasayo Mungu. Waache kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa wadogo. Kila mtu kapangiwa mume na mke so uvumilivu ni kitu muhimu mno. 2020 utakuwa huru mama usijali.
@abujay001
@abujay001 6 лет назад
Uki soma comments zote unaona watu wanasikia vibaya kwa mkasa wa lulu kwa kweli mungu yuko nawe pole sana...
@mulambafiston8324
@mulambafiston8324 6 лет назад
Mama kanumba anaroho mbaya sana uyo mama. Sasa anazani lulu akikwenda jela ndo kanumba atafufuka
@mumbibabzy6983
@mumbibabzy6983 6 лет назад
Mungu akulinde🙏 lulu miaka mbili nikama maisha kwa mara yako ya kwanza God be with you
@lilianmollel2990
@lilianmollel2990 6 лет назад
duh jamani Mungu Wangu alie Hai atakupigania.. nakupenda nakuombea lulu
@mollymelisa2944
@mollymelisa2944 6 лет назад
Mbona wanamsukuma ivi😭😭😭washenzi!!!don't worry bby gal in every thing that has bad beginning eventually it will end leaving you victorious...may God fight this battle till the end ...they will see what God has in store for you,yye si mpupavu akupe jaribio kama hili then..akudisappoint !!No no never!!!!
@mathiasmanonga8380
@mathiasmanonga8380 6 лет назад
Pole sana mdogo wangu inaniuma sana kukuona hivyo ila naamini ipo siku tu utatoka kuwa na nguvu ya subira miaka miwili siyo mingi sana pole sana
@lillycaxy7969
@lillycaxy7969 6 лет назад
Lulu 2yrs sio mingi mungu utakupigania na utoke uwe huru mama it's sad
@chenzhen7772
@chenzhen7772 6 лет назад
Poleni sana familia yake lulu namtakia kila la heri inauma sana kusikia lulu amefungua mwaka mbili Ramalito from kenya
@alicegeorge1796
@alicegeorge1796 6 лет назад
Pole Mdogo ang Lulu nimeumia mno lkn naamini Mungu yu pamoja nawe Niko nyuma yako sitaacha kukuombea ili Mungu akaonekane kwako! Usiache kuomba mungu Yy ni mwema sana kwako na anakuwazia mema! Nimelia sana Leo jmn eee Mungu akukumbuke Lulu wang
@seifzongo320
@seifzongo320 6 лет назад
ashukuru mungu amehukumiwa Kwa sheria za watoto wakati yeye si mtoto ,wamemsaidia sana otherwise miaka 15 ingemuhusu,haraf kuna watu wanahudhunika nyie mnajua maisha anayoishi mama kanumba baada ya mwanae kufa?then huyo Lulu alikuwa busy anakula bata hata akili ya kumriwadha yule mama akawa anamdharau hata kitambaa aliona tabu sawa hata simu kumjulia hali NAyo pia hola amesahau kuwa bila yeye mama kanumba asingeteseka ,haraf hukumu ya miaka miwili jitu linaumia,kwani ndugu WA kanumba pamoja na mama kanumba wao wanaumia kiasi gani Kwa kumpoteza mwokoz WA family, nyambaf mwache aende akanyee debe angalau mama kanumba ajue kuwa haki ilitendeka
@heriaminiel7153
@heriaminiel7153 6 лет назад
Seif Zongo good
@maggiepeter9254
@maggiepeter9254 6 лет назад
Seif Zongo kwan yey alikusudia kuua au pomb za mwanao
@lucymwakalindile2322
@lucymwakalindile2322 6 лет назад
lulu wanamsumbua Bure tuu tamaa za pesa ndio zilimponza kanumba kwan lulu ndio alimtuma awe masonic
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 6 лет назад
Halafu kanumba mwenyewe jamani alishajitabiria kifo!! Hiyo iko wazi....Freemason aliijutia!!! Akawa hana otherwise,, zaidi yakuamini atakufa tu...sasa Lulu alitumika kama chambo tu..jamani.
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Dh.... pole sana ruru Mungu atakusaidia kwan miaka2sio mingi
@user-mt4ff5fi8s
@user-mt4ff5fi8s 6 лет назад
Pole sana lulu yani machozi yanitoka roho yaniuma mungu akupe subra katika huu wakati mgumu miaka miwili siku hizi sio mengi huyo mama kanumba atalia mpaka siku yuwaigia kaburini na roho yake ya kishetani
@eliyamloy3490
@eliyamloy3490 6 лет назад
Pole sana Elizabeth (LULU) mkono wa Mungu usikupungukie huko uendako dada yetu mzur
@maryamsinganomaryamsingano7938
jamani imefikia hapa basi kikubwa shika moyo ndoo mitihani ya duniani zidikumwomba mungu hujafa hujaumbika mungu tuepushe namitihani ya kila aina
@mercyokhah8090
@mercyokhah8090 6 лет назад
Dah inasikitizA sana lulu mama upo kwa maombi yetu Usikate tamaa Mungu yupo nawewe Zidi kuomba kila wakati Naomba uwe mwanamke wakwanza kuwa na nguvu Masiku yatakimbia Kumbuka anaye kufanyia mabaya nae ipo siku Dunia mzinguki usikate tamaa mama I love u lulu 😭😭😭😭😭😭 Eeeeee mungu angalia mwanao sikia kilio chako Usimuache mtie nguvu kila wakati #@tupo nawewe lulu From Dubai napitisha pole
@salmamustapher8614
@salmamustapher8614 6 лет назад
Mercy Okhah aamina
@mercyokhah8090
@mercyokhah8090 6 лет назад
salma mustapher nashukuru zidi kumuombea
@stellahmutheu9249
@stellahmutheu9249 6 лет назад
Inatia huruma sana! Pole sana Lulu Mungu atakulinda huko
@sonnymjeshi
@sonnymjeshi 6 лет назад
Jamani naombeni mumuachie aje anikabidhi aount ya Instagram niwe napoct mapichapicha ka alivo kua akifanya zaman
@annaupendo4768
@annaupendo4768 6 лет назад
Lulu ukitoka gerezani tafuta mume uolewe utulie tu basi mambo ya usani achana ufungue ukurasa mpya wa maisha yako.
@sarahitenya3469
@sarahitenya3469 6 лет назад
As a mother I cry for his son..May God protect him and give him understanding regardless the situation,Pole lulu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Pole sana Lulu kwa mitihan, Mungu mkubwa,yataisha tu
@joeandres9744
@joeandres9744 6 лет назад
kila jambo na wakati wake hatujui Mwenyei mungu anamuepusha na nn miaka miwili hiyo..kikubwa tumuombee kwa mwenyezi mungu kheri!
@wilbardmussa8232
@wilbardmussa8232 6 лет назад
Mungu uwape subira pande zote mbili wa kanumba na Lulu Kwa Yale yalowapata.
@Purity493
@Purity493 6 лет назад
Mungu atakipigania uendako dadaangu from Kenya, umeniliza aki ila n mapito yatapita, Mungu akusimamie
@kallamudaily73
@kallamudaily73 6 лет назад
Naumia sana bcz mimi ndani ya nafsi yangu naamini kuwa hana makosa. That is wy I feel hurt inside me. Lkn Mungu yupo atazifupisha siku za kukaa kwako gerezani 2yrs itakuwa like 1week. Be strong hata dhahabu na thamani yake lkn ili ing'are ni lzm ipitishwe kwenye moto kwanza. Siku zinahesabika
@ridiayohana9311
@ridiayohana9311 6 лет назад
Dah inauma jamani miaka 2 jalafu mwanamke jela sio kuzuli jaman pole sana Lulu
@theresiaedward2172
@theresiaedward2172 6 лет назад
hata kama ni kosa ndo asukumwe ivyooo pole sana beloved Dada mungu yu nawe
@jovinhosantos6303
@jovinhosantos6303 6 лет назад
pole san lulu watanzania tupo nyuma yak
@sadakilona5031
@sadakilona5031 6 лет назад
Mpk nitokwa na chozi daaah miaka miwili mingi mungu akupe wepensi
@juliusobedimwarusha7942
@juliusobedimwarusha7942 6 лет назад
pole xana dd ye2 lulu mungu anakuona futa machozi ipo ziko 2takua pa1ja.from msombiji
@akramsayjr591
@akramsayjr591 6 лет назад
Tough time.! Ni mungu tu ndiye ajuaye kesho yetu. Kilichomtokea Lulu kinaweza kuwa ni fundisho kwa jamii hivi leo. Kama Lulu angekuwa kwenye uangalizi mzuri wa wazazi wake haya yote yasingetokea...Mtoto mdogo kuwa kwenye mahusiano ya muda wa miezi 4...na wazazi wako wapo hai???? Inamaana walikuwa hawajali mtoto wao yuko wapi? Yuko na nani? na anashughulika na nini? #Wazazi??????
@missyabdull142
@missyabdull142 6 лет назад
Mungu akupe ujasiri Lulu ni mda tu yataisha
@selemanihussein5073
@selemanihussein5073 6 лет назад
kabla hujafa hujaumbika kabisa,.... fashion zoote zile kumbe atakuja kuiyonja jela....!! mungu awe pamoja naye tu....(amen)
@singlemother4936
@singlemother4936 6 лет назад
Washachukua kula yao apo watapshana mpk kitoke maji. Pole mwaya jela iskie tu kwa mwenzio!!
@MrSoftBrains
@MrSoftBrains 6 лет назад
Muombe Mungu kila siku, kila saa, kila nukta.
@stellahmutheu9249
@stellahmutheu9249 6 лет назад
Maskini lulu nakupenda sana kutoka kenya ningekuwa na uwezo haungeenda jela
@marthasilas4304
@marthasilas4304 6 лет назад
Inauma, ila ninaamini Lulu hatakaa gerezani hiyo miaka miwili, Ndiyo maombi yangu kwa Mungu
@peaceelisha1539
@peaceelisha1539 6 лет назад
jipe moyo our lovely one kila jarb lna mlango wa kupitia pray hard God is aside you alwyz
@emmabays9963
@emmabays9963 6 лет назад
mnamdhulum lulu tu.kwani kanumba tamaa yake kutaka.kujulikana na pesa zaupepo.zilimpeleka aheri.pole san lulu mungu atakusaidia
@emmaadhiambo4807
@emmaadhiambo4807 6 лет назад
This really breaks my heart, Lulu remember to pray every day, yataisha tu my dear, so so sad indeed
@eunicekengajaha2953
@eunicekengajaha2953 6 лет назад
Siku za kuhesabu si nyingi my utamaliza kifungo na Mungu atakupea afya uje tukuone tena ukiwa huru na mweye afya . Kwani ilikua ajali tuu haina kinga
@sarahlithoqueen1661
@sarahlithoqueen1661 6 лет назад
pole lulu jamani umeniliza sanaa mungu yu pamoja nawe
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Bora hivi mdogo wangu hii yote kwa usalama wako Allah yuko pam1 naws
@hechihechie5558
@hechihechie5558 6 лет назад
Nimeumia sana lulu anavyoenda jela..but niliumia sana mama kanumba kumpoteza kanumba.maumivu kote kote
@tinashgeofrey3734
@tinashgeofrey3734 6 лет назад
tusubiri kuona kanumba akirud eti kisa lulu kahukumiwa mh!! hyo miaka miwili itaisha kama maji tena 2018 mwaka mfupi mungu ni mwema atatoka tu.
@queenatusha2244
@queenatusha2244 6 лет назад
Ana bebwa kama wizi 😂😂😂😂be strong lulu
@amuunyussuof5240
@amuunyussuof5240 6 лет назад
Duh Lulu mungu atakusaidia.mpenz dunia mitihani
@lucymwakalindile2322
@lucymwakalindile2322 6 лет назад
usijal love size yakiatu chako mim binafsi siwez kuvaaa ila mungu kakupa mtihani ambao unaweza kufaulu ndio maana umepewa wew mwenyezi mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigum ila amini robo tatu yawatanzania tunakuombea
@jeannettejaja9651
@jeannettejaja9651 6 лет назад
haki nimeria shaidi Mungu pole Lulu
@fatumaali9601
@fatumaali9601 6 лет назад
Wallahi mama kanumba Allah z watching u
@goodluckkanza6801
@goodluckkanza6801 6 лет назад
Mungu atakufanyia wepesi...
@mwanaboraally3714
@mwanaboraally3714 6 лет назад
pole lulu m/mungu hatakuongoza
@jumadaiwa576
@jumadaiwa576 6 лет назад
Lulu mung atakusaidia kwa hili na sis tunakuombea dua usjal tupo pamoja na ww
@adamkatet274
@adamkatet274 6 лет назад
Bora lakini miaka miwili sio mingi kwa uwezo wa mungu Ila akitoka itakuwa amesha pumzika na hayo maneno ya huyo bibi mchawi manake ilikuwa Tabu kanumba kanumba wakati mwanae mwenyewe amekufa hata nyumba haja muachia pumbavu sana
@maryamnhussein3967
@maryamnhussein3967 6 лет назад
lulu usiache kumuomba mungu yuko kokote pale na atakusikia kila mmoja wetu hapa dunian hana mamlaka ya hukum ila Allah pekee
@mimwaninelitha6666
@mimwaninelitha6666 6 лет назад
pole sana dada hii ndo mitihan ya dunia mungu atakisaidia
@hopechidera
@hopechidera 6 лет назад
Pole sana Lulu,naamini Mungu anaruhusu kipindi hiki kwako ili umrudiriye muzuri na kumkumbuka kila leo kwa kumuomba,najuwa huko gerezani utasimamiya kundi la sifa na maabudu🖐🖑,hizo miaka miwili gerezani ni Mungu anataka roho yako ijae maombi,huko hauta kuwa nashuguli yoyote ila kumsifu na kumuabudu Muumba wako!God is good all the time,that means is good in bad time and in good time too,stay strong we are together in prayers😚😚😚
@niaanthony9588
@niaanthony9588 6 лет назад
Kanumba na Freemason wako ingekuwa mwaweza kuja mngekuja mseme ukweli kitu cha jera sichamsihara duh mungu msamehe huyo mtoto wa watu
@tiannealphonce7515
@tiannealphonce7515 6 лет назад
Jmn adi huruma roho inaniuma kama ndio mie dahhhhhh ila mungu atakutiw nguvu lulu
@linahsindato816
@linahsindato816 6 лет назад
Mia tisa inapendeza zaidi
@mnguakulindemagufuliwetuda8198
pole lulu mgu atakupigania utashinda jamani wanavyo kusuma inatia huluma
@katebae3625
@katebae3625 6 лет назад
Woiye be strong lulu 😢😢😢😢😢😢
@chilombachilo7534
@chilombachilo7534 6 лет назад
japo sijui Shelia saaana ila miezi 3 nje kwa dhamana baada ya hapo anashida kesi ulaiyani kama kawa
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 лет назад
Lakini Africa unyanyasaji jamani sasa wanamsukuma hivyo kwa kufuata sheria ipi?ata kama kaonekana na hatia sasa je kumsukuma kunamahusiano gani na kuhukumu iliyopo.
@sophiatessia3914
@sophiatessia3914 6 лет назад
ooh noo! hii imenitoa machozi😭😭😭 mbona kasukumwa hivi jamani. twakuombea lulu usife moyo jitie nguvu mungu yupo nawe
@HabibaHabiba-mi1ez
@HabibaHabiba-mi1ez 6 лет назад
pole sana lulu ii jamani inauma sana ila yatakwisha tu lulu nautakuja kusahau hayu ni mapito
@amriabubakar9099
@amriabubakar9099 6 лет назад
Hivi kabinti kadogo kale kamuue jibaba kama yule kweli mimi bado haiingi akilini kumbuka alikuwa na miaka chini ya 18
@johnngailo1812
@johnngailo1812 6 лет назад
Dah jaman wanamsukuma utafikiri sio binadamu Ila kilicho na mwanzo hakikosi mwisho
@bimsucretz8770
@bimsucretz8770 6 лет назад
Kuna wakati sheria haitendi haki,Hapa kuna vitu viwili ambavyo vilitakiwa kuangaliwa kwanza kuna kuua na pili kisababisho cha kifo,! lulu hakudhamilia kuua ila alisababisha kifo na yeye alikuwa katika hali ya kujikomboa kutokana na ugomvi waliokuwa nao wawili hawa halikadhalika marehem alikuwa amelewa sasa leo hii tuchukulie mfano mwepesi mchezaji wa mpira akikwatuliwa na mwenzie na kuanguka na kupoteza uhai atakuwa ni muuaji ama lah.!! Binafsi lulu kaonewa,hakutendewa haki ya kisheria ila kilichofanyika hapa ni lulu afungwe kuifrahisha familia ya kanumba hasa mama yake kanumba na si vinginevyo.....Na laiti kama angelikuwa ni muuaji,sheria ya kuua kwa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ni kufungwa jela maisha ,sasa iweje muuaji kama shitaka lake linavyoonesha ahukumiwe kufungwa jela miaka 2!!!!?😡😡
@loveness6732
@loveness6732 6 лет назад
Yan hao police 😤😤...mtoto wakike wanamfanyia hivyo? Watoto wao wanaweza kumpush kiasi hicho...Lulu hayo ni mafunzo tu na utotatoka.
@TeamKRX
@TeamKRX 6 лет назад
Mi jamani nilizania watamuachia niko oficen natizama hii nalia duu wafrica sisi wabaya
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Maskini 🙏🏾🙏🏾
@hildashoo6672
@hildashoo6672 6 лет назад
pole sana dear mungu akutangulie😞😞
@magialbert9436
@magialbert9436 6 лет назад
pole sana lulu mungu atakusaidia tu
@greatthinker370
@greatthinker370 6 лет назад
Tutumie hii iwe kama funzo kwetu siyo kuokotana na kuanza kuishi pamoja kama mke na mume kama walivyookotana Lulu na kanumba..
@sonnymjeshi
@sonnymjeshi 6 лет назад
Pole sana mama kanumba shuru mungu pia haki imetendeka
@idayagangs124
@idayagangs124 6 лет назад
Mazezele Tz uyo mama kanumba mnafiki
Далее
🤔
00:28
Просмотров 276 тыс.
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн
LULU MAHAKAMANI : ''Kanumba alinishikia panga''
3:13
BABA LEVO AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI MITANO
1:54
Просмотров 65 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 206 тыс.