Тёмный

#BREAKING 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 123 тыс.
50% 1

#BREAKING: MBOWE AKAMATWA MBELE ya MWANAYE KATIKATI ya INTERVIEW - "USINISHIKE - NIELEKEZE"...
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 445   
@globaltv_online
@globaltv_online День назад
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@eastafricaqualitychickenfa9916
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@GoodFred-e7s
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu День назад
@@globaltv_online msaada alaf kwa gharama nafuu
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w День назад
Never give up 💪🇹🇿one day haki itapatikana
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar День назад
Haijawahi kupatikana haki Tanzania tangu Nyerere muuaji na wakiwa wana chuki na Waislamu wachamungu na Wakristo Wachamungu na wakiwa watu makatili na dikteta na wasio na dini
@mdnsakuzi7732
@mdnsakuzi7732 День назад
Hakuna mchaga atakuletea haki wewe hata siku moja yuko kikazi zaidi
@HappyJohn-rj8co
@HappyJohn-rj8co День назад
Yani kuumaanisha utekaj unatoka kweny uwongozi ususa chama cha mapinduzi wakitumwa askar
@gerrymimi9387
@gerrymimi9387 День назад
Vyovyote iwavyo, ujumbe kwa jamii ya binadamu kote duniani umefika. Bora Polisi wangeacha tu hawa jamaa wakatembea, wakatoka jasho, kisha wakarejea majumbani kwao.
@leokamil6284
@leokamil6284 День назад
Exactly 😢
@AishaAisha-q4t
@AishaAisha-q4t День назад
Kweli kabisa ujumbe imefika watu tumechoka Yani tumechoka
@MsAggie5
@MsAggie5 День назад
Kwa nini wanawakataza kipindi hiki? Mbona waliwaruhusu kipindi kile cha nyuma? Nchi hii sijui tunaenda wapi
@ZabibSalum
@ZabibSalum День назад
Yaan mpaka liwakute jambo uhai wenyewe mdogo akiwafia mtakuja kuwaambia nini raia wawaelewe
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 День назад
WAZUIA GAKI ZA WENGINE MUNGU NI FUNDI ATAWANYOOOSHA
@AliciaKyai
@AliciaKyai День назад
Asante waandishi kazi yenu njema Dunia imeona machafu ya ccm
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 День назад
Wee mbuzi
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 День назад
We ni taahira kweli
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi День назад
Samia mungu anakuona kwa njama zako za kuua upinzani ulivyoiba havijakutosha
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo День назад
Ameiba nini punda wewe leta ushahidi usirudie Tena hizo kauli zako zitakugharimu
@ZabibSalum
@ZabibSalum День назад
​@@selemanmcharazokila mtu anatembea na kifo chake mkononi nawaza kama ikitokea mboe muda wake umewadia na mungu akampenda zaidi akiwa mikononi mwa police na wamemchukuwa public unafikir itakuwaje 😢
@MsAggie5
@MsAggie5 День назад
​@@selemanmcharazokwani uongo? Mwanae alifuata nini Kwa Museveni, ni mwizi kama wezi wengine WA CCM. USHAHIDI anao yeye na MUNGU anayemuona
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 День назад
WAASISI WAPO WAPI YEYE NI NANI MUNGU NI SHUJAA
@SuzyMongi-ov8wk
@SuzyMongi-ov8wk День назад
B​@@selemanmcharazoaCHA KUTUKANA WENGINE JIHESHIMU
@emmaueljohnsonKihanda-fx9wm
@emmaueljohnsonKihanda-fx9wm День назад
One day yes
@SleepyDrink-yp7yg
@SleepyDrink-yp7yg День назад
Ccm mungu anawaona IPO siku atajibu mungu achelewi wa awai eee mungu ibali chadema
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 День назад
Chadema hakuna mwenye uwezo wa kumiliki akili
@ManyiluziShinhe
@ManyiluziShinhe День назад
​@@stephanokaaya1881kama ww
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 День назад
Wanatetea mipango yao kwa wazungu tu hawana lolote,watz sio watu wehu km wakenya dili limebuma imekula kwao.
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 День назад
​@@stephanokaaya1881wewe unajiona unamiliki akili wakati unamiliki matope tupu.hata wao Ni binadamu Kama wewe,matumbo yenu mnaishi kwa wizi tu shetani wakubwa.
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 День назад
Mfute vyama vya upinzani ili mtawale kwa raha,sasa vyama vya upinzani vipo kwa ajili ya Nini au mnataka viwe vinashabikia maovu yanayoendelea ndo mfurahie.kaeni na utawara wenu wa kibabe na kuonea vyama vya upinzani.
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb День назад
Ila ccm Yesu atakachowafanya hamtakaa msahau coz mmejimilikisha nchi na kuwafanya watu wengine kama swala mbele ya simba!
@jacksonmsola154
@jacksonmsola154 День назад
Yesu anakazi nyingi za kufanya
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 День назад
Mamae Yesu awafanye nn CCM ivi unawajua vzr CCM ww, mataifa makubwa yameshindwa kuwafanya chchte Yesu atawaweza wap CCM km ana uwezo c angewazuia ao waliomsulubu kwnz😂
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 День назад
Wewe heshimu jina hilo
@babanaqeeb6600
@babanaqeeb6600 День назад
Yesu? 😅
@PaulMsema
@PaulMsema День назад
Nyie fikra zenu mgando,kulikuwa Kuna tawala nyingi sana duniani lakini ziliangushwa,babeli,umedibna uajemi,uyunani, rumi,ukoloni,vyama vikubwa zote ziliangushwa tena Hawa askari ndio wataisaliti Ccm,maana hata wao Maisha magumu hoi taabani
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 День назад
Kiukweli. Polisi hatuna. Mtanisamehe tu. Huwez kuelewa kama akili huna. Inauma sana
@veronicacharles2427
@veronicacharles2427 День назад
inauma jmn 😢
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu День назад
Ipo siku na ipo karibu sanaa😢
@JudithAdonis
@JudithAdonis День назад
Binafsi sijaelewa kwa hali iliyoonekana sidhan kama ilikuwa ni shida coz ni interview na hakukuwa na fujo yoyote Hv Mama ndiyo anapenda hii hali kweli ? Vitu vingine atakuwa anasingiziwa.
@JudithAdonis
@JudithAdonis День назад
Maandamano yamezuiwa wametii hawako barabaran......kuongea nako ni tatizo ? 🤔🤔🤔
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc День назад
​@@JudithAdonisyaan mpk nimeumia mtoto akiimuita baba baba
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 День назад
Mtu mmoja mna tengeneza taharuki kwa taifa zima kwani mnge muacha peke yake ingetokea nini
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu День назад
Wana vichwa vya kuku sanaa
@JudithAdonis
@JudithAdonis День назад
​@@AlbinMsechu😂😂😂
@JudithAdonis
@JudithAdonis День назад
Yaan...... yuko kwenye interview shida iko wapi ?
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc День назад
Niseme hivi afadhar ya mbowe Kuna video nimeona global tv mdada anafanya maombi tu na amekamatwa inauma sana wallah wabillah
@aureliajoseph8518
@aureliajoseph8518 День назад
Hata Kenya walianza hivyo hivyo ,, Maandamano hadi uharibifu wa Mali na hata kufikia kuingia Bunge na kuharibu.. Na Uganda wakaanza.... ila Tanzania hawataweza... Maandano ni Marufuku hasa ya kuamsha hisia za majonzi ni maandamano mabaya sana!!! Huwezi just raia watafanya fuji gani pale matamshi au nyimbo zitakazo imbwa kwa wakati huo.....Wewe unaweza kuamini ni maandamano ya Amani.. lakini huezi just nyuma ya pazia kuna ujumbe gani kwa mataifa ya Ughaibuni ambao kila uchao wanapenda Tz.Amani isiwepo ili wake wafanye mambo yao.... Eee Mwenyezi Mungu Ililinde nchi yetu..na Raia wake....❤❤
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 День назад
Mungu ni mwema,kukamatwa kwa Mbowe kumeepusha vifo vingi kama maandamano yangefanyika
@KCc-zt3oj
@KCc-zt3oj 15 часов назад
Wewe hauna akili angekuwa mamako ndo katekwa kidogo ungekuwa unakijua unachokisema mpuuuz wewe
@chikizamifupa5786
@chikizamifupa5786 15 часов назад
@@KCc-zt3oj Chizi wewe
@evanckanyika5812
@evanckanyika5812 День назад
Mnatumia nguvu nyigii kuficha ukweli jee mnajua mungu nae anafichwa kitu mtaumbuka tuu xiku yake mungu yupo
@sulaimanmallecha6134
@sulaimanmallecha6134 День назад
Hakuna kazi yenye liana kama mapolisi ya tanganyika
@robertphilip385
@robertphilip385 День назад
Ukiwakamata wapinzani maana yake nikwamba ujumbe umefika mpaka kwa jumuiya ya kimataifa kwamba utawala wa ccm niwa kidictetor
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 День назад
So what?kwani sisi watumwa bado?
@themaestro-24
@themaestro-24 День назад
HONGERA SANA WAANDISHI WA HABARI MMEFANYA KAZI YENU KWA WEREDI.
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire День назад
Hasaaa ujumbe unafika Kwa watanzania na akili zipate uelewa
@JumaMkiji
@JumaMkiji День назад
Niaibu kubwa Sana Kwa Taifa letu uniuonevu mkubwa
@EmmanuelMajele-ny2hk
@EmmanuelMajele-ny2hk День назад
Kila mtu ameona unyanyasaji huu lla Siku lnakuja
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 День назад
Ccm wapuuzi maumbwa
@GeofreyJackob
@GeofreyJackob День назад
Mbwa ww
@CatheRahma
@CatheRahma День назад
Ila hii nchi
@MohamedHussein-tj5eu
@MohamedHussein-tj5eu День назад
Kenyan we support you never give up
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 День назад
Acha shobo nyanga'u mmoja,huku hakuna mazombie km kwenu tena ukome kushobokea nchi isokuhusu
@Peterchipemba
@Peterchipemba День назад
Mbowe,,wewe ni mwamba wa tanzania,,wewe ni mkombozi wa tanzania
@JumaThomas-f1z
@JumaThomas-f1z День назад
Hizi siasa imekuwa ni kama vita sasa
@JacobHalili
@JacobHalili День назад
Njaa mbaya Sana watu tukalime mapoli tunayo
@miriamumasswwmassawe9165
@miriamumasswwmassawe9165 День назад
Mungu kadhihirishe ukuu wako kuu ya taifa la tanzania,kasikie maombi yetu sisi ambao hatuna pa kusemea,hatuna wa kumlilia zaidi yako mungu mwenye haki...muumba ya mbingu na ardhi,kama ikikupendeza usiruhusu tena utekaji na uuwaji wa raia wa Tanzania, kawadhihirishe hao wasiojulikana wanaoharibu tunu ya amani katika nchi yetu
@IddyAdam-ww1mq
@IddyAdam-ww1mq День назад
Hii nchi Ila ipo siku majibu yamaswali haya yatatikana navilevli kama maandamano yapo kiktiba kwann mnazuia watu kuandamana tena kwaamani
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 День назад
Asanteni sana waandishi wa habari
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj День назад
Kwakweli Tanzania hatuna democracy
@ismailhaji-b4s
@ismailhaji-b4s День назад
Na isewepo kabisa maana ni upumbafu na ujinga maana watu wachache wenye tamaa wanatumia mobilization ya watu kwa kuwahadaa, wanaongea maneno matamu ilihali midomo yao inanuka.
@AzizaMayemba-td8po
@AzizaMayemba-td8po День назад
Upo sahihi​@@ismailhaji-b4s
@SuzyMongi-ov8wk
@SuzyMongi-ov8wk День назад
MUNGU yupo HALALI wala hasinzii oneday YES🙏😪
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h День назад
Watanganyika uji kiongozi wa chama anachukuliwa
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv День назад
Ipo siku
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 День назад
Kiti kitamu, mama hayupo tayari kukipoteza😂, ila watanzania wengi bado hatujajitambua. Ngoja wachache waendelee kulitafuna taifa wenda mtakumbika shuka pakiwa pamekucha.
@KingKong-gu5qn
@KingKong-gu5qn День назад
Kweli Tanzania government inaogopa ukweli na uhalisia
@VoccaBeatz-xf2jg
@VoccaBeatz-xf2jg День назад
Tanzania imeoza tu hakuna uhuru wowote bora kwetu Kenya raia wako uhuru
@songeza
@songeza День назад
Sio mtoto wake mbowe ni mchochezi sana sana hicho kishikaji chake kimalaya tu
@themaestro-24
@themaestro-24 День назад
TABIA KAMA ZA BABA YAKE WA UBATIZO😢😢😢MUNGU SIMAMA KATIKATI YETU.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 День назад
Mbowe ww Ni mtu mkubwa umejaza waandishi waooo🎉🎉🎉🎉
@JosephAndrea-s5u
@JosephAndrea-s5u День назад
Waandishi wa habari wachochezi sanah washamba hao
@salumsasua9906
@salumsasua9906 День назад
Iyo Dunia hata Ione itakusaidieni nini pendeni amani ya nchi yenu acheni kumfuata mboe mpuuzi
@LukasMnyeti
@LukasMnyeti День назад
Polisi aseee hakuna haja kupeleka hata mwanangu kujiunga na polisi wanatumika mno kwa sasa katika siasa
@brunoakonaay
@brunoakonaay День назад
Wewe ni mtu sahihi sana, je unahisi maandamano yoko ni salama, unahisi watanzania wako ni salama, nini faida ya maandamano yako, je, unahisi ni suluhisho la mkataba wa amani unalolihitaji lipo kwenye maandamano, nikushauri ndugu yangu, amani ya moyo ni zaidi ya vita kwenye magumu mengi, mama amekuelewa, fuata taratibu, Asante
@elisantemasaki
@elisantemasaki День назад
Mungu anaona kila neno msiache maombi kwa Jina la Yesu
@SaidKiganga
@SaidKiganga День назад
Hakika mh mbowe nikamananda namtetezi wahaki Iko sku m/mungu atamuunua juu
@SameheRobat
@SameheRobat День назад
Pole sana baba
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 День назад
Natamani mungu afanye jambo kwenye nchi yetu imekuwa yamateso sana
@IsmailMjeshi-y6d
@IsmailMjeshi-y6d День назад
Acha tuuuu 😢
@shomariissa4656
@shomariissa4656 День назад
Halafu Kenya huenda haipo Afrika 😮
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 День назад
Kwahiyo siku hizi nchi hii kiongozi akiwa hanaojiwa Anakamatwa😂😂😂
@mishimzihir421
@mishimzihir421 День назад
Bora wafanye Tz ya chama kimoja tuelewe nitaki Oman hata nkludshwa nadifenda clud mbwa mm 😅😅😅
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 День назад
Good
@JosephAndrea-s5u
@JosephAndrea-s5u День назад
Unafiki unafiki mwingi
@swailarashid
@swailarashid День назад
Nyinyi waandishi habar ndoo mliemponzaa mtoto wa mbowee nae adakwe
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw День назад
Polisi wana hekima sana wamemheshimu huyu mzee Mbona hajatembelea kucha
@raymondclaud6026
@raymondclaud6026 День назад
Ili iweje wewe bunju wa kijani amka huko ulipo sio
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 День назад
Du hii sio nchi ya haki
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f День назад
SAFI SANA HII NI SERIKALI YA TANZANIA SIO SERIKALI YA SAMAKI LAZIMA UTII SHERIA ZA NCHI NIMEFURAHI SANA
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 День назад
🤝👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ZeynabAlly-k4j
@ZeynabAlly-k4j День назад
Huyu mwacheni ni MTU mwenye hekima na busara tatizo atumii akili anaburuzwa na lissu na akimfunza lisu tu yuko vizur kwa urais tatizo lissu
@AngelCharles-sn3hs
@AngelCharles-sn3hs День назад
Ukiomba kwajili ya nchi hii mungu hata nyamaza! Utablikiwa sana
@emanuelmwakamisa2511
@emanuelmwakamisa2511 День назад
Ivi polisi wa nchi yangu mmejiuliza kwann waandishi wa habari wanajitahidi kupiga picha namba za gari yenu?
@flm1530
@flm1530 День назад
Hao wanaigiza tu nendeni mkaangalie majumba anayomiliki mbowe sisi maskini ndo tutakao umia kweny maandamano
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 День назад
Wamejituma kufanya kazi kwa bidii ndio maana wanamiliki izo nyumba jitume na ww
@Joppa555
@Joppa555 День назад
Ebanaee Aibu nahisi mim😢😢ati mke na watoto nawaaga naenda kazini😂😂😂😂bora niwe machinga rada zikigoma
@ShaibuYahaya-v4b
@ShaibuYahaya-v4b День назад
Mzee mboe ss tupo pamoja na ww na uwe na amani
@salimhassan6514
@salimhassan6514 День назад
Shujaa wa kweli F A Mbowe
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr День назад
Kwn kuna maandamano na amsemi mna siri
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 День назад
Jamani.Mungu irehemu serikali ya Tanzania
@NdilanhaBoniphace
@NdilanhaBoniphace День назад
Maandamano ya wandishi wa habari ila bongo 😅😅😅😅
@OnesphoryJKMboya
@OnesphoryJKMboya День назад
Yaani sisi Bado sana kudai haki yetu,tutaumia moyoni tu,dar,wanashindwa kuungana na wadai haki,,,mtaishia kupata huduma mbovu mahospitalini huku wachache wakinufaika na raslimali za nchi.
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd День назад
Maamdamano tayari yamefanyika
@daudimchileg307
@daudimchileg307 День назад
Kwani aliandamana au
@BigMan-f1v
@BigMan-f1v День назад
😂😂
@oswardmsigwa5728
@oswardmsigwa5728 День назад
Hey you government never try to separate your people
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw День назад
Haya nendeni mkapumzike sasa kilichokua kinawawssha kishatulia
@MalegiKidayi-sq4tm
@MalegiKidayi-sq4tm 20 часов назад
Nimependa upendo wababa kwa bint yakee❤
@ezekielmapunda2751
@ezekielmapunda2751 14 часов назад
Ushindi wa ccm sio mpaka apende Mungu,,,,ni lazima Mungu apende asipende....
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 День назад
Kwanza nashukuru kuona waandishi wa habari wameweza kumuhoji na kujieleza inatosha kujua hali ya nchi ilivyo
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 День назад
Hiiiii ccm nahanza kuichukia sasa wana
@alisuleiman303
@alisuleiman303 День назад
Mnaipeleka wapi Tanzania wana siasa???
@mwanjammassa8563
@mwanjammassa8563 День назад
Kwa hiki ninachokiona kwenye hii video,ndo nimeamini kwamba,TANZANIA mumefika pabaya. Giza limewatawala. CCM, kazi munayo.
@tumainipauli4020
@tumainipauli4020 День назад
vipi mbona kumtetea Yesu hammpo
@gidongailo7174
@gidongailo7174 День назад
Kumtetea Yesu ndo nini na wewe, mbona unaandika ujinga hapa? Yule Petro aliyechomoa upanga na kumkata mtumishi wa Kuhani Mkuu alikuwa na mawazo kama yako. Yesu hatetewi na hakuna uchuro kama huo katika Ukristo
@MgeniNyela
@MgeniNyela День назад
waafrika kusonga mbele ni kazi kubwa yaani police wanatumika km hii nchi wameimiliki
@AzizaOmary-x9e
@AzizaOmary-x9e День назад
Haki Amna tz kama kwetu
@iqramdilunga8810
@iqramdilunga8810 День назад
Mimi naona ni bora chama tawala kiwaite hawa wapinzani tena bungeni au kwenye kikao cha live na wananchi ila wajadiliane pamoja kuhusu swala la Kitafa ili mwafaka upatikane na amani izidi kudumu ndani ya Taifa letu bila malalamiko ya wapinzani na watanzania na bila kumwaga damu
@MbatiroShosha
@MbatiroShosha День назад
Mafahar wawili watakaazzmojakwemkuu kamainwezekananipoa kabisa?
@FedrickBoni
@FedrickBoni День назад
Inaboa sana ccm siwapend kutoka Moyoni mungu atajibu tu either kwa direct au indirect mnaficha nni had kutumia nguvu kubwa hivo.kama hampendwi hampendwi tu.nadhani kunamengi yanafichwa
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff День назад
Tanzania ÷ 2 = Tanganyika /Zanzibar. Zanzibar ÷ 2= Unguja/ Pemba! Muungano ni njia 2(barabara)
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu День назад
WATANZANIA WAMEFURAHI SANA KUKAMATWA MBOWE TZ OYEEEEEEEE CCM OYEEEEEE CCM IMESHINDA AMANI ITATAWALA HAO NI WANA CCM FURAHIENI
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 День назад
Tanzania hapana sijui akilizetu zimeazimishwa, uchawa umezidi sana Kwa namna hii hatufiki popote, Kama kunautendaji wa kweli wanaogopa Nini hao viongozi wangemuacha afanye maandamano wajue wapi wamekosea kusudi wajirekebishe. 😢😢😢😢
@Mercy-i9v
@Mercy-i9v День назад
Mimi siandamani mwenzangu nije kuvunjwa miguu kisaa watoto wangu bado wadogo sana aiseee
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 День назад
Nawachukia mnooo polic ..Hawa walilaaniwa Tangu Enz za Yesu someni biblia mtaamini hili..
@BenoSelapco
@BenoSelapco День назад
Maaskofu mashehe pazeni Saudi msingoje shiva itokee mungu ibariki chadema umoja wamataifa umeona ongeleni wanajabari mbowe mwamba tena mwamba jamaa anauchungu kweli mungʻ atasimamia
@feruzmato4422
@feruzmato4422 День назад
Yaan Naomba Mungu aichome moto hii serikali ya kipumbavu
@khambhai360
@khambhai360 День назад
Mungu hawezi kuichoma hii serikali Kama umechoka hamia Burundi
@YohanaKalemela
@YohanaKalemela День назад
Siasa za kishamba,,kwa dunia ya leo huwezi kutoboa,.. mbowe,
@YosephaShirima
@YosephaShirima День назад
Nyie police ambao mnaishi Kwa Kodi zetu niwaulize swali moja tu, huyo mliyemkamata ni jambazi au? Au mnafurahia watu kitekwa. Jueni hili hakuna marefu yasiokuwa na ncha. Kila kilima kina kilele
@KevinOlela
@KevinOlela День назад
jamamii jamniii Tanzania 🇹🇿 hiii ipo siku ilaa bado tupo nyuma sanaaa
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 День назад
Chozi limenitoka mm ni ccm lakn sio kabsa
@AzizaMayemba-td8po
@AzizaMayemba-td8po День назад
Unauhakika kwamba CCM ndo wamemkamata? na unajiita ata wwe ni ccm, mtu wa ccm awez kudanganyika na maneno ya uchochezi ambayo yanaichafua ccm
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc День назад
Hivi mpk sasa rais samia anajisikiaje wallah wabillah mimi nikiwa kama mzazi inauma sana ila Insha'Allah kheir binafsi nimeumia sana
@SwaabirMuhammad12
@SwaabirMuhammad12 День назад
Maandamano gani hayo watu wapo bize gereji hapo😂😂😂naona waandishi tu....hayo mambo tuachieni sisi wakenya...
@josephinemkini948
@josephinemkini948 День назад
😂
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr День назад
Wakenya si machizi
@BlessingsJosephMsofe
@BlessingsJosephMsofe День назад
Jamani mungu saidia hii nchi maana tumefika mwisho Yani mtu hajatukana hajavunja Sheria ila anakamatwa kama mhalifu mhujumu uchumi ee mungu shisha neema ya haki
@LilianDavid-w3b
@LilianDavid-w3b День назад
Hii sio haki kabisa
@ShanelMwampogole
@ShanelMwampogole День назад
Mtakufa Bure mbwa nyie Dunia hii wameshindwa mitume ya Mungu utaiweza ww mboe na uyo bint yako uyo kahaba, na inavyooneka uyo binti yako apo amekuja kufuata mwanaume Sasa ngoja wakamshughurikie wamtoe marinda kahaba uyo..
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 День назад
Danga lake tu hilo eti baba baaba baba huyo kwinyooo?madanga yao tu.atapata mkwe Leo km alimpeleka kumdangisha mitaani😂😂😂😂
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw День назад
Mbonahatawwmdangajitu
@Landisy
@Landisy День назад
Hamna, shida Ni ukamataji wa kistaarabu tu. Kila la heri kamanda mbowe.
@GufgChgy
@GufgChgy День назад
Angalau hamjalishwa tea gas😂😂😂. Africa ni Mungu tu atuonekanie
@BenoSelapco
@BenoSelapco День назад
Upon sahihi muheshimiwa mbowe tupo pamoja unatupigania na tutapambana kwa maombi na tutashinda
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 День назад
Kabla ya leo niliwaambia police kuwa waacheni waandamani shida ipo wapi imslisheni ulinzi tu ili wafikishe ujumbe kwa serikali, sasa leo mmezuia nn,? Ujumbe umefika vzr na serikali mmetumia nguvu nyingi, tuache siasa ifanywe huru na wanasiasa,
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 День назад
Siasa iko Kenya Tanzania bado sana
Далее
Gachagua impeachment plot: Nyeri residents react
5:28
Ничего не делаю всё видео 😴
00:33
Сказала дочке нет!
00:54
Просмотров 370 тыс.
OBINNA SHOW LIVE: I WAS  BETRAYED - Miguna Miguna
2:19:46
Просмотров 846 тыс.
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
Просмотров 1,3 млн
Ничего не делаю всё видео 😴
00:33