I wish president angesoma hiii comment yangu woiiiii fukuza hustle wote Nairobi warudi ushago 😅😅😅😅😅wajioneee vile tunaenjoy kulima na hatuna stress na bado baba akisimama bado tutampa kura 😮😮😮😮😮
Watching from Kondele Street 😂😂😂😂, wakikuyu hoyeeee , mnaonaje vile luos are now suffering 😂😂😂abaluya mriena abayie😂😂😂tuombeeni the okuyus, Kisii ba minto mbuya mnoo, hustlers wa Saudi Arabia na Gulf kwa jumla kef halik😂😂😂😂kwais, 😂😂😂omera to mitnaaa
Walipima kitambo barabara inatoka kikomba Digo kitui kinyago ishikane n Biafra walipima kitambo hadi maland loard wakapewa doi wakaenda Rwai kujenga uko sai kenya nikubaya kuna flay over inafua kujengwa hapo kinyago to blueEstat to shauri moyo wee kenya n God tuu 😢😢😢
Iyo ungojwa yenye unasema inakuja nguvuzake ilisha aribiya na malaika wa mungu na ataivo watatuma ziige wakuje kusambaza ungojwa ??? Juu ya anga lakini awana sumu tena namusije muka ogopa nacha mwisho mwenyezi mungu asha vuja nguvu zagiza na akuna ugomjwa kwamwe na sasa wakenya tufanye bidi kwa maombi
President hulipwa 2.3M Na alienda America 🇺🇸 agreement ya kujengwa barabara express way from narb to mombasa na itajengwa na America and itakuwa ya kulipishwa na watailipisha 30yrs wajilipe pesa zao the journey will be taking 5hrs na inacost millions of Billion niliskia leo magazetti alafu raila alinyamazishwa juu anawania kiti cha sijui what Africa na anataka rais amfanyie campaign ndio maana mnaona joho na wenta wakigongana kuhusu nani atachukuwa ushukani after raila
Rebeccah-nz7bq 9 hours ago Wueee, Zaka ni Zaka tuu, yaani hataki kujengea watu walio adhirika na mafuriko, kazi ni kuharibu kenya😢😢😢😢.More and more than ever since we got independence.
Shida ya wakenya n kelele tu badala wafanye kazi wanapenda vya bwerere mnataka serikali iwafanyie shipping ya kila mwezi?? hata hizo shamba serikali zinachukua yes nizao wachukue, kama kama kitu c yako peana kw amani n uombe mungu akupe chako, kenyans hawana asante kabisa, sasa mnasifu uhuru n yeye alikua anatumia pesa za kukopa nchi zingine n miaka zikisonga uchumi nayo inapanda nchi zote sai uchumi iko juu lakini watu wanangangana n maisha bila kelele aaai kenyans fanyeni kazi jameni ushuru iko kila pahali😅
Hakuna mtu ameiba kutu ataiongoza Kenya!! Hata Raila alikula pesa ya displaced akiwa prime minister , watu walikaa bila makao na wao wanasherekea pesa ya wanyonge! Kalonzo, Martha au Peter Kenneth❤❤ Raila anajipenda sana anaacha kuongoza opposition.....aliacha akina Wetangula ati akafaidike pekeee!!!! Wakenya tunataka kiongozi si Idi Amin
Weee Jackson. There are some pastors who have legitimate jobs and they pay TAX. Like Apostle Paul. Those who do not work and are wealthy hawajateuliwa na Mungu. They only preach about prosperity gospel and other jokes that are not funny.
Jackson hata watu wa kibera waanze kuhama juu wanakujiwa soon walikua wakienda kwa ruto karen kukula kitawaramba pia na venye amekua akichoma toy market juu anatakanga hiyo toy market wakenya mnafaa kuchanuka
Watumishi wa makanisa dunia nzima walikesha kwa mulima wakiomba wakati wa uchaguzi walirudi na matokeo ya kwamba Ruto ndiye ataongoza kenya wakenya tunaumia watumishi mulitumaliza