Тёмный
No video :(

BREAKING: RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA NAPE NNAUYE NA JANUARY MAKAMBA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 116 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@nassirjuma5780
@nassirjuma5780 Месяц назад
Hapa mama amefeli kwenye waziri wa ardhi dah mama unafeli wapi
@fridamossony2821
@fridamossony2821 Месяц назад
Mama TUNAOMBA uturudishie Jerry kwenye uwaziri wa Ardhi
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Migogoro yote ambayo hakumaliza kutatua itakua shida sana😢
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Месяц назад
Mama mrudishe Jerry silaa pls huyo nape atumtaki mama mrudishe silaa tuko chini ya miguu yako mama
@user-pq5by8xp8m
@user-pq5by8xp8m Месяц назад
Mama tunaomba ikikupendeza jerry Silaa umrudishe wizara ya Ardhi. Alipaweza sana. Mungu azidi kukubariki Rais wetu.
@alexsimon5576
@alexsimon5576 Месяц назад
Ni mama kumbe??
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
​@@alexsimon5576😂😂😂
@user-bv4bw1wp2e
@user-bv4bw1wp2e Месяц назад
Jery silaha na habari wapi na wapi hii inchi wanaotuongoza nao wanaendeshwa acha maisha yaendelee Mugufuri oyoooo 😂😂😂😂
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Месяц назад
January makamba utashangaa atarudishwa tena hii nchi ngumu sana
@lilyjones3584
@lilyjones3584 Месяц назад
@@ziddyziddy2524 Huenda akapewa ubalozi
@augustinemzeentinginya3057
@augustinemzeentinginya3057 Месяц назад
​@@lilyjones3584 Afungwe
@user-wd4xl5cl4y
@user-wd4xl5cl4y Месяц назад
Hichi NI kipindi cha kutenguwa na kuteuwa tu hamna jipya 😊
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Месяц назад
Dr Slaa anapaswa kubaki ardhi aendelee kuweka haki na sheria. Ila Nape aliongea mbata😊
@sk-wj9or
@sk-wj9or Месяц назад
Sad day for Tanzanians . Jerry silaa was fit where he was. Gang wins
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
I concur with you
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Месяц назад
Tupeleke maombi JERRY arudishwe ardhi
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 Месяц назад
Amegusa wasioguswa
@sk-wj9or
@sk-wj9or Месяц назад
@@georgewilliam6001 there's a question mark ❓️ I wonder who are those??
@EdwardmeshackLaban
@EdwardmeshackLaban Месяц назад
Mh, Rais wetu tunaomba mrudixhe Jerry wizara ya Ardhi pls mama.
@lilyjones3584
@lilyjones3584 Месяц назад
Bado kasahauliwa mmoja yule aliyewaambia watu wahamie Burundi 😅
@brysonmandari5694
@brysonmandari5694 Месяц назад
Huyo analinda maslahi ya wakubwa hawezi tolewa
@paulsibu5770
@paulsibu5770 Месяц назад
Ila Nape Aliongea Ovyo!
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 Месяц назад
Anarahisisha upigaji hawawezi kumtoa
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Месяц назад
Kabisa tunamngoja huyo
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u Месяц назад
Mwacheni mama mambo ni polepole anajua anafanya nini
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 Месяц назад
MH SILAHA LAZIMA AONDOKE KAGUSA PABAYA!! PETROL STATION NYINGI BARABARA KUU JE MNAZIJUA NI ZA NANI???
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 Месяц назад
Mhn....hatuna wakil mkuu acha time will tell
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Месяц назад
Hii nchi hii ina mambo sana
@Anti-socialSocialClub
@Anti-socialSocialClub Месяц назад
Shida hapa ni katiba. Raisi anapaswa kuchagua mawaziri kutoka sekta zote hata sekta binafsi... Sio anawazungusha watu wale wale kila siku kila wizara
@BenniMinja
@BenniMinja Месяц назад
Safi nape hakufaa kuwepo hapo safi sana aamua wetu kazikazi
@petermvellah4120
@petermvellah4120 Месяц назад
amezingua
@nasibukambona2586
@nasibukambona2586 Месяц назад
Safi saaanaaa mama
@NassorMohd-lp1dp
@NassorMohd-lp1dp Месяц назад
RAIS WETU MPENZI HEBU FIKIRIA TENA ZAIDI KUHUSU KUMUONDOA SLAA KTK ARDHI MBONA TWAMUONA ANAWAJIBIKA SAAANA TUTU
@MdalesioWilliam
@MdalesioWilliam Месяц назад
Kwa upande wa ardhi umefeli jery alitufaa zaidi
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson Месяц назад
Hivi kuteua uongozi ni baada ya muda gani maana sielewi,ila hapo kwa silaa tunaomba mrudishe
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Месяц назад
Haya bhana jamani hawa Wawili hawana vipaji vya uongozi kabisa ,hekima ,kauli zao hazitubariki kabisa
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 Месяц назад
Shida ya mama kiongoz yyt akipendwa na wananchi anamtoa, anataka kuonekna manake huwa anapotea kila anapojitikeza kiongozi anayeongelewa vzr na wananchi katika ngazi yyt ile
@nurubarakekenwa7557
@nurubarakekenwa7557 Месяц назад
Dah mheshimiwa Rais uteuzi ni mzuri mno ila sisi wana nchi tunakuomba waziri slaa mrudishe wizara ya aridhi.
@Athumanmreta
@Athumanmreta Месяц назад
Saf January makamba ni jipu ndo maana magufuli aliwatema mama alipaswa aachane nao
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Месяц назад
UKimzengua mama , anakuzengua, hakuna mazoea twende kazi, mwendo wa kimya kimyaaa na mama
@amaniandrew534
@amaniandrew534 Месяц назад
Duuh,kila siku ni mabadiliko
@KomboMussa-dq3gy
@KomboMussa-dq3gy Месяц назад
Mdogo wangu Nape masikini.
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Месяц назад
Nimekereka sana...turudishie Jerry Silaa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Месяц назад
Hawa watu Toka jpm hawatakiwi nyinyi mkawarudisha
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 Месяц назад
Nashukuru kumuondoa January makamba.
@bilid4128
@bilid4128 Месяц назад
Mh Rais aliyekushauri umuondoe Jerry Silaa,alikupotosha.Jerry silaa alifiti sana hiyo Wizara ya Ardhi .Huyo Ndejembi wanamshangilia sana wale Matapeli wa Ardhi maana wanajua watamuweka kiganjani
@francisgituti2494
@francisgituti2494 Месяц назад
Hapa kwenye aridhi na Habari mumechemka Hao watu Wali kuwa wakifanya vizuri kuliko
@user-zn8sy8nc3h
@user-zn8sy8nc3h Месяц назад
Slaaa kwenyee ardh anamudi sanaa maana nimwanasheria
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Месяц назад
Sasa petrol stations zote zilizosimamishwa kwa sababu zimejengewa katika barabara zisizo rasmi kinyume na sheria, sasa tutaziona zinafanya kazi... tukiona hivi tutaona kabisa dhamira ya kumtengua Jerry Silaa haukuwa nzuri
@lilyjones3584
@lilyjones3584 Месяц назад
@@omarymnuru8746 Tanzania kuna wananchi na wenye nchi. Sasa pengine Slaa aligusa vya wenye nchi!
@ellentukiko5699
@ellentukiko5699 Месяц назад
Mama, PLS, PLS, PLS, PLS. PLS, PLS, Jerry Slaa mrudishe Ardhi
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Месяц назад
Mama tunakuomba sana umrudishe Jerry hao wengine wafukuze
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
Kwa matamshi ya Nape watanzania tuache kupiga kura wawe wanajiweka wenyewe wanavyotaka yaani watwambie wazi kuwa hatuna haki ya kuchagua tunao wataka
@nestor384
@nestor384 Месяц назад
Kuna sehemu mbili mama alipaswa kufukuza kabisa ni Bashe na Jerry Slaa Hawafai hata kwa dakika moja ya ziada!
@ngusawales2039
@ngusawales2039 Месяц назад
mama Kwa jery amefer
@user-pw9ir4fg7x
@user-pw9ir4fg7x Месяц назад
Kwa Jerry mam tunakuomb mrudishe aridh tunakuomb mama!!
@maxlesijila6598
@maxlesijila6598 Месяц назад
mmmh!! JPM hapo!!
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Месяц назад
Yani baada ya kuona tuna faidika jelly silaa ame tolewa ili waje ao wasio penda akiii watutese Tena alizii zetu Asante kwa uteuziii mbayaa wa jeliii silaaa
@user-kv8sq6qz7g
@user-kv8sq6qz7g Месяц назад
Kwanini lakin jerry silaaa katolewa pale mama lakin
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Kweli usemi wako
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Месяц назад
JERRY ARUDISHWE ARDHI PLS
@HappyKitindi
@HappyKitindi Месяц назад
Jerry alivunja nyumba ya Tom 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
@@HappyKitindi sheria msumeno 🤣
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Wallah changamoto ya migogoro inarudi upya
@habibamfaume9013
@habibamfaume9013 Месяц назад
Mie sijajali nani kwenda wapi kikubwa hao watu waliotimuliwa nimefurahi sanaaa ila bado mtu mmoj hapa Mwigulu nae hafai
@hassanissa4145
@hassanissa4145 Месяц назад
Nibora uyo Nape alivosepeshwa lkn hata hivo hana njaa tena
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Месяц назад
Jerry Silaa amalizie kazi aliyoianza mrudishe
@othumanomari1589
@othumanomari1589 Месяц назад
Wachatuone akizingua tuna Andamana Arudi Jerry slaa
@SaidNtahonvukiye
@SaidNtahonvukiye Месяц назад
Ach mam Yuko kazin mam kaz iendley
@PreslePresident
@PreslePresident Месяц назад
Uhuni uhuni tu
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 Месяц назад
Nje ya box hao wanaenda kuandaa uchaguzi ujao
@allyalsubhy6899
@allyalsubhy6899 Месяц назад
Kwanini ukifanya vizuri unahamishwa Hawa washauri vipi bc tuulizwe sisi wananchi Slaa arudi ardhi
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t Месяц назад
Mama yangu kipenzi 🙏🙏🙏😭😭😭.Turudishie Jerry Silaa Waziri wa Ardhi
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z Месяц назад
Samia kanikera kweli,,sijui anapelekeshwa na nani,,, Yaan mtu mzur anaetetea haki za wanyonge,unamtoa. Makonda ulimtoa,jerry umemtoa,hivi wewe mama unachotaka ni nini?? Basi kaa wewe ktk nafas zote,
@theodorasalvatory7613
@theodorasalvatory7613 Месяц назад
Amtegemeaye mwanadamu amelaniwa
@alinanuswe1704
@alinanuswe1704 Месяц назад
Kutowa Jerry slaa tuko ardhi mama has flopped. Let the games for 2025 elections begin!
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Месяц назад
Rais kumtoa Jerry Silaa katika wizara ya ardhi haijakaa poa kabisa... kwetu wananchi tunaona kabisa kama ameiweza wizara... tunajua wewe ndio mwenye mamlaka kuteua na kutengua...
@alexmottielitetv361
@alexmottielitetv361 Месяц назад
Safiiii sanaaa ,ila kwenye Ardhi tu arudi
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Месяц назад
😮😮😮 ngoja tuone
@user-rh4ej7oq9j
@user-rh4ej7oq9j Месяц назад
Jerry slaa arudishwe wizara ya ardhi nape na makamba make kwa kutulia
@annanewton8980
@annanewton8980 Месяц назад
Silaa arud kweny wizara yake tafadhali Mama
@kisumouongo2paul123
@kisumouongo2paul123 Месяц назад
Mbona slaa aliweza
@jawahiriaelmy
@jawahiriaelmy Месяц назад
Lukuvu yuko bhan😊
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Месяц назад
Nje ya box
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 Месяц назад
Kwa slaa..!? naona hata kama kakosa... moja, apewe nafas ingine hapo hapo ardhi...ili japo amalize mission' mana matapeli ni wengi sana wa ardhi
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Месяц назад
Samia alitaka magufuli aonekane mbaya alivyopata uraisi akawarudisha vibaka wote sasa wakamuonyesha 😄 🤣 eti utenguzi...wapemba wanahamia bara
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Месяц назад
Wewe unaesema silaa hana kauli nzur utakuwa ni tapeli wa viwanja
@HappyKitindi
@HappyKitindi Месяц назад
Hahahahahaaaaaaa
@ChachaNyabare
@ChachaNyabare Месяц назад
Wee watu hawakutakiwa tokea kipindi Cha magu wewe ukawarudisha ili tu magu aonekane aliwaonea kumbe hawakufaa chochote tunajua wanapewa heshima Kwa sababu ya wazazi wao walikuwa viongoz
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
HUYU MAMA MITEGO MIZURI ULIPOKAA UWA ANAIVURUGA KAANZIA PALE KWA MAKONDA KUALIBU MPAKA SANA BADO ANAENDELEA NA KUALIBU UNAFELI WAPI MADAM SAMIA??😮😮
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Месяц назад
😂 Mama Bado Mmoja Mwigulu Nayeye maana Bado ninakumbukumbu nakauli yake yatozo akatwambia kamavipi tuhamie Burundi wakumbuke Hii Nchi Kila Mtanzania anahaki yakua Kiongozi ispokua nikufata taratibu
@agapealmasi2065
@agapealmasi2065 Месяц назад
Hivi hizi teuzi za tengua tenga ni mama kweliii au...?...mimi binafsi huwa sielewagi!!!
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
Hawa hawatarudi tena kuwa wabunge uchaguzi ujao
@maxlesijila6598
@maxlesijila6598 Месяц назад
Mh. J. Slaa HAKI HUINUA TAIFA !! nawaza nyumba zilizovunjwa , Viwanja , Vituo vya mafuta nk
@hellenmgonja6137
@hellenmgonja6137 Месяц назад
Mama samia kwakweli hapo umechemsha sanaa,sawa b
@J4UPro
@J4UPro Месяц назад
Safi sana hahahaha ❤❤❤❤❤
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Месяц назад
aaaaa Jerry Salaa ulikuwa usimuondoshe awe kesha fika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@msuyawilliam9307
@msuyawilliam9307 Месяц назад
kwan rais anateua mtu anaefanya vizur kaz au anateua mtu anae mtaka?
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Месяц назад
Yale Yale;Magufuri alijua hawafai akawaacha; Rais Samia akaona walionewa Kiko wapi Sasa tilijua hafiki Nao popote:Ila kwa nafasi ya aridhi ameharibu Slaa alitosha kabisa: Hawa wawili Nape na Januari Laana ya kumtukana Magufuri mitandaoni itazidi kuwaandama tu mbona watakoma na uchaguzi Unakuja
@saudarashid2644
@saudarashid2644 Месяц назад
Mama nakuomba mrudishe Jerry Slaa kwenye wizara ya Ardhi
@ommimg2467
@ommimg2467 Месяц назад
Utenguzi akati mwingine uwe unaangalia sio kutengua tu, unaona wananchi woote ambao unategemea wakupe kura habari yao ni Waziri Jerry tu, kwanini? Kwani Slaa anafanyia kazi rais au anawafanyia wananchi? Kama anawafanyia wananchi inakubidi uwasikilize wananchi... Kingine Mawari wanapaswa wajifunze kitu kupitia Huyu Waziri Jerry.. imeisha HIYO🚶
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Месяц назад
Wanahamishwa huki mara kule ni wale wale tu.Kwani nchi haina watu wapya wa kuwaweka kwenye hizo nafasi???
@user-yo9zq5wk7s
@user-yo9zq5wk7s Месяц назад
Tim mizoga hiyooo naiona unaelekea mwisho.bado mmoja nawarudi kijiji I kabisa yaani bungeni tu.
@EdwardLuwoga
@EdwardLuwoga Месяц назад
Mama tunaomba ww kama Rais wa Nchi turudishie Jerry Sraa Waziri wa Aridhi
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Месяц назад
Sasa kaelewa kwanini JPM aliwapiga chini.
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s Месяц назад
Ivi yule aliyekuambia tuhamie Burundi Bado ni waziri wa fedha Tena Mimi sikuiona hatua imechukuliwa ningependa yeye ahamie Burundi kabla ya uchaguzi mkuu ili tuwe na Imani na raisi magenZ
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Safiiiiiu sana fukuzaa haooo kila kitu ni SUBILA. Tumbuwa malipo ni hapa hapa dunia i dhambi zao badozina waosha😂😂😂😂😂
@bigirimanadeby7551
@bigirimanadeby7551 Месяц назад
Hao wazee ,,nina imani wanaenda kuandaa uchaguzi side ya ccm
@vero57
@vero57 Месяц назад
Uwamuzi huu kauliza wezie au mweyewe tuu kaamua????😮😮
@HarunaKadege
@HarunaKadege Месяц назад
Vp kuhusu mwamba alietuambia tuhamie burundi mama panga lako limpitie yule jamaa ukifanya ivo mimi nitakua na wew mwanzo mwisho mama angu.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Месяц назад
Mama wewe ndio unawajua zaidi watu wako lakini SLAA uko tena habari mbona akili zinagoma.
@alexmottielitetv361
@alexmottielitetv361 Месяц назад
Mtu anafanya vzuri anatolewa duu
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Месяц назад
Watu wengi wanalaumu utenguzi wa Jerry kwenye ardhi lkn mimi niko tofauti Jerry hakua na utendaji mzuri kwenye ile widhara hususani ktk kua na kauli nzuri kwa wananchi amekua na kauli mbaya sana na kupenda kutishia watu kua ntakuweka polisi yani ni kama alijiona Mungu mtu pale wizaran
@tanzanianpatriotic3532
@tanzanianpatriotic3532 Месяц назад
kujiona Mungu mtu sio kweli,labda kama Kuna mambo Raisi anatakà afanye zaidi lkn hakufanya ila ulilosema sio kweli.
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 Месяц назад
​@@tanzanianpatriotic3532mwambie huyu nadhan hamfaham slaaa,,ni katika mawaziri wapole sana
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
Jamani nape;what a loss
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Mwizi tuu yule hana mana yoyote
@furahamwakalukwa
@furahamwakalukwa Месяц назад
Mh Rais wetu mpendwa hongera mno kwa kazi hii njema ila tunaomba sana tena sana Jery Slaa amrudishe kwenye ya Ardhi.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Walifikiri ni churu kiziwi. A nasikia yote😅😅
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
@@adelinelyaruu3036 kwa nini kawatimua wahuni wenziwe samia? Jamani
@EdgarSongaleli
@EdgarSongaleli Месяц назад
Mama rudisha lukuvi
@danielshauri6390
@danielshauri6390 Месяц назад
ASANTE MAMA KWAKUTUONDOLEA WAHUNI
@kasaki_Selemani
@kasaki_Selemani Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9ASGicQHYVI.html&feature=shared UNASEMA NDIYE KUMBE SIYE
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Месяц назад
Mama tunakuomba sana umrudishe Jerry hao wengine wafukuze
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.