@@bright_tzlisubiri kwa hamu kubwa sana hii ngoma na nilijua tu ya kwamba autotuangusha mafans wako na ni kweli umetimiza jukumu lako na sasa ni wa kupokea maua yako 🎉🎉🎉
hizi ndongoma ambazo unasikia mpaka unahona inakugusa wewe kumbe siowewe uliye himba kumbe ni kweli ongera ❤❤❤❤❤ ndio bila mungu uwezi Fanya lolote mungu akuzidishie ili ufanye vyema 🇨🇩🇨🇩
Habari jamani. Yesu KRISTO anakupenda wewe unayesoma huu ujumbe, mpoke Yesu leo. Sema hii sala. Yesu nakuamini kuwa Wewe ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu, naamini ulikuja duniani ukafa siku ya tatu ukafufuka, nisamehe dhambi zangu zote, namkataa shetani nakupokea Wewe Bwana Yesu katika maisha yangu, nifanye upya.. Amen
Nikweli bila MUNGU HUWEZI KUTOBOWA kaka yangu, ila usiache mlango open ukitumainia MUNGU ndiye atufunga, bro wangu jiongeze NB:NATAMANI SIKU MOJA NA WW UTOBOWE, MACVOICE NA IBRAH WAMAKONDE NI WATOTO WADOGO SANA KWAKO(GAME 🎶🎶) 🙏🙏 FANYA KWELI BRO WANGU AND GOD BE WITH YOU 🙏🙏❤️
Your Always doing Bright Music like your Name God is good all the time lets go to the fullest Nigga, Champions never come easy, Fighting is a spirit Forever🙏 God Bless all the Works of our Hands "Ameen"