Nilisha wai sema huyu kijana ni muimba mziki mzuli unao elimisha ila sisi mashabiki tunapenda ngoma za mapenzi kuliko hizi zinazo elimisha hongera sana kijana Songa mbele bila kujali maneno ya wapinzani wako mashabiki tubadilike hizi ndo nyimbo ❤❤❤❤
Kwanza nikupongeze sana yani ile kuwaza tu ufanye kazi na Best Nasso nimekupa 100% huyu ndugu nimoja ya wasanii walio amini mziki wao na kuupa heshima best nasso anajuwa nini anafanya mmeimba vizuri sana hongereni sana miyamba❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ndio tatizo la tz ngoma za maana azipewe sapoti kabisa Ila matusi wanaojifanya mziki wawawakati ndio wanapewa sapoti bongo akuna sapoti ktk mziki mzuri
Sasa hapa hom boy wangu hcho kitengo kilimkaa Ni hatari ogopa mi nipo tayari kuwaongezea views zaidi ili ngom uende alaf bro bright gem bado inakuhtaji usikae kimy Tena nimefurahi kuiona hii korabo SEMA him boy fungua Basi hcho kijiwe HTA like kwetu alaf umuajri mtu. Kiufupi mmetishaaaaaa mi ntaipushi ngoma yaaan ntashare
Hii ndio kazi nzuri ya kisasa ya sanaa ya muziki haya tuwaone wabongo wataipa thamani gani basi hata wadau wa muziki waachane na maslahi waangali vipaji kwa faida ya kesho ya vizazi vyao
Hii hapa Sasa kazi yakimaisha..wimbo wa wataftaj Wimbo wenye ubora na ladha Kwa wapambanaj kimaisha... Wabongo tulivo eti Hiz nyimbo za hivi ndio tunazibania Milango yakuingilia mjini. Bright umelenga sana kumpa kolabo Best naso
Bright. Never Give up Keep it fight your time is coming soon. Amini katika Mungu ndy kakupa kipaji. Kila mutu na muda wake ni swala la Muda. Nakukubali your talented
Hongera kwa mziki mzuri Kuanzia Bila Mungu sitoboi, Ungesubiri na Nitakukumbuka umekua na idea kali sana za kimziki. Keep up with the hustle ubarikiwe mzazi.