Kaz nzuri broo sema ilii urudi kweny game ni must ufanye collaboration now na wasanii new generation kiukweli itakupa nafac masikioni mwa watuuu tenaaa
Nyimbo zako zote nzuri sana na mimi ni miongoni mwa mashabiki zako nilikuwa natamani kukuona atimae nilikuona live kwenye show ngara kagera tz natamani urudi kwenye show tena