Тёмный

BSS 2023 SN 14 EPISODE 14 TOP 6 G, FINALE 

BongoStarSearch
Подписаться 410 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@lazaroamani6076
@lazaroamani6076 7 месяцев назад
Salama Jabir amekua akijudge vema sana kuliko wote this season
@SaidSaid-o3s
@SaidSaid-o3s 7 месяцев назад
salama umenifurahisha umetoa comment nzurii. ndo maisha yanatakiwa kuwa hvo
@faudhiahamidu4714
@faudhiahamidu4714 7 месяцев назад
Woooooow Hongera sana Razak umenifanya nimetokwa na machozi ya uchungu na yafuraha yote kwa pamoja coz nilikupenda tangu mwanzo na niliamini utashimda coz ulianza na nyimbo za cristian bella nazipenda na haipiti cku cjaimba ❤❤ kila la kher mungu akutangulie na ukafanikiwe zaidi ❤❤❤❤
@SesiliaMakaila
@SesiliaMakaila 7 месяцев назад
Me nampenda franko tu naic ndo mshind wang, hana mambo meng but wee🔥🔥🔥 mung akupe njia nyepes utoboe kwenye safar yako mpya, tunawaitaj kina nenga wengine
@talentshow2024
@talentshow2024 7 месяцев назад
Watatu naomba like sijajua ni live 🎉🎉❤❤
@LoversOfworship
@LoversOfworship 7 месяцев назад
Razack winner 💪 From South Africa
@SeigFoston
@SeigFoston 3 месяца назад
Salama ni mkali kwaku judge ndo anae kazia mikiki na kumpa bidiii mshirika
@bwizaparadise4193
@bwizaparadise4193 7 месяцев назад
King David na Razack wote wa moto sana mi ni fan wao tangu mwanzo 🎉🎉🎉🎉
@kingaluadam9101
@kingaluadam9101 7 месяцев назад
Master J ni bonge la judge , siku akikosekana kwenye haya mashindano itakuwa ni unafiki mtupu. Haya ni mashindano hauwezi mpa YES kila mtu , alafu yeye anazingatia vitu vingi kwenye mziki sio tuu vibe ya kuondoka na mizuka ya watu na kuimba nyimbo ambazo zinateka hisia tuu bila kuwa na content za usanii. Kuna wana music wengi wametoka just ku favor wengine , lakini hao wengine hawakustaili hata kufika top 10. Master alikuwa anapambana sana kufanya Hilo lisitokee , Ila nguvu ya mtu mmoja haiwezi tosha. All in alll wame pata nafasi wazitumie vizuri baada ya hapo
@Munini.
@Munini. 7 месяцев назад
Master J na Salama wako sawa wanaambia watu ukweli
@yessekindi4625
@yessekindi4625 7 месяцев назад
uyo jamaa wa kwanza mbona kama kaimba off beat kipande cha pili, vocally fresh ila sikio lake halikusikia muziki kwenye 2nd part.
@bonifacemwahui
@bonifacemwahui 7 месяцев назад
Ideal Bongo Star search ingekuwa yaonyesha vipande vya episode zilizopita lakini sio zijazo coz inatoa utamu wa kuwa na speculation nani atashinda
@Boaz22
@Boaz22 7 месяцев назад
King David, huwez imba enjoy kama nyimbo ya Dini kaka, hapo ndo ulipofeli🙌
@dioclesjones640
@dioclesjones640 Месяц назад
kaimba fresh tu sanaaa kaonesha vocal notations alizonazo kibongobongo ukiweka vocal nyingi inaonekana kama gospel lakin ni nzuri mno
@veronicah1357
@veronicah1357 7 месяцев назад
Huyu kibonge dem hakustahili kuna watu walitolewa mbna wakali😢😢cjapenda bado nalia😢😢😢
@tynegeemajor
@tynegeemajor 7 месяцев назад
Lydia u made chugga proud 🔥🔥🔥 hivi baada ya show ya R-Kelly hiyo lineup iliyokua imebaki ilikua inafikiria nini🤣🤣 au ndo "mpira ni dakika 90"🤣
@ekyociesengana1657
@ekyociesengana1657 7 месяцев назад
like zenu jamani ,mashabiki wa ukweli wa BSS .
@RehemaHassan-h4y
@RehemaHassan-h4y Месяц назад
Salama Jabir any day any time❤🇰🇪❤
@kenty101
@kenty101 7 месяцев назад
I would borrow 1000$ to go watch Razack' s show.. he is that good. ..
@bonifacemwahui
@bonifacemwahui 7 месяцев назад
Lakini hii shida ya kuenda off key iko na wengi kumbe
@djantachablefire4627
@djantachablefire4627 8 месяцев назад
wakwanza naomba na mimi leo lik
@bonifacemwahui
@bonifacemwahui 7 месяцев назад
Allan Mwijage Never Disappoints
@michaelsitati3740
@michaelsitati3740 5 месяцев назад
King David good talent
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 7 месяцев назад
Mimi mshindi wang ni Franco ❤❤
@CattySoul2
@CattySoul2 7 месяцев назад
Nakupenda sana mina❤
@kaylaminani5296
@kaylaminani5296 7 месяцев назад
😢😢cjapenda eve mkali kuzidi Alan 😭
@NaphySky-oq5sy
@NaphySky-oq5sy 7 месяцев назад
Zack umetisha
@WIBABALA
@WIBABALA 7 месяцев назад
Ile shida ikawa mukikalibia mwisho mnanza kutuonyesha mshindi Kama huyu tuli mjua kitambo ju yamasifa Kumubena sana Ata Vile ameva yenyewe unaona tu next time ficheni bwana ndio tamu
@Boaz22
@Boaz22 7 месяцев назад
Mi sina chuki, ila sidhani kama lydia alistahili kua Top 6, sio kwa ubaya, nadhani wameangalia sababu ana tatizo la mguu, kuna huruma imetumika, Guys, huwezi kusema lydia anakipaji kuliko Abby Africa au Benedict, sio kweli kabisa🙌
@brinahsam1800
@brinahsam1800 7 месяцев назад
✋✋
@SesiliaMakaila
@SesiliaMakaila 7 месяцев назад
Me naic getrud alistail kuwa top six bas tu😅
@makrinaibinga-on2qx
@makrinaibinga-on2qx 7 месяцев назад
Getrude alikuwa bora kuliko lydia
@DianeVictoria
@DianeVictoria 19 дней назад
@@makrinaibinga-on2qx cup
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 16 дней назад
Basi Lyiidia imekuwa riziki yake lkn Gretrude ni mzuri zaidi😊
@bonifacemwahui
@bonifacemwahui 7 месяцев назад
Round 2 Razack Adam na Eva wameimba off key King David Kaua
@Tiffanieofficial_
@Tiffanieofficial_ 5 дней назад
Sio wameenda off key..ni kwamba pumzi zinawaishia kuimba na kucheza sio mchezo😂
@festussamuel453
@festussamuel453 7 месяцев назад
Allan deserved to win this he got everything needed not fair enough 😢😢
@tatujuma8781
@tatujuma8781 7 месяцев назад
I wish ningezaliwa t.z.....kenya shida tuuupu
@kaylaminani5296
@kaylaminani5296 7 месяцев назад
Huku ndo ungewaka moto 😂😂
@hassanussein1817
@hassanussein1817 7 месяцев назад
Mawazo potovu sana
@Boaz22
@Boaz22 7 месяцев назад
Baki huko huko, mmeshatuibia kiswahili inatosha😂
@AishaAisha-yz3ns
@AishaAisha-yz3ns 7 месяцев назад
Usjute namimi nakutamani kenya😢
@wherethefanstarts5302
@wherethefanstarts5302 7 месяцев назад
Tz ndio kingekuramba kabisa😂😂
Далее
BSS 2023 SN 14 EP 19 EXTRAL MONDAY SHOW
37:33
Просмотров 11 тыс.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 06 DAR PART 2
1:14:46
Просмотров 36 тыс.
PUBG MOBILE | Metro Royale: Fun Moments #4
00:16
Просмотров 132 тыс.
BSS 2022 SE13EP13 TOP 6 SEMI   FINALE FULL SHOW
1:03:16
Просмотров 36 тыс.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 11 TOP 12
1:18:46
Просмотров 14 тыс.
Bongo Star Search 2012 EP 5 DAR ES SALAAM
1:02:19
Просмотров 165 тыс.
Bongo star search 2015 Final
1:33:27
Просмотров 1,2 млн
VIDEO: Mwanzo Mwisho Alivyopatikana mshindi wa BSS 2018
2:25:23
BONGO STAR SEARCH SEASON 11 EPISODE 4
1:27:02
Просмотров 140 тыс.
BEST Auditions from America's Got Talent 2024 So Far!
1:39:12
PUBG MOBILE | Metro Royale: Fun Moments #4
00:16
Просмотров 132 тыс.