Тёмный

SHUHUDIA DULVAN ALIVYOTAKA KUKIMBIA STUDIO / KISA KIZIMA HIKI HAPA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 398 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@lilymammpayo8299
@lilymammpayo8299 3 года назад
Big up Kwa EFM 👏👏👏 Huwezi kuona huu ujinga🤔 Dondosha like twende pamoja
@mwinjanavil
@mwinjanavil 3 года назад
huyo diva ndo kapeleka maupumbavu hapo
@cuthbertsafari3999
@cuthbertsafari3999 3 года назад
Redio vipindi ovyo sana
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 года назад
Wasafi hamna dressing code? Dulvan anafanya interview akiwa amevaa nguo ya kulala..pyjama ! Hovyooo Mtangazaji pia hovyooo.Ongea Kiswahili tu.
@rubniyi3551
@rubniyi3551 3 года назад
@@haarunsaidabdillahi4082 nimeshangaa
@fadymoses4994
@fadymoses4994 2 года назад
👏
@avitydamian1994
@avitydamian1994 3 года назад
Kama nawewe unaamini kuwa hizo ni kiki nipe like
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@ziyadayahaya5901
@ziyadayahaya5901 3 года назад
Uyo dada muongo
@saumubakari676
@saumubakari676 3 года назад
@@khadijahali48372mk3i1328pi3
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
@@saumubakari676 nn hk
@dulahstar5875
@dulahstar5875 3 года назад
Ww nichizi Kama unamimba siunge msubili road
@nyabaplussheila6541
@nyabaplussheila6541 3 года назад
Sasa kwanini kuja ku tangaza mimba kwenye television kama radio!? Kwani wasafi ni familia ya Dulvani wala Diva mama yake ao Dada yake... tz mupo ajabu! Pole sana Dulvani
@fettysalumu7850
@fettysalumu7850 3 года назад
Uyu dada tu awezi
@uwinezajohara8362
@uwinezajohara8362 3 года назад
Ni kiki
@suzanaemanuely8788
@suzanaemanuely8788 3 года назад
Dah
@mdasad2148
@mdasad2148 3 года назад
Diva huyo Dada angaria sms kwa hiyo Dada ushuhunda upo kwenye sm zao diva
@msalikemedia
@msalikemedia 3 года назад
Hii TV ni ya kiki tu dada hio sio kweli ni kiki hizi
@chanzehabib4243
@chanzehabib4243 3 года назад
Ukiona mahojiano wasafi radio jua kiki kama unamini nipe likes zangu
@carolabel7972
@carolabel7972 3 года назад
Unakuja wasafi kucharge simu😂😂😂 Dullvani hapo amewezaa
@juliethjosephkavishe1872
@juliethjosephkavishe1872 3 года назад
Ahahahaha!! Anajickia kudondoka dullvan
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 года назад
Wewe nikuwa hodin namgonjwa nimecheka kwasauti mbaka nes kanifuata akaju mgonjwa kakata roho
@angeliqueangelique9279
@angeliqueangelique9279 3 года назад
Ni Africa ulaya huyo dada wangemunyoosha vizuri kusingizia mtu ni kesi kubwa sana
@marymutwoki3561
@marymutwoki3561 3 года назад
😂😂😂
@dandelion2644
@dandelion2644 3 года назад
Daaah amekweli Demu kauuzi
@Ajneb.
@Ajneb. 2 года назад
Huyu dada amechizi labda, unakuja kucharge wasafi kweli💔💔💔
@mariammwanzalila9010
@mariammwanzalila9010 3 года назад
Huyu mdada muongo hivi uwende sehemu bila simu like serious😁
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Kabisaaa
@sarahkitindi3420
@sarahkitindi3420 3 года назад
Huyu dada mungu anamwona
@mariammwanzalila9010
@mariammwanzalila9010 3 года назад
Wallah
@patrickvove
@patrickvove 3 года назад
Dulvani kajibu smart mission passed and respect ila chini kunamambo 🥵🥵🥵🥵
@jtheophil5499
@jtheophil5499 3 года назад
Uyu dada nimemuonea huruma,wadada muwe munaangalia na watu wa kudate nao .Na hii tabia ya kulia kisa mimba sielewi.Mjitaidi kujitegemea jamani.Subiri mtoto azaliwe,sasa mimba tu jamani kelele.!!wadada mnatuangusha..mimba sio ugonjwa.ukipata kisa kama hiki tulia kwanza uzae,sio mimba tu unaanza kelele.sio nzuri.
@dianamuniro8129
@dianamuniro8129 3 года назад
Kweli kabisa yaaani nikuvumilia tu mambo mengine kujidhalilisha
@rawhiyarajabu7324
@rawhiyarajabu7324 3 года назад
Huyo dada n muongoo bhana
@aishaabdallah2088
@aishaabdallah2088 3 года назад
Wewe dada ni fala Sana unalazimsha kuzaa na mtu bwege we tafuta pa kwenda rizki ailazimishwii
@justfun-gb6fn
@justfun-gb6fn 3 года назад
TODAY I'VE SEEN .....DULLIVANI IS A.... REAL MAN
@mwinjanavil
@mwinjanavil 3 года назад
anayeamini hii kiki ni moja kati ya kiki mbovu sana zaid ya zote anyooshe kidole... na aliyeona dulvan kavaa night dress nani
@emmazacky5742
@emmazacky5742 3 года назад
😂😂😂😂😂👆👆👆
@sakinasadik3776
@sakinasadik3776 3 года назад
Hahaha amekurupuka tu kutoka kitabdani akaenda studio
@mineaminea3151
@mineaminea3151 3 года назад
Nilijua naona mm2
@jafarykisengo6584
@jafarykisengo6584 3 года назад
e
@carinamatt1031
@carinamatt1031 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@allymkamba1054
@allymkamba1054 3 года назад
Utopolo mtupu, kazi ya vyombo vya habari ni kubwa sana kwenye jamii kuliko kufanya huu upuuzi.
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 3 года назад
Wewe mtangazaji "careful" unaweza kuharibu destiny ya mtu. Hayo maswali unayomdadisi huyo binti mlipaswa kuhakiki kabla ya ku face microphone na kuongea na dunia mambo ambayo wewe mwenyewe umesema kuwa watu wanaweza kutunga story kupata kiki. Zaidi ya maneno aliyokuambia huyo binti, bila kuyahakiki umeamua kumwita huyo kijana na kumpambanisha na public interview. Ni uchanga wa utangazaji hadi unaharibu brand ya mtu bila sababu. Kituo kimwombe radii huyo kijana kama huyo binti atashindwa kutoa ushahidi
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 2 года назад
Alafu alivyo shoga uyo diva kuma mbona yy akiulizwa kuhusu kulala na patric anakuja juu
@alexanderkibona8478
@alexanderkibona8478 2 года назад
Yani mungu atutie ufaham jaman alaf icho kiengerza chanini jaman wote apo wabongo
@annemwande6807
@annemwande6807 3 года назад
Aki nmecheka 😂😂😂😂😂😂ANAKUJA WASAFI KUCHAJ SIMU😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
@samzuuseif
@samzuuseif 3 года назад
Yan anafrahisha huyo dada 😆😆
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Год назад
kiki ndio yale ya lulu diva na lava lava👍
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 3 года назад
Huyu Dada ni Muongo,,, muongo Sana hakuna hicho kitu hapa kwa kuongea tu hakuna ukweli hapa!
@jbm6309
@jbm6309 3 года назад
Diva fanya kazi yako Acha utoto unaharibu kazi
@homan_nkwama
@homan_nkwama 3 года назад
Msicho elewa Ni kwamba Sisi WASANII atushindwi kumuomba dada Fulani atusingizie Jambo alafu tujiandae namna ya kujitetea mwisho wa siku Kiki napata dada anapata Kiki mtangazaji anapata kontent mjinga shabiki ninae kuja kuona na kukoment hapa
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 3 года назад
Mmh basi hapo wamechemsha maana uhalisia haupo.
@homan_nkwama
@homan_nkwama 3 года назад
Arnhem Zuid Awawezi kuchemsha mana wao wanafanya biashara katika WIN WIN situation Yani hawana cha kupoteza ndio mana bado tunawajazia comments hapa DUNIA aitaki uwe silias utazeeka haraka just enjoy ila Raha ujue unachofanya mfano mm naangalia maigizo ya staa wangu diva na wahusika wake😄
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
@@homan_nkwama Duuh!!!! Umenifungua Macho kweli. Nimejiona mjinga kupita kiasi kuingizwa BUSH nikiwa mjini🙄🙄🙄🙄
@collihmushi5944
@collihmushi5944 3 года назад
😂😂💔
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
Hii coment yko kwa uwezo wa mungu nmefunguka akili cendelei tena kupotez mb zangu kizembe
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 3 года назад
Wasafi mnafeli Mnajiharibia
@tamarablack254
@tamarablack254 3 года назад
Mi nataka kuwa judge....Nahisi Dulvan a take responsibility mpaka atakapojifungua...Then waende DNA..ikipatikana Huyu Mdada Kazengua basi na amlipe Dulvani Hela yake yote na kumchafulia jina na ikawai kuwa Matokeo ya DNA yanamtambua Dulvani kama baba then waendelee kulea. .Basi ..Love from Kenya 🇰🇪
@martinmwenda2045
@martinmwenda2045 2 года назад
Kweli kabisaaa
@luttertv1656
@luttertv1656 3 года назад
Ushaona wap unaenda mahakamani bila Usha idi et simu ipo charg khaaa we gonga like tusonge
@jackson742
@jackson742 3 года назад
This guy seem very humble.
@tamarablack254
@tamarablack254 3 года назад
Mmmh
@vallembaya2708
@vallembaya2708 2 года назад
hajampa mimba
@Fahadi2023
@Fahadi2023 Год назад
2023 mmhh😂😂 kumbe alikuwa Sophie wa amelowa.jmn naomben ata like moja
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 года назад
Dulvan na nguo zake za kulalia ni noma
@levinamwessa7679
@levinamwessa7679 3 года назад
Wasafi wanapenda kiki wamekutana nampenda kiki mwenzao
@donhussle948
@donhussle948 3 года назад
Nenda guide and cancelling ufanye hayo Ila usifanye hapo Kwa studio kama ur doing ur work ya studio ni mengine Ila c hayooo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 года назад
Hiyo no ndrama kweli durvan anashangaa umri wa Dada na yeye tofauti kabisa
@jokhaelsienna6946
@jokhaelsienna6946 3 года назад
Kitendo Cha kupanic dully unapoteza point😂umeamua kukaza kaza kwel🤣
@neemaedwad7476
@neemaedwad7476 3 года назад
Ataww mtangazaji umemkosea dulvan kwann usingemuuliza kwanza dulvan
@RamadhanAli
@RamadhanAli 3 года назад
Body language ya Dulvani, says more than meets the eye. Huyu jamaa atakuwa anaufahamu na huyu dada, ama their is something fishy.
@alireje6806
@alireje6806 3 года назад
Ya I feel the same...but hongera hakuondoka
@ramadhanmgandi7346
@ramadhanmgandi7346 3 года назад
Diva umefanya mbaya haukupaswa,kufanya hivo umemkosea sana dull vanny
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 3 года назад
I'm a woman but something is not adding up, Diva this lady is lying, PERIOD!
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 года назад
Mmmh mjini jua Kali....ubongo unayeyuka mdogo
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 3 года назад
Oneshe ushahid asimzalilishe Kaka Wa watu
@juliethjosephkavishe1872
@juliethjosephkavishe1872 3 года назад
Ahahahaa!!! Dullvan anajickia kudondoka
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 года назад
We sim ipo chaji
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 2 года назад
Wanawake wa bongo wanapenda sana mtelemko
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 3 года назад
Huyu dada muongo.aonyeshe hzo sms kwann hana ushahidi
@fadhilmtunha4070
@fadhilmtunha4070 3 года назад
Liongo
@salumseif1328
@salumseif1328 3 года назад
wasafi wanayumba sasa wameanza kumpa kiki lava lava wanakuja kwauyo dulvani mnakela one time
@rehemamshele1417
@rehemamshele1417 3 года назад
Uyo dada wanakaa mtaa moja na dul
@munibullahmarunda7051
@munibullahmarunda7051 3 года назад
Angalia mikono ya huyo dada anaposema "SIMU NIMEIACHA KWA CHAJI" inaonesha kabisa amepoteza confidence.
@cecyxtive4410
@cecyxtive4410 3 года назад
Serikali iwapee kazi😋😋
@p-flovours8151
@p-flovours8151 2 года назад
Duh dulvan kime umana mzeee baba 💪😄👉😄😄😄😄😄😄😅😅
@josemsafimusic3389
@josemsafimusic3389 3 года назад
UNAKUJA WASAFI KUCHAJI SIMU 😂😂😂 DAAH DULVAN
@CaroleBosco
@CaroleBosco 3 года назад
Nice one
@judymangi9557
@judymangi9557 3 года назад
😀😀😀😀😀😀
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 3 года назад
Jose Msafi:😂😂
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇴🇲
@Babyteee-ur6qh
@Babyteee-ur6qh 2 года назад
Pole dada diva hii kazi ngumu sna
@mwiruhabibu2060
@mwiruhabibu2060 3 года назад
tuliona dulvan kavaa blauzi tujuane🙊🙊🙊🙊
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 года назад
Umri sawa na mama ake kabisa
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 3 года назад
Unakuja wasafi kuchaji cm 😂😂
@rahmanassor2652
@rahmanassor2652 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 года назад
😀😀😀😀
@mossianahassan9883
@mossianahassan9883 3 года назад
😂😂😂
@bernahappy2450
@bernahappy2450 3 года назад
Tobaaaaa roho yangu nimecheka hadi mkojo lakini ni kweli kwani amekuja wasafi kuchaji cm😂😂😂😂😂😂
@gizeratembula8810
@gizeratembula8810 3 года назад
Hapo sawa hapo
@christopheraine6446
@christopheraine6446 3 года назад
Wakwanza leo like zangu jamani
@agneshalid1057
@agneshalid1057 3 года назад
Ila tuseme ukweli dulvan ana macho mazur,
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 года назад
Iyo kiki tu km ya love love na Diva mstuguze wazim sisi 😃😃😃tumewashtukia bana
@sabraniaikenda3751
@sabraniaikenda3751 3 года назад
Ainde akaleee huko anataka Kiki huyo dada katuma wangapi wakikataliwa wanalea wenyewe au anataka aishi maisha ya kifahali
@kikofia.007
@kikofia.007 3 года назад
From the first appearance of the girl dullvany amepanic.he is responsible
@shekhamohammed416
@shekhamohammed416 3 года назад
Sure
@waltershayo1339
@waltershayo1339 3 года назад
True
@eglahjason6558
@eglahjason6558 2 года назад
Congratulations my dada nawishi kuwa kama ww love u
@hildaminja6296
@hildaminja6296 3 года назад
Aonyeshe ushahidi jmn mbn anamfanya dulla kama kuku ivo
@stevenmwakitalu9992
@stevenmwakitalu9992 2 года назад
Duuh!! myself I connect understand this stution,
@kinakovusanyuprestige6040
@kinakovusanyuprestige6040 3 года назад
Hivi unaezajee ita mtu kwenye interview bila ya kuniuliza,,,,mmi ukinijaribu na hii ujinga naweza onyesha drama apo kwa studio mpaka diva utaniitia security
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 года назад
Wanajuwana Kam Lava Lava na diva
@georgemajani6600
@georgemajani6600 3 года назад
Love from 🇰🇪🇰🇪
@bakariibrahim4301
@bakariibrahim4301 3 года назад
Dada unapepo
@salmagungurugwa6854
@salmagungurugwa6854 3 года назад
Da zuu Leo kapatikana yupo km kuku mdondo Na hizo nywele zake😂😂😂
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Salma
@paulmagige1391
@paulmagige1391 2 года назад
next time lulu diva you have such an interview,kindly ask the complainant to come over with full evidence on the basis of his/her complains. Hii ndo interview immature have ever seen you doing.
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 3 года назад
Wewe mtangazaji hujafanya kazi yako sawa sawa ! Huyu mwanamke kwa sura tu anaonekana mwongo anatafuta wa kulea mtoto ambaye hajui mhusika. Umeiangusha ofisi yako ukiwa na gender mindset ya kumtetea huyo tapeli kwa 7bb t3 ni mwanamke
@rahmahassan7293
@rahmahassan7293 3 года назад
Sister fatiliaa kama massage zipo huyo dada anaonekana ni Dramaa yaan
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 года назад
Siameambiwa aonyeshe evidence ati hana simu
@giliadysaimon1752
@giliadysaimon1752 3 года назад
Kwanni wasijadili kwanza kama wao anakimbilia wasafi
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Jamani .....dullyvan hii ni mala ya pili wasafi kumzingua 😂
@christiankyungai3254
@christiankyungai3254 3 года назад
Sasa jamaa unakataaje mtoto Kama nikweli
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Makubwa haya Suzy acha nipite zangu Mimi sioni ya dulvani
@peragiaisdor6315
@peragiaisdor6315 3 года назад
We mdada vipi😳 ushahidi👌kwendraaaaaaaaaaa
@husseinalibhai7311
@husseinalibhai7311 3 года назад
Divaa usiangaikee kama dulvan atakii nipee mtotoo mm ntalea Baba Wawa totoo wotee wanao kataliwaa
@issayaemilly8160
@issayaemilly8160 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣wote wanaokataliwa wako👏
@husseinalibhai7311
@husseinalibhai7311 3 года назад
Ndio
@habibamrisho6337
@habibamrisho6337 3 года назад
Kama ni kweli ww dada ungeonyesha sms kuna uongo ndani yake,ushahidi ni kitu cha muhimu,onyesha ushahidi ili watu wakuamin
@sophyleenpj4312
@sophyleenpj4312 3 года назад
Sofia kama Sofia ameharibu jina letu sana sisi kina Sofia hatuforce issues ukiona mwanaume nikama anakwepa majukumu inabidii uache tuu🙌🙌🙌🙌
@modriface
@modriface 3 года назад
Kwann usingizie yeye mbna jibu rahisi sana.....kwasababu maarufu (star)
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 года назад
Syo vzr kbs....hayo ni uzalilishaji...mtangazaji syo poa na Wala syo busura.🤔
@johnnabie5445
@johnnabie5445 3 года назад
Haya so mambo yakuleta redioni nanyi,, mbona hangemwita bembeni?, Lazima redioni.? Watanzania na Kiki jamani 😂😂😂😂😂😂
@happyndossi410
@happyndossi410 3 года назад
Mwanamke anaongera sana
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 года назад
Hata huyo duluvan na huyo Dem Kuna kitu kitatoke tupo hapa🙄
@musallam00alhrassi57
@musallam00alhrassi57 3 года назад
Nakuchoka kujifanya mzungu wew duuh
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 года назад
Ni kkkkkk kama ya loloviva na Lava Lava. Wabongo kkkkkk
@سلطانسليمانبنجمعة
Kazi nzuri DIVA..waoshe
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 года назад
Dada kama unamimba kakae uleeeeee mtoto
@vikimartin9441
@vikimartin9441 3 года назад
Jamani? huyu Dada ni mtu mzima kwa nini hakujikinga na ubebaji mimba usiotarajiwa?Kinga zote hizo serikali inahamasisha wanawake kuzitumia yeye akajibebesha mimba kisa katembea na msanii, fedhea zingine sisi wanawake tunazitaka wenyewe na shida tunazitengeneza na mikono yetu, kwa hiyo huyo Dada alivyokuwa kikikutana na dull alihisi anachokifanya matokeo yake ni nini? Na jukum la kujikinga ni la Nani? Tena huyo Dem aache kiranga alichokitaka kashakipata akalee mtoto wake mwenyewe kwasababu walipokuwa kwenye tendo makubaliano sidhani yalikuwa ya kubeba mimba na Kama yalikuwa yakubeba mimba dull ahusike kulea.la! Huyo Dada alishachukua chake ck nyingi.
@kizes6806
@kizes6806 3 года назад
Ni uwongo uyo dada anadanganya sana her😏
@michaellagwen8198
@michaellagwen8198 3 года назад
Leo ndo nimejua huyu ni rijali kama kapiga mimba kweli
@tumainernest9499
@tumainernest9499 2 года назад
🤣🤣🤣🤣jamn mpk tunacheka daaaaa sio vzl dulluvan msikilize tu dada
@kingsleykavu5953
@kingsleykavu5953 3 года назад
Some men are really jokeing wewe Duly simama kama baba ulee mtoto.. kumbuka mtoto atakua kesho na keshokutwa utamjibu nini
@africangirllifestyle7686
@africangirllifestyle7686 3 года назад
Diva ujafanya sawa ungeongea nae nje ya kipindi
@alibinali_
@alibinali_ 3 года назад
Dullan ushakata mauno kwa dada wawatu sahi wakata 😂😂😂😂
@emmazacky5742
@emmazacky5742 3 года назад
😂😂😂😂
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
😄😄😄😄😄😄
@yussufhussein1954
@yussufhussein1954 3 года назад
Hahahahahahahaaaaaa
@mathasimart1375
@mathasimart1375 3 года назад
Hahahaha
@haithamahmed72
@haithamahmed72 3 года назад
The studio lady is an apropriate to take this studio.ni bora uzugumzee kiswahili ama kingereza na miwani zajuwa ytowe kama heshima😎
@ashajohn9039
@ashajohn9039 3 года назад
Unaenda wasafi kuchaji simu😂😂😂🤣
@josemsafimusic3389
@josemsafimusic3389 3 года назад
Msenge sana 😂😂😂
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 года назад
🤣🤣🤣
@regnoldmwanga953
@regnoldmwanga953 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sidekisingel4970
@sidekisingel4970 3 года назад
Dulvavn Bhana et unakuja wasafi kuchaji sim
@yuzotv458
@yuzotv458 3 года назад
Diva nakupenda sana ila please kuwa makini na izi interview manake tangu umeanza kipindi cha lavidavi sjawahi kuona content ambayo imenivutia kuangalia mara yapili. Hapo mnaonekana mmesuprise dulvan afu sio sawa kwasababu uyo ni star sasa so sio mtu wakumuita tu kihuni kuja kumvamia namna iyo,pili uyo dada ushahidi hana kwanini mnamuonea kijana wawatu???. Sjapenda mimi.
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 3 года назад
Bac we Dada usipaniki ww nenda kalete cm uwongo na ukweli utajulikana tofauti na hapo hapatakua na ushaidi
@yahyahaji4198
@yahyahaji4198 3 года назад
Kizungu cha nn ongeeni kiswahili wee dada
@qwqw1665
@qwqw1665 3 года назад
Muongo huyoooo fafa kapewa mimba namtumwingine alafu aongea sana huyo dada hutakiwi
@lindyarita3014
@lindyarita3014 3 года назад
Ngoja nikacharge cm wasafi mda huo nimsingizie mboso mimba
@bobchanda2460
@bobchanda2460 3 года назад
😂😂😂😂 siku izi WCB wanatengeneza KIKI zenye akili
@HappyDivision-gv8kl
@HappyDivision-gv8kl Год назад
Huyo dada chizi kweli sim kucharg wasaf
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
Mkisha zaa mje mtupe mrejesho ili mtuaminishe msituletee Kiki tunaumiza vichwa sie kuwa onea huruma 🤔
@chunaamina8719
@chunaamina8719 3 года назад
Suluhisho n atafutwe Dullyvany halisi, huyo n mama chago kwa hiyo msimsingizie mwenyewe kaja Na Night dress 😂😂😂
@hamisamfaume1277
@hamisamfaume1277 3 года назад
Hahahahaha kwer nimama chogo
@gracemwaura18
@gracemwaura18 3 года назад
What's with this lady with am doing my job while interfering with people's private life without their consent 🚮🚮🚮🤮🤮🤮
@suzanaemanuely8788
@suzanaemanuely8788 3 года назад
Jaman wasichana tuachen drama za kutaka u super staa kwa kutumia wasanii dah jaman tunatia aibu tubadilike,,,, kama huna nyota ya kuwa star tuache t sa kama kwel una hakika na umezamilia kutaka kumuumbua mtu kwanin aache sim si ujinga huu wew dada mmmh kiboko
@micky244
@micky244 3 года назад
Fala kweli kila interview mnaomuita apo anajifanya kutaka kukimbia et😂😂😂yan aka kajamaa bnaa
@emmazacky5742
@emmazacky5742 3 года назад
😂😂😂
@kombawinnie
@kombawinnie 3 года назад
Anatabia za kike kususa susa
@martinsaigulan8814
@martinsaigulan8814 3 года назад
Huyod Dada nae mshamba angeenda kwa ndugu was dulvan kuliko kumuaibisha hvyo
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 года назад
Kwan wasafi ndo mahakaman 🤣🙄🙄Aya dai mond mpangie dulvan matunzo y kula mwez mana hii sifa sasa
Далее
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Просмотров 224 тыс.
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 893 тыс.
JENIPHER KANUMBA AFUMANIWA, AIBU KWA WAIGIZAJI
27:19
Просмотров 937 тыс.
TAZAMA DIDAH ALIVYOINGIA KAMA MALIKIA KWENYE KIBAO KATA
10:39
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Просмотров 636 тыс.