Тёмный

BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa 

Подписаться
Просмотров 664 тыс.
% 2 344

Kutoka Bungeni DODOMA, leo April 10, 2017 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.

Развлечения

Опубликовано:

 

10 апр 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 264   
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Hata mm ningekuwa ktk list ningeshindwa kkuvumilia .... Asante bashe kw kuogopa kututangulia
@deviskaliare5420
@deviskaliare5420 7 лет назад
Bashe you are da best.. hujaenda bungeni kulala mkuuu.. Mungu na akulinde...
@yesayamwanjemba4726
@yesayamwanjemba4726 7 лет назад
Hii imekuwa serious issue. Mungu ibariki Tanzania
@furahamwajeka3708
@furahamwajeka3708 5 лет назад
safi sana Dada tulia unajua sana hongera sana,kweli sheria inaweza kuyafanyia kazi baana,hatuna haja kamati za bunge kwani nazo zikiundwa si zitaenda kukusanya taarifa polisi,kwa wahussika na familia za wahanga ambacho naamin na polisi ndo wanakifanya...then au bashe anahisi polisi wamekaa tu noo...wanafanya kazi pamoja na matatizo yote hasa ya rushwa walio nayo
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 7 лет назад
Kwel bashee you are smart in ur heard big up nzega they are luck
@gracemarine6753
@gracemarine6753 7 лет назад
Shikamoo Bashee MUNGU awaongezee ulinzi awatume malaika wake walinzi ili hawa mashetani weusi waanze kuteketea kuanzia hapa dunia mpaka jehanamu
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 лет назад
saruti bashe penda Sana wewe.
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 7 лет назад
Yan wew mwanamkeeee kwelii unfnya kazi yako ilokufnya uletwe hapooo xaxa naomba Mungu naww familia yako itekwe
@japhetnzunda5421
@japhetnzunda5421 6 лет назад
Nashukulu sana kwa hojaja nzuri muheshimiwa bashe
@thedeo472
@thedeo472 7 лет назад
Waziri wa mambo ya ndani hajui au hana alifanyalo. Ningemshauri ajiuzulu kulinda heshima yake(kama anayo).
@bushmendatoga4754
@bushmendatoga4754 7 лет назад
Bashe is a gentleman indeed. ... Tanzania tunakoelekea siko na huu utamaduni haukuepo
@isayakaihula8172
@isayakaihula8172 5 лет назад
Your the best in speech the government have to work on this
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 лет назад
Bashe & Sugu pamoja sana.
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 7 лет назад
Shikamoooo mwanamke wa shoka twakupenda je 2020 wewe ni waziri yaani una watuliza kama kitenesi💪💪💪💪
@palesyosilingo6386
@palesyosilingo6386 7 лет назад
Bashe rafiki yangu mungu atakulinda kwasababu unaongea ukweli na huyo rais wenu anasema msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 лет назад
Yani mtu anaongelea issue ya uhai wetu unamwambia akae chini?????????? Yaani acha ninyamaze tu maana hasira nayo ni dhambi
@manfredymahinya9511
@manfredymahinya9511 5 лет назад
mwiguru amini hujafa hujaumbika najua ww ni mcha Mungu sana naomba kwa kauli yako uwasaidie Watanzania ili wawe ktk hali ya amani.
@fridgeismybestfriendwhenit7149
"there's no hope kutoka serikalini" so true ...naombeni mkopo nihame nchi 😢😢😢
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 лет назад
sina imani na naibu spika Tulia, yaani kazi yake imekuwa kutuliza tu hoja, huwa simwelewi kabisaa
@arnoldamel8164
@arnoldamel8164 7 лет назад
geof beka kumbuka kuwa ni mteule wa rais kama mbunge na alimpa huo ubunge ili akawe naibu spika nadhani picha unayo
@davidlauliankitinya3035
@davidlauliankitinya3035 7 лет назад
kaka Bashe me nimekbali I like your chain na ntaifuata kaka I have future
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 7 лет назад
Hatar sanaa
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 лет назад
geof beka sio naibu tu ata spika mwenyew ndo ivy ivy
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 лет назад
Hilo swara linatuumiza wananchi ila huyo special pamaja navigogo wakuu wanalijua kuwa wakimchukia tu mtu ndio wanamuazibu hichonikikulacho kinguoani mwako
@lemalalioloulu3025
@lemalalioloulu3025 5 лет назад
Bashe mungu akulinde witete watanzania we nyonge
@ismailbaruan2833
@ismailbaruan2833 6 лет назад
yaan naibu spika Uko vizuri sana ahsante sana kwa majibu yako
@khatrarage4445
@khatrarage4445 7 лет назад
it's trueeeee😢😢😢😭😭 there is no hope in serikali basheeeee oyèeeeeeeeee tutetee jmn😢😢😢😢
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 лет назад
Bashe na wew utaambiwa umechochea unatangaza kua nchi hakuna aman!?
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 3 года назад
huyu ni mbunge wa watanzania na sio mbunge wa chama cha mapinduzi nakukubari sana bashe
@sakinandoile4758
@sakinandoile4758 7 лет назад
wah. Bashe na Sugu bora mmekuwapo mjengoni...coz watu twaishi kwa mashaka sasa
@alinanusyemwatukambo7908
@alinanusyemwatukambo7908 5 лет назад
Wewe acha uwongo sugu sio mwana siasa mwenyewe ni vta tuu
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 лет назад
Unakua na mashaka we naye una nn wakuteke sasa. kuna anayekujua huko zombi kweli
@irinekatumwakatumwa6606
@irinekatumwakatumwa6606 5 лет назад
Dhu jaman!!!! Sisi wote niwakupita tuache visasi ili cku moja tuuone ufalme wa mungu
@jumahassan273
@jumahassan273 3 года назад
Bunge bado halipo na haki ya kutetea raia na ndio hao wanaotumia kukamata watu kimykimy shenzi kabisa sugu na bashe nawakubali sana
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 лет назад
Bashe, nakukubal xna kaka. inapobid kuzungumza ukweli, we have to say xo.
@johnsonkuziwa171
@johnsonkuziwa171 7 лет назад
Bashite Aende Jeratu Wananchi TunaumiaTunakuea Nahofu Nanchi Yetu Hatunaamani Jamani Tunaenda Wapi Sasa Jamani Hatupo Sudani TupoTanzania Nchiyenye Amani"
@aishahussein68
@aishahussein68 7 лет назад
Johnson Kuziwa wee kilaza kweli umeelewa alichokisema sasa aende jela kwa kipi we pumba kweli
@mobileshop818
@mobileshop818 7 лет назад
Aisha Hussein tena pumba asie jielewa kabisa
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 лет назад
Johnson Kuziwa Wew chizi kweli aende jera kwa kosa gani alilolifanya?? kwani yeye ndo anayewateka? unapotaka kukoment uwe unafikilia kwanza muone na kichwa km vile zombi..
@mobileshop818
@mobileshop818 7 лет назад
Mariam Marco ha ha hahahaa kwani kichwa cha zombi kiko vpi? umenifurahisha sana ndugu yngu; ila c mbya umempa maneno ya kweli mana kitu kikitokea majibu yanakuja c mwingine bali makonda
@bilalkitiku9096
@bilalkitiku9096 6 лет назад
mbwa wewe ,,,,,,kusoma mwenyewe hujui ,,,uelewa nako zero
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 7 лет назад
Hivi serikali yetu kama ingekua sio makini na kutegemea wa bunge kupanga maendeleo yetu tungekua hali mbaya sana
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Mwendazake alaaniwe huko aliko alikua farao mkubwa
@kefawales8187
@kefawales8187 7 лет назад
Bashe ni akili kubwa sana
@BLESSblessing1
@BLESSblessing1 2 месяца назад
Jamani naomba , lissu, sugu, zitto nawengine warudi bungeni siku hizi bunge limekala sana.
@basraebrahim9687
@basraebrahim9687 6 лет назад
Mashallah you are good
@olivaanosisye3184
@olivaanosisye3184 7 лет назад
bashe, Sijui upewe kitengo gani? tupiganie baba
@ghayoghayosd1581
@ghayoghayosd1581 7 лет назад
Duu hatari sana sasa kama mnaogopa kiasi hiki je na kwa walio hali ya chini wanao potea wanasaidiwaje
@shehemnazi127
@shehemnazi127 5 лет назад
Asantee bashe.
@santodelove4351
@santodelove4351 7 лет назад
big up basheeeeeee
@revocatusmanyama8621
@revocatusmanyama8621 5 лет назад
Mungu akulinde bashe
@novatiemmanuel2175
@novatiemmanuel2175 7 лет назад
Bashe Mungu akuzidixhie uwezo na nguvu na uwe imara kusema ukweli na kutetea wtz na siyo kutetea ugali kama wenzako was ccm hakika Bashe ww ni mfano tosha kwa wanaccm wenye akili kukuunga mkono
@agressngimbudzi5319
@agressngimbudzi5319 6 лет назад
Uko vizuri bashe wenzio wa ccm wanaogopa kusema ukweli wanaogopa
@yohanabandoma9337
@yohanabandoma9337 7 лет назад
Speaker is toothless now,nothing can't do.
@annethdominic3403
@annethdominic3403 7 лет назад
MUNGU awe pamoja nawe Bashe umeongea vizuri
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 лет назад
jamani mbona
@datchdatch3836
@datchdatch3836 7 лет назад
KAMA CHOMBO TUNACHOKITEGEMEA NI HIKI, KISHA MAAMUZI YA WASIMAMIZI WAKUU NDIO HAYA MAJIBU TUMEYASIKIA , TUSUBIRI NEEMA YA M/MUNGU. siku akifanyiwa anayewagusa LABDA UMUHIMU UTAJULIKANA , MAANA MALIPO HUWA NI HAPAHAPA.
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 лет назад
Safiii
@swaburyrwamlaza1479
@swaburyrwamlaza1479 7 лет назад
shukurani mheshimiwe bashe
@enosh22wanyeche45
@enosh22wanyeche45 5 лет назад
God bless mh bashe
@nehemiajohn3918
@nehemiajohn3918 7 лет назад
hawa wote kina jenista wanahemewa kisogoni
@Purity493
@Purity493 7 лет назад
safi sanaa
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 лет назад
BASHE NI JEMBE LA KUIGWA NA WATANZANIA
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 лет назад
Ukweli bashe unachosema wasipo fuata maneno yako inamaana wanajuwa watekaji na wanawabeba
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 лет назад
Bashe sugu mpaka kieleweke yani watu tuwweke kichwani mwaka,,2020watuambia
@shakilaabubakar8517
@shakilaabubakar8517 5 лет назад
m.mungu amlindeee
@mosesolodi242
@mosesolodi242 4 года назад
Jeremia Johaziel hatar hii
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 3 года назад
Sasaiv ni utopolo tu
@abelmachunda9494
@abelmachunda9494 7 лет назад
ndiye naibu spika... dk tulia ... tutegemee mabadiliko baada ya miaka 10000
@memoratasalon1128
@memoratasalon1128 7 лет назад
Bashe marry me
@MarcoNM100
@MarcoNM100 7 лет назад
hahahaaa
@mzamilmik7387
@mzamilmik7387 7 лет назад
hahaha
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 лет назад
Yes he deserve to marry you.
@nassorozawiya5778
@nassorozawiya5778 7 лет назад
i wll
@nzegelamalimi1195
@nzegelamalimi1195 7 лет назад
nakupongeza
@bestinamseti3078
@bestinamseti3078 5 лет назад
Basheee your very bright
@DeusNchembah
@DeusNchembah 7 лет назад
Tulia anajua kutuliza,Majina mengine banaa!
@noellikwet6113
@noellikwet6113 7 лет назад
huyu tulia huyuuuuu ooooooh
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 лет назад
bashe kweli ni mwanaharakati.....
@mohammedally8569
@mohammedally8569 7 лет назад
Dah nimasikitiko makubwa kwa nchi hii jamani
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 года назад
Kwanini habari za utekaji ziko awamu wa tano tu🤷‍♀️
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 5 лет назад
Tutafute katiba yenye usawa maana naibu spika mjinga mjinga kama tulia niwakuponda mawe
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 лет назад
duuh ...I hope speak Ndugai...will do something.. naibu speaker is useless..God bless u Sir Mh Bashe n Sir Mh Sugu
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 лет назад
duuuuh!!! hata na nyie wamewageukia
@anthonmunishi4463
@anthonmunishi4463 6 лет назад
naibu spka kawekwa jamani kwahyo Hana nguvu yeyote
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 лет назад
huyu naibu spika daaa ...sijui na yy ana ubashite.....
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 2 года назад
Bashe nakukubali sana ndio uongoz huo shida chama chako hakitaki ukweli sio kila kitu siasa
@shafiimsemo698
@shafiimsemo698 5 лет назад
Bashe ukovizuri,hongera kaka
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 лет назад
njoo ukawa kuna mdee lemma nassari, kama wew
@husseinrajabu2735
@husseinrajabu2735 5 лет назад
Waambie bna nchi yetu yaa Amani hatutaki kuipoteza hii Amani
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Wanaoshangilia kwa kubeza,sheria tunajua zipo labda tuambiwe zinamsaidia nani?
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 лет назад
Yan nchi kama somalia banaa
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 5 лет назад
duh
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 лет назад
Jaman msiilaumu xaana xrkl kiongoz alshaxema yye alikua anabip tu,xo hta yanayofnyika yye anaona sawa tu!
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 лет назад
Shikamoo bashe laiti kama wabunge qwanakielewa unacho kisema basi hawatosita kukuunga mkono kuhusu hoja yako,ila yatakapo wakuta wao au watu wa karibu kwao ndipo wataelewa.
@yassinmuhajir4391
@yassinmuhajir4391 7 лет назад
zimwi linawatafuna wao sasa wanaanza kupiga kelele, walitekwa mashekhe zetu zanzibar wakapewa kesi mpaka leo wako ndani hawajahukumiwa miaka takriban saba sasa hatukusikia watu kuja mitandaoni au bungeni kuongea leo wametekwa kina roma watu mapov yanawatoka, nataka ile dhambi ya kuwateka mashekhe iwatafune mpaka na wao waachiwe, muone uchungu wake tena nyie hamjafanyiwa walichofanyiwa mashekhe mnalalamika je mngefanyiwa ingekuaje, Allah iweke balance hii nchi kila raia awe na haki sio wasanii tu ndio wana haki au wabunge, viongozi wa juu
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 лет назад
love u bashe
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 4 года назад
This is to march naibu spika unawezaje kumukatisha mtu anatoa hoja ya msingi jamani
@hajamijohana6979
@hajamijohana6979 5 лет назад
2020 bubu ataongea
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Hapo spika hamna kitu...ngoja atekww mumeo na kundi usilolijuaa.. ndio utakaa kwa pattern. Saiz sio dharula kwasababu watekaji unawajua
@justinchriss3778
@justinchriss3778 7 лет назад
bashe the great
@dulasaidi9544
@dulasaidi9544 7 лет назад
hahahahahahhahaahahahahahahah#sugu bn umetisha
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 лет назад
bashe umenena vizuri
@mosesjferuzi3413
@mosesjferuzi3413 5 лет назад
H
@willsonsaidi7468
@willsonsaidi7468 7 лет назад
sipika end bashitte end rais wote wasukuma hamna usarama watanzania tukae kwa kumuomba mungu mana hii nchi inako elekea hata nashindwa kuelewa kabisa
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 года назад
HIYU NAIBU SPIKA NA SPIKA WAKE DAAAH SIWAELEWAGI MIMI
@omanoman1576
@omanoman1576 3 года назад
Kwakuwa umesema hivyo duh bas utapewa uwaziri mana ucje wazingua kmb ccm ndio inawatek wtu kwa maelezo ya bshe
@jisamjose2184
@jisamjose2184 7 лет назад
Kweli kabisa haiwezekani tukose uhuru
@allyfutto8763
@allyfutto8763 7 лет назад
Endapo huyo bashite hajahusika na tuhuma za utekaji huu basi yafaa taifa litambue mkombozi wetu ni huyo Bashita na yafaa tuzingatie Ushirikiano Bora kuongoza nchi unatakikana ili kunusuru haki za wananchi na si ubinnafafsi. Mungu Ibariki.
@lumamichombochayesu1838
@lumamichombochayesu1838 7 лет назад
duuh ni shidaaaaaa
@sadikisaidi28
@sadikisaidi28 5 лет назад
Sawa ila kunawengine hpo niwatata angalien msje mkapgana na chupa
@mustaphakisanga8381
@mustaphakisanga8381 3 года назад
Dr. Tulia anasitahikuwa spika wa mbuge na sio naibu
@dostovan5142
@dostovan5142 3 года назад
Very brave Bashe,wh
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 3 года назад
Seen
@jofymwaijofymwai2163
@jofymwaijofymwai2163 6 лет назад
eti kanuni uyu naibu uyu aaaaaaaaaaaa yeye anapinga nini ilitakiwa amuache aongetu
@paschalboniface8319
@paschalboniface8319 5 лет назад
Bashe wewe unafaa kuwa lais wa nnchi yetu kabisa mungu akulindi sana
@paschalboniface8319
@paschalboniface8319 5 лет назад
Gud
@ramsaybrown2708
@ramsaybrown2708 5 лет назад
Kizungu zungu tunapenda amani ila kwetu mby foleni kubwa jioni balabala nindogo sasa tukizungumzia mtu mmoja tu mo tu na wengine hatufiki kwa staili iyoo
@bamurwakana5890
@bamurwakana5890 4 года назад
Jamn bashe ubarikiwe kwa ukweli wako
@shyneplatnumz2583
@shyneplatnumz2583 7 лет назад
Bashite bungeni
@sphrb1063
@sphrb1063 7 лет назад
Tanzania 🙏🙏🙏🙏
@thedoctor8301
@thedoctor8301 7 лет назад
Sio dharura na wakati nchi ipo hatarini kuingia katika ugaidi au tunasubiri hadi viongozi wa chama tawala wapotee ndo tutaliweka kwenye dharura? Lipowapi bunge la wananchi? Kama Bunge linawakilishwa na Mbunge tena ambae ni muwakilishi wa wananchi sasa wananchi wanapata tabu muwakilishi anasimama kuwatetea afu tunasema jambo halina maslahi! . Tanzania Tanzania Tanzania wapi tupo na wapi tunaelekea
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 лет назад
mwiguru umekaatu aseee
@charleskanwani5765
@charleskanwani5765 5 лет назад
MALAIKA wakulinde bashe
@daudhenry8909
@daudhenry8909 5 лет назад
Duh
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Kimaandiko damu ya MTU INA uwezo wa kunena na kudai haki; IPO Siku tu damu hizi zitanena
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 7 лет назад
wew bwana nnako kupndea huna uchamaaa sijui rol model wako nan
@elialucas6140
@elialucas6140 3 года назад
Ahsante sugu