Тёмный

BWANA HARUSI AMKATAA LIVE BIBI HARUSI, SIKUPENDI TENA, NDOA IMEFUNJWA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 326 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 487   
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 11 месяцев назад
Huyu ndie mke bora kwako ugomvi ukiisha mkaishi pamoja wazazi wa kikenii watakupenda mnooo❤
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 11 месяцев назад
Kaka msaarabu sana Mungu ambariki!!
@morjanoman5181
@morjanoman5181 11 месяцев назад
Yani film mzuri sana ongereni kwa kuwaerimisha jamii mabinti na vijana kuweni makini na. Ndoa zenu
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 11 месяцев назад
Mwanaume kuwa mvumilivu ! Huyo ndo mke bora , Hayo ni mapito tu. Pole sana pia kumbuka maisha yako ni yako binafsi. Jipe moyo mkuu maisha yaende mbele . Pole !! pole sana.
@SadaIssa-d9r
@SadaIssa-d9r 2 месяца назад
Nyie mnao msema bi harusi sura ngumu we mwenye sura nzr mbona hujaolewa kumboka huyo unae msema sura ngumu kaumbwa na huyo alokuumba ww kueni Makini na maneno yenu
@NyanjigeKalyehu-nj3bc
@NyanjigeKalyehu-nj3bc 11 месяцев назад
Hiii dunia imekosa huruma et wafanye kama halijatokea jambo khaaa! Hapo huruma ya Mungu . Mungu awasaidie
@ZyadaAll
@ZyadaAll 11 месяцев назад
Pole kaka omba mungu atakusaidia kwa hili maana malipo ni hapa duniani yatamkuta
@obedlange5375
@obedlange5375 11 месяцев назад
ACHANA NA HUYO MWANAMKE BROTHER HUO NDIO USHAURI WANGU! ukiendelea na utanipa majibu mbele ya safari ya maisha! Maisha ya ndoa yanasafari ndefu sana.
@christinakilla
@christinakilla 11 месяцев назад
Na wameingiza vizuri sana, sana! Mmepata likes za kutosha
@stevenabraham3165
@stevenabraham3165 11 месяцев назад
Mtakutana wap
@tonnyford5782
@tonnyford5782 10 месяцев назад
Kuanza Moja c ujinga fukuza
@emmanyamburamwangi9598
@emmanyamburamwangi9598 10 месяцев назад
Mungu akupee Amani ndugu yangu.. Neno ni wasi ya kwamba jambo lolote lile hutendeka kwa wema.. Kwa wale wanaompenda yesu... But la makosa ni kumhukumu huyu Dada.. Msamehe na mungu akubariki na Dada ambaye ni mwaminifu... Usi hesabu. hasara yeyote Ile. Lakini shukuru mungu akuponye roho yako na akubariki na ndoa takatifu mtakatifu.. Pole Sana ndugu yangu🎉❤
@jessy2404
@jessy2404 10 месяцев назад
Mpole ndio wako na shida utauliwa siku moja aya taft wife mwingine bro
@userSBusuS12523
@userSBusuS12523 8 месяцев назад
Usijali sana, wanafiki ni wengi, you are very young, you will get the right person for you
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 10 месяцев назад
Yan sisi vijana ambao hatuja oa tuchunguze sana sana tupochumbia bint piah na dada zetu mchunguze mnapochumbiwa mungu atusaidie vijana
@AgnessAlly-tx2yx
@AgnessAlly-tx2yx 3 месяца назад
Kaka hongera Na Mungu akutangulie
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад
Ndugu yaku jepe moyo mkuuu mungu anasababu afatali yalitokea mapema
@RoseRaphael-d8i
@RoseRaphael-d8i 11 месяцев назад
Kaka mshukuru tu Mungu kwa yote mwambie Mungu akuonyeshe njia sahihi kama ni hyo utaona kama kuna mwingine sawa. Lakini Daa amefanya mbaya sana. Kutokuwa mkweli
@MiriamNjau-y6o
@MiriamNjau-y6o 10 месяцев назад
Kaka anahekima sanaa hongeraaa sana
@TabithaMusyoka-g2o
@TabithaMusyoka-g2o 7 месяцев назад
Pole.bro.kwq.yale.umetendewa.pole
@martinikalunga
@martinikalunga 10 месяцев назад
Usiwaze mwenyewe utawaza kujinyonga mmpelekee mbeba mizigo ambaye ni BWANA YESU akusaidie kwa sababu ndoa nimstu mnene sana usikurupuke katika hilo
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 10 месяцев назад
Wasenge wamekua weng sna, mm naomba tz ipinge ufirwaj, ujinga utaisha, huu niujinga
@anithajoas1217
@anithajoas1217 10 месяцев назад
Pole kak Ang
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 11 месяцев назад
Kweli hii ni dram hata kuigiza bado maan hakun fellings mwanamk anachek utapata wap hata nguvu ua kushika maik jaman
@MaryNikodem
@MaryNikodem 6 месяцев назад
Mungu hakusaidie tafuta mke mwingne
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 11 месяцев назад
Ndoa za kikorstoo Zina tabu sana jamanj Hawa wenzetu wakiona hawaachani milele ndio washafungana pingu za maisha😂lkn waislam aah raha raha tu wakichokana wanamalizina kila mmoja na zake
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 месяцев назад
Wanawake bana siwaelewi kabisa?. Kusema ukweli awawezi. Kubwa ni tamaa siyo upendo. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani Kamanda. Amen.
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 11 месяцев назад
Hii nikiki hakuna ukweri wowote ule
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 11 месяцев назад
Kweli kabisa wanatamaaa sana
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 11 месяцев назад
Kweli kabisa wanatamaaaa sana
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 11 месяцев назад
Sema huyu dada nae amekosea asingekuwa msiri amemuumiza sana mwezake
@anatoryjames4128
@anatoryjames4128 10 месяцев назад
Miezi sita harafu unaamua kuoa bro pole sana kwa changamoto hiyo
@ElinaEdgard
@ElinaEdgard 9 месяцев назад
Poleeeee san
@esterngirwa1022
@esterngirwa1022 11 месяцев назад
Msamehe tu maisha yaendelee isiskilize maneno ya watu ndoa haina mshauri Zaidi yenu wawili na Mungu .
@maryhanspeter8459
@maryhanspeter8459 10 месяцев назад
Bwana harusi mtarajiwa msamehee wale ni wavurugaji tuu usimuache Suzan jamani ataumia sana
@fathimamct232
@fathimamct232 11 месяцев назад
Muongo mkubwa shughli ya milioni 30 hiyo 😂😂😂😂Hata Bibi Harusi gauni lenyewe la Smpo milioni sapasi hiyo kwiyo
@RebecaMathayo
@RebecaMathayo 11 месяцев назад
Huo ni uigizaji tu bwana harus amevaa kacha ya yanga bangiri ya elfu mbili iv unaijua ndoa kwel w
@rajabually8894
@rajabually8894 11 месяцев назад
Hayo yote nikupenda kufanya Asio yataka mungu. Nawaomba mjue Allah hajaribiwi...
@neemamollel2943
@neemamollel2943 6 месяцев назад
Matron wa bi harusi amevaa kitenge, na bi harusi hata kucha hajatengeneza afu million thelathini
@lucianagodson437
@lucianagodson437 11 месяцев назад
Ndoa gan inayokataliwa ukumbuni bana badala ya kanisai
@elischarles1615
@elischarles1615 11 месяцев назад
Hapo sasa hatuoni hata pete mkononi
@stellasheba842
@stellasheba842 10 месяцев назад
Waigizaji hao
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 11 месяцев назад
Malaya mzoefu huyo alivyojasiri huyo mwanamke yaani hajutii ans🤣🤣🤣🤣 hiloooo
@AgnetaVitalyens
@AgnetaVitalyens 10 месяцев назад
Hahahah nmecheka sana ila hans banaa
@SalmaSalma-e8g4k
@SalmaSalma-e8g4k 6 месяцев назад
ila baba alusi ensam ❤❤
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 Месяц назад
Waigizaji mahiri sana....
@jumaluhinda871
@jumaluhinda871 11 месяцев назад
Kijana muoaji nakupa pole kama ni kweli,mimi ni mzee wa siku nyingi tafuta wimbo wa orchestra super rainbow uitwao kichekesho ujumbe kupitia mziki huo utakufaliji
@joycefrances4516
@joycefrances4516 11 месяцев назад
Ndoa Gani msimamizi ana kiduku,uhuni mwingine bhana
@IrakozeAisha-z7p
@IrakozeAisha-z7p 11 месяцев назад
Ukweli ni ufunguo wa kila mtihani angemwambia kitambo kama yote hayo hayangetokea ko tuwe wakweli kwenye kila jambo🙏🙏 upande mwingine mwanamke amejua angesema ukweli angekataliwa Mungu akutatulieni 🙏🙏
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 11 месяцев назад
Hayo ni maigizo tu,ndugu hakuna ukweli wowote hapo
@fibesolomon926
@fibesolomon926 11 месяцев назад
Million 30000000 we muongu
@HappynessJose
@HappynessJose 11 месяцев назад
Hiyo ni maingizo imeweza sana
@beathagabriel8438
@beathagabriel8438 11 месяцев назад
Mbeengo zitafoonga😮😮😮
@mercymamboleo
@mercymamboleo 10 месяцев назад
Kwani wakisoma banz where were they?
@JonhMhoja
@JonhMhoja 27 дней назад
Hahahaha nkwingwa was bwana arusi commed tosha
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn 11 месяцев назад
Achen Ufala kutumalizia bandle na muviiiiii yenuuuu
@ChristinaKahanya-y7u
@ChristinaKahanya-y7u 3 месяца назад
Mh! Ma bi harusi muwe wawazi
@ElizabethYessaya
@ElizabethYessaya 4 дня назад
Pole binti haukupata mshauri kabla, ungeshughulikia talaka kwanza ili uwe huru.
@danielmosiria5063
@danielmosiria5063 8 месяцев назад
Huyu Dada hajielewi bro, amekupotezea wakati wako ,💔💔pls, nakuomba utafute mke ambaye amekomaa kiakili 🙏🙏
@fetygoda3862
@fetygoda3862 7 месяцев назад
😂😂😂milio 30 nimecheka kwendaaaaaa
@PiliIsamil
@PiliIsamil 4 месяца назад
Poleni sana kaka wangu
@ChristinaKahanya-y7u
@ChristinaKahanya-y7u 3 месяца назад
Wadada kwel tunataka kuolewa lakn tuwe wawaz kwa wapenzi wetu tunawaumiza san
@annamwambi3671
@annamwambi3671 11 месяцев назад
Milion 30. Aiendani na maandalizi. Mnaigiza tuu. Sio kweli
@PiliAbdallah-vc2no
@PiliAbdallah-vc2no 9 месяцев назад
Hans mimi brand mshkaji wangu 😂😂
@laurentmalale489
@laurentmalale489 10 месяцев назад
Kaka! Pole sana! Ila Kumbuka tu, maumivu uliyokutana nayo Kwa Tabia ya Mwn Mke kama huyo amini usi amini Yapo Mengi usyo yajua, hivyo kuendelea kung'ania Mtu Huyo, Amini mbeleni utaumia zaidi ya Hilo! Inawezekana hata anamtoto na mme wa Kwanza!kuwa makini!
@halima2286
@halima2286 11 месяцев назад
Nae bibi arusi anaonekana mpana Kila mda anachati na angalii watuuu😂😂😂😂😂
@PatriciaMwijano
@PatriciaMwijano 10 месяцев назад
Bwana harusi hajavaa tai na best Mani wake hata kuweka nywele zake vzr jamani
@mamavena-jd4mc
@mamavena-jd4mc 10 месяцев назад
We dada mpuuzi Sana kweli itakuweka huru mpumbavu wee shida hamtaki kusema ukweli nanyi waume hamna mapenzi ya kweli mkipewa ukweli inakuwa ndo fimbo yakumchapia mkeo acheni ujinga by Anna was singida
@Mumewangu
@Mumewangu 10 месяцев назад
Yamenifika haya mambo nilimuowa mrangi akaenda kwao na Baba yake akamuozesha mume mwengine .ni hatari sana
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 10 месяцев назад
Warangi hawanaga mpenzi wala mume mmoja
@edwardchecha-gz7sr
@edwardchecha-gz7sr 10 месяцев назад
Kaka dah pole Sana
@leonardmaige3388
@leonardmaige3388 10 месяцев назад
Hiii nchi ngumu sana duuuuh
@Zafaabutterfly
@Zafaabutterfly 6 месяцев назад
Wanaigiza bwana kusoma hamjui picha pia amuoni😅😅😅😅
@LuciaMakarange-vb8mc
@LuciaMakarange-vb8mc 11 месяцев назад
Mwanamuke muongo uy bro kuwen mkn san anawezj kukufch kitu kikubwa km hik
@johnshayo9635
@johnshayo9635 10 месяцев назад
Gharama 30m kweli mlijioanga Pole sana brother Ila afadhali umejua kabla hujaoa
@hono1232
@hono1232 11 месяцев назад
Waongo nyinyi. Hivi kweli mdoa imevunjika mnaweza kaa bench moja kwenye mahojiano? Wapuuzi nyinyi.
@HappyBassetHound-ce9cg
@HappyBassetHound-ce9cg 9 месяцев назад
Huo uwongo wangeonesha kanisa walulofungia
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 10 месяцев назад
Pole kk huyo wf anaonekana sio salama
@shekhomarynnunduma5209
@shekhomarynnunduma5209 7 месяцев назад
Ni kanisa gani Hilo na kijana umefanya haraka sana
@danielpeter8085
@danielpeter8085 Месяц назад
Milion 30.. akuna acheni ujinga..wadanganyeni au mbengo wenu...mnatuonaje eti
@FlavianaJohn-vj6ti
@FlavianaJohn-vj6ti 11 месяцев назад
Kaka pole sana wanawake sisi jamani pole hilo litapita yatakuja mengine
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 10 месяцев назад
Bwana Harusi kavaa Wrist bands Lukuki Mkononi
@nuruurio8319
@nuruurio8319 11 месяцев назад
Hv ni miez tu wakaoana
@VictoriaMhombo-z6r
@VictoriaMhombo-z6r 11 месяцев назад
Ndoa ukumbin jaman mh. Mh sura yangu nitaiweka wap 😂😂😂😂😂
@SinangoaJarufu
@SinangoaJarufu 11 месяцев назад
Milion30😮😮😮😮
@ElizabethSteven-p2p
@ElizabethSteven-p2p 10 месяцев назад
Kwenye milion 30 hapo loh kwa harus ipi pale mmmh jaman
@Fortunemakerz
@Fortunemakerz 10 месяцев назад
Hii imeenda. Maigizo hago.
@EmmanuelyNyuha
@EmmanuelyNyuha 10 месяцев назад
Pole Kaka kwakweli moyo wa mwanadamu ni sawa na kichaka kikubwa pia ni sawa na Giza Nene Yani Giza zito ambapo uasi ndo unakofanyikiaga Mungu akutie nguvu mnooo uweze kifaulu kuvuka kwa ushindi
@MwanahamisNyenzi
@MwanahamisNyenzi Месяц назад
Weeee Binti humtakii mema mwenzio ungemuweka waI mapema angechinjwa ukumbini
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 8 месяцев назад
We Dada umemuuza ndugu yetu
@EmmyAnton-i6w
@EmmyAnton-i6w 10 месяцев назад
Endeleeni Mimi yamenishinda
@RutaRubedi
@RutaRubedi 11 месяцев назад
Mbengo tv mnapoteza mvuto sasa
@felisterdaniel6536
@felisterdaniel6536 10 месяцев назад
Pole lkn
@AminaMichael-u4x
@AminaMichael-u4x 6 месяцев назад
mmmmm. yani hasi unambinguyakoo haaaaaaaaaaaa umeowa linii wewe kibokooooo kazi mzuriiii
@CatherineNoya
@CatherineNoya 16 дней назад
Kuweni tu wakweli jmn mbivu na mbichi vijulikane kabla atakuoenda sawa atakuacha sawa Cha msingi ni ukweli uwe huru kuliko aibu.😮
@SiwemaMwampunga
@SiwemaMwampunga 11 месяцев назад
Pole kaka
@ziadamarcus9699
@ziadamarcus9699 11 месяцев назад
uwongo tu hamna ukweli kabisa kumbuken ile ya yule bibi na kijana iliishia wapi
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 11 месяцев назад
Pore kaka njo uniowe mimi nimekupenda ira mimi niko nawatoto wa 2sina bwana myaka 8 niko singo
@kaimasawe1919
@kaimasawe1919 11 месяцев назад
Kijana usilalamike wewe mshukururu MUNGU Sana Alie wako utampata toa shikrani kwa MUNGU yeye ndye anaejua kesho yako...
@DafudaDotto
@DafudaDotto 11 месяцев назад
Uongo Milion 30
@leonardisack
@leonardisack 10 месяцев назад
Haikupangwa yoyo ndoa
@dignakanje4508
@dignakanje4508 11 месяцев назад
Wasaniii jmn
@AzizaAbasi-ic7fg
@AzizaAbasi-ic7fg 8 месяцев назад
Jmn milion 30 hapo tumepigwa na kitu kizitoo
@ElishaSeme
@ElishaSeme 10 месяцев назад
Achana nae, jipangs upya, kuwa makini,itakuja kukuletea shida baadae,Mungu kakuepusha,
@zefamange7281
@zefamange7281 9 месяцев назад
Ndio maana sitaki kuoa
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 11 месяцев назад
Million 30 harusi yenye ukumbi wa kufagia nje ya uwanja wa nyumba😀😀,acha hzo bana na kutisha ambao bado hawajafanya sherehe ya harusi
@obedisiarangiriki8142
@obedisiarangiriki8142 11 месяцев назад
Kiki tu hizo, utafutaji wa maokoto
@DavidWere-yu4us
@DavidWere-yu4us 10 месяцев назад
Polesana brother
@jacobkabura5513
@jacobkabura5513 11 месяцев назад
Vijana muwe makini sana.
@JeniphKazimil-ry5or
@JeniphKazimil-ry5or 10 месяцев назад
Hizi ni kiki kama kiki zingine
@fifo262
@fifo262 6 месяцев назад
Waigizaji mmezidi kiwango
@EvansLidonde
@EvansLidonde 7 месяцев назад
Hii inaonyesha tuwe wa kweli
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 10 месяцев назад
Jamani wanawake wana ubabaifu sana huyu dada anjizimisha data eti tufanye kama hamna lilotokea.
@IvanaDaudi-qe3dc
@IvanaDaudi-qe3dc 11 месяцев назад
Hansi na Johar
@alexkipemba3655
@alexkipemba3655 11 месяцев назад
Waigizaji wamekuwa wengi sana ila ongereni mmetrendi
@Dantaata
@Dantaata 11 месяцев назад
washapewa laki laki watengeneze content😂😂😂😂
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 11 месяцев назад
​@@Dantaatahahaha
@asrasanyu
@asrasanyu 11 месяцев назад
Yani namie nilidhani ni comedy kwani ni true
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 11 месяцев назад
Mmh
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@MummyRoox
@MummyRoox 7 месяцев назад
Achana naee badoo hajamalizaa ujanaaa huyoo😅😅
@BalakaYohana-cw3di
@BalakaYohana-cw3di 11 месяцев назад
Mamaeeeee mmenimalizia bando2 Kwa uongo wenu
@ryangratius623
@ryangratius623 Месяц назад
😅😅😅
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 412 тыс.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 157 тыс.
DADA WA KAZI MFANO WA KUIGWA
8:48
Просмотров 193 тыс.
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 01 | 💞 Love Story
32:22
На самом деле, все не просто 😂
00:45