Тёмный
No video :(

GAUNI LA BIBI HARUSI LAWAKA MOTO UKUMBINI DAR, GARI LAO HUMMER LAGONGA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 427 тыс.
50% 1

Siku ya harusi kikawaida wengi wetu huwa ni siku ya furaha lakini inapotokea visa vyenye mshikemshike huwa inatibua kabisa furaha hiyo, AyoTV leo inakuletea hizi dakika 7 za simulizi ya harusi ambayo moto ulishika kwenye gauni la Bibi Harusi wakati wakiingia ukumbini ambapo pamoja na kwamba pia siku hiyo ilionekana kuwa na vimikosi baada ya gari la Maharusi hao kuligonga gari jingine kabla ya kuingia ukumbini, haikuwapunguzia Maharusi hao furaha yao kwa namna yoyote ile....

Опубликовано:

 

12 окт 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 430   
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 2 года назад
Unapo kua na shughuli muwe mnatoa sadaka. Sadaka inakinga shari nyingi zinazo tokea.
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 2 года назад
We umejuaje kuwa hawakutoa sadaka?
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 года назад
Sadaka gani unaisemea wewe? 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@mariamhavile8849
@mariamhavile8849 2 года назад
Huwezi andaa sherehe bila kutoa sadaka kanisani au Kuna sadaka nyingine?
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
👍🏻👍🏻
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 года назад
@@johannesishengoma1232 yeye katoa ushauri..tu. Sisi waislamu tunaamini sadaka ni muhim sana
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 2 года назад
Du hongera sana dada kwa ndoa nzuri na pole kwa misukosuko
@alexlyamsema4984
@alexlyamsema4984 2 года назад
Pole sana Dada Mshukuru Mungu wenda furaha yako ingegeuka kuwa majonz makubwa,, Mungu mwemaaa
@evankya1955
@evankya1955 2 года назад
It's scary Ila GaraB speaks about it Kama Ni kitu kidogo kabisa; hii Ni attitude nzuri Sana ya ku-face changamoto yoyote in life.
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 2 года назад
Mbwembwe hizi, mtaja ua watoto wa watu, hakuna cha shetani wala nini, hivo vimoto mloweka hapo cjui mnaviitaje alivipitia karibu vikanasa kwenye shela.
@neemamohammed7359
@neemamohammed7359 2 года назад
🤣🤣🤣
@user-ms8kn6xo9q
@user-ms8kn6xo9q 2 года назад
@@neemamohammed7359 🤣🤣🤣🤣
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 2 года назад
Ndio
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 2 года назад
Wewe ndio umenena yaan kitu kikitokea waafrika sie tunakimbiliaga kwenye imani za ajabu wkt hapo its obvious
@vampire9464
@vampire9464 2 года назад
Kweli kabisa dada nilitaka kuandika hivo wabongo ushamba umetuzid sijui hivo vimoto vya nini kwenye harusi daaahhh
@ammyt9952
@ammyt9952 2 года назад
Pitia nyimbo kali hapa Ammy t ft addah ni noma sana
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 года назад
huyo bi harusi mungu anampenda sana unapo muomba mungu akupe kitu fulani naye anakuja anakuonyesha upendo kuliko kile unamuitisha ahsante sana muumba wetu Amen🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
@clarajapheth8804
@clarajapheth8804 2 года назад
Ashukuriwe Mungu Kwa kuwaepusha na hayo mabaya yoye
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Amiin
@shufaahassan3122
@shufaahassan3122 2 года назад
Amin
@annastaziajohn8295
@annastaziajohn8295 2 года назад
Amen🙏
@dorcasfaith5050
@dorcasfaith5050 2 года назад
Mungu akuinue sana mc nowachache sana wanaojua kuwa hizi ni hila za shetani
@NimuFx
@NimuFx 2 года назад
MC Mtu wa Mungu sana. Abalikiwe sana. Shetani ni mjinga sana ujuwe
@aoman5214
@aoman5214 2 года назад
Ishar mbaya kabisaaa daaah pole Sana jaman hmmm
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 года назад
Kwa jinsi watz tulivyo teyari wamehusisha na imani za kishirikina.tuaitoke nje ya simulizi tuliyopewa na washiriki wa hiyo sherehe.
@oliviaambrose2907
@oliviaambrose2907 2 года назад
wanatakiwa waombe sn hii ndoa
@chapter2719
@chapter2719 2 года назад
Wabongo mnapenda harusi adi gauni linawaka moto
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 года назад
Mhmmm ndiyo Tanzania bhana hatari saana
@sithymohammed3191
@sithymohammed3191 2 года назад
Dalili za kiama hizo ajali za moto zimekuwa nyingi Sana huu mwaka Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
@beancamsuya1493
@beancamsuya1493 2 года назад
Daah polee ilaa mungu yupoo na wew
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 2 года назад
Tunamshukuru Mungu akuungua m2 na shetani alishindwa ila uchawi tuu
@victorkivuyo6126
@victorkivuyo6126 2 года назад
DUU HIYO NI NGUMU SANA, MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 2 года назад
Harusi za mbwembwe nyingi Nakujionesha kua Hela zipo Zina nuksi sana utakuta kakodi ilo gauni na Gari pia, Pole Yao wamejifunza kitu apo
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 года назад
Hizi ni Hila Hujazipata tuu hizo hela, Kwan ww ukiwa nazo huwezi Kodi gauni hela hiyo🤣 Tz mna chuki za ajabu
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
@@elviraramadhan3900 Tulioolewa bila shughuli yoyote kimya kimya na bado tukapigwa majuju tukaugua nusu ya kufa chuki tu zinakuwaga kwann aolewe fulani!! huwa hawaionei wivu ile sherehe bali ni ile ndoa inayopitishwa ndiyo wanayoifanyia hila kibao binaadam ss wengine hatar sana
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 года назад
@@nasrahassanabioll6559 yaan sijui inakaaje hii kwa watanzania 🤣 mtu mwenyewe hamjui Ila Sasa chuki kama za mama wa kambo🙌
@fusotanzania8174
@fusotanzania8174 2 года назад
acha wivu wew
@shabanandrea9131
@shabanandrea9131 2 года назад
Roho mbaya tu ukizeeka nahisi utakuwa mchawi wewe ,
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 года назад
Hizo ni dalili mbaya,Kuna wanadamu wabaya washafanya Mambo yao hapo
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 2 года назад
Ni hasad na ayni ....
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
mambo.haya yapo tz pekee
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
kama mlikodi ilo gauni mriripe sasa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 2 года назад
mh
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 2 года назад
@@kiehbhzh7044 hahahaha angeungua tako bwana harusi asingeonja tunda
@joramkimario6174
@joramkimario6174 2 года назад
Halaf nilikodisha sasa. Na mwenyewe hataki lingine anataka lilelike
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 года назад
Kama kaweza kulikod bas hela anazo
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 года назад
😂😂😂😂
@joanngatulile4687
@joanngatulile4687 2 года назад
This is very dangerous uwii fireworks🙆‍♀️🙆‍♀️Ningeliaaaaa
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 года назад
Nyieeeeeee 🙌😭uchawi huu khaaaa 🙏
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 года назад
Mmmmmmmm acha uswahili kitu kawaida unaona apo na macho yako, uchawi uwo kwio😁😁
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 года назад
@@fettyabiola1389 🙆🙆🙆🙆ndo nimeangalia mwanzo mwisho ushwahili gani sasa unasema
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 года назад
@@neemadickson9526 kwakuwa uyo mc kasema walipata ajali , we ajali ya uchawi unaujua, hashuo walizonazo kwenye gari umegonga tu gari la mtu , na uyo fire works ni fire kama jina lake moto unawaka na nguo tena shela neti na satin tupu ile unataka isiwake, kavaa mahmeli au nayo pia si mbele ya moto , firework za birth day cake humuunguza mtu sikwambii zile za sherehe, hakuna uchawi pale punguza imani izo
@neemadickson9526
@neemadickson9526 2 года назад
@@fettyabiola1389 sawa nilikuwa sijawatch vzr dear ndomaana ila nimeshaelewa🤝
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 2 года назад
@@neemadickson9526 😂
@Dina-py8js
@Dina-py8js 2 года назад
pole sana kwa maharusi
@hamadiselemani1110
@hamadiselemani1110 2 года назад
Mmh sio ishara nzuri hiyo,
@gkely2618
@gkely2618 2 года назад
Banda la wakala linauzwa Ukubwa futi 5 kwa 6 Nila chuma (hard metal) Limepigwa red oxide plus rangi Lipo daresalaam kigamboni Bei 600,000/= Maongezi yapo
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 года назад
Ingelikuwa Arusha nalihitaji
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
Mungu anakupenda dada shukuru sana Mungu,kwakukuepusha nahuo moto
@frederickloongableu-goude
@frederickloongableu-goude 2 года назад
Sio vizuri wakati wa sherehe ukubini bi arusi kuvaa shela au gahuni. Shela ni ya kanisani tu.
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
Kabisaaa
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
kanisa letu popote unavaa
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 года назад
Kila siku nasema hii sio nzuri. Hata birthday za watoto mue makini. Mimi niko ulaya lakini vitu kama hivi wanaangalia safety kwanza ila kwetu wanaiga tuu hawafikiri
@ruuh5149
@ruuh5149 2 года назад
Sn yn wanapend sn kuiga hw
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 года назад
Ilikua bahati mbaya
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Yashaunguza wengi sana
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 года назад
Kwahiyo ungetoa ushauri tu bila kusema kama upo ulaya tusingeelewa 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@fridamapunda5079
@fridamapunda5079 2 года назад
Niunganishe nije ulaya mwaya maana uku Tanzania hakueleweki
@jacklineurassa6006
@jacklineurassa6006 2 года назад
Mungu bariki nakusimamia ndoa maana shetani yupo kazini
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 года назад
Mmeyataka wenyewe huo moto wanini humo ndani fundisho hata kwa wengine ila poleni
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 года назад
Hii n roho mbaya Huo moto ni sehem ya sherehe tuu
@naamohamed1042
@naamohamed1042 2 года назад
Duhhhh pole
@monicaalute3143
@monicaalute3143 2 года назад
X wa huyu bwana harusi anahusika wallah. Khaaaaaaaaa 🙌🙌🙌 yaan gari lipate ajali, mara gauni lishike Moto ukumbuni loh🙌 uchawi upo
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 2 года назад
😂😂😂😂😂😂nimecheka
@elinahjoseph3085
@elinahjoseph3085 2 года назад
Imeisha iyoooo na ndo isha fungu na shereee kimenukiswa x pole hahahahhahahaa
@druumarley2159
@druumarley2159 2 года назад
Dah! Hii ajar niliiona mbez beach ya chinii hummer nyeupe... Dah! Nowmaaa
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 2 года назад
Anachomeka na bado anapiga disco tu? Ni ulevi au nini???
@rahmanassoro1759
@rahmanassoro1759 2 года назад
Na shera Kama imekodiwa mmmh italipwa,, polen
@rebeccajeremiah4883
@rebeccajeremiah4883 2 года назад
Hujatoa wee bhnaaa mbona tunamuona mshikaji mwingine
@vampire9464
@vampire9464 2 года назад
Wabongo washamba sana hivo vimoto vya party mnaweka kwenye harusi daaahhh mbwembwee vimezidi matokeo ndio hayo
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 2 года назад
Eh mshakuwa mastar
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Poleni sana jamani
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 2 года назад
Mmmh........yatakayo Jiri baada ya miaka miwl MTUJuze
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 года назад
Hapo mwanamke alieahidiwa kuolewa kafanya yake baada ya kuona katoswa hataree sana
@tramyspinkiebee3536
@tramyspinkiebee3536 2 года назад
Hizi decorations ziwe zinaangalia aina ya nguo anayovaa maharusi jaman.sa fire works zinawekwa karibu karibu wakat bi harusi kavaa gauni la cinderela??hapa hakuna cha uchawi ni kosa la event planner au mpambaji.Alitakiwa alipe fidia kwa hili
@leokamil6284
@leokamil6284 2 года назад
Kweli kosa ni lao wenyewe
@camillahamis1069
@camillahamis1069 2 года назад
Haibu Naona mm😀😀😀😀😀
@polytarimo324
@polytarimo324 2 года назад
Gara B wewe ni nomaaa
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 2 года назад
Mc GaraB garakubwaaaaaa❤❤❤❤👌
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 года назад
Hahahahaaha hao waliolewa ndo wamenichekeshaaa
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 2 года назад
Haya ndoo umeazima sasa sijui inakuwaje.
@mercypeter162
@mercypeter162 2 года назад
Hizo ni ishara mbaya wasali sana
@marytemba883
@marytemba883 2 года назад
Nimecheka huyo aliyelewa kabla ya sendoff 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@barakanyoka5482
@barakanyoka5482 2 года назад
C wanakulaga ela za wanaume alfu wanawaacha ingetakiwa alipuke kabs
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 года назад
Maombi yanini wakati nyie mlijichanganya kwan hamjui maana ya fire works? Yan kila kitu shetan na uchaw africa amken achen fikra pitofu
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 года назад
🤣🤣🤣
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 года назад
Maombi Nimuhimu Wakati wote
@brigidmua2548
@brigidmua2548 2 года назад
Fire works bomb zenyewe
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 года назад
MAMOTO HAYO SASA YANINI KUMBINI!!!!!?? JIFUNZENI.
@jumamayunga5853
@jumamayunga5853 2 года назад
🤣🤣😂😂😂 cjui ya nn mi nawashangaa sana
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 года назад
Huyo mpambaj atakuwa na lake jambooooo asa moto og ukumbin wa nn angeungua je
@naimaofficial33
@naimaofficial33 2 года назад
Mashaalah
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 года назад
@@naimaofficial33 Naima Hujambo?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 года назад
Haswa hizo ni cheche ni hatari alafu wameweka karibu uku wanajua shela ni pana na refu wameyataka wenyewe
@mariachuri7123
@mariachuri7123 2 года назад
Mmmh! Jamani...pole bi harusi
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 года назад
Tatizo mbwembwe nyingi punguzeni ria mungu hapendi
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 года назад
Makubwaaaa 🤔🤔🤔
@hilalikiba2214
@hilalikiba2214 2 года назад
Nice
@mweyoms5548
@mweyoms5548 2 года назад
Duh!!:Anasa vs Husda
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Duuuh pole yk
@siasteven135
@siasteven135 2 года назад
Dah asee 😪
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 2 года назад
😂😂😂😂Usikute X wake ndo alitoa wazo la moto😂😂
@dufandaqueen1617
@dufandaqueen1617 2 года назад
Wallah 🤣 🤣 🤣 🤣
@pauloregina2878
@pauloregina2878 2 года назад
Hagahaaaaaaaaaa
@ngoshathedon2215
@ngoshathedon2215 2 года назад
🤣😂😂itakuwa
@liliankessy1255
@liliankessy1255 2 года назад
Hahahaha..itakua kweli afu ukizngatia wafipa hataree...
@shebbynzengula6993
@shebbynzengula6993 2 года назад
Huyo bibi harusi kuna kitu alifanya 😂😂😂😂 🏃‍♂️
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
😂kitu gani hicho tuambie na ss jaman tukijue
@shebbynzengula6993
@shebbynzengula6993 2 года назад
@@nasrahassanabioll6559 itakuwa kaiba mwanaume wa mtu huyo 😂😂😂
@barakatrassi3903
@barakatrassi3903 2 года назад
Hatariiii sanaaaa
@HairatyAliy
@HairatyAliy 2 месяца назад
Mmm kivumbii
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 года назад
Magaidi
@evancetilya5140
@evancetilya5140 2 года назад
Da
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 2 года назад
Jaman
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 года назад
Hahaha aiseee yaduniani ahera hayapo
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 2 года назад
Matukio kama haya yananogesha shughuli na ukumbusho pia kujulikana wapi habari zingeandikwa kama sio moto,kuna aliempiga Rais kiatu ila hadi leo anakumbukwa na ana jina watu wana mbinu huenda tukio lilipangwa ili habar itrend
@nasliasuleiman6954
@nasliasuleiman6954 2 года назад
Bdo mnaendelea kuchaza wakatimshaona hamuelewi
@hkk2450
@hkk2450 2 года назад
Husda iyo
@fatmafarijala1498
@fatmafarijala1498 2 года назад
Mmh kunguni weusi yani maombi mnakumbuka mkiwa na matatizo
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 года назад
Polen sana
@kwampalangetv5511
@kwampalangetv5511 2 года назад
Mhhh dalili mbaya Sana hiyo wanatakiwa waombe Sana Sana . inaonesha ndoa yao mhhhhhhhh
@juniormgema2524
@juniormgema2524 2 года назад
😂😂😂 kaz ipo unasherekea uku unanuka moshi😂😂😂
@piusphilip307
@piusphilip307 2 года назад
Mmmh au kuna dem alihaidiwa sasa alipoona kazinguliwa nae akawazingua
@ephraziachristopher1271
@ephraziachristopher1271 2 года назад
Hao inabid wasali sana kama mwanzo tu accident kabla ya haruc mmh
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
Kuna rafiki yangu mmoja siku ya harusi yake alikunywa mzinga mmoja wa whisky lakini yeye ni mlevi toka zamani
@selinamwikali4181
@selinamwikali4181 2 года назад
Hahaha 😂😀
@user-ms8kn6xo9q
@user-ms8kn6xo9q 2 года назад
😂😂😂😂😂
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
@@user-ms8kn6xo9q na mimi nakunywa pombe lakini ni bia tu tena hapa kwetu weekend ndiyo inaanza leo nimekunywa bia kazaa naogopa kunywa bia nyingi sababu huwa nikinywa sana nawapigia simu polisi nawaambia kuna mtu anagonga mlangoni na polisi wamekuja nyumbani mara nyingi hawajaona mtu hapa naishi Ulaya
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 года назад
Sasa unatakaje km alikunywa?yy ni mlev wa pombe.wewe je ni mlevi wa nini??
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
@@bahatiagape7121 mimi ni mnywaji wa pombe lakini sio mlevi na nakunywa bia tu sigusi pombe kali pia nakunywa nyumbani tu sio kwenye baa wala sehemu yenye watu wengi na sijawahi kupata ajali yeyote nikiwa nimekunywa bia na bia inanifanya niwe na hamu ya kula vyakula vitamu
@annkim2690
@annkim2690 2 года назад
Watanzania mmezidi jamani
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Sasa bibi harusi unalewa ukumbini jamani 🤣🤣
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
Ma MC wanaona mambo nyieeee😀😀
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
@@nasrahassanabioll6559 mm naona ningekauka kucheka 🤣
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 года назад
Hakulewa bana
@dalmanutadalmanuta4102
@dalmanutadalmanuta4102 2 года назад
Mc upo smart saana hata kwenye lafuzi yako
@hadijaabdrahamani5089
@hadijaabdrahamani5089 2 года назад
Mm naomb kuuliza hiv huyu gara B analipwa bei gani jamani maana nampenda anajua kunogesha
@peninakilanga4349
@peninakilanga4349 2 года назад
Dah!
@sumamwaipopo8598
@sumamwaipopo8598 2 года назад
Pole jamani daaah
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Yamungu mengi
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 года назад
Ndoa yao sasa itang'aa kama Dhahabu kwa maana wamekwishapita kwenye Moto tayari,,,hakuna tabu tena kwenye ndoa yao ni furaha milele na milele😅😅😅
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 года назад
😂
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 года назад
@@africanproudly4004 😁😁😁💞💞💞Nakupenda Moni Dedu Wangu naomba nasi tufunge Ndoa na ipitie kwenye moto pia ili hapo baadae tun'gae kama dhahabu,,,Kama hutojali lakini Binti Moni!!!
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 года назад
@@africanproudly4004 😁😁😁💞💞💞Nakupenda Moni Dedu Wangu naomba nasi tufunge Ndoa na ipitie kwenye moto pia ili hapo baadae tun'gae kama dhahabu,,,Kama hutojali lakini Binti Moni!!!
@mylessmswelo7497
@mylessmswelo7497 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 года назад
@@reubenkissinga5802 🙄🙄🙄🙄
@makitandungu2604
@makitandungu2604 2 года назад
Wahenga hawakukosea waliposema kuchamba kwingi lazima uondoke na kipande cha nnya!!!
@minamina8024
@minamina8024 2 года назад
Jmni daah
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
wacheni jealous kwani kuonavmwenzenu kaolewa dio nyinyi munabebwa tu . hapo akipata mume ndio pakusherehekea hasa wengi wanaitafuta chance km hiyo hawakujaaliwa wanaishiwa kufugwa . km ni moto kuweko ukumbini ni jumla ya mapambo na hawakuanza wao hiyo ni ajali km nyengine . kuna maharusi wanaanguka nakufa juu ya mastage mutasema wameyataka ? kwa vile kashapata mume angekaa kwake ? wacha wafurahiye siku yao na km nguo kuungua ni binaadamu wenye hasada km humu wamo wenye choyo na vijicho , wacheni hayo km nyinyi mumeshindwa kuyafanya uwezo haupo yeye anayamudu
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 2 года назад
Shida sio uwezo na wewe kuwa mwelewa kwani wangapi wenye uwezo na kila siku wanafunga ndoa ukumbini bila kuweka atli kama hiz,
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
@@wamoroboy8963 hawana uwezo hao wenye uwezo wanaonekana . hakuna mwenye uwezo akafanya arusi asisherehekee. arusi ni jambo pekee .
@naomymmarymmary5047
@naomymmarymmary5047 2 года назад
Achen kutuchora nyie hizi kiki tu za mtandao mlikua mshajipanga kwa hilo 😂
@abdallahamir9234
@abdallahamir9234 2 года назад
Kwahiyo na hiyo habari?
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 года назад
Hahaaaha X ashiñdwe Kwa jina la Yesu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Bora ww ulikumbuk Mungu kwanz ila Pole kwa bb harus
@fredricksamson8095
@fredricksamson8095 2 года назад
Duuuh hiyo kali.
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 2 года назад
Jamani mtoto wawatu ange ungua bule
@najuf8021
@najuf8021 2 года назад
Dah
@rosetembe3785
@rosetembe3785 2 года назад
Umeshapata mume Sasa mimoto yanini ktk migauni,mngeungua ndo mngepunguza hizo ngenge,tuko tuna omba waume nyie mnaangaika na mimoto.
@credo7837
@credo7837 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@magrethpoulpoul8585
@magrethpoulpoul8585 2 года назад
🤣🤣🤣🙌
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 2 года назад
Eeh we nae kwan bi harusi kakosea nn apo
@farajakigura8720
@farajakigura8720 2 года назад
Rose Tembe Hapo shida Sio Bibi halusi Ila mwanaume unaweza kukuta mwanamke mwingine hakupenda haolewe huyoooo dada alitakaka aolewe yeye sasa meza kuu ikashindikana Au mwanamke kuna Mtu alishakuwa nae kwenye mahusiano wakaachana akasema tutaona Kama ataolewa ndo akatuma Moto akasahau kuwa yupo Mungu msemaji wa mwisho ambae Ni Yesu kristo alie hai ambae huwa hashindwi na chochote kumbuka shetani aliazia kwenye ajali lakini bado Mungu wa mbinguni alisimama nao aliaza kuhaibika zamani hata sasa shetani kahaibika na ataendelea kuhaibika Na Mungu awe upande wenu lolote watakalolifanya juu yenu likawadie wenyewe kwa jina la Yesu Alie hai kila pando asilolipanda Baba wa mbinguni kwenye maisha yenu likang'olewe kwa jina la Yesu
@mariamhavile8849
@mariamhavile8849 2 года назад
Kwani bibi harusi anakosa gani na wewe
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 года назад
Na mimi nimecheka km wenzangu wasio na ndoa 😄😄😄😄😄😄😄😄
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 2 года назад
Tunako elekea tutaungana tu ktk ndoa zetu za MKEKA🤣 We unadhani ndoa yako itaizidi ile ya MBILIABERI aliyo fungia angani!? Na je? Ilidumu !!? Acheni ulimbukeni ktk ndoa,,,safari ni ndefu ! Bado hujaamka usiku saa 7 ukakuta MTOTO kachemka MWILI na unatakiwa uamke umpeleke hospitali !!!!(Acheni tamthilia )
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 2 года назад
Shetani mnamsingizia bwana; Uzembe wa hali ya juu...Ebu Watanzania tuwe responsible na na makosa yetu! The planning was horrible 😕
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 2 года назад
Kwa kweli yaan huyu Shetani nae anatushangaa sana
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 года назад
Nyie hamwelewi, hakuna ubaya usiotoka kwa ibilisi, na everything is planned in the Spiritual realm.....no coincidence
@glorytoGod639
@glorytoGod639 2 года назад
Ni uzembe tu ulifanyika ile moto ulikuwa njiani sana
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 2 года назад
@@GloriousRestorationTV Let me save my breath....it will be a wastage of my time and intelligence to dispute your statement. Sad 😔
Далее
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 153 тыс.
Mr & Mrs. Nassib wakiingia ukumbini🔥
2:01
Просмотров 6 тыс.
SHANGAZI/AUNTY AMWAGA DOLLA KUFURU/ HARUSI YA NANDI
7:28