Тёмный

BWANA KATUKIRIMIA-Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu-St.John's University of Tanzania (Official Video-HD)_tp 

TanganyikaProduction
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 290   
@michaelkithembe
@michaelkithembe 3 года назад
Huu mwaka nabarikiwa na tunzi za F.Shimanyi...Mungu amzidishie neema...mob of love from Kenya
@ditricksilinu6038
@ditricksilinu6038 3 года назад
Iko vema na inapendeza sana wapendwa... Imeimbwa kwa viwango vya juu na imebeba ujumbe mkubwa sana
@rozinapokela469
@rozinapokela469 2 года назад
Nawapeda bure wanakwaya mko vizuri sana mungu awainue zaidi kiuimbaji
@sylvanusmillanzi
@sylvanusmillanzi Год назад
Tupo pamoja zaidi,Mungu aibariki kazi yenu
@jameswaweru1839
@jameswaweru1839 6 месяцев назад
Hongera huu wimbo nimwema wakati huu. Barikiwa sana.
@edgarndiza1049
@edgarndiza1049 Год назад
Kweli kama mwenyezi mungu anasi akuna vibayo inaweza mungu awalinde na nina sikiaka nyimbo aksanti sana
@veronicahaule4016
@veronicahaule4016 2 года назад
Hakuna kabisa nimewapenda mpaka naumwaa mmbarikiwe sana
@st.gregorythegreatchoir843
@st.gregorythegreatchoir843 3 года назад
Karibuni wote kutuunga mkono katika uzinduzi wa kazi yetu Leo hii, hakika usipange kukosa nakala yako popote ulipo, agiza itakufikia, nyimbo nyingi tamu na zenye mafundisho makini zinapatikana, karibu sana
@dominicmakau8872
@dominicmakau8872 3 года назад
Can I get it in Nairobi
@germainmiderho8243
@germainmiderho8243 2 года назад
Can I have notes 🎶 of this song I'm blessed with it
@anoldshirima3291
@anoldshirima3291 2 года назад
Ntaipatajeee ss
@vika3909
@vika3909 2 года назад
Tuhan Yesus memberkati.🙏🙏🙏
@tasokwamichael2433
@tasokwamichael2433 Год назад
😊
@rebeccarashid7514
@rebeccarashid7514 2 года назад
Mlifanya kazi nzur Sana hongeren na mzidi kumwimbia Bwana Katka Roho na kweli🙏🙏
@yosephandumbaro1425
@yosephandumbaro1425 2 года назад
I like every thing..sauti za waimbaji,kinanda zaidi video haina mambo mengi yani ni very classic
@johnsadiki2657
@johnsadiki2657 Год назад
Hakika hakuna,,,,,,,❤❤❤❤❤ Proudly Catholic🎉🎉🎉🎉🎉 Hongereni kwa utume 👏👏👏👏👏
@ditricksilinu6038
@ditricksilinu6038 3 года назад
St.Gregory mkuu Kutoka St. John's Dodoma. Nawakubali sana.. Utume wenu katika uimbaji unaleta amani na raha moyoni
@alphoncejoseph3617
@alphoncejoseph3617 2 года назад
Mmeimba vizuri sana mungu awabariki kwa vipaji hivyo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Kazi nzuri inatafakalisha tubariwe sote wapitwa HAKIKA HAKUNA WA KUTURUDISHA NYUMA KWAKUA NI BWANA KATUKIRIMIA
@wernerkahemela9197
@wernerkahemela9197 2 года назад
Mbarikiwe Sana na bwana yes u kristo aliye hai. Love you all
@LudvicNgugi-kx5xb
@LudvicNgugi-kx5xb 11 месяцев назад
Ahsante kwa kazi nzuri Mungu Awabariki.
@johnjoseph7590
@johnjoseph7590 2 года назад
Hongereni sana kazi nzuri lakini mtunzi katutungia nyimbo yakisabato
@shalomcraca1806
@shalomcraca1806 3 года назад
Nyimbo imenibariki sana. Yani nimeisikiliza mara nyingi karibu bundle inaisha.
@tumainimongi
@tumainimongi 3 года назад
Kwa Neno la Bwana Bando haitaisha kamwe. Itabaki na kusaza kama ili mikate mitano kule jangwani. Kumbuka watu walikula na kusaza. Ubarikiwe sana
@kanyingiisaac7929
@kanyingiisaac7929 2 года назад
Namiminia kongore zangu waimbaji wa Mt. Gregory kwa uimbaji wenu. Wimbo huu kwangu ni baraka tele
@icoyishakiyejeanclaude6785
@icoyishakiyejeanclaude6785 Год назад
Ujumbe mzuli Kwa kweli. By John Claude Burundi Muyinga
@boineelokalakane4378
@boineelokalakane4378 2 года назад
Hossanah in the highest amen am a zambian but live in Botswana Gaborone keep it up amen
@willbertmichael1785
@willbertmichael1785 2 года назад
hongereni sana ndugu zangu wana Gregory. hakika ni fahari kuona kwaya imekua sana tofauti na kipindi tulichopita sisi Mungu azidi kuibariki kwaya yetu.
@Brenda-tj7lu
@Brenda-tj7lu Год назад
Kazi nzuriiii, Mungu azidi kuwabariki
@EliaNgapemba-gs8mj
@EliaNgapemba-gs8mj Год назад
Kwa kweli hata kama mungu Yuko besy vip Kwa wimbaji huu atasikiliza tu. Dah hongereni Dana.
@tumainkomba3968
@tumainkomba3968 2 года назад
MUNGU awabariki sana kwa uinjilishaji.
@EmanuelDamiano-zn4uj
@EmanuelDamiano-zn4uj Год назад
Nzuri ya kistadi atiii mko vizuriiiii
@atenyimaman4838
@atenyimaman4838 2 года назад
Jambo ongera sana kwa d'auti tenu mungu awabariki
@priscah1868
@priscah1868 2 года назад
Pongezi kwaya tanganyika surely sweet voices mubarikiwe sana so tourching
@judykemunto3208
@judykemunto3208 3 года назад
Hakika hakuna....hongereni kwa kazi nzuri
@helenajacob5035
@helenajacob5035 2 года назад
Wahoo vizuri Sana wapendwa.
@justinobispodossantos8855
@justinobispodossantos8855 2 года назад
Oi boa noite tudo bem com voseis comigo tudo bem ficu i com Deus com muita fé e esperança e amor.
@jennikasitom3202
@jennikasitom3202 Год назад
Kweri honqereni sana Kwa wimbo mzuri
@clementlupande9307
@clementlupande9307 2 года назад
Hongereni Kwa kazi nzuri
@christophermarko9452
@christophermarko9452 3 года назад
Wimbo mzuri sana, sauti na kila kitu vipo vzr, hongereni xn
@fridahfrank
@fridahfrank Год назад
Nyimbo nzury sana natamani kusikiliza kilasiku
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 3 года назад
Mungu awape nguvu,na awabaliki Msonge mbele, vizuizi sana amina
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 года назад
Hongera sana kwa uimbaji!🙏
@tumainimaulidio2971
@tumainimaulidio2971 2 года назад
hakika mmepaza sauti zenu kwautulivu pongezi kwenu
@teresiabonareri746
@teresiabonareri746 2 года назад
Asante sana kwa kutupa moyo
@emanuelapaul9017
@emanuelapaul9017 3 года назад
Hongereni sana saaanaaa wanakwayaa hakika sauti mmezitumiaaa ipasavyoo muendelee na moyo huohuo nmebarikiwa mno na ujumbee husikaa🥰🥰💕
@edwinbagaile9563
@edwinbagaile9563 3 года назад
Congratulations family in Jesus Christ you made it
@edwardomore6245
@edwardomore6245 2 года назад
Talanta nzuri Asante bwana
@Kingdon8765
@Kingdon8765 3 года назад
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
Akika hakuna bali yeye mwenye mamlaka, Waooooo!! Wimbo mzuriiii mungu awape wepesi❤❤❤
@otuksam4440
@otuksam4440 6 месяцев назад
This song is part of my life.
@andrewsaidesalmo3087
@andrewsaidesalmo3087 3 года назад
Hongera mungu awabarikini wote!
@donatuskinyua
@donatuskinyua 9 месяцев назад
I love catholic songs❤❤
@marc-ederherard4557
@marc-ederherard4557 2 года назад
j'aime cette melodie je l'ai regardé plus que 200fois je comprend rien parce que je parle le français et le creole
@valentinegerald312
@valentinegerald312 2 года назад
Akikamungu ndie kilakitu kwakweli mungu awabaliki kwa.kazi yenu nzuli sana
@jeanbizimungu7739
@jeanbizimungu7739 Год назад
Nawa penda sana ndugu zangu
@edgambaganile6615
@edgambaganile6615 3 года назад
Excellent job and in good attire. Another superb work from Tanganyika Production
@jacklinecharles6460
@jacklinecharles6460 3 года назад
Hongereni kwa sauti zenu nzuri wanakwaya, , Congrats to Tanganyika Productions too for the well done job
@antonyclement8904
@antonyclement8904 3 года назад
Mungu awajaalie maisha marefu ili mzidi kuihabarisha habari njema kwa mataifa waokoke hongereni kwa uimbaji uliotukuka
@estherpius6690
@estherpius6690 3 года назад
Congratulation St. Gregory the great for amazing work may almighty God bless you
@rebeccawandia6240
@rebeccawandia6240 Год назад
So am just discovering this song,who is here in 2023,mob love from kenya
@ericktemba192
@ericktemba192 3 года назад
HAKIKA HAKIKA. ROMAN KATOLIKI HAKUNA WAKUTURUDISHA NYUMA IKIWA MUNGU YUKO UPANDE WETU .✅✅✅✅✅✅✅🇹🇿
@redemptamweu6243
@redemptamweu6243 2 года назад
Hakika hakuna was kuturudisha nyuma kwa kuwa ni bwana katukirimia❤️🙏
@leonadykiss2746
@leonadykiss2746 3 года назад
naitwa Leonard kissi nawapongeza sana wanakwaya ote mmeimba vizuli mungu awabaliki na awapenguvu katika kuinjilisha nawapatasa kutoka katavi
@johanajoseph878
@johanajoseph878 3 года назад
😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘napata raha, Utukufu ni wako Baba Mungu
@lucaslucian3610
@lucaslucian3610 3 года назад
Hakika nimefurahi Sanaa mmefanya vizuri napata hamasa hasa nikiwaona rafiki zangu ninaowafahamu , kazi njema jamni
@rahelipeter3539
@rahelipeter3539 2 года назад
Mmependz San Mungu ahmadiwe
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 2 года назад
Ni raha kuona vijana wakimsifu Mungu namna hii.
@salvatorymogesi6476
@salvatorymogesi6476 3 года назад
Hongereni sana Wapendwa wana wa Mungu kwa uimbaji tulivu kabisa hakika.
@wjnfridakatengezya5063
@wjnfridakatengezya5063 2 года назад
Amina Huwa nawapenda sana
@emmanuelmboma1369
@emmanuelmboma1369 Год назад
Hakika mungu nimwema kweli mnamsifu mungu naye alisema nitawabariki
@InviolataMusavi-sy1sj
@InviolataMusavi-sy1sj Год назад
Smart voice,ilove it,goodlooking
@emmanuelsamba1112
@emmanuelsamba1112 3 года назад
I feel so blessed with this song.. Nilikuwa nausubiria sana kwa hamu..... Hongereni sana na M/Mungu azidi kuwakirimia
@nyandahella9263
@nyandahella9263 3 года назад
Hongereni saaana na saaaana, wimbo mzuri saaaana, gregory the great choir hongeren teeena na teena kwa kazi nzuriiii
@michaeledward1003
@michaeledward1003 3 года назад
Nyanda hela ,,safi sana
@nyandahella9263
@nyandahella9263 3 года назад
@@michaeledward1003 wimbo mzuri saaana,
@juliananyombe5620
@juliananyombe5620 2 года назад
hongern can mung awatangulie
@benjaminmmand92
@benjaminmmand92 3 года назад
Mungu awabariki sana,hakika ikiwa Mungu amesimama upande wetu.....
@founanormil5068
@founanormil5068 3 года назад
Afrikenmizik
@felisterligwa
@felisterligwa 3 года назад
Hongereni saana kwa wimbo huu mzuri😍 ila wadada wawili mliosuka tofauti na wenzenu sio poa.Mkikubaliana sare mnakuwa wote saresare
@herbethamillinga1595
@herbethamillinga1595 3 года назад
🎶🎶Mbarikiwe na Bwana
@donchibya2012
@donchibya2012 3 года назад
Kazi nzuri sana hii, Sauti zinasikika vizuri. Hongereni sana kwa utume huu.
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 3 года назад
Nimeikubali hongera sana
@kamandagustav4677
@kamandagustav4677 3 года назад
Waaaaoh,,,,,,,,, so blessed with this song,fantastic one
@jeaninenahimana9224
@jeaninenahimana9224 2 года назад
Hakika hakuna wakuturudisha nyuma kwakuwa ni Bwana wawupendo hallelujah♥️♥️🙏👍
@mrpaulmwasaru
@mrpaulmwasaru 3 года назад
Nice one... Congrats
@deborahkinjo3790
@deborahkinjo3790 2 года назад
Wimbo mzuri sanaa
@neemarobert2181
@neemarobert2181 3 года назад
H Ongeren kwa wimbo mzuri xanaa
@davidmwambogolo3594
@davidmwambogolo3594 2 года назад
Saut nzuri zn
@dorothymbuere5832
@dorothymbuere5832 2 года назад
SAFI Vijana wa University ya St.Johns Universitty kwa wimbo mzuri Ikiwa Mungu Amesimama juu yetu. Sifi Mbarikiwe.
@emelda5855
@emelda5855 3 года назад
Hongereni sana, wimbo Mzuri Sana,sauti nzuri melody,Ni wimbo naanzaa nao every morning
@beatrisikimario8233
@beatrisikimario8233 3 года назад
Nimebarikiwa na huu wimbo, Mungu aendelee kukuza vipaji alivyoweka ndani yenu🙏
@mdegesemtweve2295
@mdegesemtweve2295 3 года назад
Waaaaawoh 🤩 God bless you brothers and sisters 😍😍😍😍😍😍
@PaulPhaustini
@PaulPhaustini 3 месяца назад
Mungu awabariki Sana maana cjuw hata nielezeje furaha nliyonayo juu ya huu wimbo
@albertblasiusmligo8715
@albertblasiusmligo8715 2 года назад
Wow Wimbo mzuri sana Catholic Proudly...!!!!!!
@thomashabanabakize4308
@thomashabanabakize4308 3 года назад
Congrats for this song!Na Mimi ndiye musician kama nyiye too!sogee sogee kbx mnatufurahisha Sana!
@fridamusa4521
@fridamusa4521 2 года назад
This song blesses me. hakika ni Bwana katukirimia...
@innocentqamnuwas5396
@innocentqamnuwas5396 3 года назад
Hongeren st John katk kazi ya kumtumikiaa Bwana mmetisha❤️❤️❤️❤️❤️🥂
@cecejohnson1132
@cecejohnson1132 Год назад
What a beautiful song, even though I don't understand the language
@frankdmushi
@frankdmushi 3 года назад
What a song...so beautiful 😍. Mbarikiwe sana!
@jonaskweyamba9747
@jonaskweyamba9747 3 года назад
Mbarikiwe saana kwa ujumbe wa kutafarisha, pia sauti ziko vizuri hakika mmependeza pia
@erickiptoo5785
@erickiptoo5785 3 года назад
Wimbo nzuri sana
@wangaiwagana5757
@wangaiwagana5757 3 года назад
Wow! Congratulations
@paulmsape163
@paulmsape163 Год назад
Kweli Mungu akiwa upande wetu hakuna wa kutufelisha
@elikanahema8786
@elikanahema8786 3 года назад
Am Prouding of you Brotherz and Sisters....Be blessed Always
@thomashabanabakize4308
@thomashabanabakize4308 3 года назад
Congrats for this song!
@annastaciaAnn-oc2xs
@annastaciaAnn-oc2xs 22 дня назад
Very nice song, God bless you 🙏
@zinazotrendnewz7712
@zinazotrendnewz7712 3 года назад
Bwana Katukirimia...Nice song be blessed
@Kingdon8765
@Kingdon8765 3 года назад
Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@norbertlotha1159
@norbertlotha1159 3 года назад
Wow awesome. I don't understand the language, but I simply love the song.God bless you all beautiful people ❤
@fmbilinyi5137
@fmbilinyi5137 Год назад
Let me try 😂😂 for God is on our side, who will be above us? surely no one can turn us back, for the Lord has blessed.
@martinkibiti6390
@martinkibiti6390 4 месяца назад
Much blessed with this, it my daily morning anthem to start my day.
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 613 тыс.
А вы знали что металл тонет?
00:32
NYIMBO ZA KATOLIKI ZA MAMA BIKIRA MARIA 1
21:53
Просмотров 64 тыс.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Просмотров 2,2 млн
SWAHILI WORSHIP SONGS WITH LYRICS NONSTOP 2024
54:32
Просмотров 169 тыс.
NYIMBO ZA KUTOA SADAKA LATEST MIX /CATHOLIC
23:58
Просмотров 793 тыс.