Тёмный

Cate atapewa Mimba ingine huyu anajua mahali siz wake alihamia kijana jirani amemuhost tena 

Johncena Silver TV
Подписаться 87 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 Месяц назад
huyo anataka kuiba mtoto wa Cate aende wauze na dadake lovely kid
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Aki
@mwimbimiheso5513
@mwimbimiheso5513 Месяц назад
John Cena huyo msichana mtoe, anafatilia cate ili amuumize cate tena
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Aki
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 Месяц назад
kanakaa kajini
@maryatieno9130
@maryatieno9130 Месяц назад
Huyu dem anaboo umepewa kitu Bure tena unasema hakuna blueband na chai ni kidogo 😏😏
@SarahKemunto-lz9od
@SarahKemunto-lz9od Месяц назад
Ako kasichana kanajua mahali dadake ako na kako na mission
@shu-r3r
@shu-r3r Месяц назад
John huyu mkitaka cat asaidiwe. mtoweni huyo msichana mi namuona c mzuri ataiba mtt siku ya masiku pia hana nia nzuri roho yake mbaya muondoweni
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Kabisa
@husnasalim9614
@husnasalim9614 Месяц назад
Uyo msichana siyo mzuri msimuache akae karibu ya cate simtu mzuri kwanini anamfatilia siyo mzuri ana adabu
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Kabisa
@faizakikie-r6w
@faizakikie-r6w Месяц назад
huyu dem si achane na cate aki😢
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Aki
@shindani
@shindani Месяц назад
Joncna joniee please please huyo kasichana Kuna venye, chukua cate kwako ambia hyo msichana ajipange ndio mjue nn kinaendelea ama huyo ni shetani
@EuniceNgala-k3h
@EuniceNgala-k3h Месяц назад
Huyu cate alijizidishia matatizo wakati alimwaga maziwa alio letewa na aleko alifanya mbya sana aleko angemsaidia huyu lkni kiburi
@Christine-c4c
@Christine-c4c Месяц назад
😂
@monirangerera7155
@monirangerera7155 Месяц назад
Adabu yakae kama kakimbiwa miye simuonei huluma namuonea huluma uyo mtoto tu
@gakyjaklin450
@gakyjaklin450 Месяц назад
Uyu msichana mwenye anafuatilia cate please mfukuze ,kma mnataka kusaidia cate juu uyu msichana atauuza cate
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Kabisa
@NofelaJaco
@NofelaJaco Месяц назад
Hiki kischana kina shida gani hdi kinasema kimepewa chai nusu😂
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Aki😂
@maryodongo-r4r
@maryodongo-r4r Месяц назад
Aki huyu dem ataiba mtoi wa Cate auze.
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Aki
@MaryMūriithi-v9f
@MaryMūriithi-v9f Месяц назад
Ahaa kwa waraabu ufungue mate na mdomo..job kwisha😅😂
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Wah
@SurprisedBirdBath-qh2nn
@SurprisedBirdBath-qh2nn Месяц назад
Johncine plz waja kukaa mpole hyo msichana hatike hapo kwa cate haede kabisa plz kako na mission plz na siz yke kwa cate
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Sawa nimeskia🙏
@puritymso3181
@puritymso3181 Месяц назад
Johncena please sanitize huyu dame wako na cate. Mm nmshuku coz naona ako mission hawezi kosa kujua mahali dadake yuko. Please please it a serious case isije ikawa wako kmoja na jamaa,.
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Waah
@MaryMūriithi-v9f
@MaryMūriithi-v9f Месяц назад
Huyu mdada achaneni na yeye.whats happening to.this.. Tafutia cate somewhere else coz kuna shindaa .. Toa cate uko umuache uyo,I wish nko home
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
Waah sawa
@judynekesa-y5s
@judynekesa-y5s Месяц назад
Plz saidieni cate pekeake uyo mwingine anamfwatilia ndio amnyanganye amwache akiteseka
@GirlCake254
@GirlCake254 Месяц назад
Huyu dem is a big NO tupitiane tuanze na nani
@janemusumba820
@janemusumba820 Месяц назад
Ata Cate simwoni poa hii ni deal wako nayo
@janemusumba820
@janemusumba820 Месяц назад
Huyu msichana ni mbaya Kuna siri
@Christine-c4c
@Christine-c4c Месяц назад
Mm hyu kichana wa kuost cate amefnya vzr kusaidia lkn sioni kama ata kua sawa hyu cate hapa n kama umtupia fisi nyama walai kwenye akuna bibi maybe amjkue kama bibi lkn mm cate nkama laana inmfata sio bure wengi tuko single lkn atuko kwa segition kama
@Jacintanabwera
@Jacintanabwera Месяц назад
Mnipitie tugrow wote please ❤❤❤❤
@LASTBORN6163
@LASTBORN6163 Месяц назад
Jonecena please cate atafutiwe nyumba akae uko peke yake juu kukaa na huyu boy ni shida tu pia anaeza pewa mimba ingine tena
@rahema907
@rahema907 Месяц назад
Hapa kuna venye jamani dunia ime haribika isiwe kuna venye wame chora hawa watu aki
@EuniceNgala-k3h
@EuniceNgala-k3h Месяц назад
Iki kidemu shida yake n gani na hii kiburi yake
@humblegirl-w7k
@humblegirl-w7k Месяц назад
😅😅😅😅
@JohncenaSilverTV
@JohncenaSilverTV Месяц назад
😂
Далее