Chama Cha Mapinduzi (CCM kimekanusha madai yaliyotolewa na kiongozi mmoja wa serikali akidai kuwa mafanikio ya uchaguzi wa chama hicho hayategemei kura pekee bali njia mbadala.
Katibu wa Uenezi,Itikadi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makalla amesisitiza kuwa madai hayo ni ya kiongozi huyo binafsi na hayawakilishi msimamo rasmi wa CCM.
✍@official_jennifersumi
#azamnewsupdates
29 авг 2024