Тёмный

CHADEMA 'Bye bye' Lindi, ACT Wazalendo Yaisambaratisha 

ACT MEDIA
Подписаться 104 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

ACT Wazalendo yapokea wanachama 45 pamoja viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Lindi, wanachama hao wamepokelewa na Naibu Mwenyekiti wa chama ambaye pia ni Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchinjita. Viongozi waliojiunga ni pamoja na Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Lindi Zainabu Lipalapi, Katibu wa Jimbo, Mwenyekiti wa wazee, Mwenyekiti wa jimbo, na Muweka hazina.
#taifalawote #maslahiyawote #habari #matukioonlinetv

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@LandeliniMosha
@LandeliniMosha Месяц назад
Mimi nimezani ni wa CCM kumbe Chadema anyway Sawa bhn ila forget kuiua Chadema apo
@mgungulem3187
@mgungulem3187 Месяц назад
Adui yetu ni CCM siyo chadema msije mkaacha ufa adui akapita
@salyali7807
@salyali7807 Месяц назад
ACT fire 🔥🔥🔥
@salyali7807
@salyali7807 Месяц назад
Safi sana
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Sijaelewa kvp Sasa kwani utawasaidia nn
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Mii nilizani wa navuna wafuasi wa ccm kumbe wa chadema kweli act ni Ccm b
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Месяц назад
Act wazalendo wapi tusidanganyane
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Месяц назад
Kuhama na kuhamia chama ni maamuzi binafsi SIO matakwa yenu, inawezekana wewe unaepuuzia hili huna chama cho chote unachounga mkono zaidi ya kukubali kwako kuburuzwa tu na ccm
@NeemaPaulo-wf3oz
@NeemaPaulo-wf3oz Месяц назад
Chadema hoiiiiii
@jacksonbalama5990
@jacksonbalama5990 Месяц назад
Wezenu wanapambana ccm nyie mnapambana na chadema ufara huo
@salyali7807
@salyali7807 Месяц назад
​@@jacksonbalama5990wapi hapo ACT imesema inashindana na Chadema ?
@FortyMwamba-kq5js
@FortyMwamba-kq5js Месяц назад
Kima nyie
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
Act ni chama cha lindi na pemba hawawezi kufanya mkutano wakapata watu hata kidogo shinyanga
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Месяц назад
WEWE umechelewa kweli, Bado uko kule kule ni waislam, ni cha ...... Hujuwi Nini wanasiasa wapinzani wanadai Pole sn a
@petermogha7025
@petermogha7025 Месяц назад
CDM ni Arusha na Kilimanjaro SIO Dodoma hawapati
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 Месяц назад
ACT ni wapumbavu nyie mnafanya Usanii wa kijinga propaganda ya hujuma chama pinzani
Далее
Fixing Plastic with Staples
00:18
Просмотров 1,4 млн
Мама знает где все документы
00:21
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 739 тыс.
Fixing Plastic with Staples
00:18
Просмотров 1,4 млн