Тёмный

ISMAIL JUSSA AFICHUA SIRI -ACT WAZALENDO: UHUSIANO NA CCM,MUUNGANO NA KUMSOMAMISHA ZITTO KABWE 2025 

ZamaradiTV
Подписаться 239 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

11 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@lusakaone7782
@lusakaone7782 25 дней назад
Hongera Mh. Ismail Makamo Mwenyekiti wa ACT wazalendo
@NoufelSalim
@NoufelSalim 24 дня назад
Jussa sisi wazanzibar tunakua hatuchoki kukuskiliza
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 22 дня назад
Hakika wazanzibari tunachotaka ni mamlaka kamili ya Zanzibar sio kuombewa misaada na Tanganyika ndio Zanzibar ijenge barabara, hospitali na maji tunataka Zanzibar tujitegemee wenyewe sio leo mpaka tuombewe na mkoloni Tanganyika.
@salyali7807
@salyali7807 24 дня назад
Respect mh Jussa ... you are Zanzibarians hero
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 19 дней назад
Nakupenda Jussa kwa ajili ya ALLAH buure❤❤❤
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 24 дня назад
Naam kaabbisa kabbisa Hatuhitaji ghorofa tunahitaji zanzibar moja zanzibar mpya mamlaka kamili nasio ajira JKU au Kufagia manispaa hapana tunahitaji kujenga zanzibar bandari kua freeport tunahitaji elimu ya juuu tunahitaji sarafu yetu jeshi letu bendera yetu haaaa Ahaaa kabbissa kabisa tunahitaji uhaniaji sawasawa
@salyali7807
@salyali7807 24 дня назад
Excellent interview
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 25 дней назад
Mtangazaji sauti yako kama Ahmed Ally wa simba 😂
@jovankishamba9424
@jovankishamba9424 23 дня назад
Mzee Jusa umeeleweka vizuri sana.
@salyali7807
@salyali7807 24 дня назад
Please mhe tunataka ugombee jimbo la malindi Please Please please
@HajjNgwali
@HajjNgwali 24 дня назад
Kinach nifurahisha nikwmb wana shukran kw mam ni jamb zur San
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 24 дня назад
Jamanii huyu anaezuungumza ndio yule alie pigwaaa akavunjwaa vunjwa mbona inaonekanaa anaipenda nchi yakeee ya zanzibar kwanini alipigwa kwanini alifanyiwa yale mbona haonekani kua anakisasi anaonekana anaukunjufu wa moyo wake mtu huyu anapendeza sana mpeni nguvu na umoja huyu mtu pia inaonekana anatetea watu wakeee eti jamaniii
@MrKhatibu
@MrKhatibu 24 дня назад
Ni mtu makini sana, anajua zipi siasa za jukwaanina zipi siasa za mahojiano na siasa majadiliano. Yupo smart
@user-hj4zt1kw4i
@user-hj4zt1kw4i 22 дня назад
Huyo bwana ndie Mh Ismail Jussa Ladu aliefunzwa siasa na Maallim akafunzika.
@user-su6vt8ev8d
@user-su6vt8ev8d 2 дня назад
Akiwekacho Mungu Binaadamu hukiondowi kaza buti Jussa tupo na wewe
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 19 дней назад
Kuna haja ya kubadiishwa huu mfumo wa katiba unaosema Rais ndio muwamuzi wa mwisho hili jambo ndio linaowapa kibur marais wa Zanzibar ingewekwa maamuzi ya Raisi wakubaliane na washauri wake enough
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 24 дня назад
Jussa nakupa heshima kwenye muungano, lakini kuhusu zito anaetaka kazi na bata hachaguliki hata kwa sawa. Labda ubunge wa kigoma. Kipindi kigumu tulikipenda kwa sababu wizi wa fedha za Uma, rushwa, matumizi mabaya ya mali za Uma yalipungua sana. Nakubali JPM hakuwa mtume huenda alikosea kwenye mambo ya demokrasia. Lakini Mali za Uma rushwa matumizi mabaya ya mali za Uma, ulinzi wa lasilimali za nchi na wizi wa Mali za Uma alifanya kazi hiyo kwa hali kubwa na kujitoa. Ndio maana watanzania wa ya chini anaowatetea jussa ndio wapenzi wakubwa wa ile hali iliyokuwa ngumu kwa wanasiasa ilikubalika na watanzania walio wengi. Lakini vile vile ndugu yangu jussa ufisadi wa mwinyi nzanzibar hauna tofauti na ufisadi wa Samia kwenye muungano hebu tuwe wakweli ili ufisadi uishe Bara na Visiwani!
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 24 дня назад
Mawazo yako mazuri tena inafaa wote wawe na fikra zinazotokana na wewe maana zinajenga hazibomoi
@YahyaOthman-et2ki
@YahyaOthman-et2ki 14 дней назад
Hongera kiongoz wetu
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 22 дня назад
Sawa jembe mm nikimuona jussa naona km maalim seif
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 21 день назад
Kweli kabbissa kkabbisa
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 23 дня назад
❤❤❤❤❤
@KhalidAli-nk5qh
@KhalidAli-nk5qh 24 дня назад
Jussa uwemwema kwenye maongezi uwe na hikma busara
@alijuma8009
@alijuma8009 25 дней назад
🎉🎉🎉
@user-su6vt8ev8d
@user-su6vt8ev8d 2 дня назад
Sawa Makamo
@user-ze4fk7vq5w
@user-ze4fk7vq5w 6 дней назад
Tupo pamoja na ACT
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 22 дня назад
✌️👍👊.
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 16 дней назад
Uraaaaa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 23 дня назад
😮 SADAQTA 😢
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 23 дня назад
Zito haaminiki ndumilakuwili
@yayananajota5838
@yayananajota5838 24 дня назад
Ufisadi upo ndani ya familia,
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 19 дней назад
MARAISI WA MUUNGANO BAADO WANAFUWATA MILA NA ITIKADI ZILEZILE ZA DR NYERERE
@salyali7807
@salyali7807 14 дней назад
Umekusudia mchonga meno nyerere sio dr.
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 24 дня назад
Elewa neno mwana-siasa, aongelei uhasilia eti serikali ya ubadhiribu na ufisadi tema mate chini ww, miradi ya viwanja vya ndege na bandari inaendelea bila kusita huo ndio ufisadi, mufilisi wa sera kichwani jussa...
@bakarsuleiman3989
@bakarsuleiman3989 24 дня назад
Ww una wazimu kijana hujui unacholiongea wizi umekithiri kwa mgongo wa maghorofa wananchi walipa kodi ni maskini pesa zinapigwa
@nassorseif7907
@nassorseif7907 23 дня назад
Muheshimiwa mutashinda vp 2025 wakati Mwinyi kakataa kubadilisha muundo wa Tume ya uchaguzi na wo wanategemea huko kubadilisha matokeo au kufuta kabisa matokeo mmejipanga vp na hili mkurengezi mpk saiv ni yule yulemuaji Faina kuraya mapema sheria haijabadilishwa baraza la wawakilishi vp unaaminisha watu ushindi wa 2925 muheshimiwa??
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 20 дней назад
Wewe matako
Далее
skibidi toilet 76 (part1)
03:10
Просмотров 9 млн
Malalamiko ya Halima Mdee kuhusu uchaguzi
2:07
Просмотров 408 тыс.
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Просмотров 21 млн
мы в телеге - hahalivars
0:52
Просмотров 3 млн
Это жизнь😂инст:sarkison7
0:10
Просмотров 2,1 млн