Тёмный

CHADEMA YAINGIZA VIONGOZI MSIKITINI WAISLAMU WAJA JUU 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 601
50% 1

#sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv #muhubirimwaipopo

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@Fundimtai
@Fundimtai 2 часа назад
Sheikh mwaipopo endelea kusema kweli ,nakupenda kwa ajili ya allah
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy Час назад
Asalaam aleikum. Swadakta leo umeongea maneno mauri sana. Asante
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 2 часа назад
Upon sahihi sana mzee mwaipopo , good bless you
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 Час назад
Ni bora sana umewaambia ukweli ma Sheikh, binafsi niliduwaa mno!!!.
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 2 часа назад
Aaaah Mwaipopo usipoongea mimi naumwa wewe humumunyi maneno wewe unajielewa sana sana
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m Час назад
Huyo mzee kachanganyikiwa Mama Samia mpaka 2035 Viva Mama
@AllyhHassani
@AllyhHassani 2 часа назад
Huyu mzee ametumwa kweli
@HAFIDHIFAKIHI
@HAFIDHIFAKIHI 2 часа назад
Mungu akuongoze kaka
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 29 минут назад
Mwaipopo sheikh wangu pasua ukweli kabisa. Hata wasiojua dini tumeshangaa kweli
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 28 минут назад
Usimuhukumu dida huwezi jua mambo ya siri alokua anamfanyia Mungu we umeona upande mmoja wa mavazi unajua dida kasaidia watu wangapi sadaka alizokua anatoa za kufuturisha watu mbona haya huyasemi acha unafiki mwaipopo mungu ndie mwenyekujua siri za waja wake
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m Час назад
Mama Samia kamata wachochezi hao watatuletea vita wanaeneza udini pumbavu
@Bistwishs
@Bistwishs 2 часа назад
Lakini uganda na mozambiq na south sudan wamo kwenye oic
@helsonjonathan
@helsonjonathan Минуту назад
Akili ndogoooooo umeishiwa
@fredgonga
@fredgonga Час назад
Mwaipopo ulikuwa unawakemea mpaka waarabu kwenye mambo ya dini.. ila siku hizi sijui umehongwa na ssm, muda wote we ni chadema tu..
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq Час назад
Samia aliingiza askari mwanamme msikitini
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 2 часа назад
Nchi Itaenda Hata Palestina Watu bado wapo
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m Час назад
Mwaipopo wabomoe Wachochezi hao hatutaki vita
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 17 минут назад
Sasa uyu kama alimkana babayake na mamayake kwa kuama din kuna nini tena
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 часа назад
Kikubwa ni kuombeana Duwa tu!
@romualdlazaromwesiga9638
@romualdlazaromwesiga9638 2 часа назад
Alichokisema kwani ni siri?
@LaizaLaiza-oj9uw
@LaizaLaiza-oj9uw Час назад
Hunajipya mwaipopo
@hamidmussa838
@hamidmussa838 2 часа назад
Ww unakufa kwa presure.
@hamidmussa838
@hamidmussa838 2 часа назад
Huyu Mzee ovyoo kabisa.
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 32 минуты назад
We mwaipopo mbona huna uadilifu ama unachuki na mazinge, Mbona Mufti wa Tanzania ndie aliemswalia dida na sheikh wa mkoa alikuwepo mbona hukuwasema ama wao wako sahihi mazinge pekee ndo kakosea
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq Час назад
Wewe mwaipopo usichukue kazi ya mungu ya kuhukumu, kama dida ana dhambi ni kazi ya mungu kumpa adhabu acha kujipa ukubwa usio kuhusu, huyo samia aliingiza mwanamme msikitini mbona hujafungua youtube na kukemea?;
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m Час назад
Chadema Hampati nchi nyie mnataka mtuletee vita kama Ribiya
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Час назад
Chawa😅😅
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 23 минуты назад
Mwaipopo umeona kabisa Mufti ndie aliemswalia dida ila unaogopa kuongea unajua utafungiwa usifanye mihadhara yako.ukaona umvae mazinge, Bila kufahamu mazinge kaenda kuwakumbusha waislamu wasidanganyike na uhai wa dunia warudi kwa mola wao na msiba wa Dida uwe ni funzo kwetu wewe unamshambulia
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Час назад
Mmmmhh we mwaipopo ni mchonganishi sana huyo mzee kaongea kwa utashi wake mwenyewe, sasa chadema inaingiaje hapo. Shehe mwaipopo siku zote huna hoja kabisa, halafu hujui kuchanganua mambo we umejaa chuki kwa wakristo tu huna lolote. Mzee aliyoyaongea ndio mnapenda iwe hivo
Далее
WAISLAMU WAITIKISA DAR KWA DUA
37:26
Просмотров 665
KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUCHELEWESHWA I  Mwl. Aaron Ulaya
1:22:21
KIBOKO YA WACHAWI KUANDALIWA TANZANIA
29:29