Тёмный
No video :(

Chama cha wanahabari chalaani kitendo cha polisi kumkamata mwanahabari Macharia Gaitho 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Mwanahabari Mkongwe Macharia Gaitho amesema kukamatwa kwake na kisha kuachiliwa na makachero ambao hawakujitambulisha kwake hakutamzuia kuendelea kuikosoa serikali. Gaitho ambaye alijeruhiwa mkononi wakati akikamatwa amesemaalifuatwa na gari asilolijua kutoka nyumbani kwake hali ambayo ilimfanya aingie katika kituo cha polisi cha Karen kupata usaidizi

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@aooshosho4255
@aooshosho4255 Месяц назад
Zubeda mama you look Kiswahili wacha na kizungu kirudi kwao...wewe ni mwanamke wa kiafirika asri ❤
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Месяц назад
wacha aonge kizungu ndio Awa wasungu wenye wana taka kutubeba malenge wajue kenya nietu wa afrika
@georgemorara4255
@georgemorara4255 Месяц назад
This is true social media should be independent, and give the whole world coverage news.
@edwardomungu6023
@edwardomungu6023 Месяц назад
Kenyans let's pray for our nation,and we must rally behind Kenya media,they have been doing great job,Do not be intimidated God is with you,thank you for the great work you are doing in our nation.God bless Kenya.
@Monathoo
@Monathoo Месяц назад
But you still give them lots of airspace. Why don't you give the govt a black out.
@evranyakundi
@evranyakundi Месяц назад
Carrying Ur own cross madam
@shabankolia8204
@shabankolia8204 Месяц назад
Eeei kizungu noma wee😂😂😂
@stephenmwangi9311
@stephenmwangi9311 Месяц назад
Hizi mainstream media ndio hutumika na wanasiasa, wakishakula wanaanza kujifanya ohhh ohĥ
@user-fg3ju7vp5i
@user-fg3ju7vp5i Месяц назад
Hata zenu pia muangazie huwa munaficha vitu za wakubwa wenu
@user-wu7pb2qp1f
@user-wu7pb2qp1f Месяц назад
Ruto amekuwa dictate
@felixkirui9796
@felixkirui9796 Месяц назад
Citizen you must be Fair... You're not Fair at all
@boscoboss3826
@boscoboss3826 Месяц назад
Biased media useless media Ruto finya bado wanapumua
@KIFAM
@KIFAM Месяц назад
Advocating for criminal activities in the name of media
@Watt-er8or
@Watt-er8or Месяц назад
Don't fight the police, allow them to do their work as they allow you to do your work.. Msijifanye ni kama nyinyi ndio wazuri,, mnataka Kenya ichomeke ndio mpate nini..
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 Месяц назад
Akili yako ni nzuri kweli ww
@joshuamwaura6171
@joshuamwaura6171 Месяц назад
Hakuna mtu anataka Kenya ichomeke. Kwani kuitisha uwajibikaji ni vibaya? Wakenya tumechoka na serikali iliyoko. Tunataka serikali ya teknokrasia si ya wanasiasa wakora. Kenya ni yetu na tunataka ikue kwa muendendo mzuri.
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Месяц назад
wewe nindio wale muna shirikiana kuua watt wetu na kutupa kware so ikionyeshwa na cameras munambia police shut And kili jinga taip😢😢
@jerryobutiatia6922
@jerryobutiatia6922 Месяц назад
WW SI MTU
@Watt-er8or
@Watt-er8or Месяц назад
@@salomeomashibo1971 I thought the killer is in police custody,,. Ama mko na wengine mnawaficha
Далее
Money lending scheme cons hundreds of Kenyans
4:30
Просмотров 13 тыс.
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 18 млн
END OF THE ROAD: WHY RUTO CANNOT ESCAPE THIS!
17:53
Просмотров 7 тыс.