The song, Maneno Saba ya Yesu Msalabani, is purely a masterpiece. There is a very special thing about Tanzanian Choirs, especially those from the Protestant established churches. They sing pure gospel. Pure scriptures. Simple and clear. Period. Pray for our Kenyan choirs. They dont sing from the Holy Bible, oftenly. They obsess about the clothes they wear, hair styles, beautiful faces and all. It is largely cosmetic gospel. The audience is not God, unfortunately. That's why after so many years of trying, not a single choir can measure up to a Tanzanian village choir. Tuombeeni kwa dhati, ndugu zetu, tuweze kujitoa manga katika huduma ndio tuweze kuongozwa na Mwenyezi Mungu, na kuwezeshwa kuimba.
Mko vizuri sana CVC,namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na 9 nyie June 2019,nilibarikiwa sana,nawakubali sana,mnaimba kwa kumaanisha,yaani hamjawahi nilaza njaa kabisa.Huwa nikila nyimbo zenu huwa nashiba kabisaaaaaa.Mungu awabariki sana,akina dada Diana,Bahati,Lydia,Mary na wengine woteeeeeeeeeeeeeee
Mwaka huu ndo nimeusikia huu wimbo masikioni pangu jamani Mungu awabariki sana huyo baba mwenye bez amenibarik Yesu mwinue na mme wangu awe anamtukuza Mungu kama hawa wababa jamani kuna mwenye bez inasikika mpaka mbinguni.
Maneno Saba Msalabani, ni mahubiri kamili. Mungu ni mwema sana, Kuala hawa waimbaji wa AIC Changombe, uwezo wa kutunga nyimbo safi sana. Mungu ni mwaminifu.
Hakika haya ni mahubiri kabisa tangia nimeanza kuwasikia mpaka leo ni miaka zaidi ya 14 huwa nabarikiwa sana Mungu aibariki kazi yenu mzidi kutuhubiria nawapenda sana.
Always producing and ministering inspiring songs to this generation. May God keep you to preach and spread the gospel through your songs... Much love from +254🇰🇪
NAWAPENDA SANA AIC...KARIBUNI SANA BAGAMOYO.........WIMBO NI MZURI SANA KWA MAANA YA KWAMBA UNAWEZA KABISA KUKUFANYA UKIRI KWA KINYWA YA KUWA YESU NI BWANA...MUNGU AWAINUE SANA WAPENDWA WETU.....KEEP IT UP
Am always proud of this choir, am praying that one day, I will get all their CDs copy songs;Efeso, pumzi, usiku wa manane, pazia, iweni Safi, gusa, nyenyekeeni, nk, will be blessed.
Maneno saba Msalabani, is a fully fledged sermon, packaged in a song. Tis kind of masterful composition of a song only happens to a people that are called and ever prepared to be used by the Lord, to spread the worthy word of the Lord. Excellent work, Changombe, to God's grace!
Mungu ni Fundiche Ku tends wema Na Ku Hurumia Na Uvumilifu DUNIA Inanichocha na Choka Mimi Mwami Yesu Ni pe Nguvu Bila Vile Utanipoteza Chetani Ana Winda Moyo Wangu Yesu Nipiganie Vita mi na Chindwa Christu Ni Wezeche Ni Simame IMARA Acha Mungu wa Mbiguni a mibarikie Ba Pendwa Iyi Wimbo Iko Ina Ponya Bidonda y’a Roho yangu Pôle pôle ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤
Baas muki tukipeleka hivi tutakuwa Sawa. Keep posting your songs on you tube .. you are a blessing and will remain a blessing. Rose Gewe l.see you thank you for joining us in this song.. Instrumentalists l.see you...upako waa ajabu Diana James,Mr and Mrs Meshack Bahati, the Kashimbas barikiwa sana.Endeleni Kwa neema hii
Jamani Mwenyezi Mungu ka wabariki saaana munakuwa kwaya ambayo ime nibariki Sana mara kwa Mara. Baraka ziwe nanyi katika huduma hii ya utangazaji wa habari njema. Ni mushabiki wenu Erick toka DRC BUKAVU
Siku zote ninapotazama nyimbo zenu tangu nikiwa kijana mdogo sana, mpaka leo namuomba Mungu sana katika Kristo Yesu atunze mbegu aliyoipanda ndani ya kundi lenu CVC. Tunaotazama na kusikiliza huwa Mungu anatubariki na kutuhudumia kupitia nyimbo zenu lakini ni hakika mbegu ya huduma Mungu aliyopanda ndani yenu si ndogo. Ni maombi yangu Mungu atunze mbegu hiyo kizazi hata kizazi. Nawapenda CVC your my all time number one best gospel choir in Tanzania.
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu CVC. Nakuona Hosea, Nakuona Meshack, Nakuona Mama ITEMO, na wengine. Ninabarikiwa sana na wimbo huu. Baraka za Bwana zimfikie Mtunzi, waimbaji na Kanisa kwa ujumla.