Тёмный

Chanuo Part 1 - Chanuo, Madebe Lidai, Zaudia Shabani, Zakharia Jashi (Official Bongo Movie) 

Africha Entertainment
Подписаться 2,2 млн
Просмотров 882 тыс.
50% 1

#africhaentertainment #africhamovies #africha
Chanuo - Full Movie Part 1 (Chanuo & Madebe Lidai)
Tazama Chanuo Part 2 Hapa: • Chanuo Part 2 - Chanuo...
CAST: Madebe Lidai, Zaudia Shabani, Zakharia Jashi, Hidaya Boli Ibrahim Mbwela, Coretha Mkemangwa
STORY/SCRIPT: Madebe Lidai
DIRECTOR: Madebe Lidai
PRODUCER: Madebe Lida
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 373   
@VERENICEMICHAELY
@VERENICEMICHAELY 8 месяцев назад
Wale wa 2024 marudio baada ya chanuo kuteswa na kulia media like hapa tumekuja kuhakikisha ila chanuo mzuri jamn anavyoongea sasa mi hoi maua yako🎉🎉🎉
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 8 месяцев назад
Tupo hapa
@annabanene6567
@annabanene6567 8 месяцев назад
😂tupo mwenzangu
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 8 месяцев назад
Mm ndio kwanza nimekuja kushuhudia tarehe 25,,2024
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 8 месяцев назад
Pamoja
@FatumaJuma-jh6yi
@FatumaJuma-jh6yi 8 месяцев назад
Ila jamani eti mimi 26/2024 baada ya mtu kupigika katika ndoa😅😅😅 hii ndy bongo
@yusuphally6996
@yusuphally6996 4 года назад
Kama Umekuja kuangaria Baada ya madebe kumhowa Chanuo like hapa
@mwanatumu7012
@mwanatumu7012 8 месяцев назад
😂😂
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 8 месяцев назад
❤nampenda sana chanuo chakali ana maneno kama chiriku nanimuuguzaji mzuri sana❤
@bahandwaephraimsama4420
@bahandwaephraimsama4420 4 года назад
Uyu demu mweusi kama pine namaco kama grori na mupenda sana sana
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 8 месяцев назад
Me pia nampenda
@12345678938129
@12345678938129 7 месяцев назад
Ivi anaitwa je ?
@NajmaBarry04
@NajmaBarry04 8 месяцев назад
Chanuo kipaji unacho Mungu akuzidishie ❤❤❤❤🎉🎉
@KaginaEspaul
@KaginaEspaul 8 месяцев назад
Sijaona uzuri wa hii movie , zaidi ya kuhamasisha uzinzi
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 8 месяцев назад
Hata mm
@turnfidennikazo9437
@turnfidennikazo9437 8 месяцев назад
Jaman chanuo adi laha napenda unavoongea ❤❤❤
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 8 месяцев назад
Chanuo uko vizuri
@jennymali4368
@jennymali4368 8 месяцев назад
Uyu dada mweusi nampendaga na macho yake🎉🎉🎉🎉🎉
@MarryDaimond
@MarryDaimond 7 месяцев назад
Mimi nampenda sana
@zaynabahmad8219
@zaynabahmad8219 Месяц назад
Huni shindi mimi
@allyjuma9287
@allyjuma9287 Год назад
Mungu wangu chanuo hii muvie mmmm hatar ulichokifanya
@agnaskanyai3381
@agnaskanyai3381 2 года назад
Mashalaaaaa chanuo bibi ya madebe fire 😍 much lov frm kenya
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 8 месяцев назад
Tunaotizama 2024 january 23
@nickxonkinisu8862
@nickxonkinisu8862 3 года назад
Filamu nzuri Sana,imejaa mawaida yaliyohimarika kweli
@edinaedwini6128
@edinaedwini6128 3 года назад
Chanuo nakukubalii
@laverababayz2918
@laverababayz2918 2 года назад
Movie zako madebe hani Hadi raha jameni 🤣 sijui nitazimaliza Leo kuangalie zotee maana ndio mwanzo naaenza kuzionaa ❤️❤️
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Shida ni bando tu
@JanethJoseph-tq2ns
@JanethJoseph-tq2ns 8 месяцев назад
Haki mimi nimeiludia 2024
@luckymilani8927
@luckymilani8927 7 месяцев назад
February 2024❤❤ I love chanuo mama
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 8 месяцев назад
Tulo kuja baada ya ugomvi tujuane
@fasahaproductstv638
@fasahaproductstv638 3 года назад
Dah! harejei mechi ingawaj ameshachez mechi nyng na anatofautisha ladha . Anatisha
@gumatohuka8827
@gumatohuka8827 4 года назад
Madebe yaani kwa kweli napenda filamu lako. ❤❤😇. Thank you.
@FrancoisKabala-lq8vy
@FrancoisKabala-lq8vy 9 месяцев назад
Madebe anazingua chanuo waukwer
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 8 месяцев назад
Sasa si ukamchukue
@saumumaganga3590
@saumumaganga3590 2 года назад
Yan kuangalia bila kusom comment sijickii raha
@MwanashaSuleiman
@MwanashaSuleiman 8 месяцев назад
Kwel😂
@OmusulaKelvin
@OmusulaKelvin 11 месяцев назад
This man is the teacher really.good job kwa kutuelimisha kuhusu ndoa
@Neema-m6s
@Neema-m6s 8 месяцев назад
Lkn yy anaoa na kuacha ndo ujue kwenye miti hakuna wajenzi 😂😂😂😂
@zakiahmwaka8605
@zakiahmwaka8605 4 года назад
Zaudia nakupenda mamaa kazi yako njema atari
@MbulagwishaMabula
@MbulagwishaMabula Год назад
❤ Utabaki kua dalasa kwa vijana filam zako Zina maono saana🙏🙏
@fakiswalehe9785
@fakiswalehe9785 6 лет назад
Mademe much love from Kenya watching from Qatar.napenda maneno ya kiswahili natamani tu kujiunga
@rukiaabdallah2096
@rukiaabdallah2096 4 года назад
Mmm
@MwasitiHamisi-g6w
@MwasitiHamisi-g6w 3 месяца назад
naikubali sana i filamu yani inanikosha
@ismailisungura3491
@ismailisungura3491 3 месяца назад
Namuona hamisi kufinya kwenye ubora wa kimataifa Big up kaka
@CatherineJohnson-y2h
@CatherineJohnson-y2h 8 месяцев назад
Yani nmekuja kuangalia baada ya songombingo alizoshutumiwa madebe na chanuo😂😂😂
@AntonyStarboy
@AntonyStarboy 11 месяцев назад
Chanuo nakupenda buree. Madebe lidai nakupa kongole kwa kuandaa muvi hii
@aishamother9943
@aishamother9943 4 года назад
Wallah bibi ya madebe n mzuri Mashallah
@fatmaomar1881
@fatmaomar1881 8 месяцев назад
Tuliokuja baada ya madebe kuzingua tujuane 😅😅😅😅
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 8 месяцев назад
Tupo wengii kwahyo wote hawa.wamemkimbia
@JanethJoseph-tq2ns
@JanethJoseph-tq2ns 8 месяцев назад
Jamaniii 🎉
@youngtwite7580
@youngtwite7580 5 лет назад
wanaume wezangu tufanyeni kweli jaman tuwasugue vizur hawa wadada tunazaraulika
@estercharles7597
@estercharles7597 5 лет назад
Hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa kumbeeeeeee polen
@yassirkipemba7889
@yassirkipemba7889 4 года назад
kaka kwa chips na wali kusugua sahau
@pendoanthony6402
@pendoanthony6402 4 года назад
Uwiiii Ahahahaha
@swaumuabdallah4547
@swaumuabdallah4547 4 года назад
😂😂
@aishamother9943
@aishamother9943 4 года назад
@@yassirkipemba7889 kabisa 😃😃😃😃
@neemadamian7970
@neemadamian7970 5 лет назад
Nakapenda haka kadada cheusi😘
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 4 года назад
Unishnd mie
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 4 года назад
My sara
@neemabenjamin380
@neemabenjamin380 4 года назад
Aswaaaah kapo vzr hatareee
@mussafadhili1375
@mussafadhili1375 4 года назад
Unizidi mimi shehe
@Merry-ek5mj
@Merry-ek5mj 7 месяцев назад
Ana mambo mengi hidaya bori anacheka na kila mtu
@salomenangi7208
@salomenangi7208 3 года назад
Jamani haya macho Kama tochi
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 7 месяцев назад
Hidaya Boli
@chinguwida4267
@chinguwida4267 5 лет назад
gonga like kama unamkubali madebe
@catherinejoram1970
@catherinejoram1970 5 лет назад
p
@emmanuelmarendeja1333
@emmanuelmarendeja1333 5 лет назад
Sio mbay wanaume tupo. Yy aoshe tu
@kinamakhamis9665
@kinamakhamis9665 4 года назад
.m mmmm ... Nnnnnnnn. Jjjbgç vknb
@deeptzjamansimbakwema9097
@deeptzjamansimbakwema9097 3 года назад
Madebe nifundi
@perpetualrock2256
@perpetualrock2256 7 месяцев назад
Tupi wengi sanaa tulokuja baadae ya ugomvi wa madebe na chanuo
@IsaacklesaanLesaan
@IsaacklesaanLesaan 8 месяцев назад
Nice movie am watching from Kenya
@jonathankyalo1603
@jonathankyalo1603 Год назад
safari frm kenya Mombasa. I love this
@ShukraniMbawala
@ShukraniMbawala Год назад
Chanuo umetufundish mengi kwenye hii muvi sisi wanawake hongera sana
@saimonkuzy4772
@saimonkuzy4772 4 года назад
Minakakumbari kachanuo kariinginza vizuri safi sana chanuo
@salmakadzo2558
@salmakadzo2558 2 года назад
From Saudi Arabia madebe na mkeo nakukubali sana
@lukaniabanda7289
@lukaniabanda7289 2 года назад
Team hammam 🤣 mikono ju
@tiffahsulle7257
@tiffahsulle7257 5 лет назад
duuh kweli refa ndo muamuz wa mwisho chanuo hunajua
@nyimbizikamtima7671
@nyimbizikamtima7671 4 года назад
Kiukweli ckuwahi kuiangalia hii movie aisee hii movie naipa tuzo ya miaka saba,nakubali nyie ni zaidi ya bongo movie
@لويسلويس-ص6ر
@لويسلويس-ص6ر 8 месяцев назад
Chanuo mungu akuzidishie kipaj mamaa❤❤❤❤❤
@khayrathahamadi656
@khayrathahamadi656 8 месяцев назад
Kwa kwel
@winnievienda1623
@winnievienda1623 4 года назад
Waaaau movie poa sana nafwatiliya nikiwa Kenya 😘
@zakiahmwaka8605
@zakiahmwaka8605 4 года назад
Pamoja
@stamilishabani3081
@stamilishabani3081 5 лет назад
Good job mr madebe japo wanakuita chipkizi achana nao hao ww piga kazi .
@winniemushy4478
@winniemushy4478 3 года назад
Ahaaa.kwa.kuchungulia.kisonoko.ajambo.
@reginamwikali7293
@reginamwikali7293 2 года назад
Movie zuri Sana
@mwasitymartin5478
@mwasitymartin5478 4 года назад
Aiseeeh!!!! Chanuo ameniacha hoi mie kwa kwel
@sudirashid1747
@sudirashid1747 3 года назад
Nice movie madebe watching from 🇸🇦
@muemedeabdala635
@muemedeabdala635 2 года назад
🇧🇷🇧🇷 kotoka brazil
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 года назад
Yaani wewe dada nakupenda unaejua hizo mechi
@jabirpombe1333
@jabirpombe1333 5 лет назад
From SAUDI ARABIA nakukubali sana madebe
@kpetres2872
@kpetres2872 3 года назад
Jamani huko Arabia mnafikaje
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 года назад
@@kpetres2872 na ndege 😃😆
@salmakadzo2558
@salmakadzo2558 2 года назад
Mashallah chanuo uko mzuri dada
@rimbajoseph7327
@rimbajoseph7327 Год назад
Inakubalika madebe
@PeacermariaMkalla
@PeacermariaMkalla 7 месяцев назад
Uyo cheusi nampenda
@GodfreyMwadzihi-f5k
@GodfreyMwadzihi-f5k Год назад
I like this Ina sisimua
@kidotimichael5058
@kidotimichael5058 3 года назад
Wewe mdada mweusi nakupendaga na hayo macho yako makubwa
@suleimanhaji5559
@suleimanhaji5559 4 года назад
Dahhh yaani madebe lidai nimeangalia filamu zake masaa 18
@selemanfunditumepotezadhah7039
@selemanfunditumepotezadhah7039 3 года назад
Uyo b hidaya tu nakupenda
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Imenibidi tu nirudie kuiangaliaa hii movie maana sio kwa utamu huu
@raudhanaly1352
@raudhanaly1352 5 лет назад
napenda sana maneno yako chanuo twende kazi
@babye-jt7yp
@babye-jt7yp Год назад
Jamani chanuo natamani uwe kungwi wangu♥️♥️♥️♥️🥰🥰
@tabithamsukwa5215
@tabithamsukwa5215 2 года назад
@ Usimuwekee Mungu wa Isreal Mipaka
@bakarimvamba3335
@bakarimvamba3335 4 года назад
Nice movie
@tinamkojera9154
@tinamkojera9154 3 года назад
Napenda filamu ya chanuo by nancy mboriko
@tatufadhiliabdulla5367
@tatufadhiliabdulla5367 Год назад
Mama madebe ume tisha sijuw mpk uyo baba anapataga ivoivo
@hadijamohamedi7308
@hadijamohamedi7308 5 лет назад
Huyu dada noma jamani duuuu
@kichochisalimu2497
@kichochisalimu2497 4 года назад
Ww unaweza
@abdulrazakabdulazizkinega3071
@abdulrazakabdulazizkinega3071 5 лет назад
Nice I like it
@annajosephat7238
@annajosephat7238 5 лет назад
Duh kweli ww dad Ni refa
@fatumasanga4651
@fatumasanga4651 5 лет назад
kwel kbx
@rukiamussa3834
@rukiamussa3834 5 лет назад
Jaman nampenda huyu lefa mpaka bas
@saidahmed9688
@saidahmed9688 2 года назад
good movie
@MohammedDhidha-gi2pu
@MohammedDhidha-gi2pu Год назад
Uyo mdaa wa black beauty n mzuri sana
@shamimusalehe2972
@shamimusalehe2972 2 года назад
Chanuo wanifurahisha sana
@elizabethmichael2708
@elizabethmichael2708 2 года назад
Ninachoshangaaa ni kwanini wanawaacha nyuma aiseee I like it
@salmakadzo2558
@salmakadzo2558 2 года назад
Mko na movie nzuri sana
@williamchina6355
@williamchina6355 2 года назад
Nimekukubali chapa kazi
@ekinirashidfrancisco4481
@ekinirashidfrancisco4481 5 лет назад
Penda uyu bro ..madebeeeee
@fatumasanga4651
@fatumasanga4651 5 лет назад
unizid mm
@joshuaokongo5302
@joshuaokongo5302 4 года назад
Mko juu sana
@chinguwida4267
@chinguwida4267 5 лет назад
Kaa huyu Dada Eti anaitaji wakumfikisha kileleni
@kacksmctz283
@kacksmctz283 4 года назад
Nampend dad my sara
@harrisonhamisi3398
@harrisonhamisi3398 4 года назад
Jamani
@ElisaAnlaweOmarOmar-rr9nq
@ElisaAnlaweOmarOmar-rr9nq Год назад
Nimependa sana
@lightmsuyya1714
@lightmsuyya1714 Год назад
Dada una macho makubwa sana
@halimaomar2795
@halimaomar2795 5 лет назад
Nice movie Madebe, I'm watching from Kenya 🇰🇪
@bahatimangale5441
@bahatimangale5441 2 года назад
Kenya
@taurehassan7399
@taurehassan7399 8 месяцев назад
Mautundu yote hyo umeachwa na madebe duuuh hatareeeeeee
@estermathias8354
@estermathias8354 8 месяцев назад
Kuwa na hakili na wewe sasa hapo umeshindwa kutofautisha nn
@lordrickmumba7468
@lordrickmumba7468 5 лет назад
mambo juu ya madebe
@sadickjuma1594
@sadickjuma1594 4 года назад
Hiyo n kazi ya mfalme Lidai
@ababelemobintu2278
@ababelemobintu2278 10 месяцев назад
Nakupenda sana chanuo😂😂😂😂
@PatrickRaymond-zr4uw
@PatrickRaymond-zr4uw 5 месяцев назад
abali madebe
@nainaabakhresa7062
@nainaabakhresa7062 4 года назад
Nawapenda sana
@mariamabdallah3535
@mariamabdallah3535 3 года назад
Hongera madebe kwa utungaji mzur
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 8 месяцев назад
Waaaaaaaaah good job ❤❤❤😂😂
@zaitonakinia7189
@zaitonakinia7189 3 года назад
Kifo cha mende keleka leba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 7 месяцев назад
Mechi zako hazishawishi kama mpira wa India😂
@lemimlanda5913
@lemimlanda5913 4 года назад
Daaah haya yapo Sana tu
@Officialatari
@Officialatari 8 месяцев назад
Madebe nakukubali
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 8 месяцев назад
Wanaume wengi wana tatizo hilo la nguvu za kiume na chengine kikubwa mungu akikataza kitu kinakuwa sahihi ss wanawake saa nyengine tunachangia nguvu za kiume kupungua wanaume wanapo ona wanawake wamepita barabarani au makazini nguo zao nusu uchi kl kitu hazarani mwisho wasiku wanapo ona hvyo wanaume nguvu zao hupungua jpo walo wengi hawalijui hili ss sabbu moja wapo hiyo
@twahirimbegebege8995
@twahirimbegebege8995 4 года назад
Good good gudaaaaaaz
@nurrysaleem8644
@nurrysaleem8644 6 лет назад
from al nada dubai much love madebe😍
@harrisonhamisi3398
@harrisonhamisi3398 4 года назад
Ety lakin nahuofia utamsahau bwanako
@durusuzakielimu8159
@durusuzakielimu8159 3 года назад
Hey nurry niko al quiz dubai nitumie namba yako
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 года назад
Al nahda napajua mashllh nip sharjah
@nurrysaleem8644
@nurrysaleem8644 3 года назад
@@durusuzakielimu8159 njoo fb unisearch nurry amour
@bifosiiddi5770
@bifosiiddi5770 2 года назад
Movie ya upotovu
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 2 года назад
Unaelewa maana ya sanaa???
@theonehallandgarden5292
@theonehallandgarden5292 3 года назад
Watu wanalewa kwa Pepsi na fanta bongo movie zetu
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 3 месяца назад
Kwaiyo uliitaji wanywe pombe kweli 😂😂 Ili waharibu au
@meshackshark1915
@meshackshark1915 4 года назад
Madebe MUNGU Akupe miaka 1.00.00000 uko vizuli Sana!!!
@nurafedrick378
@nurafedrick378 5 лет назад
Yani mwanaume wadanganya waenda kaziusiku kumbe kazi yakulalanamwanamke mwingine?hukunyumanako mkeo analala narafiki yako loo makubwa tena umeshindwa kuchimba mgondi amekuacha hapo nakukudanganya utafute dawa zamasai hatima yake jogoo hapandi mtungi🤨🤨🤨🤨🤨🤝🤝🤝🤝
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx Год назад
Mjumbeeee mimacho Kodo
@Dama-sd4qk
@Dama-sd4qk 8 месяцев назад
❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
Далее
SELE FULL MOVE A
1:26:43
Просмотров 28 тыс.
MUME WA DUNIA (OFFICIAL MOVIE)
1:28:10
Просмотров 707 тыс.
STUDENT FULL MOVIE 2024
1:52:20
Просмотров 58 тыс.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
Просмотров 1,1 млн
MAJARIBU FULL MOVIE
1:29:27
Просмотров 129 тыс.
MVUVI | FULL MOVIE | MPYA 2024
1:43:13
Просмотров 106 тыс.