Asante sana umenisaidia mno,kila nilikuwa nikipika chapati nilikuwa natoa kau kau lakini leo nimepika chapati laini sana sana familia imekula imefurahi
Chapati za kutamanisha kwelikweli. Leo jioni nitakanda unga wangu kisha niufunikie tayari kuzichoma kesho asubuhi mapema. Shukran kwa kujitolea kutengeneza hii video.