Тёмный

CHECHE ZA SEMAJI AHMED ALLY KUELEKEA KWENYE DABI/AMNA KUKAA KINYONGE/TUNAZITAKA POINT 3 MUHIMU" 

Simba SC Tanzania
Подписаться 644 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC RU-vid Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@Mosesy_Bright
@Mosesy_Bright 7 часов назад
SIMBA ITAFUNGA BAO 4 YANGA BAO 1......NAAMINI IVYOOO..... SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏I LOVE YOU ❤️SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏SIMBA BIGWA 💯❣️👑🔥🔥🔥🔥💯🌏❤
@maggiehd1
@maggiehd1 25 минут назад
Inshaallah bro💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 4 часа назад
mungu ibariki simba tupate ushindi mnono this is simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤❤
@WendeMposola
@WendeMposola 6 часов назад
SIMBA NGUVU MOJA MUNGU naomba uisaidie Simba Sports Club ipate ushindi siku hiyo ❤❤🙏🙏🙏
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 4 часа назад
Amina
@SifaelMbazi
@SifaelMbazi 3 часа назад
​@@marthamsacky6973 "SIMBA ONE POWER GOD I give you to help simba to win the game on that day"
@LaulentNestory
@LaulentNestory 8 часов назад
Point tatu muhimu✊
@KhamisiAbdallahAbdallah
@KhamisiAbdallahAbdallah 7 часов назад
Mngu isaidie simba jumamosi talehe 19🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 7 часов назад
mnyama simbaaa ❤❤❤
@VeronicaJohn-l5s
@VeronicaJohn-l5s 5 часов назад
Mwenyezi Mungu aibariki Simba🙏🙏
@kelvinakyoo3737
@kelvinakyoo3737 8 часов назад
muanze nyie viongozi kucheza mech nje ya uwanja.tumechoka kufungwa kla siku
@pandunada4703
@pandunada4703 8 часов назад
Tumechok tena tumechok tatz la viongoz wetu ni kudharau mech ndio maan ugumu wa much tunautengenez ss wenyew
@nuruosward8161
@nuruosward8161 7 часов назад
@@pandunada4703siyo wakat wa kulaum muhim kuiombea team yetu ishinde hayo mengine hayahusiki
@NassoroNassoro-dd4zl
@NassoroNassoro-dd4zl 5 часов назад
Ungekuwa wewe ni kiongozi ungefanya nn ili timu ishinde
@mussammanga7791
@mussammanga7791 4 часа назад
@@pandunada4703 Na kwa timu yenu ala msijipe tamaa, hamna timu yakuifunga Yanga. Ilo ukubali tu na wala usikubali kuaminishwa bado timu yenu mbovu kwa Yanga.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 часа назад
Simba ilikua mbovu ulikua huoni?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 часов назад
TUKIFUNGWA TU UJUWE UTOPOLO BINGWA HIVI NDIO INAVYOKUWA MARA NYINGI LAZIMA UTOPOLO AVISHWE SANDA TAREHE 19 ❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 7 часов назад
Nguvu mojaa
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 8 часов назад
UBAYA UBWELA❤ ✍️Mabetu &Co
@SerevaMdee
@SerevaMdee 8 часов назад
"Kufungwa tena haiwezekani,sare haitakiwi,ushindi ni lazima"#ubataUbwela...
@erastoernest909
@erastoernest909 3 часа назад
ni ubaya ubwela mzee
@JamalDawd-dh8lx
@JamalDawd-dh8lx 4 часа назад
Yanga wanakikosi kizuri na wana wazee wa kazi lkn simba tuna kikosi bora lkn hatuna wazee Elewa neno wazee
@kqsaimubakari11-ft9vq
@kqsaimubakari11-ft9vq 4 часа назад
Nimekuelewa
@charleznicholas416
@charleznicholas416 2 часа назад
Simba hatuna wachawi
@piusikula
@piusikula 7 часов назад
Tuwe na umoja kwaujumla please 🙏 haswa viongoz Mahali ulipo mwana Simba kila unaemuona mbele Ubaya ubwela ufanye kaziyake
@saidsalum6101
@saidsalum6101 6 часов назад
Inshaallah mungu atufanyie wepesi tuibuke nsushindi mnono
@SengoSengo-d8g
@SengoSengo-d8g 6 часов назад
Simba🦁 nguvu moja 💪
@samcharlie4280
@samcharlie4280 4 часа назад
Simba bingwa 💕💕
@EmmanuelKunin
@EmmanuelKunin 8 часов назад
Ubaya ubwela
@MashakaMbeo
@MashakaMbeo 3 часа назад
Viongozi muache usenge
@ASHURAYAMBI
@ASHURAYAMBI 3 часа назад
Ubaya Ubwela ❤
@EliaGeorge-m1u
@EliaGeorge-m1u 4 часа назад
Mungu atusaidie wanasmba🙏
@LababaZircoijoxboy-hm2ud
@LababaZircoijoxboy-hm2ud 4 часа назад
❤❤❤ tutashinda
@ELIASKIZAMSABAHMSABAH
@ELIASKIZAMSABAHMSABAH 5 часов назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ simba sc
@merycianshinda546
@merycianshinda546 4 часа назад
Mungu tubarik Simba yet
@SopuJrbrandy
@SopuJrbrandy 7 часов назад
Wata kufa 2 🎉🎉
@Samlysaidymwaya
@Samlysaidymwaya 2 часа назад
Ndy tumechoka kufungwa kira siku
@HemedAbasi-l8y
@HemedAbasi-l8y 7 часов назад
THIS IS SIMBA
@SokoineEnosi
@SokoineEnosi Час назад
Simba ndugu moja
@KIREDIOO
@KIREDIOO 8 часов назад
😂😂😂😂
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 7 часов назад
Kijana Wa hovyoo kabsaaa nakubali San Kaz yakoo
@kqsaimubakari11-ft9vq
@kqsaimubakari11-ft9vq 4 часа назад
Haya mautopolo,wanatufunga kwa uchawi,viongozi mjipange na mechi nje ya uwanja,costal union walitaka kutuzidi kwenye kamati
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 16 минут назад
Very true
@Versonmdegela-ij2gd
@Versonmdegela-ij2gd 23 минуты назад
Viongozi hii mechi UBAYA UBWELA ufanye kazi haswaaa. Tumechoka kufungwá ná goñgowáziii
@JamesMaiga-z1n
@JamesMaiga-z1n 5 часов назад
Mkalisheni chini beki wetu Che Malone aache utoto wake wa kuchezea sifa mara kwa mara kwa kupiga piga vichenga uchwara wakati Tena ni mwepesi kuangiuka na kuporwa mipira na maadui !
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 8 часов назад
Semaji kama semaji utopolo watanyooka tu
@MaikoNyato-g6s
@MaikoNyato-g6s 8 часов назад
🎉
@SifaelMbazi
@SifaelMbazi 3 часа назад
"Azam ni katoto ka 2000" 😂😂😂 ila Ahmed daah!
@ASIFIWEONESMOPASCHAL
@ASIFIWEONESMOPASCHAL 7 часов назад
Sisi tumtanguliza mungu alafu wenyewe wanaanza na ushirikina wachezaji wa uto wanakuja na Costa kinyumenyume🙆🙆🙆
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Час назад
Simba nguvu moja
@richnessiddi2725
@richnessiddi2725 3 часа назад
Ahmed sijakuzoweya namna hii semaji mbona uoga tena kkkk
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 6 часов назад
Tunaomba wachezaji wetu wajitume wasicheze kama walivyocheza na Coastal union, wasizidiwe na wazee. All in all chochote kitakachotokea mimi nitabaki kuwa simba
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 5 часов назад
Mbinu kubwa ya ushindi siku ile ni KASI -SPEED. Simba wacheze kwa kasi kubwa wakitumia Nishati ya Umri walio nao. Hiyo yenyewe ni faida walivyo nayo dhidi ya wapinzani wao .
@kankukelly614
@kankukelly614 4 часа назад
Safari hii ni UBAYA UBWELA WENYEWE
@MwajumaNdave
@MwajumaNdave 4 часа назад
Twakusikiriza baba
@ElishaRobert-z5e
@ElishaRobert-z5e 6 часов назад
Kaja leo kwetu kuzindua tawi natupo nay lev
@jamesjames2368
@jamesjames2368 6 часов назад
Kitengo cha Usalama( security) fanyeni kazi zenu. Hii ni vita hasa nje ya uwanja, msichukulie mambo poa. Jambo la kila mchezaji kushikwa mikono kusalimiwa na kila mtu, hapana , chakula na maji yachunguzwe kabla wachezaji hawajagusa.....
@hassansaid-yf2cf
@hassansaid-yf2cf 5 часов назад
Msemaji unatuangusha unyonge autakiwi bana me sijakuea ivo bana 😂😂
@Benjathekingofficialtv
@Benjathekingofficialtv 5 часов назад
Jamani ahmed pole sana 😢😢😢 kinachofanya nimpe pole ni kwasabb nimegunduwa hawez kuongea bila sauti kutokea puani , akiongea utasema bwabwa ila ndo alivyoumbwa , wanathiiiiiimbaaaaaa lete mdhuuuuuuungu 😂
@ASHURAYAMBI
@ASHURAYAMBI 3 часа назад
Uto
@JohnNjuyuwi-c2t
@JohnNjuyuwi-c2t 6 часов назад
Mhmm!! Kumbe ni mechi ya kitamaduni basi kweli itakuuwa ngumu atakae muwahi mwenzie ndio mjanja
@MathiasWaisero
@MathiasWaisero 8 часов назад
Eti Azam ni watoto wa 2000😅😅😂😂
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 18 минут назад
Tutashinda 3 na Ateba ataweka mbili kwa uwezo wa Mungu
@mussakingwande3694
@mussakingwande3694 4 часа назад
Sisi tunajipanga viongozi nanyi nijipange Ili tushinde
@shufaahamoud6806
@shufaahamoud6806 3 часа назад
mbona uyo mzee hapo anaonekana amevaa jezi ya simba lakn mbon kirohp anaonekana ni yanga... hana tabasamu kabisa wallah hata wakat watu wamefurahi ulipotunzwa yy amechikichia amekunja ndita vibaya mno
@KalingakileboKilebo
@KalingakileboKilebo 7 часов назад
Tupo pamoja semaji la caf
@mummy4boys
@mummy4boys 7 часов назад
Ubaya ubwela Litakufa jitu kwa mkapa
@hassansaid-yf2cf
@hassansaid-yf2cf 5 часов назад
Kifunze kwa masau bwile ww ss we ndio kioo alafu unatoa maua kibao kwa hasimu wetu uoga ss we wabarid ivyo ss jeh leo umeniudhi sawa na kumfumania mke wako alafu unajifanya umedhimia kua kama masau bwile banah udhaifu uache ndani ya nafsi yako semaji vp bana usikubar kizembe zenbe mwanaume wewe haulizako
@suzanasimonqwarsan
@suzanasimonqwarsan 7 часов назад
Tunamfunga yanga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 6 часов назад
HUYO MWIKO WA NYUMA KAFUWATA NINI HAPO
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 8 часов назад
Safari hii Tutampasua UTOPOLO
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 7 часов назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@WissaBaraka
@WissaBaraka 7 часов назад
Ubaya ubwela
@user-gm3xl4yb5r
@user-gm3xl4yb5r 8 часов назад
Tatizo mnaongea sana na xo mpira
@SalumAlly-v2j
@SalumAlly-v2j 7 часов назад
Tutashinda
@SimuMpya-p3t
@SimuMpya-p3t 8 часов назад
Wazee wa ujiji kigoma wanasema wamechoka kufungwa hivyo ishalla poit, tatu mhim zipo
@rashidally863
@rashidally863 7 часов назад
Muhimu duuaaaaa
@Makhamudsaid
@Makhamudsaid 7 часов назад
Kuwafunga nimuhimu tumechoka kuwa wateja kila siku simbaaaaa nguvu moja
@YohanaKivuyo-u3w
@YohanaKivuyo-u3w 50 минут назад
Muanze nyiee viongosi maana tumechoka kufungwa na timu ndogo Kam yanga
@SalumAlly-v2j
@SalumAlly-v2j 7 часов назад
Ubaya ubwela
Далее
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 3,4 млн
КУШАТЬ ХОЧЕШЬ? #дистори
00:15
Просмотров 172 тыс.
ALICHOSEMA ALI KAMWE MSEMAJI WA YANGA FC
12:47
Просмотров 4,1 тыс.
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 3,4 млн