Тёмный
No video :(

CHEEDY WA KONDE GANG ''SIAMINI ALIKIBA KUPOKEA SIMU YANGU NINA AMANI YAMEISHA KIBA KIPENZI CHAO 

BONGO 24
Подписаться 112 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

CHEEDY WA KONDE GANG AMEFUNGUKA KUMALIZA TOFAUTI ZAKE NA ALIKIBA HUKU AKIWATAKA WATANZANIA KUENDELEA KUMSAPOTI

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@hamisigazza2838
@hamisigazza2838 2 года назад
King kiba only one king
@goodluckmoforo5107
@goodluckmoforo5107 2 года назад
Tangu atoke kingmusic hamna nyimbo ya maana aliyo imba ikasikika
@alicenice1711
@alicenice1711 2 года назад
Mna bahati sana kutembelea nyota ya king Kiba, kenge nyie😏
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 2 года назад
Cjawahi kukubali kuanzia utoke Kings music broo ulifeli sanaaaaa
@zaliamalaika9138
@zaliamalaika9138 2 года назад
King's music 🔥🔥🔥
@digostjafety6070
@digostjafety6070 2 года назад
Kings music ni hatari
@sylviakwakai3060
@sylviakwakai3060 2 года назад
Alikiba Yuko vizuri sana.mambo na ice cool toa hapo.
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 2 года назад
Onguera sana cheed 👏👏👏👏👏
@cotlidahappymwakatuma8319
@cotlidahappymwakatuma8319 2 года назад
Chidi ujui kuimba piaunanyota ya 🐈
@saalm2105
@saalm2105 2 года назад
Naam
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 2 года назад
Hajui kuongea vzur in short haeleweki
@martinkredo7103
@martinkredo7103 2 года назад
Kiba ajawahi kuwa na makuu na mtu ndiomaana umeondoka alafu love iko pale pale,jifunze maana uko uliko Kuna unafki mwingi Sana nasio mziki
@enockdabigshark540
@enockdabigshark540 2 года назад
Huyu hajielewi na hana jipya ashaisha kimziki
@yohanadeusi9084
@yohanadeusi9084 2 года назад
Kiba 👑 hanaga mambo km yako kiba sio mswahili usimpigie tena kiba unamsumbua wakt ulisha potea wewe
@westchugagang5323
@westchugagang5323 2 года назад
Mimi tangu utoke kings music sijaona muziki unaofanya kabisa unaigiza tu
@manigamwegakumzulu7996
@manigamwegakumzulu7996 2 года назад
Amna Aneyependa mafanikio ya MTU Tim konde
@fahadtourszanzibar8244
@fahadtourszanzibar8244 2 года назад
Anaimba nini huyu bwege
@ernestjulius3209
@ernestjulius3209 2 года назад
Anajikanyaga sana
@phanueladam7796
@phanueladam7796 2 года назад
Kaisha potea huyu saiv n chawa
@peterdalushi5713
@peterdalushi5713 2 года назад
,feriiia
@hamedmohammed8912
@hamedmohammed8912 2 года назад
Kwan uyu jamaa bdo anaimba AMA anabeba mabeg ya harmonize. Mana mzk wake cuoni
@binmakka8693
@binmakka8693 2 года назад
Njaa kali aisee huyu dogo kama diva tu maana anaongea mbele akirudi nyuma
@sintyasswayne9695
@sintyasswayne9695 2 года назад
Ushakuw chawa wa konde huna jipy mjin ww had ibrah kakuzid kwa majibu
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 2 года назад
Hana lolote mjinga mmoja tu huyu
@chinsalarachideadamo2098
@chinsalarachideadamo2098 2 года назад
Nakupenda kama cheed, mwana kond gang
@westchugagang5323
@westchugagang5323 2 года назад
Ila naona bado huyu cheed anayaishi maisha ya kings music ila huyu jamaa mashabiki zake ni wa kings music konde gang hana shabiki
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 года назад
Umenena kweli kabisa
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 года назад
Hatuna msanii hapa aisee 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Mbona hatoi nyimbo sasa tangu atoke kings sijaona ngoma yoyote
@husseiniabdalah5010
@husseiniabdalah5010 2 года назад
Ww na konde wote machoko ,2
@ayubumwaikela7250
@ayubumwaikela7250 2 года назад
wewe cheed nimpumbavu sana tena wewe nimbwa
@neemakisanga2894
@neemakisanga2894 2 года назад
Wenzio wakitoka kwenye leo za music wanalipishwa fedha na,bado unaambiwa umesaidiwa wewe umeondoka bure bado unamajungu kama mwanamke aliejiondoa,kwa mume huku akimpenda tafuta hela tafuta mbumba,tafuta heleri jiko la,gesi linapikia makande
@joshuamollel1398
@joshuamollel1398 2 года назад
Hamnakitu huyu
@stephanomwamwaja1288
@stephanomwamwaja1288 2 года назад
We ng'atang'ata tu ulimi litabak jina tu na kuvaa
@sylviakwakai3060
@sylviakwakai3060 2 года назад
Wewe Una nyimbo gani mpya yangu utoke kings?
@alfylegit9573
@alfylegit9573 2 года назад
Kuna nyimbo ameshaimba huyu jamaa tangu ametoka kings kweli ama ni porojo tu😂😂😂😂😂
@manigamwegakumzulu7996
@manigamwegakumzulu7996 2 года назад
Konde Gan chid boy
@razdarrendareen9555
@razdarrendareen9555 2 года назад
Kengeee kweliii
@kijokombao5345
@kijokombao5345 2 года назад
Kiukweli ni kwamba unaongea kutetea ugali ila album ya kiba weka mbali na watoto mzee
@shakiraally6380
@shakiraally6380 2 года назад
Acha ushambaaaa
@nassoromussa6087
@nassoromussa6087 2 года назад
Dah jamaa ameshakuwa chawa Mana kimziki ameshapotea kabisa
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 2 года назад
Umeonaa
@saidaramadhan3481
@saidaramadhan3481 2 года назад
Atoe unafki huyo
@ramamtoo939
@ramamtoo939 2 года назад
uyu mtoto sasaivi avimba siopoa
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 2 года назад
Kanafilwa ako yani nyimbo azijafika kokote ila mbwembwe nyingi
@davidpaschal5363
@davidpaschal5363 2 года назад
Toa nymbo kra sku ila mwisho tutakuuliza mafanikio
@baynomatane4619
@baynomatane4619 2 года назад
Chedi yanii wewe ushabugi tayalii nasafari yako imekwisha Yani ulikutoka Kings muzc apo ndo ulipo bugi wangu minyimbo yako unayo imba saivii ziro kabisa lakini ibrah kakuzidi mbali wakati wewe ulikua mkubwa Sana kuliko ibrah lakini saivi wewe niwamwisho ludi kwa king kiba cheed
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 года назад
Hana nafasi tena
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 2 года назад
Kwa hiyo una maana ya kuwa aliacha uwezo wake wa kuandika kings music,
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 года назад
Mafanikio hatar sana
@manenoramadhan1432
@manenoramadhan1432 2 года назад
Ushafail ww
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 2 года назад
Sijawahi kukubali we jamaa nakuona tu kama kichekesho cha mwaisa
@kapeamohamed6374
@kapeamohamed6374 2 года назад
We nae mwandishi unataka ALIKIBA awazungumzie hao mbwa wa nini
@omarathuman5813
@omarathuman5813 2 года назад
Amna kitu apo broo
@worldstartz
@worldstartz 2 года назад
Huyu huko ndio kapotea
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 2 года назад
Sauti yakike unaleta nyodo tuone kama katatoboa
@tonis6comedytv551
@tonis6comedytv551 2 года назад
Wekuma tuuuu unalamaana
@wahapahapa3279
@wahapahapa3279 2 года назад
Uyu cheed ana roho nzuri na hata Alikiba na amini hana shida na uyu jamaa ila Yule kichwa maji killy ndo alikua ana matatizo na siku Zote amekua akimuheshimu Alikiba sio Yule killy ana mdomo sanaaa alivyoongea kwenye FNL,cheed anatakiwa ajue kondegang Hawezi kufika wanapopataka kwa sababu mpaka leo watu wanawachukulia kama wasanii wa alikiba bado , anjela na ibrah ndo wasanii pekee wakonde gang
@utamutv_
@utamutv_ 2 года назад
chid kapige goti kwa king huna jipya.hapo konde wamekupoteza.
@flavourjellmaxofficiel3822
@flavourjellmaxofficiel3822 2 года назад
😂😂Rayvanny chuii🐯 majibu yake ku husu Paula yana chekesha jionee apa utoe maoni yako 😂👀 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-OHTWe6oh4Qo.html
@whitelove_og369
@whitelove_og369 2 года назад
#UKWELI KUHUSU CHIDI HUU HAPA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XDQlaMEen-g.html SHUHUDIA UKWELI WOTEE
Далее
HIKI NDO CHANZO KAMILI KIFO CHA MANDOJO.
9:09
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн