😄😄😄😄😄😄😄😄 Jamaaa kapiga show ataree sana Ana tarlent kubwa sababu pale alivopunguziwa mic alitoka mchezoni..lakini coy mzungu alivoileta mic akamtania na jamaa at the spot time akarudisha nae...hiyo ni tarlent nzuri sana wallahi....mwisho wa show sasa ndojamaa kamaliza dah!