Тёмный

CHEKECHE || Finland na Sweden kujiunga na NATO licha ya pingamizi na vitisho vya Urusi? 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@chidiomari.65
@chidiomari.65 2 года назад
Nawasikiliza vzr kutokea Finland 🇫🇮🤝
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 2 года назад
Mchambuzi wa Canad unazingua, Uturuki 2010 aliitungua ndege ya Urusi ila Urusi hajajibu Mashambulizi kw 7bu Uturuki ipo NATO.
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 2 года назад
Mchambuzi ambaye yuko Canada hajui uchambuzi...Hajajiandaa
@soudmanzi8393
@soudmanzi8393 2 года назад
Kw nn kwel Ibrahim rahb uy mchambuz wa sias za kimataifa yuk vzr sn na anastahik kw kila chekecha awepo ni mtaalam aliebobea ktk Diplomasia ao wengn hua wanaongea na kupelek tu hawan uhakik wa wanachokisem na hoja zao wanatoa kw namn ya mitazamo yao ilivoo
@aleyameir2330
@aleyameir2330 2 года назад
Mm namuomba Rais Putin aipige nyuklia marekani bila ya kusita Mana yy ndo chanzo Cha mizozo hii
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 2 года назад
Kivipi ndio chanzo cha mzozo?
@amimumufaumekikwasa5921
@amimumufaumekikwasa5921 2 года назад
Hapana tujiandaee kwa vita ya 3 diniani maana walifu umekuwa mwingi ila kwa nini hiyi NATO ina uchikozi sana africa hatuna amani sababu ya NATO.
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 года назад
Si0 kweli
@dottomabula7253
@dottomabula7253 Год назад
Uvamizi wa Putin lazima akabiriwe na nguvu kubwa ya NATO
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 года назад
NATO ni tishio kubwa endapo itashinda vita na rushia ,tujiulize umoja wa kujihami dhid ya nani na ifahamike baadae itakua lazima kujiunga nato tukiwasapoti now,itafikia ukihitaji mkopo lazima ujiunge nato kama ilivyo now ukitaka pasport lazima uchanje .ukuu wa rusia unafaida kubwa kubalance demokrasi
@mussakulanga9513
@mussakulanga9513 2 года назад
Russia sio mwendawazimu ameeleza wazi kuwa nato na marekani kua karibu na mipaka yke mchambuzi huyo sio anaupande waki magharibi nimemfatilia sn Nato wamekua kupigana vita vingi duniani Afghanistan, iraki, Libya nanyingi Russia wakijiunga lazima wapigwe tu
@dauditumaini7658
@dauditumaini7658 2 года назад
Urusi inaitaji kutumia nyuklia zao sio kwamba hao wa Sweeden na Finland kujiunga na nato ni usalama wake mdogo hapana anachoitaji putin ni kuchukuwa dola kupitia nguvu aliyonayo ya kivita hayo ndio malengo ya putin
@emazjassam2452
@emazjassam2452 2 года назад
Kuchukua dola ipii, yani inamaan gani
@francojohn8488
@francojohn8488 2 года назад
Findland & Sweden jiungeni mapema NATO ili muwe imara kiulinzi na usalama,mkiguswa tu na Russia basi Putin ataona rangi zote
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 года назад
Puttin atawanyosha, nitaifa kubwa huyo NATO inamuokopa, marekani mesha mfanya kama mungu wadunia
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 2 года назад
@@uwimanauwimana7692 Hata kama wakijiunga kwa sasa Nato watatolewa ushuzi na Urusi.
@driftdumper8927
@driftdumper8927 2 года назад
Putin Ameishambulia Ukraina bila wao warusi kushambuliwa endapo Putin atashambulia Sweden na Finland nayeye atashambuliwa! Tena kwa nguvu kubwa huko huko kwao!
@sogolamwishekhe5667
@sogolamwishekhe5667 2 года назад
Kwa kuzungumza ni jambo rahisi lakini kiuhalisia ni jambo gumu tofauti na vile unavyoona Ukraine sio alikuwa hapendi kuishambulia ardhi ya Russia ila ulinzi wa Russia ndo kikwazo
@owenmutale6691
@owenmutale6691 2 года назад
Dah hv kwa akili yko ukrein hapend kuipiga Rusia na wako karibu kuliko finland na Sweden Rusia sio mwehu
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 2 года назад
Owen Mutale, Ukraine hana long range missiles!!
@rashidrajab1391
@rashidrajab1391 2 года назад
Mchambuzi wa mchango
@JoaoPedro-jj1db
@JoaoPedro-jj1db 2 года назад
Putin hao wapo wengi wapige tu ma nyuklia watulie
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 года назад
Hujui ulisemalo ndugu yangu,
@owenmutale6691
@owenmutale6691 2 года назад
@@bonifasemmanuel4700 ulitaka asemeje?
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 2 года назад
Hahahahahahahah
Далее
Меня знают уже все соседи😅
00:34
Hur blev Vladimir Putin så mäktig, Martin Kragh
1:38:57