Тёмный

Polepole afunguka kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Balozi. 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 121 тыс.
50% 1

Sehemu ya kwanza ya Mahojiano na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 215   
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 года назад
Hongera MH Balozi Pole Pole. Mwenyezi mungu akutangulie kwa maslahi mapana ya HAPA KAZI TUU. 👍 🙏
@imeldathomas760
@imeldathomas760 2 года назад
Binafsi nakupenda sana Haphurey Polepole.kiko kitu kikubwa sana ambacho Mungu amekiwekeza ndani yako kwa ajiri ya Taifa letu la Tanzania.Mungu akutunze.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Rais wangu wa badae.mungu akupe afya zaidi 🙏🏼
@qualitymediaproduction
@qualitymediaproduction 2 года назад
Ikimpendeza MUNGU Akupe Uraisi Utuongoze 🙏
@jackobgalish5742
@jackobgalish5742 2 года назад
Polepole, is good, talented and genius ever. Piga Kazi mzee Wa eiteee💪
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 года назад
Huyu Polepole ni genius sana. Mzalendo mahili sana. Hongera sana kwa hilo. Mwenyezi MUNGU akutangulie ktk kazi zako zote.
@mjige9088
@mjige9088 2 года назад
Future president
@Safariking2010
@Safariking2010 2 года назад
All the best ndugu Humphrey Polepole Watanzania tunakuombea simamia maslahi ya Nchi na watu wako.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
@Ibrahim SAAFI
@josephanselmus3138
@josephanselmus3138 2 года назад
Good leaders Always think on positive hakika pole pole upo vizuri Mungu akutangulie.
@ahadimwakaniemba8401
@ahadimwakaniemba8401 2 года назад
Mungu ni mwema, akutangulie na kukuongoza. We proud of you
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 года назад
SO DO I
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 2 года назад
Nikimsikia polepole ad namkumbuka jpm gombea urais urudi utawara wa magufuli najuw we ni mwamba.
@praygodmakere6273
@praygodmakere6273 2 года назад
Mm nakuelewa Sana pole pole ,unafaa Sana kuwa rais ajae wa Tanzania,MUNGU akusaidie siku moja utokezee hapo🏃🏃
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 2 года назад
Intelligent, respectful, wise. Humble and a good speaker. Baadhi ya hizi interview zimekaa "kiudaku" zaidi na zinalengea kudhailisha na waandishi wa habari wenye maswali yaliyopelea na yamejaa kama "kawivu" kidogo ... ila H.Polepole anajua kuwa tuliza na kurejesha mwelekeo wa kiheshima zaidi ktk mahojiano. Ila Mh. Humphrey, Kuna milangio Mungu atakufungulia ambayo hakuna mwanadamu atakayeweza kuifunga. Hata Musa alikaa jangwa la Midian miaka 40 mafunzoni. Kisha alirudi na kukomboa watu wake. Taifa la Israel.
@chumaghanijunior6091
@chumaghanijunior6091 2 года назад
paqpp
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 2 года назад
We use
@mailacamillius
@mailacamillius 2 года назад
Mnamtumia kwa mfano wa Musa kivipi!! Wapo mabalozi wangapi wapo nje ya nchi zao!! Safisheni roho zenu
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 года назад
Mh polepole alifanya kazi nzuri ndani ya CCM pili nimzalendo ambae anaipenda nchi yake kwa fursa zake kwa kweli mama alifanya vizuri
@jumakimawa3633
@jumakimawa3633 2 года назад
Endelea polepole kuwa na mwelekeo wako huo! You will always be respected and loved by Tanzanians!Mungu akubariki
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 года назад
Nilimpenda sana alipotuambia kuwa hawakuweza kuwamalizawahuni waliokuwa nao kulegizani na hata walipojitokeza na kuungama mbele ya mama kwamba wamekosa sana na kuomba msamaha kwa kutotimiza wajibu.kwa kuwa watenda ddhambi ndio walewale waliwashangilia kwa kupiga meza zetu kule mjengoni walipoingia C19na kuendea kukalia vile viti bila ridhaa ya chama cha siasa.Hivi ni kweli kabisa kwamba yale Mphd yaliyomo mle ndani hayaoni aibu kufunika uhuni uliofanywa na hao C19?
@bwikizobilly5220
@bwikizobilly5220 2 года назад
Very Intelligent leader big up Mheshimiwa Balozi Humpfrey Hezlon Pole pole
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 года назад
Amen Amen kwa moyo uliotukuka Mungu akutangulie kila cku kwa kazi zako 🙏🏼🙏🏼
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 года назад
Mwenyezi Mungu akutangulie katika uteuzi wako mpya Mh. Balozi Polepole.
@ignasmalema8354
@ignasmalema8354 2 года назад
Kaka angalia wahuni wasikupoteze kwenye reli, naona wameanza kukupeleka mbali, ama wahuni si watu azuri
@zainabkiluwa8650
@zainabkiluwa8650 2 года назад
Mbadala wa Rais Nyerere ni polepole.rais kijana mtarajiwa.mungu akulinde.🙏🙏
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 2 года назад
Zai unaakili san
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@allyhuyu1892 Hamna kitu
@bahatimichael4538
@bahatimichael4538 2 года назад
@@mohamedhaji2200 Inavooneka kwako kuna kitu
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@bahatimichael4538 kitu kipo kweli. Pole pole aliwasaliti waTanzania kwa kujipendekeza kwa magufuli
@bahatimichael4538
@bahatimichael4538 2 года назад
@@mohamedhaji2200 Kumbuka mwaka 2010 VIONGOZI WA CCM WALIKUWA WAKIIOGOPA MIDAHALO POLE POLE PEKE YAKE NDIYE ALIYE KUWA AKIHUZULIA MIDAHALO ALIJUA KAMA MAGUFULI ANGEKUJA KUWA RAIS ?
@andrewopiyo570
@andrewopiyo570 2 года назад
Nimekuwa mfalitiaji wa sera zako, ni busara unavyojieleza, ila uteuzi huu kwa maoni yangu si wa kiwango chako
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
HUO NDIO WOKOVU HAKIKA NA CHEO KINGINE KINAKUJA
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 2 года назад
Heko bwana Hamphrey!!
@deodatusdeogratias4743
@deodatusdeogratias4743 2 года назад
Unatufaa kabisa kabisa kuwa rais wetu hakika
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
wako sio wetu
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@sponsor7882 Umeona eeeh! Hafai hata kua katibu kata. Ana tabia ya kuacha utu kwa kujipendekeza
@bahatimichael4538
@bahatimichael4538 2 года назад
@@mohamedhaji2200 Kama hafai kuwa katibu kata basi anafaa kuwa katibu bakuli
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@bahatimichael4538 Bahati ,😃😃😃😃😃😃😃😃😃 hata bakuli pia hafai
@bahatimichael4538
@bahatimichael4538 2 года назад
@@mohamedhaji2200 Huo ni mtazamo wako... Ila Pole pole ni zaidi ya umwenyekiti wa kata hata umwenyekiti wa bakuli
@eliasbufula2482
@eliasbufula2482 2 года назад
I respect you Mr Humphrey Polepole.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 года назад
Mh polepole powa hongera kwa kutaulia balozi wanje
@bahatibwire1446
@bahatibwire1446 2 года назад
pole pole ni mchapa Kaz wa kweli .Hongera
@plusabracadabra5166
@plusabracadabra5166 2 года назад
Balozi Mkuu wa Mabalozi wote 👏👏👏
@abbassalum6824
@abbassalum6824 2 года назад
Gombea Urais Polepole Najua Utakua kama Magufuli Japokua huto Mfikia
@robertmasanja66
@robertmasanja66 2 года назад
Ninakubali Sana hoja zako you once said"RAIS WA SITA AWAMU YA TANO "lakini ulishambuliwa Sana na wahuni
@djmeza411a58
@djmeza411a58 2 года назад
Gombea urais brother ampp
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 2 года назад
Walton anatia kiwingu hii ni njia ya mmnyamazisha hesitate nafasi ya kutoa hoja motomoto bungeni. Nafasi ya uraisi inakusubiri kaka usikose kurudi uchukua form ya uraisi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Walton hata wakijitahidi vipi kumnyamazisha hilo ni jambo lilopangwa na mungu watamcheleweshea tu lilopangwa na mungu huwezi kulifunga siasa haishi na wala haina muda jifunze kwa hayati magufuli na sumu alipewa akiwa waziri wa ujenzi hatimaye alikuwa Rais na Tanzania imeonekana maendeleo yake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Walton ridhiki kama ipo ipo tu utaichelewesha na huyo ni mti wenye matunda haushi kupigwa mawe hana hasira ana majibu ya ufasaha kila anapoulizwa swali mungu ambariki sana
@benswai8099
@benswai8099 2 года назад
@@margarethpolepole7438 Kwanini mnamhusisha Mungu ktk ushetani huu?
@aviationwonders7575
@aviationwonders7575 2 года назад
Ukweli. Kama imeandikwa imeandikwa
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 2 года назад
Wamekuzima bnaa,, ule moto uliokuwa nao hakuna mwingine zaizi.
@rubenbenard5778
@rubenbenard5778 2 года назад
Humphrey polepole,Ni kiongozi wangu bora ndani ya nchi.Siku zote nimekuwa nikijifunza kwake.Aidha,nimekuwa nikipenda namna anavyojenga hoja zenye mashiko, Namna anavyojibu maswali kwa ufasaha na namna anavyomtaja m/Mungu kwenye mazungumzo yake yote.Humphrey Polepole,ni mti wenye matunda,ndio maana siku zote amekuwa akipigwa mawe.Songa mbele jasiri mwongoza njia, cde.humphrey Polepole.
@anithashembilu7732
@anithashembilu7732 2 года назад
Best wishes mheshimiwa
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Huyu jamaa anaongea vitu vimepangika, namkubali kwenye hilo toka nimeanza kumskiliza kipindi hikooo.
@anosiata8242
@anosiata8242 2 года назад
Uko vizuri polepole.
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 2 года назад
Mangula Lukuvi Makinda Polepole Hongereni kwa kazi nzuri
@hawachilemba2562
@hawachilemba2562 2 года назад
Bila kumsahau Bashiru!!!"
@benjooh_official8944
@benjooh_official8944 2 года назад
He's True Leader in Tanzania 🇹🇿
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 года назад
Huyu ndo mwanasiasa buana!!!😁😁Wengine wanajaribujaribu.
@hamasaonlinetv1549
@hamasaonlinetv1549 2 года назад
We miss you guy Pole Pole
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
u mic him
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 года назад
@@sponsor7882 Kaka mbona wivu ?
@habaccucisrael5328
@habaccucisrael5328 2 года назад
Chapa kazi #kataawahuni 🔥💪🏾🇲🇼🇹🇿
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
Shule ya uongozification ni SHIIDAAA ndugu Polepole kwenye ubora wako 🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌
@valiantmdao57
@valiantmdao57 2 года назад
my all the time best politician in the world
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 года назад
🇹🇿Great thinker
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mungu akubariki sanaaaa chapa kazi baba usisikilize ya watu ccm oyee kazi inaendelea
@timboxlee919
@timboxlee919 2 года назад
Lete chama polepole,hawa wahuni watutamaliza watanzania bara
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 2 года назад
Rahis wa badae
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@adamsibora9991
@adamsibora9991 2 года назад
Waliona unawapiga pin
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 года назад
YANI ULIPO SEMA KUWA HUOMBI UONGOZI MUNGU NDIO ANAE KUTEUA AU KUTAKA HAPO NAENDELEA KUWA NA WEWE HONGERA SANA MTUSISHI NATAMANI NIPATE NAMBA YAKO YA SIMU
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 года назад
I mis u bro mh pole pole piga kazi tunakupenda watz unachapa kazi sana ongera
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 2 года назад
Intelligent
@richardmhina9537
@richardmhina9537 2 года назад
Nakukubali sana kaka Mungu akubariki sana.
@denisbuchard6211
@denisbuchard6211 2 года назад
Best leader ever
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 2 года назад
Muheshimiwa polepole upo sawasawa Sanaa kiukweli
@geofreyruta1723
@geofreyruta1723 2 года назад
Nakukubali sana polepole wazazi wako hawakukosea kukuita pole pole Imani yangu utayashinda
@sakinampuruti3337
@sakinampuruti3337 2 года назад
Hakuna kiongozi namkubali kama polepole
@samsonnyasilu268
@samsonnyasilu268 2 года назад
Namkubali sana polepole ni kiongozi ktk taifa
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 года назад
Safi polepole piga kazi msaidie rais wetu
@isaacthomas7888
@isaacthomas7888 2 года назад
Polepole ni Rais ajae..anayoyapitia ni Darasa kwake
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 2 года назад
Mtumishi wa mungu na mtumishi wa watanzania hongera mungu akupe kila LA kheri ila SHULE YA uongozi usiiayche kabisa pamoja NA UZALENDO MAISHA YETU TUMEISHI SANA MIAKA 63 AU 65 KWA MUJIBU WA MIAKA AMBAYO AMWIAHI MTUME Mohammed ILA MUNGU NDIO ANAE PANGA KILA KITU ILA KUISHI KAMA NA BII SULEYMAN MIAKA HIO HAIPO ILA PLZ NATAMANI NIONGEEE NA WW MIMI MTANZANIA MNYONGE AMABE NATAMANI UWE RAISI WA TANZANIA NA WANYONGE MPAKA SASA KUNA ........... SITAKI KUSEMA MENGI ILA NAOMBA NIPATE MAWASILIANO YAKO MJOMBAA ANGU
@fadhilimwasyeba8548
@fadhilimwasyeba8548 2 года назад
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Polepole ni mmoja ya viongozi makini asiyeyumbishwa,kikubwa alichonacho ni hofu ya Mungu.Nakuona ukienda mbali sana kuliko hapo ulipo.
@islamjarwan1476
@islamjarwan1476 2 года назад
Wewe hujaondoka tu bado unaaga, yani magufuli anasema "nikikuteua kuwa balozi tu, undoka ukafanye kazi ukizunguka kuaga ukimaliza kuaga nishakutoa"
@josephatmakaranga7043
@josephatmakaranga7043 2 года назад
Wewe ni ng'ombe
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 года назад
Dah tumekumis sana Kaka. Piga kazi Mungu akulinde.
@nehemanyomeye2575
@nehemanyomeye2575 2 года назад
Namkubari sana huyu jamaa
@mwitanyaibero4139
@mwitanyaibero4139 2 года назад
Mheshimiwa uko vizur sana kisiasa sisi watanzania waelewa tunakutegemea sana siku moja uwe hata wazir mkuu ha ta rais
@ednambata9503
@ednambata9503 2 года назад
Hy ni safar mh Pole pole utakuja kua mkubwa sana
@jajimwigamba5243
@jajimwigamba5243 2 года назад
Huyu ndiye mzarendo pekee aliye baki.anafaa sana kuwa Rais wa nchi yetu
@ramadhanimohamed6503
@ramadhanimohamed6503 2 года назад
Rais ajae 🙏🙏
@justinesinkonde6437
@justinesinkonde6437 2 года назад
Nakukubqri sana kaka endelea kubalikiwa kwa ajili ya taifa letu.
@boniphacedaniel2001
@boniphacedaniel2001 2 года назад
Polepole wewe wafaa. Kuwa rais watanzania
@frownmwanyika3574
@frownmwanyika3574 2 года назад
Nakukubali Sana kaka polepole
@hamasaonlinetv1549
@hamasaonlinetv1549 2 года назад
A Leader has a "learners attitude" always.
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 2 года назад
Hebu fafanua kwa upana zaidi
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 2 года назад
@@jamalahmed7057 kwa wembamba huo we umeelewaje.......
@felixhenerico8997
@felixhenerico8997 2 года назад
Rais amekuamini tuwakilishe vizuri uko mungu akutangulie Ameen.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 2 года назад
Pure talent!
@douglasvernon9492
@douglasvernon9492 2 года назад
Good to see you polepole 🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️
@mudahashim7766
@mudahashim7766 2 года назад
Kataa wahuni
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 года назад
Wakikupa wewe uraisi nakupigia wewe polepole
@testarguy8609
@testarguy8609 2 года назад
MUNGU KWANZA
@johngyunda3094
@johngyunda3094 2 года назад
Kuna kitu kikubwa nakiona kwenye utawala wa 7 hii nasema ktk nchi hii.
@lameckshani9338
@lameckshani9338 Год назад
Ndugu balozi hongera sana na endelea kuchapa kazi uwe na Maisha marefu
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 2 года назад
Hivi polepole uakumbuka ulipotuacha wa tz? Au ndo bye bye , tutajibeba?
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 года назад
Lia bjr unadhani mh ataelewa pure talent ? bora useme kwa kiswahili au pivi?
@johnmligo6966
@johnmligo6966 2 года назад
Love nyingi polepole
@barakaemanuel6638
@barakaemanuel6638 2 года назад
I think he disserve to be our president 🙏🏽🙏🏽
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
Weee! Urais si nguo
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 2 года назад
@@mohamedhaji2200 anafaa kuwa raisi acha ubinafsi
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@barakamsungu5260 Rais wa TFF
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 2 года назад
Chapa kazi. God bless you always
@robertmgore3653
@robertmgore3653 2 года назад
Raisi ajaye huyo
@habibumalima6823
@habibumalima6823 2 года назад
Jamani please
@mwagitomlowe6256
@mwagitomlowe6256 2 года назад
Majibu ya mheshiwa Yana jitosheleza
@wigeasanyerere6451
@wigeasanyerere6451 2 года назад
Mungu akusimamie,staki kuamin siasa.ila naona huwez tenganisha siasa na maisha,mwigizaji bora na anae vaa uhuska kindaki ndaki kama mwana siasa,anaweza tabasa panapo hitajika kulia
@jackhans7708
@jackhans7708 2 года назад
Polepole wewe utakuwa balozi au ninaweza kusema piga garagaza lakini tunakusubiri kwenye uongozi wa taifa hili🙏
@agapepalangyo4316
@agapepalangyo4316 2 года назад
Wameona nguvu yake. Ikabidi wamfiche.
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 2 года назад
Hamfrey , usigeuke
@josephchris7043
@josephchris7043 2 года назад
Wewe jamaa unahakili sana tena sana tuu natamani sana uje kuwa raisi wa nchi hii utakuwa kama magufuri
@mohamedwamunza7168
@mohamedwamunza7168 2 года назад
All the best Comrade
@burukinyebo6294
@burukinyebo6294 2 года назад
Magufuli alikua Mkweli....sidhani km alikua CCM kwelikweli kindakindaki!?? Ktkn mi ccm yote mijizi....ila najua mh polepole najua mzee chuma kakuachia Madini kibao kichwani....naomba uwabwagie huo ubalozi wao ili tuweze kuanzisha chama chetu...kitacholeta ukombozi wa uchumi wa kiukweli ukweli kwa wananchi watanzania....pamoja na chi ya Tanzania
@saidirwenyagila7705
@saidirwenyagila7705 2 года назад
Tupo pamoja na pole pole
@hamfsigala9928
@hamfsigala9928 2 года назад
Nakuelewa sana kaka balozi. Raisi wetu kwa baadae
@cypriankikoti9160
@cypriankikoti9160 2 года назад
All the best Mh Balozi Polepole
@jofreysinchenje1995
@jofreysinchenje1995 2 года назад
Great
@usafiaps318
@usafiaps318 2 года назад
CCM Hawaoni Uwezo Mkubwa Kama Huu Wa Balozi Polepole.(Mungu Kawapiga Upofu).
@pastorypetro6861
@pastorypetro6861 2 года назад
Tunaomba aweke mawsiliano yake
@sampatrick308
@sampatrick308 2 года назад
Yapo unamchango gn?
@lutihokachibe5181
@lutihokachibe5181 2 года назад
Ukiona kigogo anapiga kelele ujue kakosa tonge akipata hutomsikia ,hivyo asilimia 99 ya wanasiasa wanaangalia matumbo yao.
@koligilogo7383
@koligilogo7383 2 года назад
Jina linaumba mesikiaga huu msemo hivyo Humphrey Polepole Kwa Polepole anazidi kupanda ngazi
Далее
How to win a argument
9:28
Просмотров 552 тыс.
NYAKATI ZA MWISHO NA HUMPHREY POLEPOLE - WASAFI TV
42:23