Тёмный
No video :(

CHEKECHE | Mzozo wa Rwanda na DRC ni mtihani kwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki? 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@kyengyesango5523
@kyengyesango5523 2 года назад
Mzozo Huu hautaisha kwasababu hata wa tangazaji hamutaki Ku sema ukweli.tatizo ni KAGAME anatumikishwa Na wazungu ili wapore Mali ya mashariki mwa Congo bila kulipa Kodi.
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 2 года назад
Nje ya hayo madini....haki ya watusi wa Congo kila kukicha wanaonekana si wa Congo je haki yao ya uraia unaiweka wapi
@higirodenis4330
@higirodenis4330 2 года назад
Ndugu mtangazaji, nafikiri hiri swala la sintoelewa kati ya Congo na Rwanda ni DRC kutotiria maanani kujua historia na geographia , aitha kwa kupuuzia au kutofahamu. Wa Congoman wanaozungumza kinyarwanda wamekuwa DRC kwa sababu ya ukoroni kukata mipaka myaka ya 1895 na 1905
@higirodenis4330
@higirodenis4330 2 года назад
Mbona hatujasikia Tanzania na Kenya wanazozana kwa sababu ya makabila ya Masai na waluo waliopo pande zote mbili au wasomali waliopo Kenya na Somalia n.k nafikiri DRC inapuuzia makusudi. M23 wanahaki wanayo pigania
@christianosimba6083
@christianosimba6083 2 года назад
Tanzania na kenya tunajielewa ndomana atugombani
@omkalo4
@omkalo4 2 года назад
Ni kwasababu tutsi elites, hasa, ya Rwanda, ilikubali kua mercenaries wa ma beberu katika strategies za kudhoofisha Congo, ili isiwe ngumu kuibia mali ya madini na vingine. M23, CNDP, RCD, FRF, Gumino, etc vyote ni vikundi vinavyo undwa na Rwanda, huku Rwanda nayo ikisapotiwa na kampuni za ma beberu wa marekani, uingereza, and so on ili kudhoofisha Congo na kujipenyeza katika jeshi na vyombo vya serikali ya Congo.
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 года назад
Tatizo ni Mali tu hakuna ugomvi hapo wenyewe wanajua. Mwambieni Kagame amalize huyo. Uhuru Kenyatta amemaliza mda bado museveni. Ni uroho tu hakuna vita hapo
@justinklins335
@justinklins335 Год назад
Congo itapata amani kagame museveni wakufe amani itakuwa
@muhindominsori3728
@muhindominsori3728 2 года назад
Wakongo hawawatengi watusi tatizo ni kwamba kupitia hao kagame na mabeberu wanashambulia nakuiba madini.
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 года назад
nyinyi wachambuzi acheni kumumunya maneno sehemu kuna ukweli usemwe sio kudanganya raia mzee wetu nimchokozi hana mfano lakuiga huwezi mlinganisha na nyerere, lumumba, toma sakara, Mandela, anaungozi wakufitinisha watu akifariki kabila lake itaonyeshewa vidolo kila pepe zafrica, alikorofiana na Tanzania tena burundi na uganda mwisho congo, hiyo historia anataka kuandikisha Africa eti yeye ni mbabe asisahau kifo, mobutu yuko wapi albhashir yuko wapi kadhafi yuko wapi ni wengineo wazungu wakisha kutumikisha wanakutapika.
@alkebulanb5929
@alkebulanb5929 2 года назад
Umeongea point moja kubwa ila umenikosea kidogo pale umetaja kuwa Gaddafi alitumiwa :.
@bachokekitumaini7535
@bachokekitumaini7535 2 года назад
Wanapenda tu vitu vya wizi ya Mali ya congo,kagame ni mwizi
@higirodenis4330
@higirodenis4330 2 года назад
Raia wanaozungumza kinyarwanda, kwa hari hiyo hiyo ya mipaka iriyo wekwa na wakoroni bila kujari aridhi ya asili ,utakuta wanaozungumza kinyarwanda huko Uganda sehemu za kisoro na Ankole. Mbona Uganda inawatambua kama waganda wenye asili ya Rwanda
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 года назад
Huyu mchambuzi hajui vzr mgogoro wa mashariki ya Kongo😄😂🤣
@justinklins335
@justinklins335 Год назад
Kongo inakufa maliyake mutiwenye matunda zoweya mawe congo ju yamandini ndovita
@uwayomisago5694
@uwayomisago5694 Год назад
True huu jama anasema ukweli m23 inapingania haki
@mugangaeliezel3386
@mugangaeliezel3386 Год назад
Watutsi huko Kongo wanabaguliwa
@lukangyela8347
@lukangyela8347 2 года назад
Uyo mzee ajui chochote unaogopa rais wa rwanda. Wele ni wakimbizi tu.
@bachokekitumaini7535
@bachokekitumaini7535 2 года назад
Hawawezi tena,Ile yaMobutu vilification Waconia wameungana sasa
@lukangyela8347
@lukangyela8347 2 года назад
Mnaongea msicho kijua.familia zenu zingekua pale mngeongea vizuri. Kongo kagame anajifanya anaendesha kongo. Kwa mnasahau kua kongo inamajerani 9.
@peterjohnson167
@peterjohnson167 2 года назад
Wasio juwa ukweli kuusu hali ilioko huko mashariki mwa Kongo. Swali nchi gani ya Afrika mashariki ambayo Paul Kagame wa Rwanda haja zozana nayo? Rwanda imekuwa na ugomvi na Tanzania kwa awamu ya 4 KIKWETE. Rwanda na Uganda ugomvi, Rwanda ugomvi na Burundi, nchi ambayo haijawai kuwa na mgogoro na Rwanda ni Kenya na Sudan ya kusini. Ukweli Paul Kagame anatatizo.
@barakafizitv2632
@barakafizitv2632 2 года назад
Asante sana👍ukweli uliofichwa
@kulwalucas8848
@kulwalucas8848 2 года назад
👍
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 года назад
wewe ndo ungeulizwa hiyo swali kwanini mzozo unaendelea, mi sipendi kuona watu wanakuwa madui na lakini kwakila moyo mwawatu sio vizuri mzee wetu kagame asisahau kuna kifo.
@superwarema2309
@superwarema2309 Год назад
Huyu mzee mchambuzi Abdulkarim Atiki Azam TV mmemtoa wapi?? hahaha.
@abduladinane5060
@abduladinane5060 2 года назад
Da pale
@herywilly8598
@herywilly8598 2 года назад
Hatutohacha vita Sisi n'a wanyarwada ikiwa hawajahondoa wanyarwada mu kongo
@muhindominsori3728
@muhindominsori3728 2 года назад
Mzee na wewe unaongea usiyoyajuwa bora unyamaze.
@sogadariwafunuwaji1408
@sogadariwafunuwaji1408 Год назад
Mnafiki ww
@abdalahkumbota1012
@abdalahkumbota1012 2 года назад
Kagame tatizo vita
@muhindominsori3728
@muhindominsori3728 2 года назад
Huyu anatetea ndugu zake,wanaofanya mauaji congo ni wanajeshi wa Rwanda na misheni yao ni kuitawala africa ya kati.
@bachokekitumaini7535
@bachokekitumaini7535 2 года назад
Mtachoka na vita tu,wa congomani hawana watusi,watusi wako rwanda,Rwanda, burundi,uganda,Uganda, wagomani ni wengi nawapendana sana,nahayo makundi yameundwa na Familia ya kabila mzee mtoto ,
@mapesain
@mapesain 2 года назад
Aya mambo yana Tengenezwa.
@houseofjudah7470
@houseofjudah7470 2 года назад
*NI JINSIA GANI YA KUSABABISHA NJAA MAZIWA MAKUU = JIBU NI VITA* Vita itasasabisha njaa kuu, na kupelekea vifo vingi.
@lumwangaebuela2469
@lumwangaebuela2469 2 года назад
Kama ahujuwiahujuwi mzee sio hivyo ahuja gusa sababu yavita yacongo
@changingmentality626
@changingmentality626 2 года назад
Mzee you are missing the most important points. You have a small brain. Rwanda hata awasaidie hawawezi kamata Congo sababu Congo ni ya wa Congo na siyo ya wanyarwanda
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 2 года назад
Bila hao, Mobutu angeendelea kutawala .....hivyo maneno yako ni yanepitwa na wakati, wao waliisha ikamata
@changingmentality626
@changingmentality626 2 года назад
@@johnrutagonya9020 mbona Kagame na museveni wametawala miaka mingi. Nao inaomba watoke kama vile Mobutu alitokaka. Ndiyo?
@habimanajeanpierre2876
@habimanajeanpierre2876 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔
@sebastienkatwali5603
@sebastienkatwali5603 2 года назад
Acha kuonge mavi wewe unaongeya nini wongo mutu
@lumwangaebuela2469
@lumwangaebuela2469 2 года назад
Mchambuzi unasema usiyo yajuwa you're totally wrong
Далее
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,6 млн
HOW DID SHE DECIDE TO DO THIS?!
00:27
Просмотров 8 млн
AGASEKE K'AMAKURU AGEZWEHO YO MU KARERE 28 08 2024
6:42
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 173 тыс.
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,6 млн