Тёмный

CHEZESHA KIFUA 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 387 тыс.
50% 1

Vijana msionyeshe uwanaume wenu kwa wamama mbele ya wanaume zao
Yatakuja yawakute makubwa mali ya mtu haichezewi.....

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 475   
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Год назад
Best comedian Jotinho🙌🙌🇹🇿🇹🇿|We love your work
@ngomeboreshaafya9408
@ngomeboreshaafya9408 Год назад
Hongera joti kwa kipaji ulichojaliwa,natuburudisha na kuelimisha pia wewe na team yako nzima.mbarikiwe sana
@josephmonteiro5677
@josephmonteiro5677 Год назад
From Mozambique 🇲🇿 nakubali sana kazi yenu like zangu naomba
@simonandrew1489
@simonandrew1489 Год назад
My Best Comedian Big Up Mr Joti Good Work With Your Team
@josephkirombo1781
@josephkirombo1781 Год назад
Today I have come to an agreement that Joti is the best comedian in Africa 🌍🔥🔥🔥🔥👍
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 Год назад
UNDOUBTEDLY!!
@alexroy8215
@alexroy8215 Год назад
Sasa mjomba, Kama ulitaka jua lisingekuwa kali ungesoma 😂😂😂 Hela sio zako unazilamba, zingekuwa zako si ungezifyonza wewe..🙌🏾🙌🏾🙌🏾😄
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 Год назад
Wausika wote Mungu hawape maisha marefu sanaa ❤☝️✌🤙😛🤣💃
@mlewazitotv
@mlewazitotv Год назад
Mashabiki zetu wa JOTI TV tunawapenda sana🤗🤗🤗
@dominamabebe6691
@dominamabebe6691 Год назад
Mnafanya kazi nzuri sana as a team,hongereni sana
@florajames1890
@florajames1890 Год назад
Hongereni
@mlewazitotv
@mlewazitotv Год назад
@@dominamabebe6691 asanteeee
@mlewazitotv
@mlewazitotv Год назад
@@florajames1890 asanteee
@godfreyjulius5132
@godfreyjulius5132 Год назад
Nikitoka tu hapa naenda kumzingua yule mzee😂😂😂😂😂😂
@jacklinerenson1708
@jacklinerenson1708 Год назад
Friday is a furahiday with joti🥰🥰🤣🤣🤣🤣🤣
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
Hii ya leo niwapongeze akili nyingi sana imetumika.👏👏👏👏👏👏
@aresdadu
@aresdadu Год назад
You are the best Nisha love from Rwanda 🇷🇼
@khamissultan279
@khamissultan279 9 месяцев назад
Mlewa apewe movie aigize kazi nzuri👍👍
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 Год назад
Poleni guys!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 Год назад
Hela sio yko unalamba lamba,, ingekuwa Yako si ungeifyonza 😂😂😂😂 joti 👋👋👋
@yasiryusra3333
@yasiryusra3333 Год назад
Nimekuwa wa mwisho jmn kutazama like kwangu basi 😢
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 Год назад
🤣🤣🤣🤣mmepatikana leo umbea wote umewaisha.Funzo kwa wengine 🙏🧎
@carlosleonard6050
@carlosleonard6050 Год назад
Kama umeeona huyo mzee mjeda anajua kuigiza nipe likes
@beatussimon815
@beatussimon815 Год назад
Nimekuwa wa kwanza kuitazamaaa big up sana joti
@kombakomba7922
@kombakomba7922 Год назад
Hongera Sana Kwa kazi nzuri
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Год назад
Joti number one comedy 😂😂😂😂😂
@mushi6879
@mushi6879 Год назад
Wahuni mmeyatimba leo na ole wenu mtangaze 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rebecakigutu
@rebecakigutu Год назад
Joti huna hakili et ..unasema kweli baba mm nimet8ngisha sitaki nikudanganye ...unatingisha tumbo khaaa🤣🤣🤣🤣
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 Год назад
Joti your the best my Brother..best comedian..You made my day😆
@ahmadsaid4878
@ahmadsaid4878 Год назад
Yaaan watu hamulalagi😀😀😀😀bas nomben like kama zoteee ..Team jotii
@p.matabaro
@p.matabaro Год назад
Ina maana mimi napataka video zako after 4hrs!!! Ao zina anza kwanza Tanzania afu zinafika uku mitoni ya wazungu. Sasa ivi notification inafika after 4hrs. Inauma. Nimeona title nikajuwa ni kiboga 😅. Big up mwamba
@nilla1657
@nilla1657 Год назад
Huyo mke wa soldier ndio mchokoz sasa anaita watu na mme yupo ndan jaman😁😁😁😁
@MwajumaMohamedi-vd7vr
@MwajumaMohamedi-vd7vr 11 месяцев назад
Joti utaniuwaa jamani kwa kuchekaaa😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣😂
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 Год назад
Huyu mzee yuko serious unaweza ukamuogopa, kwenye movie tu yuko ivyo je kwenye maisha yakawaida sijui anakuaje😀
@patiencerwiza8765
@patiencerwiza8765 Год назад
eti aah! acha tu ni daivu haina shida! daah! nimecheka huyu joti kashindikana!!!😂😂😂😂
@Olivierassani
@Olivierassani 4 месяца назад
Namupenda joti mimi ni olivier hassani nikiwa rwanda ukihacha kuhigiza nami nahacha kufata filamu mutandaoni napenda kizi yako sana
@shukriolati4633
@shukriolati4633 Год назад
Hahahah mbavu zangu Jamani....Joti We Mwisho bro. Hiyo Kupiga Mbizi mara ya mwisho ooh mzee wacha ni dive tu. kkkk
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 Год назад
Huyo Jamaa Kama JOYCE LOMALISA Fullback Wa YANGA
@godlovekagoma8339
@godlovekagoma8339 Год назад
He made my day the best comedian
@AaAa-tb2zw
@AaAa-tb2zw Год назад
Hongera joti ....haki mumeweza sanaa...🥰🥰💕🤣🤣
@jamesjameswisdomtz1577
@jamesjameswisdomtz1577 Год назад
Joti never disappoint 🤣🤣🤣🤣🤣
@LilyKoba-wx2pj
@LilyKoba-wx2pj 10 месяцев назад
Kiukwer nampenda San joti miaka buku
@hamispazi4413
@hamispazi4413 Год назад
Boss wa Joti nilidhani ni LOMALISA aiseeh yaani kasoro mkorogo na tattoo🤣🤣🤣
@ayoubmontana8027
@ayoubmontana8027 Год назад
Bro hiki kipande kiligua kigum unatufundisha ipende kaz yako na ifanye kwa bidiii akika ww ni mchapa kaz bro u re the best and poleni naona magum mliyoptia kuigiza h ktu babu kubwaaaa natama nikuone na tin white sku moja
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 Год назад
Unacheza na mke wa soja wa zamani 😆😆😂😂😂
@missmannydxb
@missmannydxb Год назад
Thank you so much Joti you always make me laugh 🥰🥰
@jenipherlubamba1897
@jenipherlubamba1897 Год назад
Yani sijui mliwezaje kuigizia hapoo.....but asante kwa kunichekesha kweli kweli daah
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 Год назад
Like zangu please nimekuwa wa kwanzaaaa💃💃💃💃💃
@PAZI_TV
@PAZI_TV Год назад
L
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv Год назад
Ujinga
@shabanially1008
@shabanially1008 Год назад
Huu ulimbukeni utaisha lin
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 Год назад
@@shabanially1008 ulimbukeni gani waongelea🙄
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba 😏
@Shkyillyed
@Shkyillyed Год назад
𝗠𝗽𝗲 𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮𝗶̈ 𝘃𝘂𝗯𝗮𝗼 𝟮𝟬𝟬😂😂😂😂😂
@mosesharrison5233
@mosesharrison5233 Год назад
"Nishai hauna nguvu bwana acha kunipanga" 🤣🤣🤣
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 Год назад
Yaani kama alijua kitatokea nini,!
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 Год назад
🤣🤣🤣 eti "mwanangu na hilo bodi lako ungekua BANK:
@hafidhmoi
@hafidhmoi Год назад
Number 1 to watch
@khadijambuya794
@khadijambuya794 Год назад
🤣🤣😂😂JOTI UJINGA MWINGI 😆😆😆
@godfreynyapanga3380
@godfreynyapanga3380 Год назад
Noma sana hakuna wakukufikia kak kwa bongo hii
@zayhimid
@zayhimid Год назад
Utaniuwa kwa kucheka lol😆🤣😂😹😆🤣
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mzee wacha tu nidaivu 😂😂😂😂😂😂😂 chini zamisha kichwa 😂😂😂😂😂😂daaa nimecheka balaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love you team joti ❤❤❤❤❤❤️
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaniiiii salama ety Eeeeee salama Mama salama 😂😂😂 Bro Jotiii 🔥👏🏼👏🏼
@ishimwemurenziange7609
@ishimwemurenziange7609 Год назад
Jameni na Mimi nipeli like atakama sijakuwa star
@gataliya
@gataliya Год назад
Great commitment to the scene at the end.
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Hii namba 1 mwaka 2023
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Год назад
joti senge sana ww mamaaee mpka mejikojolea apa et mzee acha tu dauvet kuna shidaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mary2615
@mary2615 Год назад
I love your vids 😘💕👍🏻
@jofreyaloyce
@jofreyaloyce Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
@swabirattwas.12
@swabirattwas.12 5 месяцев назад
😢😮😂Wacha ni dive 😢😢😂
@naftalandrew9733
@naftalandrew9733 Год назад
Jot wew ni noma sana umeuwaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@doreenmathew165
@doreenmathew165 Год назад
ubunifu wa hali ya juu❤ Acha tu ni dive😀😀😀😀😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Год назад
Eti fanya kwa madoido 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Triplek_online
@Triplek_online Год назад
Nishai can we get subtitles next time. I don't understand swahili but i love it🙌 can i get some likes please 🇬🇧
@oceanlove6691
@oceanlove6691 Год назад
😁😁😁😁🙏 asante sana joty umenifanya nishinde meno nje bwana unajuwa piga kaz baba mungu anakulinda.
@oceanlove6691
@oceanlove6691 Год назад
Safi
@aliceniyongere915
@aliceniyongere915 Год назад
Joti unanicekeshaga kwakweli 😀😀😀😀😀😀
@azizahmwimbe8548
@azizahmwimbe8548 Год назад
😆🤣😆🤣baba rakini mkeo ndo mwenye makosa kwawa seduce vijana wa watu pambana na mkeo.
@emanuelalex2351
@emanuelalex2351 Год назад
PESA SIO ZA KWAKO UNAZILAMBALAMBA ,ZINGEKUWA ZAKO SI UNGEZINYONYA 😂😂😂
@AllyMKUMBA-gd2ti
@AllyMKUMBA-gd2ti 5 месяцев назад
❤❤❤ ayo maisha nayatambua ❤
@khadijakitete6929
@khadijakitete6929 Год назад
ahsanteni joti mmenikumbusha mbali sana hiyo nyumba ni ya marehemu baba angu mwananyamala ni mwaka wa 20 sasa tangu afariki sijaiingia😪
@leunammeleunamme6019
@leunammeleunamme6019 Год назад
Aaah mzee acha tu nidive haina shida 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rosemuba2532
@rosemuba2532 Год назад
Wametokazao kazini kikawakuta kitu 😂😂😂
@iddysalim6331
@iddysalim6331 Год назад
😂😂😂😂 ngoja tu mi ni dive chubwiii!!!
@p.matabaro
@p.matabaro Год назад
Usije ukamwacha mlewa, wakwanza hawako ila mlewa ni ndugu yako kabisa bado yupo nawewe bega kwa bega. Usi mptupe uyo jama uwe karibu naye saaaana.
@kahindimike5659
@kahindimike5659 Год назад
🤣 🤣 🤣 Wacha ni dive hakuna shida
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Год назад
Joti you still be on top man🤣♥️❤️🇨🇩
@emanueltemu7090
@emanueltemu7090 Год назад
Nakubal
@raphaelyesaya188
@raphaelyesaya188 Год назад
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Ila nyieee watu mwaka wenuuuu
@rickmediatz7842
@rickmediatz7842 Год назад
Amkeni Joti Kapost Wabongo mnalala sana 😅
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Год назад
Jot hauna mpinzani very serious
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Год назад
Nmeona chezesha kifua nkacheka hata kabla😂
@TamuzaKale
@TamuzaKale Год назад
Manina. "Ah, mzee. Wacha tu n'dive haina shida!" hahahaha mae!
@mariasmith4301
@mariasmith4301 Год назад
😂😂😂
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Год назад
Nic story big up
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Sita kwa sita 💃💃💃💃💃💃💃duh
@mansourally91
@mansourally91 Год назад
🤣🤣🤣🤣 ETI ACHA N DIVE HAKUNA SHIDA ILA JOTI 🙌🙌
@mkhandihealthcare5106
@mkhandihealthcare5106 Год назад
Nimechelewa sana nimekuwa wa 54 duuh nipeni like zangu na mimi
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Год назад
hapa ndio nakukubali sio.kule unavojifanya kuigiza mwanamke
@rich_wasparner9233
@rich_wasparner9233 Год назад
Kabisa kàbisa ndgu
@saniamashoto2195
@saniamashoto2195 Год назад
😂😂😂wacha nidive😂
@Albartzmss
@Albartzmss Год назад
Joti tunaomba behind the scene ya hii 😂😂
@gracefanuel2020
@gracefanuel2020 Год назад
Naungana na ww🤣🤣
@Albartzmss
@Albartzmss Год назад
@@gracefanuel2020 hao wote watakua mbavu hawana 😂
@melesianajulius7284
@melesianajulius7284 Год назад
Haina noma
@skateweaver
@skateweaver Год назад
fundi wa mafundi
@Shkaylertv800
@Shkaylertv800 Год назад
Kali sana 🤣🤣
@salimamseta
@salimamseta Год назад
Ahaaaaaa. Aki Joti unastahili tuzo kubwa sana
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Год назад
Yaaan huyu mzee Almasy saut yke kam babang😂
@milyongn2480
@milyongn2480 Год назад
Jot ni noma sana
@emanueltemu7090
@emanueltemu7090 Год назад
🤣 joti hajawahi Miliki akili
@lameckfocus4105
@lameckfocus4105 Год назад
Acha tu nidive😂😂
@jayysempule518
@jayysempule518 Год назад
Unajua unajua tena
@waziriomar1414
@waziriomar1414 Год назад
😂😂 mm leo hapana kweli
@LeahRichard-x6t
@LeahRichard-x6t Год назад
😂😂😂😂😂😂 umetingisha kiuno
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Год назад
Namm nimekubaliana na matokeo
Далее
WAZEE WA QYUBA
8:58
Просмотров 368 тыс.
LUGALO
9:57
Просмотров 571 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
KAFIA KWA MUUZA SUPU
8:35
Просмотров 405 тыс.
MPOKI NA BROTHER KEY UGOMVI MPYA
30:16
Просмотров 82 тыс.
WAMEYATIMBA
7:45
Просмотров 367 тыс.
NYUMBA NDOGO
9:52
Просмотров 256 тыс.
NAMVESHA PETE
9:22
Просмотров 299 тыс.
PANYA LODI
9:57
Просмотров 432 тыс.
TUTAFIKA WAPI?
10:05
Просмотров 294 тыс.